Category: MALENGO

  • Kama utashindwa kufanya vitu vyote ndani ya mwaka 2023, hakikisha kwamba haushindwi kufanyia kazi hiki kitu kimoja tu

    Rafiki yangu, sasa hivi ndio kwanza moto wa mwaka 2023 unakolezwa. Kama bado hujaanza kufanyia kazi malengo yako, kuna nafasi kubwa kuwa unaweza usije ukakamilisha haya malengo yako kama niliyoveleza kwenye makala ya jana. Siku ya leo ningependa kukwambia kuwa kama mwaka huu tutashindwa kufanyia kazi malengo yako na vitu vingine, basi hakikisha kwamba haushindwi…

  • Vitu Vitano Ambavyo Bosi/ Mwajiri Wako Hawezi Kukwambia

    siku ya leo nimeona nikueleze vitu vitano ambavyo bosi wako hawezi kukwambia. na vitu hivi hakuna mtu mwingine atakuja kukwambia isipokuwa mimi tu ndio nimeona inafaa nikwambie vitu hivi. sasa ni juu yako kuvifanyia kazi ili utengeneze maisha ya tofauti au la uendelee kama ulivyokuwa unafanya siku zote. 1.Bosi wako hawezi kukwambia fedha iliyoanzisha biashara…

  • Nguvu Tatu (03) Kubwa Zitakazokusaidia Kufanikisha Malengo Yako

      Rafiki yangu bila shaka siku ya leo imekuwa ni siku bora sana kwako. Leo hii ningependa nilete kwako nguvu tatu kubwa ambazo zitakusaidia wewe kuweza kutimiza malengo yako.   NGUVU YA KWANZA NI NGUVU YA KUANDIKA MALENGO YAKO Hii ni nguvu muhimu sana ambayo inakufanya uandike malengo yako na kuwa unayapitia kila mara. Nguvu…

  • Huu Ndio Mfumo Bora Utakaokuwezesha Wewe Kutimiza Malengo Yako. mfumo huu haujawahi kufeli hata kidogo

     HIVI IMEWAHI KUKUTOKEA, ukiwa kwenye chumba ambapo kuna  kelele nyingi za watu na unaongea na marafiki ila ghafla ukasikia sehemu mtu anataja jina lako. Yaani watu waliokuwa pembeni kidogo wanaonge mwanzoni na ulikuwa hujawasikia wanachoongea muda wote, ila zamu hii tu mtu kataja jina lako, basi masikio yako yameshanasa kila kitu. Hivi ni kitu gani…

  • Maeneo Matatu (03) Ya Kutembelea Unapokuwa Mtandaoni

    Usikose kutembelea maeneo haya matatu kila unapoingia mtandaoni kila siku. Ujue watu huwa wanaingia mtandaoni kwa kusukumwa na vitu mbalimbali. ila kwa jinsi ambavyo ninakufahamu wewe moja ya kitu ambacho kinakukfanya uingie mtandaoni ni kujifunza. si ndio? Kama ndio hivyo, basi hapa nina kuletea maeneo mawili muhimu ambayo hupaswi kukosa kutembelea kila siku unapoingia mtandaoni.…

  • Ifahamu Kanuni Ya Kaizen Kutoka Kwa Wajapani

    Japani ni miongoni mwa mataifa ambayo kiteknlojia limeendelea. Taifa hili kutoka mashariki kuna kipindi lilikuwa ni taifa la kawaida sana (masikini). Ila baadae uchumi wake ulianza kukua kwa kasi kiasi cha mataifa mengine kuogopa. Je, ni kitu gani kililifanya taifa la Japani kukua kwa kasi kiasi hicho? Ni kanuni moja inayojulikana kama kaizen. Kanuni ya…

  • Hatua Muhimu Katika Kuweka Malengo

    Kila  unapoamka kila siku asubuhi, siku yako unakuwa nayo masaa mengi sana yaani masaa 24, lakini hata siku moja, muda siku zote huwa unaonekana kama hautoshi hii ni kutokana na ukweli kwamba kazi zinakuwa zinaonekana ziko ningi sana. tena ukifanya kazi zako kufikia jiooni unajikuta kwamba umechoka sana lakini ukiingalia siku yako umefanya nini unaonekana…

  • Mafunzo Matatu Kutoka Kwa Viwavi

    Mwanasayansi wa kifaransa John Henry Fabre  alifanya jaribio kwa kutumia viwavi. Alichukua viwavi akaweka kwenye sahani, huku kiwavi mmoja akiwa amemgusa kiwavi mwingine. Viwavi hawa wakawa wametengeneza mzunguko kamili. Akachukua chakula pendwa cha viwavi na kukiweka katikati yao, ikiwa ni sentimeta chache sana kutoka pale walipokuwa. Wale viwavi walianza kuzunguka kwa kufuatana, kiwavi mmoja akimfuata…

  • TATIZO SI RASILIMALIZ ZILIZOPOTEA-66 tatizo hujajua mahali ulipo

    Sasa hivi tunapoelekea mwishoni mwa waka 2017 mchakato wa watu kuweka malengo umeanza. Bila shaka na wewe kwa sasa utakuwa unafikiri au upo katika mchakato wa kuweka malengo. Katika akili yako una mpango wa kwenda mbele sana. Lakini ebu tulia kidogo nikuulize swali moja ambalo ninaomba jibu lako sasa hivi. Uko wapi sasa hivi? Ndio…

  • Unafunga Sehemu Gani?

    Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu kwamba leo umekuwa na siku njema sana. Na hivyo unazidi kuweka juhudi kubwa sana kuhakikisha  kwamba unaweza kufikia mafanikio makubwa sana ya kimaisha. Bila shaka katika maisha yako umewahi kucheza mchezo wowote ule. Bila shaka katika…

  • Vitu Viwili Vinavyozuia Watu Kuweza Kufikia Malengo Yao

    Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya ya SONGA MBELE. Imni ysngu kwamba umeianza siku yako vyema sana na unaeanda kufanya mambo mkubwa sana siku hii ya leo. Leo hii tunaenda kuangalia vitu ambavyo vimezuia watu walio wengi kushindwa kufikia malengo yao mwaka huu. Mwanzoni  mwa kila mwaka watu…

X