Author: Godius Rweyongeza

  • Usiogope kukosea

    Vitu vingi ambavyo huwa tunafanya kwenye maisha huwa vinahusisha makosa. Ni vigumu kuanza kufanya kitu kwa ufanisi wa asilimia 100 hasa unapofanya mara ya kwanza. Mtoto anapoanza kutembea, haanzi kutembea huku akiwa anatembea kwa usahihi asilimia 100. Anaanza kwa kuanguka, ila ni kupitia huku kuanguka ndiyo baadaye anaweza kutembea vizuri bila wasiwawasi wowote. Baadaye tunakuja…

  • NJIA ZA KUEPUKA KUGHAIRISHA MAMBO 2024

    Rafiki yangu mpendwa salaam, hongera sana kwa siku hii nyingine nzuri sana. Leo hii ni tarehe 1.2.2024. ni siku nyingine bora kabisa. Tayari mwezi mmoja umepita tangu tuuanze mwaka mpya wa 2024, kazi imebaki kwako sasa. Ni kwa namna gani mpaka sasa unaendelea kufanyia kazi malengo yako? Unajiona ukiwa unaelekea malengo yako au unakwama sehemu?…

  • Vitu vitano ambavyo hakuna mtu yeyote anaweza kufanya Kwa niaba Yako

    Vitu vitano ambavyo hakuna mtu yeyote anaweza kufanya Kwa niaba Yako Ukiendelea kujiamini Kwa muda mrefu, hata kama wengine walikuwa hawakuamini, watakuamini TU. Jiamini. Rafiki yangu, hayo ndiyo mambo matano ambayo hakuna mtu hata mmoja atayaganya Kwa niaba Yako. Unapaswa kuyafanya mwenyewe. Godius Rweyongeza+255755848391

  • Vitabu ambavyo kama mwanachuo unapaswa kujisomea.

    Hongera sana kwa kupenda kukisoma. Hii tabia nzuri ya kujisomea unapoianza ukiwa mwaka wa kwanza chuoni, itakupeleka mbali. Mpaka kuja kumaliza chuo, utakuwa mtu wa tofauti. Mtu wa tofauti kwenye tabia Mtu wa tofauti kwenye hatua unazochukua Mtu wa tofauti kwenye mtazamo na fikra. Hivyo, nikushihi sana usiache kujisomea vitabu hivi kipindi chote uwapo chuoni.…

  • maeneo matano Unayopaswa kuyawekea NGUVU mwaka 2024 kwenye kusoma na kujifunza na vitabu Unayopaswa kusoma.

    Isifike hatua ukaona kwamba umeshajua kila kitu. Siku ambayo utaona umeshajua kila kitu ndiyo siku ambayo utaanza kupoteza. Mara zote kuwa unajifunza. Kujifunza kuwe sehemu ya maisha Yako. Kama ambavyo Huwa hakuna wakati unaposema sasa nimeshakula inatosha sitakula Tena. Hivyo hivyo, kujifunza. Isifike hatua ambapo utaona kwamba imetosha. Kila mara kuwa na kitabu unasoma. Jiunge…

  • Nawezaje kupata vitabu Vya Godius Rweyongeza?

    Rafiki yangu mpendwa salaam. Godius Rweyongeza yupo Morogoro nchini Tanzania. Ofisi zake zipo maeneo ya sabasaba; Morogoro. Hata hivyo, hilo halikuzuii wewe kupata vitabu vyake popote pale utakapokuwa nchini Tanzania. Ili kupokea kitabu chako popote pale utakapokuwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Kwanza unatakiwa kuchagua kitabu ambacho ungependa kupokea. Vitabu vya Godius Rweyongeza vipo katika…

  • ACTIVE MODE ACTIVATED

    Mara kwa mara kuna watu huwa unakuta wameandika kwenye sehemu mbalimbali mtandaoni au nje ya mtandaoni wakiwa maneno kama “dancing mode activated” au running mode activated n.k Sasa tunapouanza mwaka mpya 2024, kuna maeneo muhimu sana ambayo wewe unapaswa kuya”activate” na kuhakikisha yako “activated” kwa mwaka mzima unaokuja. UWEKEZAJI (INVESTING MODE ACTIVATED). Huu mwaka huu,…

  • Kitu kimoja unachopaswa kufanyia Kazi kwa uhakika 2024

    Kitu kimoja unachopaswa kufanyia Kazi kwa uhakika 2024 Rafiki yangu, kuna kitu kimoja ambacho unapaswa kukifanyia kazi kwa uhakika mwaka 2024. Kitu hiki siyo kingine bali ni kutenda kile unachosema. Usishauri watu kitu ambacho Wewe mwenyewe hutakifanyia kazi. Usiwaambie watu wafanyevkitu ambacho Wewe hujawahi kufanya Wala mpango wa kufanya. Na Wala hutakaa ukifanye. Sema kidogo…

  • Wasiliana na Godius Rweyongeza Sasa

    Habari yafuatayo ni mawasiliano Unayoweza kutumia kumpata GODIUS RWEYONGEZA Simu: +255 (0) 684408755 Whatsap: +255 (0) 755848391 Email: songambele.smb@gmail.com   Kupata vitabu vyake wasiliana Moja kwa Moja na +255 (0) 684408755

  • Nitakuwa Kwenye Kipindi Cha Temino Ya Clouds FM Leo

    👆🏿👆🏿Wakati unajipanga kwa ajili ya hiki kipindi Maalumu cha kufungua mwaka 2024. Hakikisha pia unajiandikisha kwa ajili ya semina ya kufungua mwaka 2024. Taarifa kamili ya semina ya kufungua mwaka 2024 hii hapa👇🏿 www.songambele.co.tz/semina Ni semina ya mwezi mzima.Venue: Whatsapp Ada ya semina ni 30,000/- Malipo yanafanyika kwa namba ya simu: 0684408755 jina ni GODIUS…

  • Code Ya Kukusaidia Kufanya Makubwa 2024 Hii Hapa

    Unataka kufanya makubwa 2024. Code ya kufanya makubwa ndani ya 2024 imeelezwa kwenye hii video.

  • Kama una mpango wa kufunga Ndoa 2024, hakikisha unasoma hapa

    Kama unamjuaa anayefunga ndoa mwaka huu mtumie ujumbe huu Una mpango wa kufunga ndoa 2024 rafiki yangu.  Kwenye jamii zetu kumekuwa na utaratibu ambao unajirudia kila mwaka. Kila mwaka kuna maelfu ya watu wanaofunga ndoa na utaratibu ambao huwa unafanyika huwa ni uleule kila mwaka.. Mtu akitaka kufunga ndoa, anaandaa harusi kubwa, anaalika watu mbalimbali…

  • Tengeneza Pesa Kwa kuuza Unachojua (Maarifa + Taarifa)

    Unaendeleaje, leo kwenye video fupi ambayo tumekuandalia, tumeandaa namna ambavyo unaweza kuanza kutengeneza fedha kwa kutumia kile ambacho tayari unajua sasa hivi. Wewe ni kitu gani ambacho unajua? Je, umekuwa unaagiza mizigo nje ya nchi kwa muda? Huicho ni kitu unajua, kinaweza kuwasaidia wengine. Umekuwa ukilima mahindi? Hicho ni kitu kingine muhimu sana ambacho unajua.…

  • Una Mpango wa Kuja Morogoro 2024

    Rafiki yangu wa ukweli, una mpango wa kufika Morogoro, au kupita Morogoro mwaka huu?   Tupo Morogoro, Sabasaba ikitokea unapita Morogoro au unafika Morogoro mjini kutembea, basi usisite kufika ofisini kwetu.    Unaweza hata kujipatia nakala moja ya kitabu. Hahaha. Kama unapita MSAMVU, bado tunaweza kukuletea mpaka Msamvu bila wasiwasi wowote.   Mawasiliano ya ofisi…

  • Vitu 10 Vya Kijinga Ambavyo Unapaswa kufanya Walau Maram Moja Mwaka 2024

    Leo nataka nikwambie vitu 10 tu vya kijinga ambavvyo unapaswa kujaribu kufanya walau mara moja ndani ya mwaka 2024 Toa wiki moja ambayo utalala kwa saa tatu, halafu muda mwingine wote unafanya kazi. Fanya hivyo kwa siku mbili mpaka siku sita au wiki na siyo zaidi ya hapo. Weka akiba mshahara wako wote, halafu tafuta…

  • Malengo Yako Ya Mwaka 2024 Usimwachie Mungu

    Ni mwaka wa tatu sasa tarehe kama ya leo naandika makala  inayosisitiza kuhusu malengo na kwa nini haupaswi kumwachia malengo yako mungu. Mwaka juzi niliandika makala hii hapa.  Makala hiyo hapo juu ina swali zuri sana ambalo nimekuwa napenda kuendelea kuwauliza watu kila mara. Na hata juzi nilituma ujumbe kwa watu wa nguvu kupitia whatsap.…

  • Salaam Za Kheri Ya Mwaka Mpya 2024 Kutoka Kwa Godius Rweyongeza

    Rafiki yangu mpendwa, salaam. Nichukue nafasi hii kukutakia kheri ya mwaka mpya 2024. Ule mwaka uliokuwa umeusubiri sasa ndiyo huu hapa umefika. Yale mambo yote uliyokuwa umesema kwamba utayafanya ndani ya huu mwaka, sasa ndiyo muda muafaka wa kuyafanya. Biashara uliyokuwa umesema kwamba utaanzisha mwaka 2024, hakikisha sasa unaianzisha. Akiba uliyokuwa umesema utaweka. Iweke. Kiufupi…

  • Kwaheri 2023: Mambo 12 Ambayo Mwaka 2023 Umenifunza

    Mwaka 2023 sasa unaisha. Umekuwa ni mwaka bora sana kwangu, na umekuwani mwaka ambao nimeweza kufanya mengi, kuna mengi ambayo naweza kuandika kuhusu mwaka 2023 ila kwa leo nitaandika haya ambayo mwaka 2023 umenifundisha. mwaka 2023 umenifundisha kuwa kuwa mtandao wa intaneti una mkono mrefu. Najua wengi tumezoea kusikia kwamba serikali ina mkono mrefu. Lakini…

  • 2024 badili mifumo yako ya kufikiri

      Rafiki yangu, matokeo ambayo umepata ndani ya mwaka 2023, yanaweza yasibadilike kama hutabadilika. Unachohitaji kufanya mwaka 2024 ni kubadilika wewe. Kama hutabadilika au kubadili namna unavyofikiri, ukweli ni kuwa matokeo utapata matokeo yaleyale ambayo ambayo umepata 2023 au hata chini ya hapo.   Napenda sana nukuu ya Robert Pirsing kama ilivyonukuwa kwenye kitabu cha…

  • Ushauri Muhimu Ambao Kila Kijana Anapaswa Kufanyia Kazi

    Huu ni ushauri ambao kila kijana anapaswa kuupata.Toka nyumbani anz kupambana na hali yako.

X