Home


  • Namba Zetu Za Malipo

    Namba za malipo ya vitabu:

    Namba za lipa

    TIGO PESA: 19016638 Jina ni SONGAMBELE CONSULTANTS

    M-PESA: 5564517 jina ni GODIUS GORDIAN RWEYONGEZA

    Namba za kawaida

    AIRTEL MONEY: 0684408755
    TIGO PESA: 0655 848 392
    M-PESA: 0745 848 395

    Kote jina ni GODIUS RWEYONGEZA

    NB: Kama namba ya malipo anatumiwa mtu ambaye yuko nje ya nchi. Iandikwe Kwa kuanza na +255

    Kwa hiyo namba zinazotumwa nje ya nchi zitakuwa
    Airtel money: +255 684 408 755
    TIGO PESA: +255 655 848 392
    M-PESA: +255 745 848 395

    KOTE Jina ni GODIUS RWEYONGEZA

    Kama malipo yatakuwa yanafanyika kupitia benki.

    Yafanyie kupitia

    1. CRDB BANK: 0150770710200
    2. NMB BANK: 22110047274

    Kote jina ni GODIUS GORDIAN RWEYONGEZA

  • Wasiliana na Godius Rweyongeza Sasa

    Habari yafuatayo ni mawasiliano Unayoweza kutumia kumpata GODIUS RWEYONGEZA

    Simu: +255 (0) 684408755

    Whatsap: +255 (0) 755848391

    Email: songambele.smb@gmail.com

    Kupata vitabu vyake wasiliana Moja kwa Moja na +255 (0) 684408755 (more…)

  • Andrew Carnegie: BILIONEA WA NYAKATI ZAKE  

    Utangulizi


    Andrew Carnegie alikuwa mmoja wa wajasiriamali maarufu wa karne ya 19 na mwanzilishi wa sekta ya chuma nchini Marekani. Safari yake kutoka kwa kijana maskini wa Scottish hadi kuwa tajiri mkubwa na mfadhili wa hisani imekuwa ikitoa msukumo kwa vizazi vya wajasiriamali na wafadhili wa hisani. Ebook hii itachunguza kwa undani maisha ya Andrew Carnegie, hatua kwa hatua, na jinsi alivyojenga himaya yake na kutoa urithi wake wa kudumu.

     Sura ya 1: Maisha ya Awali
     1.1 Kuzaliwa na Utoto

    Andrew Carnegie alizaliwa Novemba 25, 1835, katika kijiji cha Dunfermline, Scotland. Alikuwa mtoto wa William Carnegie, mfanyakazi wa nguo, na Margaret Morrison Carnegie, ambaye alifanya kazi za nyumbani. Familia yake ilikuwa maskini, na walikabiliana na changamoto nyingi za kiuchumi.

  • Thomas Edison: Mvumbuzi Mkubwa wa Karne ya 19 na Athari Zake Kwa Ulimwengu wa Kisasa

     Kuhusu Thomas Edison

    Thomas Alva Edison alikuwa mvumbuzi na mfanyabiashara maarufu kutoka Marekani ambaye alifanya uvumbuzi muhimu uliobadilisha ulimwengu wa teknolojia. Edison alizaliwa tarehe 11 Februari 1847, huko Milan, Ohio, na alikufa tarehe 18 Oktoba 1931. Alichangia katika maendeleo ya nishati ya umeme, mawasiliano, na tasnia ya filamu. Edison anajulikana kwa uvumbuzi wake wa taa ya umeme, phonograph, na kinetoscope, miongoni mwa mengine mengi. Kazi zake zilitambuliwa kwa zaidi ya hati miliki 1,000 alizopata, na alianzisha kampuni ya General Electric ambayo bado inaongoza katika sekta ya teknolojia.

     Sababu za Kuandika Kitabu Hiki

    Kitabu hiki kimeandikwa ili kutoa mwanga wa kina kuhusu maisha na kazi za Thomas Edison. Ingawa wengi wanamjua Edison kama mvumbuzi maarufu, si wengi wanaofahamu undani wa maisha yake, mbinu zake za kazi, na falsafa zake za uongozi. Kitabu hiki kitawapa wasomaji ufahamu wa kina kuhusu safari yake ya mafanikio, changamoto alizokabiliana nazo, na jinsi alivyobadilisha ulimwengu kupitia uvumbuzi wake.

    Kupata ebook hii kamili, utalipia shilingi elfu nne tu (4,000/- tu.

    Lipia kupitia namba ya simu airtel money +255 684 408 755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA

  • RAY KROC: Mwamba Aliyeijenga Kampuni Ya MacDonalds kama ilivyo leo hii. Mambo ya kujifunza kutoka kwake, Na Hatua Za Kuchukua

    RAY KROC: Mwamba Aliyeijenga Kampuni Ya MacDonalds kama ilivyo leo hii. Mambo ya kujifunza kutoka kwake, Na Hatua Za Kuchukua

    Sehemu ya 1: Maisha ya Awali ya Ray Kroc

    Siku kadhaa zilizopita nilikuwa mtandaoni, kuna mtu ambaye huwa napenda kujifunza kutoka kwake hasa kuhusiana na masuala ya kibiashara. Siku hiyo huyu jamaa alikuwa ameandaa video inayoongelea movie ambazo kila mfanyabiashara anapaswa kuangalia.

    Kwa kawaida mimi siyo mpenzi wa tamthiliya hata kidogo. Ila kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi ya kutoangalia tamthiliya, nilikuta nikitaka kuangalia movie moja ambayo huyu jamaa alieleza. Movie hii ilikuwa ni The Founder ambayo inamzungumzia jamaa anayeitwa Ray Kroc.

    Sikujutia muda wangu kuangalia movie hii.

    Baadaye nimekuja kusoma vitabu vyake na hapa ni mambo muhimu sana ambayo unapaswa kufahamu kuhusu huyu mwamba.

    Kuzaliwa na kukua kwake

    Ray Kroc alizaliwa mnamo Oktoba 5, 1902, huko Oak Park, Illinois, Marekani. Alikuwa mtoto wa Leila Ethel na Louis Kroc. Familia yake ilikuwa na asili ya Kipolishi na Czech na ilikuwa katika hali ya uchumi wa kati. Baada ya kuzaliwa kwake, familia yake ilihamia Milwaukee, Wisconsin, ambapo alikulia.

    Utoto wake uligubikwa na hali ya kawaida ya familia za tabaka la kati katika karne ya 20 Marekani, huku akijifunza thamani za kazi ngumu na nidhamu ya kifedha kutoka kwa wazazi wake.

    Kroc alipata malezi ya Kikatoliki na alisoma shule ya umma. Ingawa hakuwa mwanafunzi mzuri sana kitaaluma, alikuwa na bidii na shauku kubwa ya kujifunza. Malezi yake ya awali yalimwimarisha kimaadili na kumfundisha thamani ya kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo yake. Utoto wake ulijaa uzoefu wa kawaida wa kuishi katika Marekani ya kati ya karne ya 20, ambayo ilimwundia msingi thabiti wa maadili na maono ya maisha yake ya baadaye.

       – Maisha yake ya shule na uzoefu wa elimu

    Maisha ya shule ya Ray Kroc yalikuwa na changamoto na mafanikio yake ya kipekee. Ingawa hakufurahia sana masomo ya shule ya umma, alikuwa na shauku kubwa ya kujifunza na kuonyesha vipaji katika shughuli za nje ya darasa.

    Kroc hakuwa mwanafunzi wa juu sana kitaaluma. Aliacha shule kabla ya kuhitimu, akichukua fursa ya kuingia katika ulimwengu wa kazi haraka. Hata hivyo, uzoefu wake wa shule ulimpa ustadi wa maisha ambao ungekuja kuwa muhimu sana katika kujenga na kuendesha biashara yake baadaye.

    Licha ya kutokuwa mwanafunzi bora darasani, Kroc alionyesha uwezo mkubwa katika kujifunza mambo ya vitendo na uwezo wa kufanya maamuzi ya haraka na busara. Uzoefu wake wa shule ulimfundisha thamani ya uvumilivu na kujitolea katika kufuatilia malengo yake, na pia kuonyesha umuhimu wa kuwa na mtazamo wa mbali na uvumbuzi katika kushughulikia changamoto za maisha.

    Sasa pata ebook yenye historia kamili ya huyu mwamba Ray Kroc, kupata ebook hii ni rahisi sana, tuwasiliane kwa namba ya simu 0684 408 755

    Gharama yake ni shilingi elfu nne tu kwa kila ebook

  • Kosa Kubwa Wanalofanya Watu Kuhusu Kuweka Akiba

    Salaam, tunapoongelea kuhusu kuweka akiba naona kuna kosa kubwa ambalo watu huwa wanafanya.

    Wengi wanafikiri kwamba akiba wanayoweka leo hii inapaswa kuja kutumika baadaye kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Hili ni kosa kubwa sana.

    Akiba siyo kwa ajili ya matumizi. Naomba uambatane nami sasa mwanzo mpaka mwisho ili nikueleweshe akiba ni kwa ajili ya nini.

    Akiba ni mbegu

    ili tuweze kuelewana vizuri kwenye hili, tuanze kuiona akiba kama mbegu, ambayo unaipanda leo hii siyo kwa ajili ya manufaa ya leo tu, bali hata kwa manufaa ya siku zijazo.

    Mbegu wewe unaipanda leo hii, baada ya miaka kadhaa itaanza kutoa matunda. hayo matunda yenyewe yatakuwa na uwezo wa kutoa mbegu, ambazo zikipandwa zitatoa miti mingine zaidi ambayo itatupa matunda.

    Ukweli ni kwamba unapokula mbegu moja leo hii, unakuwa umekula matunda mengi ya siku zijazo.

    Mbegu tunaweza kuziweka kwenye vizazi.

    Kuna kizazi cha kwanza cha mbegu.

    Unapokweka akiba ni kizazi cha kwanza cha mbegu.

    lakini ukila akiba hiyo kabla haijakuzalishia, maana yake unakuwa umekula kizazi cha kwanza hata kabla hakijazaa matunda yoyote.

    Unachotakiwa kufanya wewe ni kuhakikisha kwamba hauli kamwe kizazi chako cha kwanza cha mbegu. ile mbegu unapaswa kuipanda ili baadaye ije ikuzalishie zaidi na zaidi. Wewe utaanza kula kizazi cha tatu cha mbegu, huku kila kizazi kikiendelea kuleta matunda zaidi.

    nimeona niliongelee hili kwa sababu inaonekana watu wengi hawajui sababu ya kuweka akiba, nimekuwa nikiongea na watu wengi kuhusiana na suala zima la kuweka akiba.

    Unakuta baada ya kuwa umeongea nao kwa kina kuhusiana na suala zima la kuweka akiba, mwisho wa siku, wanakuja kusema kwamba,

    Nikikosa pesa ya kula , naitumia ya akiba. Inanisaidia kwa sababu hata hivyo hiyo ndiyo kazi yake.

    Siyo hivyo, unapofanya hivyo, maana yake unakuwa umekula mbegu kabla mbegu hizo hujapata nafasi ya kuzipanda ili zikuzalishie zaidi.

    Kama wewe ni mkulima mzuri, utakuwa unafahamu kuwa mkulima makini, analazimika hata kulala njaa akiwa na mbegu yake ndani. Anajua wazi kuwa siku akila mbegu, maana yake mwakani hatakuwa na kitu cha kupanda, hivyo suluhisho ni kuhakikisha kwamba anatafuta njia mbadala ya kupata chakula, lakini mbegu inaendelea kuwa mbegu.

    Hii ni akili ya kikulima ambayo mimi na wewe tunahitaji kuitumia kwenye maisha yetu ya kila siku. kwa hiyo usitumie akiba yako kama hela ya kula.

    Chukulia akiba unayoweka kama fedha mbayo umeiweka sehemu na hutakaa uipate tena

    kILA MARA MIMI NA WEWE TUNAFANYA MANUNUZI MENGI. Kuna wakati ambapo unalipia usafiri.

    wakati mwingine unalipia nguo.

    na wakati mwingine unalipia chakula.

    Huwezi kwa mfano kuwa umelipia chakula, halafu ukarudi nyumbani ukakuta umeme umekatika, ukarudi kwa bodaboda na kumwambia akurudishie hela yako kwa sababu nyumbani hakuna umeme. Hiyo hela ukishampa bodaboda, hiyo hele ukishamlipa mtu wa chakula ndiyo inakuwa imeenda, haina kurudi nyuma hiyo. Hata kama ukikutana na dharula kubwa kiasi gani.

    Hivyo hivyo, akiba yako ifanye hivyo mara zote. ICHUKULIE KAMA HELA AMBAYO UMEITUMIA KWA MATUMIZI AMBAYO HAYATAWEZA KUIREJESHA.

    Unajiuliza sasa ikitokea dharula?

    Kabla sijakujibu kwa undani kuhusiana na hili ningependa tufahamu hizi dharula unazoongelea hapa ni dharula gani? Lazima dharula ziwe zinafahamika kuwa ni zipi ni dharula na zipi siyo dharula. Usipokuwa na mpangilio mzuri kama huu, mwisho wa siku utajikuta kwamba kila kinachokuja kwenye maisha yako kinakuwa dhrula na mwisho wa siku utajikuta kwamba unaitoa na kuitumia akiba yako kila mara. HIKI KITU kitakukwamsiha kwa sababu kila mara utakuwa unapiga hatu amoja mbele na kisha unarudi nyuma

    Kwa vile umeshaamua kusongambele na kuweka akiba bila ya kurudi nyuma, unapaswa kuhakikisha kwamba haurudi nyuma hata kidogo, badala yake unapaswa kuendele akuapmabana kila wakati ili usirudi nyuma

    Ikitokea umekutana na dharula, jiulize nitatumia mbinu gani kupata pesa?

    Ukiweka akiba chukulia kama hiyo pesa ya akiba haipo kabisa. Ni wazi kuwa ukiwa hauna hiyo hela, kwa vyovyote vile, ukiishiwa na pesa utakuwa hauna sehemu ya kutoa pesa ya kutumia . Hivyo utafikirisha kichwa na kuona ni wapi ambapo unaweza kupata fedha zaidi ambazo utatumia. NA WEWE SASA UNAPASWA KUFIKIRISHA AKILI YAKO BILA YA KURUDI NYUMA.

    Sasa akiba ITUMIKE KUFANYA NINI? Kama ambavyo tumeshaongelea mwanzoni, akiba iwekezwe ili ije ikupe matunda mengi zaidi hapo baadaye. Akiba ipandwe.

    Nashauri ujipatie nakala ya kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE, pamoja na kitabu cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA Hivi ni vitabu ambavyo ni muhimu sana uweze kuvipata.

    Wasiliana nami kwa +255 684 408 755 Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu.

    Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe.

    Utalipia kiasi kidogo tu.

    Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao. SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA.

    Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea. Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.

    Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania. Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA.

    Chagua unachopenda, kisha twanga, +255 684 408 755 Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396 For Consultation only: +255 755 848 391 au godiusrweyongeza1@gmail.com

    NAJIULIZA TU: Umeshasoma kitabu cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA?  Kama bado basi hakikisha unapata nakala ya hiki kitabu sasa.

    Na kukipata ni rahisi sana, lipia 30,000/ sasa. Fanya malipo kwenda namba ya simu 0684 408 755. Utatumiw akitabu hiki katika mfumo wa nakala ngumu, nakala laini na nakala ya sauti vyote kwa pamoja.

  • Nguvu ya mtandao wa INTANETI, na siri muhimu ambazo bado hujazifahamu

    Mtandao wa intaneti ni sehemu muhimu sana ya ambapo watu wengi wanatembelea. Kila siku kuna watu wanatembelea huu mtandao kwa ajili ya masuala mbalimbali, na hasa kikubwa ikiwa ni kujipatia maarifa. Watu wanaingia kwenye hii mtandao ya kijamii wakiwa na maswali na sehemu ya haya maswali majibu yake unayo wewe.

    Mfano mtu anaingia mtandao akiwa na swali la namna gani anaweza kufuga kuku kwa mafanikio makubwa.

    Mwingine anaingia mtandao akiwa anajiuliza ni kwa namna gani anaweza kuongeza idadi ya wateja kwenye biashara yake.

    Mwingine anaingia mtandaoni akiwa anajiuliza ni kwa namna gani anaweza kuwa msusi bora kuwahi kutokea

    Na maswali mengine mengi sana.

    Sehemu ya haya maswali majibu yake tayari unayo.

    Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha  kwamba, unaweka majibu ya haya maswali mengi.

    Na unaweza kutoa haya majibu kupitia mtandao.

    Hili linawezekana vizuri sana kupiia.

    1. wewe kuwa na blogu kama hii ambayo unaweza kuwa unawashirikisha watu taarifa na maarifa mbalimbali.
    2. Kuhakikisha kwamba unakuwa na kurasa kwenye mitandao ya kijamii na unaisimamia vyema.
    3. Kuhakikisha kwamba unakuwa na mfumo wa kupokea mawasilino ya watu. Email list na kunawatumia watu jumbe huko

    Hizo ni njia ambazo unaweza kuanza nazo sasa hivi.

    Je, ni njia ipi ambayo unaenda kuanza kutumia sasa hivi ili ikuweke kwenye mtandao?

    Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu.

    Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia kiasi kidogo tu.

    Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.

    SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea.

    Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.

    Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.

    Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa

    Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com

    Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga,  +255 684 408 755

    Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396

    For Consultation only: +255 755 848 391  au godiusrweyongeza1@gmail.com

  • Thamani ya muda

     

    Muda ni kitu chenye thamani kubwa sana hapa dunini. Ni watu wachache sana ambao wanajua thamani ya muda na hivyo ni wachache pia ambao wanapata kuutumia vizuri muda wao.

    Leo nianze kwa kukambia kwamba kitu chochote kile unachotaka kufanikisha hapa duniani utakifanikisha ndani ya muda huu huu ulionao.

    Hivyo, kitu kikubwa sana ambacho wew eunahitaji ni kuutumia vyema muda wako. 

    Badala tu ya kuutumia hovyohovyo muda wako, unapaswa kuutumia vyema muda wako kwa sababu huu muda unaweza kukusaidia wewe kupata chochote kile unachotaka kwenye hii dunia.

    Kwa kutumia muda huuhuu ulio nao kila siku, unaweza kazi zako zote ulizonazo.

    Kwa kutumia muda huuhuu unaweza kufanyia kazi malengo yako bila ya kurudi nyuma.

    Mbali na thamani ya muda hiyo yote ambayo tumeona, lakini utamkuta mtu anakwambia kwamba nipo hapa napoteza muda tu.

    Utakuta mtu anakaribisha watu wanakuja kwake kupiga tu stori, muda ambao alipaswa kuwa anafanya kazi.

    Rafiki yangu, muda wako ni mali. Utumie vyema muda wako na kamwe usikubali kwa namna yoyote ile kupoteza muda wako wa thamani. Muda wako ni mali na utumie vyema. Namna bora ya kutumia muda wako ni kuuwekeza.

    Kama ulikuwa bado hujaweza kujipatia nakala ya kitabu cha JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO, muda wako wa kupata nakala ya kitabu hiki ni sasa. Kimeeleza kwa undani THAMANI YA MUDA na mpaka kinakuonesha namna unavyoweza kufahamu thamani ya saa lako moja.

    Hii ni hatua muhimu sana kwako wewe unayependa kupiga hatua kubwa kwenye maisha yako ya kila siku. Kinapatikana kwa 30,000/- tu. Utakipata katika mifumo mitatu, nakala ngumu,nakala laini, na nakala ya sauti. Vvyote hivi utavipata kwa 30,000/- tu

    Lipia sasa kwa namba ya simu 0684408755 ili uweze kupata nakala ya kitabu chako leo. Kila la kheri.

    SOMA ZAIDI: Huku Ndipo Unapaswa Kuwekeza Asilimia Kubwa Ya Muda Wako

    Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu.

    Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia kiasi kidogo tu.

    Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.

    SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea.

    Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.

    Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.

    Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa

    Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com

    Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga,  +255 684 408 755

    Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396

    For Consultation only: +255 755 848 391  au godiusrweyongeza1@gmail.com

  • Biashara Ni Zaidi Ya Mtaji

    Kuna mambo 55 ya kuzingatia kabla ya kuanzisha biashara, mambo haya yote yameelezwa kwenye hiki kitabu. Kupata nakala yako, wasiliana na +255 684 408 755
    Hakikisha unajipatia nakala ya kitabu hiki. Tumia namba ya simu +255 684 408 755

    Biashara ni zaidi ya mtaji

    Vijana Wengi wamekuwa wanafikiri kuwa Ili kuanzisha biashara na kukuza biashara mtaji ndiyo kitu pekee kinachohitakika, kitu hiki kimepelekea vijana Wengi wanaoanzisha biashara  baadaye kufeli na biashara zao Kwa sababu TU ya kukosa ujuzi Muhimu sana hasa kwenye eneo la biashara.

    Ukweli ni kuwa biashara ni zaidi ya mtaji, unahitaji zaidi ya mtaji kuanzisha biashara yako.

     Hapa kuna vitu 21 muhimu unavyohitaji ili kufanikisha biashara yako:

     

    1. Wazo la Biashara: Lazima uwe na wazo bora na la kipekee ambalo litatatua tatizo au kukidhi hitaji la soko.

     

    2. Mpango wa Biashara: Hati inayojumuisha maelezo ya kina kuhusu biashara yako, malengo, mikakati, na jinsi ya kufikia malengo hayo.

     

    3. Utafiti wa Soko: Kujua wateja wako ni nani, mahitaji yao ni yapi, na jinsi ya kuwafikia kwa ufanisi.

     

    4. Maarifa ya Biashara: Ujuzi wa msingi wa uendeshaji wa biashara kama vile usimamizi wa fedha, uhasibu, na uuzaji.

    5. Ujuzi wa Kusimamia Fedha: Uwezo wa kupanga, kufuatilia, na kudhibiti matumizi ya fedha za biashara yako.

    6. Mtandao wa Mawasiliano: Mahusiano na watu wenye ushawishi na wenzi wa kibiashara wanaoweza kusaidia kukuza biashara yako.

    7. Mbinu za Masoko: Mikakati ya kuvutia na kuhifadhi wateja, kama vile matumizi ya mitandao ya kijamii, matangazo, na promosheni.

    8. Ubunifu na Uboreshaji: Uwezo wa kuja na mawazo mapya na kuboresha bidhaa au huduma zako ili kukidhi mabadiliko ya soko.

    9. Uelewa wa Kisheria: Kujua sheria na kanuni zinazohusu biashara yako, ikiwa ni pamoja na leseni na vibali muhimu.

     

    10. Huduma kwa Wateja: Kuweza kutoa huduma bora kwa wateja ili kujenga uaminifu na kurudia biashara.

     

    11. Ubora wa Bidhaa/Huduma: Kuhakikisha bidhaa au huduma zako zina ubora wa juu na zinakidhi matarajio ya wateja.

     

    12. Teknolojia: Matumizi ya teknolojia katika uendeshaji wa biashara, kama vile mifumo ya malipo, uhasibu, na usimamizi wa wateja.

    13. Timu Imara: Kuwa na wafanyakazi wenye ujuzi na kujituma ambao wanashiriki maono yako ya biashara.

    14. Uwezo wa Kusimamia Muda: Kujua jinsi ya kugawa muda wako kwa shughuli muhimu za biashara.

    15. Motisha na Uvumilivu: Kuwa na ari na uvumilivu wa kuendeleza biashara yako hata wakati mambo yanapokuwa magumu.

    16. Nidhamu ya Kibinafsi: Uwezo wa kujipanga na kujisimamia binafsi ili kufikia malengo ya biashara.

    17. Mtaji wa Binadamu: Uwekezaji katika wafanyakazi wako kwa kutoa mafunzo na maendeleo ya kitaaluma.

    18. Mikakati ya Kukuza Biashara: Njia za kupanua biashara yako kama vile ufunguzi wa matawi mapya au kuongeza laini za bidhaa. 19. Mitandao ya Kijamii: Kutumia mitandao ya kijamii kwa ufanisi kama chombo cha masoko na mawasiliano na wateja.

    20. Usimamizi wa Hatari: Kuwa na mikakati ya kukabiliana na changamoto na hatari zinazoweza kujitokeza katika biashara.

    21. Tathmini na Ufuatiliaji: Kuwa na mfumo wa kufuatilia maendeleo na kupima mafanikio ya biashara yako ili kufanya maboresho pale inapohitajika.

    Kwa kuzingatia mambo haya 21, utakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kufanikisha biashara yako na kuijenga kwa uendelevu.

    utajiondoa kwenye wimbi la watu ambao huwa wanaanzisha biashara na zinakufa kila mwaka au muda mfupi tu baada ya kuanzishwa. 

    Zingatia hayo ili uweze kufanya biashara ambayo itakuwa yenye manufaa kwako.

     

    Hakikishapia umepata nakala ya kitabu cha MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA, ni moja ya kitabu bora sana ambacho unahitaji kwa ajili ya kufanya makubwa kwenye eneo hili.

    Kupata nakala hakikikisha unawasiliana na 0684 408 755

     

  • Muda Ni Maisha

    Nakumbuka kipindi Nipo shule, ( High level) kuna mwalimu nilikuwa namchukia sana kwa sababu alikuwa makini na MUDA, Asubuhi MUDA wa Mchaka Mchaka ilikuwa ni lazima ukimbie, na muda wa darasani ni lazima uwepo na asikuone nje unazurura, Hali hii ilimpelekea achukiwe na wanafunzi wengi ikiwemo mimi, lakini mwisho wa yote alikuwa ametusaidia pakubwa sana kufikia MALENGO yetu kiafya, kinidhamu na kitaaluma kwa kuzingatia muda.

    MUDA ni kipindi au kipimo cha wakati ambacho hutumika kufanya shughuli au matukio mbalimbali.

    👉Ni rasilimali muhimu ambayo haiwezi kurudishwa nyuma baada ya kutumiwa. Muda unaweza kugawanywa katika vipindi vya sekunde, dakika, saa, siku, miezi, au hata miaka. Kwa kifupi, muda ni kipengele muhimu katika maisha yetu ambacho kinaathiri jinsi tunavyoishi na kufanya maamuzi.
    JE, NAWEZAJE KUSIMAMIA MUDA WANGU VIZURI?
    Leo hii, si ajabu kumkuta mtu amekaa sehemu ukimuuliza unafanya nini? anakwambia Nipo tu napoteza muda hapa. Lakini wakati huohuo, kuna mtu mwingine hata ukimpigia simu anakwambia nitafute badae niko bize sana.

    Hapa nataka tuone namna Gani tunaweza kusimamia muda wetu vizuri.
    👉 Kupanga Ratiba, haijalishi upo Katika hali gani, Kupanga Ratiba ni kitu Cha muhimu sana, Inashangaza kumuona mtu leo hii anaamka na hajui anakwenda kufanya nini kazini au hata mahali popote. Mtu huyu Huwa anafanya vitu bila mipango, atafanya hiko ataacha, atafanya kile ataacha, Musa utaisha na hajakamilisha hata kitu cha maana.

    👉Kutambua vipaumbele, Vile vitu vya muhimu zaidi vinapaswa kupewa kipaumbele kisha vingine vinafuata. Hali hii inapelekea kutunza mudavizuri. Mfano, upo kazini, ghafla Kuna mgeni amekuja na haikuwa na miadi nae, hautapata dhambi ukimwambia akusubiri umalizie shughuli zako kisha uonane nae.

    👉Kujifunza kusema hapana. Sio kila jambo ulichukue, mengine yanakupotezea muda hivyo tujifunze kusema hapana kwa Yale mambo ambayo hayana umuhimu.

    👉Mapumziko. Hakikisha unajipa Mapumziko ili kupumzisha mwili. Usifanye Kazi muda wote, akili itachoka utashindwa kuendelea Kufanya Kazi nyingine kwa wakati sahihi.

    Makala hii imeandikwa nami,
    Latifa Omary Sharifu
    0718402449
    Morogoro_ Tanzania

  • Hii ndiyo Aina Ya Watu Ambao Siwapendi

    Rafiki yangu wa ukweli.hongera sana kwa kazi na kwa siku hii ya kipekee. leo ni siku nyingine bora sana ambapo wewe unatakiwa kwenye kufanya kazi na kuzipambania ndoto zako kubwa pamoja na malengo yako makubwa. Ukweli ni kuwa, vile unaishi kwenye hii dunia, hauna kitu chochote kile ambacho kinapaswa kukukwamisha wewe kufanyia kazi malengo na ndoto zako kubwa. Mara zote unapaswa kuwa unaendelea kupambania malengo na ndoto zako kubwa bila ya kurudi nyuma.

    Lakini pia unapaswa kuwa mtu mwenye fikra za kuona na kufikiri mbali.

    Binafsi siwapendi sana watu ambao hawafikiri mbali. 

    Napenda nijihusishe na watu wenye fikra za kufikiri na kuona mbali. Watu ambao wanaona kwamba wanaweza kufanyia kazi jambo fulani na wakalifanikisha, watu ambao wanafikiri kwa ukubwa na wanachukua hatua kufanyia kazi kile ambacho wanafikiri kwa ukubwa.

    Ukweli ni kuwa hawa ndiyo napenda wanizunguke na hawa ndiyo napenda wawe marafiki zangu.

    Ukiwa karibu na watu wa namna hii fikra zao, mitazamo yao na namna wanavyochukua hatua ni tofauti kabisa na watu wa kawaida.

    Hawa wanaona uwezekano hata sehemu ambapo wewe unaona kwamba hakuna uwekezano. Hawa wanachukua hatua kubwa hata sehemu ambapo wengine wanaogopa kuchukua hatua.

    Ushauri wangu kwako ni mmoja tu. Jihusishe na watu wenye fikra kubwa, watu ambao wanaona mbali na watu ambao wanafikiri kwa ukubwa. Na wala siyo watu ambao wanarudi nyuma au kufikiri kwa udogo.

    Mara zote fikiri kwa ukubwa.

    Mara zote zungukwa na watu wanaofikiri kwa ukubwa.

    Ni haki yako kufikiri kwa ukuba

    na wala hakukugharimu kitu chochote kile.

    Nina kitabu kizuri sana ambacho kinaitwa NGUVU YA KUFIKIRI KWA UKUBWA.

    Kama ulikuwa bado hujajipatia nakala ya kitabu hiki cha NGUVU YA KUFIKIRI KWA UKUBWA basi huu ndiyo muda wa wewe kufikiri kwa ukubwa rafiki yangu.

    Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu.

    Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia kiasi kidogo tu.

    Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.

    SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea.

    Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.

    Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.

    Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa

    Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com

    Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga,  +255 684 408 755

    Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396

    For Consultation only: +255 755 848 391  au godiusrweyongeza1@gmail.com

  • Kitabu: Jinsi ya Kufikia Ndoto Zako

    “Hapa kuna kitabu ambacho Nina uhakika kitaleta nuru kwenye safari yako ya kufikia ndoto zako – ‘Jinsi ya Kufikia Ndoto Zako’. Kitabu hiki kinaelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kutambua malengo yako, kujipanga kwa njia ya vitendo, na kushinda vikwazo vinavyokuzuia kufikia mafanikio makubwa. Je, ungetaka kujua zaidi kuhusu jinsi kitabu hiki kinavyoweza kusaidia kuleta mabadiliko chanya maishani mwako?”

    Pata nakala. Nakala ni 25,000/- TU. Yupo Morogoro mjini Sabasaba Ila utapata nakala popote ulipo duniani Tumia namba ya simu, 0684408755 kuwasiliana nami sasa👍

     Soma Zaidi: JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO

X