Category: UONGOZI

  • Jinsi Ya Kutatua Changamoto Unazokutana Nazo

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu wa ukweli. Leo ni siku nyingine ya kipekee sana na leo nataka nikwambie kwamba usikubali kamwe kwenye maisha yako changamoto zikuzuidi wewe kukufanya ushindwe kufanikisha malengo yako. Siku zote changamoto huwa zinatokea. Changamoto ni kama zinatokea kukuonesha kwamba je, uko siriazi kweli na kile kitu ambacho unataka.…

  • Jijengee Utaratibu Wa Kusema Kidogo Na Kuwa Na Matendo Makubwa

    Kuna usemi kuwa ni rahisi kusema ila vigumu kutenda. Na katika ulimwengu huu ambao tunaishi sasa hivi wasemaji ni wengi. au watu wenye maneno ni wengi. unaweza kukuta watu kwenye mitandao yao ya kijamii wameandika kwamba wao ni wakurugenzi wa makampuni, wakiwa hawaweki juhudi za kuanzisha hayo makapuni.   Kitu pekee ambacho ninaweza kusema kwako…

  • Maana Ya Mafanikio Unaitoa Wewe Mwenyewe. Na Hivi Hapa Ndivyo Unavyoitoa

    Kufanikiwa  kwako kupo mikononi mwako. Na maana halisi ya mafanikio yako unaitoa wewe mwenyewe. Kwa hiyo ukitaka kupata matokeo bora unapaswa kutoa maana bora ya mafanikio na jinsi ambavyo utayapata.   Ili unielewe vizuri hapa naomba nitolee mfano wa mtu ambaye kwake kufanikiwa ni mpaka pale unapokuwa na elimu ya chuo. Kwake bila ya elimu…

  • kama kuna kitu kizuri ambacho ungependa kuona kwenye maisha yako ila hukioni basi sababisha kiwepo

    Ukiona kuna kitabu kizuri ambacho ungependa kusoma ila hakijaandikwa, basi kiandike wewe. Ukiona kwamba kuna igizo zuri ambalo halijaigizwa, basi liigize wewe. Kama kuna mziki ambao hujaimbwa, basi uimbe wewe. Kuns biashara ambayo haijafanywa, basi ifanye wewe. (kumbuka inapaswa kuwa inakubalika kisheria. Kitu chochote kizur ambacho ungependa kuona ila hukioni basi kitengeneze wewe. Kila la…

  • Maneneo Sita (06) Ambapo Kila Kijana Mwenye Miaka 20-29 Anapaswa Kuwekeza

    Habari ya siku hii ya kipekee rafiki yangu, karibu sana kwenye makala hii ya siku ya leo. Ambapo tunaenda kujifunza maeneo sita kwa kjjana yeyote mwenye miaka kati 20-29 anapaswa kuwekeza.   Labda unaweza kujiuliza kwa nini leo niongelee kuhusu miaka 20-29. Jibu lake ni kwamba, hiki ni kipindi ambapo vijana wengi wanakuwa na ndoto…

  • Aina Hii Ya Kimbelembele Inaruhusiwa Kwa Kiwango Kikubwa

    Steve Jobs alikuwa mvumbuzi ambaye ameishi kwenye zama hizi zetu. Mtu huyu (Steve Jobs) kwa kipindi cha maisha yake amevumbua vitu ambavyo vimebadili maisha ya watu na mwonrkano wa dunia nzima. Mwaka 1984, Steve Jobs alikuja na aina na kompyuta inayojulikana kama Macintosh. Aina hii ya kompyuta ilibadili kabisa hali ya hewa kwenye tathnia ya…

  • Hatua Nne za Ukuaji Katika Uongozi

    Kwa kawaida kila kitu huwa kina wakati wake. Kuna wakati wa kupanda wa kupanda na wakati wa kuvuna. Katika maeneo yote ya maisha, yaani afya ya mwili, afya ya akili, afya ya roho, pesa, mahusiano na jamii pamoja na mahusiano na familia.Huwezi kuwa kwenye kipindi kimoja kwa wakati mmoja.Huwezi kuwa kuwa unapanda, unapalilia na kuvuna…

  • Ukisikia Fulani Ni Kiongozi, Basi Jua Anafanya Hivi

    Hongera sana rafiki kwa siku hii njema sana ya leo.Leo ni jumamosi ya tarehe 06 oktoba 2018.Ni siku ya kipekee sana ambayo unapaswa kuitumia kuhakikisha unaweza kufikia ndoto zako. Kwa sasa hivi nafundisha sana masomo ya uongozi, na makala zangu nyingi zijazo mbali na kwamba nitaongelea vitu vingine lakini suala la uongozi nitaliongelea kwa undani…

X