-
Ni ushauri tu-2
Ule muda unaoutumia kufuatilia maisha ya watu wengine, utumie kufuatilia maisha yako. Jua nini unataka kufanya na kitu gani hutaki kufanya kwenye maiaha yako.. Jifuatilie uone kama bado unafanyia kazi malengo yako au la umeshaachana nayo. Ni ushauri tu.
-
NGUVU YA WAZO: (THE POWER OF AN IDEA):Jinsi Wazo Linavyoweza Kuiongoza Dunia
NGUVU YA WAZO: (THE POWER OF AN IDEA) How An Idea Can Rule The World Jinsi Wazo Linavyoweza Kuiongoza Dunia Utangulizi Ebu ngoja kwanza. Ukiingia kwenye mtandao wa google na kuandika neno idea utapata majibu 4,270,000,000 Ujue sijakosea ni bilioni nne na milioni mia mbili sabini. Haya tuachane hilo, ukitafuta neno business idea utapata matokeo…
-
Una Uwezo Mkubwa Ndani Yako
Kwenye Biblia kuna hadithi ya watu watatu waliopewa talanta. Mmoja alipewa tano, wa pili alipewa mbili na mwingine alipewa talanta moja. Aliyepewa talanta moja hakuithamini, na wala hakuitumia kufanya kitu chochote cha maana. Binafsi sipo hapa kukwambia hiyo stori, naamimi kuwa utakuwa unaijua vizuri tu, au la utaenda kuisoma baada ya hapa. Kitu kikubwa ninachotaka…
-
Njia Bora Ya Kukusaidia Kuishi Maisha Yako Kikamilifu
Unaendeleaje upande wa huko. Mimi naendelea vyema kabisa.Leo ni jumapili ya tarehe 10. Siku 100 za kwanza za mwaka huu zimeisha. Na Sasa zimebaki siku 265. Najua tangu mwaka huu umeanza lazima Kuna kitu uliazimia kuwa utakifanyia kazi. Sasa swali langu kwako, ni je, bado hiki kitu unakifanyia kazi, au ndio tayari umekata tamaa? Ninachotaka…
-
Hiki Ni kitu muhimu ambacho unapaswa kukitafuta kwenye kila kitabu
Rafiki yangu usomaji wa vitabu ni kitu muhimu sana kwa ajili ya afya ya akili yako. Ukitaka kufurahia usomaji wa vitabu basi kwenye kila kitabu ambacho unasoma hakikisha unapata unapata vitu vitatu ambavyo unaweza kufanyia kazi Mara moja. Ukipata vitu hivi mwanzoni mwa kitabu, unaweza kuweka kitabu pembeni kwanza na kufanyia kazi kile ulichojifunza utakuja…
-
Jinsi ya kuendeleza kipaji chako
Habari ya leo rafiki yangu. Hongera sana kwa siku ya leo na siku ya kipekee sana. Leo nataka nikueleze namna ambavyo unaweza kuendeleza kipaji chako kwa viwango vikubwa mpaka kufikia hatua za kukifanya kikutoe. Lakini kwanza tujiulize kipaji ni nini?Kujibu swali la kipaji ni nini naomba usome makala hii hapa ambayo imeeleza kwa kina kuhusu…
-
Karibu Sana
Hello! Tumekutumia kitabu kwenye barua pepe yako. Sasa hivi kitakuwa kimeshafika lakini kama hutajali, hapa nimekuwekea baadhi ya makala ambazo zimesomwa Sana Kwa Nini Wanafunzi Wanaopata “A” Wanawafanyia Kazi Wanafunzi Wanaopata ‘C’, Na kwa Nini Wanafunzi Wanaopata “B” Wanaifanyia Kazi Serikali Jinsi ya kuendeleza kipaji chako KAMA UNAFIKIRI KILA KITU KILISHAANDIKWA, FIKIRI TENA (SABABU 18…
-
THINK BIG FOR AFRIKA
Karibu kwenye kundi maalumu la whatsap la Think Big For Afrika! maelezo zaidi ya kina yanakuja hapa hapa baadaye. Au wasiliana na 0755848391 ili akupe maelekezo sasa.
-
WATU WANASEMAJE KUHUSU KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI?
MIMI NAMFAHAMU GODIUS Ninamfahamu Godius si tu kwa kupitia maandishi yake bali kwa kupitia maisha yake. Jinsi anavyoishi ni darasa tosha la mtu yeyote mwenye nia ya kufanikiwa. Nilipoanza kusoma kitabu hiki sikukoma kuacha kwani kimegusa maisha yangu na baadhi ya mambo niliyoyapata humo nimeanza kuyafanyia kazi na nimeanza kuona maajabu makubwa. Unataka kuwa mbunifu?…
-
Jinsi Ya Kutengeneza Bahati Yako
Dunia ina tabia ya kukupatia kitu kama utaonesha nia, kuwa wewe ungependa kupata hicho kitu. Huwa ninapenda kuwaambia watu kuwa, hata kama ni bahati itakukuta njiani unatembea wala sio chumbani kwako ukiwa umelala. Kwa hiyo, wewe kama unahitaji kupata bahati maishani mwako basi kuwa tayari kuweka kazi inayoendana na bahati unayotaka. Bahati unaitengeneza wewe mwenyewe…
-
Vitu Vitano Kuhusu Fursa
Leo nataka nikueleze vitu vitano muhimu unavyopaswa kufahamu kuhusu fursa. Watu wengi wamekuwa wanahadaiwa linapokuja suala zima la fursa. Kuna watu wamekuwa wanatumia mlango wa kuita haadhi ya vitu fursa ili wakupate. Kuna watu unakuta wanataka fedha zako, wanaangalia namna nzuri ya kuzipata, wanaona wanaweza kukupata kwa kukwambia kuwa kuna fursa ambayo unaweza kuifanyia kazi.…
-
Jinsi ya Kuipangilia Ratiba Yako Vizuri Kuanzia Leo
Njia bora ya Kuipangilia Ratiba Yako Vizuri ni kujiuliza ni 1. vitu gani vya muhimu ambavyo napaswa kufanya. 2. Vitu gani vya kufanya japo siyo muhimu sana. 3. vitu gani ambavyo wanaweza kufanya wengine. 4. Na ni vitu gani ambavyo wengine wananitaka nifanye. Mara zote weka nguvu zako kwenye namba 1 na namba 2. Kwa…
-
Naomba ushauri Nifanyeje?
Bila shaka wamewahi kutokea watu wa kukuomba ushauri maishani mwako. Na pengine wewe ulitoa huo, ushauri. Ila sasa una hakika kuwa wewe ulikuwa hauhitaji huo ushauri? Kama huwa inatokea kuwa unatoa ushauri kwa watu ambao wewe mwenyewe unauhitaji. Hakikisha unaanza kuutumia mwenyewe. Ukimshauri mtu kuweka AKIBA, wewe mwenyewe weka akiba.Ukimshauri mtu kufanya mazoezi wewe mwenyewe…
-
Kitu kingine kimoja cha ziada kuhusu Masoud Kipanya
Jana niliandika makala ndeeefu kuzungumzia gari la Masoud Kipanya.Nilifanya hivyo maksudi tu kwa ajili ya kupongeza juhudi za mtanzania mwenzetu, maana tumezoea kupromote vitu vya akina Jack Ma na wengine, Sasa anapotokea mtanzania akafanya vitu vya tofauti, kwa Nini tusiseme.. Au wewe hukupenda…. Nashukuru wengi waliipokea vizuri mkala ya Jana, hata hivyo leo nimeona nitaongeza…
-
Niseme kitu kuhusu Elon Musk Kununua Twitter Au Basi!👇🏿👇🏿
Udhaifu wangu mkubwa Ni kwamba ninapokuwa na kitu kikubwa kinachoweza kukusaidia wewe kufanya makubwa siwezi kukaa nacho! Nashindwa kabisa kujizuia, Ndio maana leo nikaona nikujuze habari za Elon Musk Habari zilizotawala vyombo mbalimbali vya habari na hasa mtandao wa intaneti siku ya jana ni kuhusu bilionea Elon Musk kuwekeza kwenye kampuni ya Twitter. Ambapo amenunua…
-
Leo Na Mimi Nataka Niseme Kitu Kuhusu Gari Ya Masoud Kipanya
Watu wenye kichaa cha kutosha kiasi cha kufikiri wanaweza kuibadili dunia, ndio ambao huibadili-Steve Jobs kwenye tangazo la THINK DIFFERENT la mwaka 1997-2002 Takribani siku mbili zilizopita Masoud kipanya alizindua gari ya umeme ya kampuni ya Kaypee Motors. Kitu ambacho ni cha kipekee sana hasa kwenye mazingira yetu. Asubuhi ya leo nilipotazama hotuba yake wakati…
-
Njia Mpya Ya Kujenga Tabia Kwa Haraka
Leo nataka nikwambie kitu kikubwa ambacho kitakusaidia wewe kuweza kujenga tabia mpya kwa haraka. Ebu fikiria tabia yoyote ile ambayo ungegependa kujenga miashani mwako. Ni tabia gani nzuri ambayo kwa siku umekuwa unatamani kuwa nayo? Je, ni kusoma vitabu? Je, ni kuandika Je, ni kufanya mazoezi? Au kuweka akiba? Ni kitu gani haswa unataka uwe…
-
Kwa nini wazazi wanawalazimisha watoto kusoma kozi wanazopenda wao
Kila mwaka kikifika kipindi cha wahitimu wa kidato cha sita kuomba vyuo, huwa napokea simu za vijana ambao wanalazimishwa na wazazi kwenda kusomea kozi wasizopenda. Unakuta kijana anataka akasomee uhandisi, mzazi anataka akasomee human resources. Sasa leo kwa ufupi tu nataka niseme kwa nini, wazazi wanakuwa hivyo: Moja ni kwa sababu ilikuwa ndoto ya mzazi,…
-
Kozi gani nzuri ya Kusoma chuo inayolipa
Sikumbuki ni mara ngapi watu wamekuwa wakinitafuta kwa ajili tu kuniuliza kozi gani ambayo mtu akisoma itamlipa. Nimejitajidi kujibu swali hili kadiri ninavyoweza kwa kila mtu, Sasa leo nataka nijibu swali hili mwanzo na mwisho. Jibu la swali hili halina exception. Haijalishi umehitimu kidato Cha nne na unataka kwenda chuo au umehitimu kidato Cha sita…
-
Mjasiriamali ni nani
Siku hizi kumekuwepo na wimbi kubwa la vijana wanaojiajiri. Hiki ni kitu kizuri, hata hivyo wengi wamekuwa wanadhani kujiajiri tu kunakufanya uwe mjasiriamali. Kwa wengine ujasiriamali umekuwa unahusishwa na kutengeneza bidhaa kama vile sabuni, vitenge, viatu vya kimasai….. Ukiwa unatengeneza hivyo vitu, wewe ni mjasiriamali. Kama hutengenezi hivyo vitu wewe siyo mjasiriamali. Kitu ambacho siyo…
