Home


  • Namba Zetu Za Malipo

    Namba za malipo ya vitabu:

    Namba za lipa

    TIGO PESA: 19016638 Jina ni SONGAMBELE CONSULTANTS

    M-PESA: 5564517 jina ni GODIUS GORDIAN RWEYONGEZA

    Namba za kawaida

    AIRTEL MONEY: 0684408755
    TIGO PESA: 0655 848 392
    M-PESA: 0745 848 395

    Kote jina ni GODIUS RWEYONGEZA

    NB: Kama namba ya malipo anatumiwa mtu ambaye yuko nje ya nchi. Iandikwe Kwa kuanza na +255

    Kwa hiyo namba zinazotumwa nje ya nchi zitakuwa
    Airtel money: +255 684 408 755
    TIGO PESA: +255 655 848 392
    M-PESA: +255 745 848 395

    KOTE Jina ni GODIUS RWEYONGEZA

    Kama malipo yatakuwa yanafanyika kupitia benki.

    Yafanyie kupitia

    1. CRDB BANK: 0150770710200
    2. NMB BANK: 22110047274

    Kote jina ni GODIUS GORDIAN RWEYONGEZA

  • Wasiliana na Godius Rweyongeza Sasa

    Habari yafuatayo ni mawasiliano Unayoweza kutumia kumpata GODIUS RWEYONGEZA

    Simu: +255 (0) 684408755

    Whatsap: +255 (0) 755848391

    Email: songambele.smb@gmail.com

    Kupata vitabu vyake wasiliana Moja kwa Moja na +255 (0) 684408755 (more…)

  • Ninachokijua Mimi Kuhusu Vitabu Ni Hiki

    Minachojua Mimi, vitabu Huwa rafiki mzuri hasa wakati wa changamoto.
    Havikuachi hata kidogo, hata kama wengine watakuacha.

    Vibebe vikubebe

  • KITABU: YOU ARE NOT SICK, YOUR ARE THIRSTY: DON’T TREAT THIRST WITH MEDICATIONS MWANDISHI: DR F. BATMANGHELIDI

    KITABU: YOU ARE NOT SICK, YOUR ARE THIRSTY: DON’T TREAT THIRST WITH MEDICATIONS
    MWANDISHI: DR F. BATMANGHELIDI

    Je, unayajua magonjwa 10 yanayotibika kwa kunywa maji pekee?
    Suluhisho la kupanda kwa gharama za afya yako binafsi


    Utangulizi

    Maji huwa hutumika mwilini mwa kila binadamu kukidhi mifumo yote ya mwili.
    Ata mkuu wa kanisa katoliki duniani, baba mtakatifu (POPE) asilimia sitini ya mwili wake ni maji


    Kunapokuwa na maji ya kutosha mwilini, mtiliriko wake husababisha mgawanyo na usafirisaji wa homoni( hormones), kemikali za usafirisaji( chemical messengers) na vyakula kutoka upande moja hadi upande mwingine mwilini.


    Kwa kawaida za binadumu, huhisi kiu( failure of thirst sensation) tangu tunapokua na miaka michache ya uzima wetu( early adulthood) na huwa hupata ukosefu wa maji mwilini kadiri miaka inapozidi na kukauka sana kimwili bila kujua.


    Aidha, watu huwa na mchanganyiko wa kiu cha maji na kupenda kutumia vinywaji mbadala yake kama, chai, kahawa, na vinywaji vya pombe.
    Utafiti unaonyesha wazi kuwa, kinywani kilichokauwuka( dry mouth) ni dalili ya mwisho ya ukosefu wa mwaji mwilini( dehydration) na hasa hasa kwa wazee .


    Dalili zinazotokeza na kuziona kama ugonjwa kwa sababu ya ukosefu wa maji mwilini ni hizi zifautazo:


    1. Morning sickness in early pregnancy: wakinamama huwa wanapokuwa wazito, wanatapika kila mara hasa majiri ya asubuhi

    2. Heart burn: Kuungua katikati ya kifua kama pilipili

    3. Rheumatoid arthritis: maumivu kwenye viungo vya mikono na miguu na sehemu zingine

    4. Anginal pains: maumivu kifuani upande wa sehemu za moyo au upande wa kushoto

    5. Migraine headaches: maumivu kichani seheme za juu ya masikio

    6. Maumivu mgongoni

    7. Maumivu miguni unapotembea

    8. Maumivu tumboni

    9. Kutokuwa na faraha au uzuni kubwa moyoni ( depression)

    10. Allergies ? mizio ya mwili

    Huweza kutufatilia na kuyajua mengi kuhusu afya yako:

    Telephone: +256772367793/+256708470471

    Tovuti : WARUGABA MEDICAL CENTRE

    Barua pepe : amosbusingye05@gmail.com

    Eneo : https://g.co/kgs/gncGSxj

  • KITABU: Jinsi Ya Kuongeza Thamani Yako

    kITABU CHA JINSI YA K UONGEZA THAMANI YAKO
    Karibu upate kitabu hiki cha kipekee sana. Gharama yake ni 30,000 tu

    Jinsi ya Kuongeza Thamani Yako’, ni mwongozo kamili wa kuboresha maisha yako kwa kujenga ujuzi, kujiamini, na kufikia malengo yako kwa ufanisi zaidi. Ni chanzo cha mafunzo yanayotia moyo na yanayoweza kuleta mabadiliko makubwa maishani mwako. Je, ungependa kujipa fursa ya kufaidika na maarifa haya?”

    Pata nakala Kwa 25,000/- TU.
    Lipia Kwa 06844038755 tutakutumia nakala popote ulipo ndani na NJE ya nchi ya Tanzania

    Kumbuka namba ya malipo ni 0684408755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA

  • KITABU: Mwongozo wa Wapambanaji

    “Nina kitabu kizuri sana kinachoitwa ‘Mwongozo wa Wapambanaji’ ambacho naamini kitakusaidia sana kuboresha uelewa wako kuhusu mbinu za kupambana na changamoto mbalimbali maishani.

    Ni chanzo kizuri cha maarifa na ujuzi utakaokuwezesha kufanikiwa katika kila jambo unalolenga kufanya. Je, ungependa kukipata?”

    Tuwasiliane Kwa Kwa 0684408755 Sasa.

  • Ninahitaji Watu Watano, Nami Nitawasaidia Kuandika Na Kukamilisha Kitabu Ndani Ya Miezi Mitatu Mpaka Sita

    Ninahitaji Watu Watano, Nami Nitawasaidia Kuandika Na Kukamilisha Kitabu Ndani Ya Miezi Mitatu Mpaka Sita

    Rafiki yangu mpendwa habari ya leo.

    Kwa siku sasa nimekuwa nikiwasaidia watu mbalimbali kuandika vitabu vyao. Watu ambao tokea mwanzo walikuwa hawafikirii kama wanaweza kuandika vitabu vyao, nimewasaidia kuweza kuandika na kukamilisha vitabu vyao.

    Katika uandishi wa vitabu huwa nafanya watu katika ngazi kubwa tatu.

    Ngazi ya kwanza, nakupa mwongozo, unapambana unaandika mwenyewe kitabu.

    Ngazi ya pili, tunaandika kwa pamoja. Unaandika, unaleta kazi yako kwangu, naipitia, nakupa mrejesho wa kitalaam.  Kisha unaendelea kuboresha kazi, mpaka pale tunapokuwa tumeweza kupata kazi ambayo ni bora kabisa. Mwisho kazi inakuwa ya kwako.

    Na kwenye ngazi ya tatu, nimekuwa ni mimi kukuandikia kitabu chako moja kwa moja. Na hapa zaidi nimekuwa nawasaidia wale ambao wanaandika historia za maisha yao au wapendwa wao (autobiography)

    Wengi niliowasiaidia kuandika historia za maisha yao au wapendwa wao,  wao wa karibu wamefurahia sana hizi huduma.

    Kuna wengine wamekuwa wanapenda kupata hizi huduma, ila changamoto yao kubwa wamekuwa wakiniambia kuwa gharama ni kubwa.

    Sasa leo nina habari njema kwa ajili yako.

    Naam, nina habari njema mno.

    Ili unielewe vizuri iko hivi.

    Kwa wale ambao nimekuwa nawapa mwongozo na wanaandika wenyewe mwanzo mpaka mwisho, gharama yake imekuwa ni shilingi 50,000/-

    Kwa wale ambao wamekuwa wanashiriki program ya uandishi kwenye ngazi ya pili, yaani, kuandika pamoja nami, basi wamekuwa wanalipia kati 250, 000 mpaka milioni moja kulingana na aina ya kitabu husika.

    Na kwa waleo ambao nimekuwa nawaandikia, wamekuwa wanalipia milioni tano (5,000,000)! Ambapo nimekuwa nawaandikia kitabu mwanzo mpaka mwisho.

    Sasa leo nina habari njema kwa ajili yako wewe.

    Kama ungependa kuandika kitabu chako, USHINDWE WEWE MWENYEWE TU! Ndio, ushindwe mwenyewe.

    Kumbuka hizi gharama utakazoona hapa ni kwa ofay a watu watano tu. Gharama zitakuwa hivi. SOMA VIZURI MAELEKEZO NA UCHUKUE HATUA SAHIHI.

    Kama utataka nikupe mwongozo na uandike wenyewe mwanzo mpaka mwisho, gharama yake itakuwa 30,000/-

    Kama utashiriki kwenye hii program ya uandishi kwenye ngazi ya pili, yaani, kuandika pamoja nami, basi Utalipia shilingi 150,000/- na utaruhusiwa kulipia 50,000/- kila mwezi kwa kipindi cha miezi mitatu ambacho tutakuwa tunafanya kazi pamoja. Kama kazi itazidi miezi mitatu, utaendelea kulipia 50,000 kila mwezi mpaka tutakapomaliza.

    Kama utataka nikuandikie kitabu mwenyewe, utalipia milioni moja na nusu. Utalipia kiwango cha 250,000 kila mwezi kwa kipindi cha miezi sita.

    Kwa nafasi za kuandikiwa kabisa sasa hivi nina nafasi mbili tu KWA SASA. Maana siwezi kwenda na watu wengi kwa wakati mmoja.

    Kama utachangamka sasa. Tutaanza kazi.

    NB: hii haitahusisha gharama za usafiri na malazi pale nitakapohitajika kusafiri na kufika eneo walipo wahusika ambao nitafanya nao mahojiano.

    Kama upo tayari, nicheki, sasa tufanye jambo.

    Tumia namba ya simu 0755848391 au wasiliana na msaidizi wangu kwa 0655 848 392

    Email: songambele.smb@gmail.com

    SOMA ZAIDI: KAMA UNAFIKIRI KILA KITU KILISHAANDIKWA, FIKIRI TENA (SABABU 18 Kwa Nini Tunaandika Vitabu na Tutaendelea Kuandika Vitabu, Na Kwa Nini Wewe Unapaswa Kuandika Cha Kwako)

  • Hii Ndiyo Njia Ya Uhakika Ya Kuwanyamazisha Watu

    Njia nyingine ya kuwanyamazisha watu wanaokukatisha tamaa ni wewe kufanyia kazi kile unachotaka kufanyia kazi bila ya kuacha, haurudi nyuma na walahukwamishwi na kitu chochote.

    •  

  • Kazi ni nini?

    Rafiki yangu mpendwa salaam. Hongera sana kwa kazi na kwa mapambano makubwa ambayo unaendelea kuyafanya.

    Unastahili pongezi kubwa sana na hasa katika kipindi hiki ambacho watu wengi wanapenda sana fedha bila ya kupenda kufanya kazi na kujituma kwenye kazi zao.

    Lakini sote tunajua wazi kuwa kazi ndiyo kipimo cha utu.

    Kazi zinatupa utambulisho,

    Kazi ndiyo njia ya uhakika ya kupata chochote unachotaka.

     

    Juzi, tulisherehekea sikukuu ya wafanyakazi. Ni sikukuuu ambayo siyo tu inamhusu mwajiriwa, lakini pia inakuhusu wewe mpambanaji ambaye unajishughulisha na kupambana kila siku kuhakikisha kwamba unazalisha kazi ambazo ni bora sana.

     

    Mambo muhimu kuhusu kazi ambayo ningependa ufahamu kuhusu siku ya leo ni kwamba

    1. Sasa ni wakati wa kupambana ili kuhakikisha unafanya kazi ambazo ni bora. Unajituma kwenye kazi na kuhakikisha unazalisha matokeo ambayo ni bora zaidi.
    2. Usikubali watu wakuzidi kwenye kazi, wanaweza kukuzidi kwenye hali ya uchumi walio nao sasa hivi, wanaweza kukuzidi kwenye kipaji walichonacho, wanaweza kukuzidi kwenye konekisheni walizonazo, ila hakuna mtu hata mmoja anayepaswa kukuzidi kwenye kuchapa kazi. wakati vitu hivyo vingine vipo nje ya uwezo wako, ila kuchapa kazi ni kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako, fanya kazi kwa bidii hata kama huoni matokeo makubwa leo hii, ukweli ni kuwa hakuna juhudi yako hata moja ambayo inapotea bure. Kuna siku utaona matunda ya juhudi zako kubwa ambazo unaweka kila siku.
    3. Usiruhusu kazi yoyote ambayo utafanya itoke mikononi mwako ikiwa haijakamilika. Mara zote hakikisha kwamba kazi yoyote unayofanya, inatoka mikononi mwako ikiwa imenyooka.

    Ulimwengu wa leo umebadilika sana

    Una vijana wengi wanaoshinda wakiangalia video na vibonzo mbalimbali ambavyo watu wameweka mtandaoni, ila wanachosahau ni kuwa wao wanageuka kuwa walaji, badala ya kugeuka kuwa wazalishaji (wachapakazi). 

    Mtandao wa intaneti rafiki yangu utumie kuzalisha (kufanya kazi) badala ya kuutumia tu kumeza kila kitu kinachowekwa huku.

    Kwa kazi yako yoyote ile ambayo unaifanya, unaweza kuiweka mtandaoni na kufanya vizuri.

    Hivyo, hakikisha unakuwa na akaunti kwenye hii mitandao ya kijamii. Lakini pia hakikisha kwamba unakuwa na blogu au tovuti.

    Na kazi yoyote ile ambayo utaweka mikono yako basi hakikisha pia umeiweka kwenye hii mitandao ya kijamii.

    Kila la kheri.

  • Nawezaje Kujua Thamani Ya Saa Langu Moja

    kITABU CHA JINSI YA K UONGEZA THAMANI YAKO
    Karibu upate kitabu hiki cha kipekee sana. Gharama yake ni 30,000 tu

    Kujua thamani ya saa moja kunategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na mahali unapoishi, kazi unayofanya, ujuzi wako, na kadhalika. Hapa kuna njia kadhaa za kufikiria kuhusu thamani ya saa yako moja:

    1. Mshahara wako: Ikiwa unalipwa kwa saa, thamani ya saa moja inaweza kuwa mshahara wako kwa kazi hiyo.

    2. Uzalishaji: Ikiwa wewe ni mfanyabiashara au unajiajiri, unaweza kuangalia faida unayoweza kufanya kwa saa moja ya kazi yako.

    3. Muda wa Kujifunza: Ikiwa unajitolea kufanya kazi za kujifunza au kujiendeleza, unaweza kuhesabu thamani ya muda wako kulingana na jinsi unavyoamua kutumia muda huo kuboresha ujuzi wako.

    4. Ubora wa Maisha: Unaweza pia kuzingatia thamani ya saa yako kulingana na jinsi unavyotumia muda huo kufurahia maisha au kuwa na wapendwa wako.

    Kwa kifupi, thamani ya saa yako inategemea jinsi unavyoamua kutumia muda huo na jinsi unavyouona katika maisha yako.

    Kitabu unachoona hapo juu, kitakueleza kila kitu unachohitaji kujua kuhusu thamani ya saa lako moja. Naam, thamani ya muda wako. Kupata nakala ya kitabu chako, wasiliana na 0684408755. Kitabu ni 30,000/-

    Ukilipia 30,000/- utapata kitabu hiki kwa nakala ngumu, nakala laini na nakala ya sauti. lipia sasa kwa 0684408755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA

  • Kosa kubwa unalofanya kwenye fedha na uwekezaji

    Pata hiki kitabu kwa 20,000 hardcopy na 10,000 softcopy

    Na kosa hili ni wewe kuweka fedha yako sehemu moja tu.

    Hili ni kosa kubwa sana kwa sababu ukiwekeza fedha yako sehemu moja na sehemu hiyo ikipata shida, utakuwa umepata shida pia.

    Kwa hiyo, badala ya wewe kuweka fedha zako sehemu moja unapaswa kuwa na maeneo kadha wa kadha ya kuweka fedha zako.

    na hivyo kuugawa utajiri wako kwa usawa. Kwa leo tunaenda kutumia kanuni ya 25/4 Kulingana na kanuni hii ni kwamba asilimia 25 ya fedha zako zinapaswa kuwa keshi.

    Asilimia 25 ya pili ya fedha zako inapaswa kuwa maeneo ambapo ukikimbilia unaweza kuipata haraka kama benki, kwenye fixed deposit au kwenye uwekezaji wa vipande ambapo zinaweza kupatikana kwa haraka.

    Asilimia 25 ya tatu inapaswa kuwa kwenye uwekezaji wa hisa Asilimia 25 ya mwisho kwenye mali zisizohamishika kama mashamba na nyumba.

  • Kwa Nini Watu Huwa hawatengenezi MSHAHARA NJE YA MSHAHARA wao wa kawaida

    Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya watu wasitengeneze mapato nje ya mshahara wao wa kawaida:

    1. Ukosefu wa Elimu ya Kifedha: Watu wengi hawajapata elimu ya kutosha kuhusu uwekezaji, biashara, au njia nyingine za kutengeneza mapato nje ya mshahara. Hivyo, wanaweza kukosa ujasiri au maarifa ya kutosha kuanza safari ya kutafuta mapato mbadala.

    2. Hofu ya Kufeli: Hofu ya kushindwa au kupata hasara inaweza kuwazuia watu kujaribu njia mpya za kutengeneza mapato. Wanaweza kuogopa kuchukua hatari au kuwa na imani duni kuhusu uwezo wao wa kufanikiwa katika ujasiriamali au uwekezaji.

    3. Muda na Rasilimali Zilizopo: Baadhi ya watu wanaweza kuona kwamba hawana muda au rasilimali za kutosha kujihusisha na shughuli za ziada za kifedha. Wanaweza kuona kwamba wanashughulika na majukumu mengi au hawana mtaji wa kutosha kuanza biashara au uwekezaji.

    4. Kuendelea na Mfumo wa Kujulikana: Baadhi ya watu wanaweza kufurahia au kujisikia salama zaidi katika mfumo wa kazi ya mshahara, ambapo wanajua wanapokea kiasi fulani cha pesa kila mwezi bila kuhatarisha au kujihusisha na mambo ya kifedha ambayo wanaweza wasielewe vizuri.

    5. Kutokuwa na Hamasa au Malengo Wazi: Watu wengine wanaweza kukosa hamasa au kuwa na malengo ya kifedha ya muda mrefu. Wanaweza kuona kwamba kazi yao ya kawaida inawatosha na hawana sababu ya kutafuta mapato nje ya mshahara. Kwa kuzingatia sababu hizi, ni muhimu kwa watu kujitahidi kupata elimu ya kifedha, kujenga ujasiri, na kuweka malengo ili kuanza safari ya kutengeneza mapato nje ya mshahara wao wa kawaida.

    Hii inaweza kuleta uhuru wa kifedha na fursa za maisha bora zaidi. Ndiyo maana ninekuandalia mwongozo Kamili utakaokusaidia wewe kuanza kutengeneza MSHAHARA wako NJE YA MSHAHARA wako wa Sasa Kupata nakala ya kitabu hiki Cha JINSI YA KUTENGENEZA MSHAHARA NJE YA MSHAHARA ni rahisi.

    Wasiliana na +255 684 408 755 Sasa Ili Upate nakala Yako. Kumbuka muda ni sasa

X