Home


  • Namba Zetu Za Malipo

    Namba za malipo ya vitabu:

    Namba za lipa

    TIGO PESA: 19016638 Jina ni SONGAMBELE CONSULTANTS

    M-PESA: 5564517 jina ni GODIUS GORDIAN RWEYONGEZA

    Namba za kawaida

    AIRTEL MONEY: 0684408755
    TIGO PESA: 0655 848 392
    M-PESA: 0745 848 395

    Kote jina ni GODIUS RWEYONGEZA

    NB: Kama namba ya malipo anatumiwa mtu ambaye yuko nje ya nchi. Iandikwe Kwa kuanza na +255

    Kwa hiyo namba zinazotumwa nje ya nchi zitakuwa
    Airtel money: +255 684 408 755
    TIGO PESA: +255 655 848 392
    M-PESA: +255 745 848 395

    KOTE Jina ni GODIUS RWEYONGEZA

    Kama malipo yatakuwa yanafanyika kupitia benki.

    Yafanyie kupitia

    1. CRDB BANK: 0150770710200
    2. NMB BANK: 22110047274

    Kote jina ni GODIUS GORDIAN RWEYONGEZA

  • Wasiliana na Godius Rweyongeza Sasa

    Habari yafuatayo ni mawasiliano Unayoweza kutumia kumpata GODIUS RWEYONGEZA

    Simu: +255 (0) 684408755

    Whatsap: +255 (0) 755848391

    Email: songambele.smb@gmail.com

    Kupata vitabu vyake wasiliana Moja kwa Moja na +255 (0) 684408755 (more…)

  • Jinsi Ya Kupata Vitabu Vyangu Bure Kabisa

    Rafiki yangu mpendwa salaam. Hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana. Leo nataka nikupe siri kubwa na nzito aambayo umekuwa huifahamu.

    Na siri hii ni kwamba, unaweza kupata vitabu vyangu bure kabisa

    Unachotakiwa kufanya ni kitu kimoja tu.

    Unachotakiwa kufanya ni kuleta watu ambao watanunua vitabu. Kwa kila kitabu utakacholeta mtu akanunua, utapata kamisheni ya asilimia 20. Ukileta watu wengi wanaonunua mwisho wa siku utafikisha kamisheni yenye uwezo wa kukusaidia kupata vitabu

    Upoo tayari kuichangamkia hii fursa.

    Wasiliana nami sasa kwa namba ya simu 0684408755 ili twende sawa kuanzia leo.

    Kumbuka kwamba hawa watu siyo lazima wote uwalete ndani ya siku moja. Unaweza kuwaleta kwa nyakati tofauti, ila siku ukifikisha idadi ya watu ambao wanaweza kupata nakala

  • Nguvu ya Vitu Vidogo Kuelekea Mafanikio Makubwa

    Kitabu hiki ni chanzo cha motisha na mafundisho ya kuhamasisha ukuaji na mafanikio ya kibinafsi.

    Kitabu hiki kinashughulikia umuhimu wa kutambua thamani ya vitu vidogo katika kufikia malengo makubwa.

    Hakikisha umepata nakala yako na kujifunza jinsi vitu vidogo vinavyoweza kukuza uongozi wako na biashara yako. Nakala ni 25,000/- tu. Namba ya malipo ni 0684408755 Lipia sasa upate nakala yako.

    NB: Kitabh hiki kimesomwa kwa sauti pia. Nakala ya sauti inapatikana kwa 10,000/- tu Lipia kwa 0684 408 755

  • Je, Semina Ya Juni Ni Gharama Kubwa?

    Najua utakuwa unasema kwamba semina hii ni gharama kubwa sana. Lakini ngoja ni kwambie kitu, ni mara ngapi umekuwa unapoteza fedha KWENYE VITU AMBAVYO HATA HAVINA NGUVU KUBWA KAMA SEMINA HII?
    Kuchukua laki moja na kuiwekeza kwenye semina kama hii ni uwekezaji wa kipekee ambao unapaswa kuufanya kwa ajili yako.

    KADIRI UNAVYOWEKEZA KIKUBWA, ndivyo inaonesha wazi namna ulivyojitoa kuelekea kwenye mafanikio unayotaka.
    Na ndivyo utaweza kufuatilia kwa umakini mafunzo yetu. Na mimi nakuhakikishia kitu kimoja tu. Tumendaa mambo makubwa kwa ajili yako. Naam,, tumeandaa mambo makubwa mno.
    Hiyo tarehe 29, Juni, mambo yatakuwa ni moto. Mambo yatakuwa ni fire pale Landmark Hotel.

    Kila mshiriki ataondoka na mwongozo kamili wa kufanyia kazi.

    HUU NDIO ULE MWAKA AMBAO TUNAPASWA KUTOBOA.
    WATATUONA TUKIVUKA NG’AMBO

    Lipia sasa ada ya semina. Lipia kwa namba ya simu 0684 408 755

  • Kosa Kubwa Ambalo Watu Hufanya Tunapozungumzia Kuhusu Kuweka Akiba

    Salaam, tunapoongelea kuhusu kuweka akiba naona kuna kosa kubwa ambalo watu huwa wanafanya.

    Wengi wanafikiri kwamba akiba wanayoweka leo hii inapaswa kuja kutumika baadaye kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Hili ni kosa kubwa sana.

    Akiba siyo kwa ajili ya matumizi. Naomba uambatane nami sasa mwanzo mpaka mwisho ili nikueleweshe akiba ni kwa ajili ya nini.

    Akiba ni mbegu

    ili tuweze kuelewana vizuri kwenye hili, tuanze kuiona akiba kama mbegu, ambayo unaipanda leo hii siyo kwa ajili ya manufaa ya leo tu, bali hata kwa manufaa ya siku zijazo

    Mbegu wewe unaipanda leo hii, baada ya miaka kadhaa itaanza kutoa matunda. hayo matunda yenyewe yatakuwa na uwezo wa kutoa mbegu, ambazo zikipandwa zitatoa miti mingine zaidi ambayo itatupa matunda.

    Ukweli ni kwamba unapokula mbegu moja leo hii, unakuwa umekula matunda mengi ya siku zijazo.

    Mbegu tunaweka kuziweka kwenye vizazi.

    Kuna kizazi cha kwanza cha mbegu.

    Unapokweka akiba ni kizazi cha kwanza cha mbegu.

    lakini ukila akiba hiyo kabla haijakuzalishia, maana yake unakuwa umekula kizazi cha kwanza hata kabla hakijazaa matunda yoyote.

    Unachotakiwa kufanya wewe ni kuhakikisha kwamba hauli kamwe kizazi chako cha kwanza cha mbegu. ile mbegu unapaswa kuipanda ili baadaye ije ikuzalishie zaidi na zaidi. Wewe utaanza kula kizazi cha tatu cha mbegu, huku kila kizazi kikiendelea kuleta matunda zaidi.

    nimeona niliongelee hili kwa sababu inaonekana watu wengi hawajui sababu ya kuweka akiba, nimekuwa nikiongea na watu wengi kuhusiana na suala zima la kuweka akiba.

    Unakuta baada ya kuwa umeongea nao kwa kina kuhusiana na suala zima la kuweka akiba, mwisho wa siku, wanakuja kusema kwamba,

    Nikikosa pesa ya kula , naitumia ya akiba. Inanisaidia kwa sababu hata hivyo hiyo ndiyo kazi yake.

    Siyo hivyo, unapofanya hivyo, maana yake unakuwa umekula mbegu kabla mbegu hizo hujapata nafasi ya kuzipanda ili zikuzalishie zaidi.

    Kama wewe ni mkulima mzuri, utakuwa unafahamu kuwa mkulima makini, analazimika hata kulala njaa akiwa na mbegu yake ndani. Anajua wazi kuwa siku akila mbegu, maana yake mwakani hatakuwa na kitu cha kupanda, hivyo suluhisho ni kuhakikisha kwamba anatafuta njia mbadala ya kupata chakula, lakini mbegu inaendelea kuwa mbegu.

    Hii ni akili ya kikulima ambayo mimi na wewe tunahitaji kuitumia kwenye maisha yetu ya kila siku. kwa hiyo usitumie akiba yako kama hela ya kula.

    Chukulia akiba unayoweka kama fedha mbayo umeiweka sehemu na hutakaa uipate tena

    kILA MARA MIMI NA WEW ETUNAFANYA MANUNUZI MENGI. Kuna wakati ambapo unalipia usafiri.

    wakati mwingine unalipia nguo.

    na wakati mwingine unalipia chakula.

    Huwezi kwa mfano kuwa umelipia chakula, halafu ukarudi nyumbani ukakuta umeme umekatika, ukarudi kwa bodaboda na kumwambia akurudishie hela yako kwa sababu nyumbani hakuna umeme. Hiyo hela ukishampa bodaboda, hiyo hele ukishamlipa mtu wa chakula ndiyo inakuwa imeenda, haina kurudi nyuma hiyo. Hata kama ukikutana na dharula kubwa kiasi gani.

    Hivyo hivyo, akiba yako ifanye hivyo mara zote. ICHUKULIE KAMA HELA AMBAYO UMEITUMIA KWA MATUMIZI AMBAYO HAYATAWEZA KUIREJESHA.

    Unajiuliza sasa ikitokea dharula?

    Kabla sijakujibu kwa undani kuhusiana na hili ningependa tufahamu hizi dharula unazoongelea hapa ni dharula gani? Lazima dharula ziwe zinafahamika kuwa ni zipi ni dharula na zipi siyo dharula. Usipokuwa na mpangilio mzuri kama huu, mwisho wa siku utajikuta kwamba kila kinachokuja kwenye maisha yako kinakuwa dhrula na mwisho wa siku utajikuta kwamba unaitoa na kuitumia akiba yako kila mara. HIKI KITU kitakukwamsiha kwa sababu kila mara utakuwa unapiga hatu amoja mbele na kisha unarudi nyuma

    Kwa vile umeshaamua kusongambele na kuweka akiba bila ya kurudi nyuma, unapaswa kuhakikisha kwamba haurudi nyuma hata kidogo, badala yake unapaswa kuendele akuapmabana kila wakati ili usirudi nyuma

    Ikitokea umekutana na dharula, jiulize nitatumia mbinu gani kupata pesa?

    Ukiweka akiba chukulia kama hiyo pesa ya akiba haipo kabisa. Ni wazi kuwa ukiwa hauna hiyo hela, kwa vyovyote vile, ukiishiwa na pesa utakuwa hauna sehemu ya kutoa pesa ya kutumia . Hivyo utafikirisha kichwa na kuona ni wapi ambapo unaweza kupata fedha zaidi ambazo utatumia.

    NA WEWE SASA UNAPASWA KUFIKIRISHA AKILI YAKO BILA YA KURUDI NYUMA.

    Sasa akiba ITUMIKE KUFANYA NINI?

    Kama ambavyo tumeshaongelea mwanzoni, akiba iwekezwe ili ije ikupe matunda mengi zaidi hapo baadaye. Akiba ipandwe.

    Nashauri ujipatie nakala ya kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE, pamoja na kitabu cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA

    Hivi ni vitabu ambavyo ni muhimu sana uweze kuvipata.

    Wasiliana nami kwa ++255 684 408 755

    Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu.

    Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia kiasi kidogo tu.

    Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.

    SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea.

    Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.

    Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.

    Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa

    Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com

    Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga,  +255 684 408 755

    Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396

    For Consultation only: +255 755 848 391  au godiusrweyongeza1@gmail.com

  • Vitu Vitano Vitakavyokusaidia Wewe Usiendelee Kubaki hapohapo Ulipo

  • Jinsi Ya Kutengeneza Mshahara Nje Ya Mshahara

    JINSI YA KUTENGENEZA MSHAHARA NJE YA MSHAHARA

    ni kitabu kilichoandikwa na Godius Rweyongeza kinachoeleza namna mtu yeyote anavyoweza
    1. Kuongeza kipato chake Cha Sasa hivi
    2. Kufanya uwekezaji
    3. Kutengeneza KIPATO chenye hadhi ya MSHAHARA wake wa Sasa.
    Kinapatikana kwa nakala ngumu na nakala laini.
    Wasiliana na +255 684 408 755 kupata nakala Yako sasa

  • Njia ya pekee na uhakika ya kuongeza kipato chako mara mbili

  • Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa wachina. Ni Pipi china, kuliko kuinunua kwa Mangi Mtaani Kwako!

    Siku siyo nyingi nilikuwa nikitafuta kipaza sauti cha kutumia kwa ajili ya kazi zangu. nilijaribu kuangaza hapa na pale kwa wasambazaji wa hivi vifaa hapa tanzania, ila kwa bahati mbaya sikufanikiwa.

    Hivyo, ilinibidi niagieze hivi vifaa kwa njia ya mtandao. Ilibidi niagize hivi vifaa moja kwa moja kutoka china.

    Kitu cha kwanza nilichokutana nacho ni kwamba hivi vifaa vilikuw ani bei ndogo china. Hili halishangazi sana kwa sababu tunajua wazi kuwa asilimia kubwa ya bidhaa zinazouzwa hapa nchini zinaagizwa chini.

    Lakini kitu kingine ilikuwa ni kwamba hizo bidhaa zilikuwa zinakuja bure mpaka hapa Tanzania. Hiki kitu kilikuwa kama masihala vile, lakini cha kushagaza ni kwamba, mizigo hiyo niliyoagiza, imekuja bure kabisa mpaka inanifikia.

    Gharama ya ziada niliyolipa ni buku (elfu moja ya boda) ILI KUUFIKISHA MZOGO OFISINI kwangu.

    Zaidi ya hapo hakukuwa na gharama nyingine ya ziada. Nilinunua hizi

    Makala ya leo nimeona nieleze hili.

    Tuna mengi ya kujifunza kwa wachina, na hili nalo ni jambo la kujifunza kutoka kwao.

    Wanawezaje kusafirisha mzigo wa 12 kutoka china mpaka Morogoro nchini Tanzania bila kuniambia niongeze gharama za ziada.

    Ebu tuongee kibongobongo kwanza.

    Ebu pata picha uko zako Kamachumu-Muleba-Kagera nchini Tanzania.

    Au Zako Mvuha, morogoro vijijini, Morogoro.

    Unaagiza mzigo wako Kariakoo, Gharama za kupokea mzigo kwneye maeneo hayo zinaweza kuwa ni kubwa ya gharama za kununulia mzigo husika.

    Hata mimi niliye Morogoro mjini bado mfano gharama ya mzigo wa elfu tano kunifikia ni kubwa kuliko gharama ya kununulia mzigo wenye thamani hiyo ya elfu tano.

    Kwenye hili tujifunze kwa wachina, namna wanavyofanya, kisha tuone namna ya kuboresha.

    Nasema hivi kwa sababu mimi mwenyewe ni mmoja wa watu ambao huwa wanatuma sana vitabu.

    Zamani nilikuwa naweza kutuma kitabu kimoja kwa shilingi elfu tano tu.

    Ila leo hii bila ya kuwa na shilingi elfu kumi, siwezi kutuma hata bahasha. Labda kama natuma mzigo kutoka hapa Morogoro kwenda Dar au Dodoma na muda mwingine Arusha na Kilimanjaro.

    Nje na hapo, napaswa kuwa na noti ya msimbazi.

    Unadhani ni mambo gani zaidi tunahitaji kuendelea kujifunza kutoka kwa wachina

    Tunahitaji tujifunze na tuanze kufanyia kazi, haya tutakayojifunza kutoka kwa wachina.

    Unajua kwa nini?

    Kwa sababu, wachina wao pia wamekuwa wanajifunza na kuiga sehemu nyingine na kufanyia kazi yale wanayojifunza haraka.

    Tusipochangamka, mimi nakwambia miaka mitano ijayo. Itakuwa ni bora kuagiza mzigo china, kuliko kwenda kununua kwa mangi hapo mtaani kwako.

    Tujifunze, tuchukue hatua, la sivyo biashara nyingi siku zijazo zitakuwa hatarini.

    Imeandikwa nami

    Godius Rweyongeza

    0755 848 391

    Morogoro-Tz

  • Mada Muhimu Za Semina Ya JUNI, 29

  • Tatizo si rasilimali zilizopotea: Tatizo ni rasilimaliwatu tunaowapoteza

    Tatizo si rasilimali zilizopotea, ni kitabu ambacho kimeeleza kwa kina kuwa changamoto, matatizo au kitu chochote kile ambacho unapitia, chanzo chake siyo rasilimali zilizopotea, walizoiba wazungu au hata zinazopotea sasa hivi.


    Tatizo kubwa ni rasilimaliwatu tunaowapooteza sasa hivi. Tunawapotezaje? Na nini kinatakiwa kufanyika sasa hivi?
    Tuingie ndani kwenye hiki kitabu ili twende sawa.
    Kila la kheri

    Gharama ya nakala hii ni 25,000/- TU.

    Kuipata ni rahisi TU.
    Lipia 25,000/- tutakutumia nakala Yako sasa hivi bila ya kuchelewa

X