Kwenye fedha mengi ambayo unapasawa kuzingatia na kuhakikisha kwamba umeyafuata, wakati vyote vikiwa ni vya muhimu ila kuna kitu kimoja ambacho kamwe haupaswi kusahau hata siku moja.
Na kitu hiki ni kwamba kamwei haupaswi kutumia pesa zaidi ya kipato chako
pili haupaswi kuacha kuweka akiba
tatu, hakikisha kwamba mara zote unawekeza na kuifanya fedha ikufanyie kazi hata kama umelala
Nne, hakikisha kwamba mara zote unaongeza kipato chako. Kipato chako cha mwaka jana kisiwe sawa na kipato cha mwaka huu. Mwaka huu hakikisha kwamba unapambana kuhakikisha kwamba unaongeza kipato chako zaidi.
Tano, hakikisha kwamba watu hawajui, kamwe ni lini huwa unaingiza fedha au ni lini hauna fedha. Maisha yako yawe yaleyale ukiwa na fedha, na hata ukiwa hauna fedha.
Maisha yako kila mara yawe yaleyale.
Hayo ndiyo mambo matano ambayo kamwe haupaswi kusahau linapokuja suala zima la pesa. Yazingatie, utanishukuru maisha yako. Hata hivyo ninavyohitimisha makala ya leo, ningependa tu kukwambia maneno ya Warren Buffet anayesema kwamba, usipoteze fedha zako na kamwe usisahau hiyo sheria hata siku moja.
SOMA ZAIDI:
- Nguvu ya fedha; Itumie Ikubebe
- Viashiria Vinne Vya Uhuru wa kweli. Kama hauna hivi vitu jua huna Uhuru..
- Uhuru wa kifedha ni nini?
- Hili Ni Jambo Litakalokupa Uhuru Maishani Mwako
- Kitu Kimoja Unachapaswa Kukiacha Sasa Ili Uweze Kufikia Uhuru Wa Kiuchumi
Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu. Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia.
Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.
SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea
Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.
Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.
Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa
Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com
Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga, +255 684 408 755
Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396
For Consultation only: +255 755 848 391 au godiusrweyongeza1@gmail.com