-
Huwezi Kumkodisha Mtu Wa Kukupigia Push Up
Habari za leo rafiki yangu. Imani yangu kuwa umeamka vizuri asubuhi ya leo na unaenda kufanya makubwa. Leo tuangalie jinsi ambavyo huwezi kumkodisha mtu kukupugia push up Najua huwa unasoma vitabu na makala nyingi sana za kuelimisha na kukuhamamisha kila siku. Kama ulikuwa hujaanza kufanya hivyo anza leo. Mambo yote ambayo unayasoma na kuhamasika hayatafanya…
-
Jambo Moja Ambalo Litakufanya Uzidi Kung’aa
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za songa mbele. Imani yangu kuwa umeianza siku yako kwa namna ya tofauti kubwa sana. leo hii ikiwa ni siku npya ambayo haijawahi kutokea katika dunia hii ambayo tunaishi. Leo hii ni siku bora sana ni vizuri sana ukahakikisha kwamba unaitumia vizuri sana siku yako kwa…
-
Watu Wawili Ambao Huhitaji Kambatana Nao
HAWA NDIO WATU WA KUOGOPA Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu ni kwamba unaendelea vyema katika kuhakikisha kwamba unaweza kupiga hatua na kutoka hapo ulipo kwenda mpaka kileleni. Kumbuka kwamba wewe ni kiongozi wa nafsi yako na maisha yako hivyo unahitaji kuipangilia siku yako ili…
-
Kosa Ambalo Watu Wengi Hufanya
Habari za leo Rafiki yangu, karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya, kitu ambacho ni cha tofauti sana. Moja kati ya vitu ambavyo huwa nasisitiza kila siku kwa kuwaambia watu wengi sana ni kwamba wewe ni kiongozi. Huu ni ukweli ambao huwa napenda kuuongea kila siku. Wapo watu ambao huwa…
-
Hii Ni Zawadi Nzuri Ambayo Unaweza Kuwapa Watu Msimu Huu Wa Sikukuu
Ni kawaida ya watu wengi sana kutoa zawadi ka wayu wengi tuwapendao msimu kama huu wa krismasi. Hasa kwa tar 26 ambayo ndio sjku maarumu ya kufungua zawadi. Mwaka huu ushajiuliza utampa nini mtu ambaye unampenda. Songa mbele blog imekuletea zawadi nzuri ambayo unaweza kumpa umpendaye na zawadi hii itadumu kwa kipindi chote maisha ya…
-
Hiki Ndicho Chakula Ambacho Kila Mtu Anahitaji Kukipata kila siku.
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG karibu sana katika makala ya leo ambapo tunaenda kuangalia chakula ambacho kila mtu anahitaji kupata kila siku. Naamini kitabadilisha maisha yetu na kutupeleka kwenye sehemu ya juu zaidi kimafanikio. Mara nyingi tunapozungumuzia chakula wengi wetu kinachokuja akilini mwetu ni vitu kama wali, ugali, kachumbari…