-
Mbinu za kutimiza malengo yako
Habari ya leo rafiki yangu. Moja ya mada ambayo nimeiandikia sana kuliko mada nyingine, Ni mada ya malengo.Kuanzia namna ya kuweka malengoNamna ya kuyafanyia kazi malengo yakoNamna ya kuyafanikisha na Mambo mengine yanayouhusiana na malengo Nimeandika makala nyingi zinazohusiana na hii mada. Leo hii kuna mtu kaniuliza mbinuza kutimiza malengo yake. Nimeona nimrudishe nyuma kwenye…
-
Viashiria Vitano kuwa utashindwa kutimiza malengo yako
Kama kuna kitu muhimu ambacho unapaswa kuwa nacho ili ufanikiwe zaidi basi ni malengo. Ukikutana na mtu mwenye malengo Basi unapata picha halisi ya mtu atakayefanya makubwa maishani. Ila ambaye hana malengo ni wazi kuwa atakuwa anayumba kama bendera. Wakati mwingine unaweza kuwa na malengo Ila ukawa kama ambaye hana malengo. Na vifuatavyo Ni…
-
Huu Ndio Mfumo Bora Utakaokuwezesha Wewe Kutimiza Malengo Yako. mfumo huu haujawahi kufeli hata kidogo
HIVI IMEWAHI KUKUTOKEA, ukiwa kwenye chumba ambapo kuna kelele nyingi za watu na unaongea na marafiki ila ghafla ukasikia sehemu mtu anataja jina lako. Yaani watu waliokuwa pembeni kidogo wanaonge mwanzoni na ulikuwa hujawasikia wanachoongea muda wote, ila zamu hii tu mtu kataja jina lako, basi masikio yako yameshanasa kila kitu. Hivi ni kitu gani…
-
Hii Ndiyo Sehemu Unayoweza Kukimbilia Pale unaposhindwa Kutimiza Malengo Yako
Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Leo ni tarehe 10 ya mwezi wa 10, 2018. Zikiwa zimebaki siku 82 tu, mwaka huu kuisha. Kama mwaka huu ulikuwa umeweka malengo makubwa sana sasa umefika wakati wa wewe kujiuliza ni wapi umeweza kufika katika suala zima la kutimiza malengo yako ya mwaka huu.…
-
Hii Ndiyo Sababu KwA Nini Watu Wengi Huwa Hawaweki Malengo
Habari ya leo rafiki yangu wa ukweli. Hongera sana kwa siku nyingine njema sana rafiki yangu. Siku ya leo nikwambie moja ya sababu kubwa kwa nini watu wengi huwa hawaweki malengo. Unajua kwa nini watu wengi huwa hawaweki malengo? Kuna sababu nyingi sana ila hizi ndizo zinawafanya watu wengi wasiweke malengo. Ya kwanza ni kwa…
-
2024 badili mifumo yako ya kufikiri
Rafiki yangu, matokeo ambayo umepata ndani ya mwaka 2023, yanaweza yasibadilike kama hutabadilika. Unachohitaji kufanya mwaka 2024 ni kubadilika wewe. Kama hutabadilika au kubadili namna unavyofikiri, ukweli ni kuwa matokeo utapata matokeo yaleyale ambayo ambayo umepata 2023 au hata chini ya hapo. Napenda sana nukuu ya Robert Pirsing kama ilivyonukuwa kwenye kitabu cha…
-
Kwa Nini Nashindwa Kutimiza Malengo Yangu?
Habari ya leo rafiki yangu Kwenye makala ya leo ningependa kutoa ushauri kwa rafiki yetu mmoja ambaye ameuomba kutoka kwangu. Rafiki yetu anasema kwamba kwa nini hafikii malengo ilihali ana uwezo wa kufanya hivyo? Kujibu swali lake ningependa kuja moja kwa moja kwenye pointi ya msingi kueleza kwa nini hafikii malengo yake. Hiki ni kitu…
-
Mambo Muhimu ya KUZINGATIA kabla hujawekeza fedha Yako
Rafiki yangu mpendwa. Bila shaka unaendelea vizuri. Kila kunapokucha watu wanabuni njia mpya za kutaka kuondoka na kukaa na fedha zako. Watakuja kwako na maelezo mengimengi wakikushawishi uweze kuwapa fedha zako ambazo wewe mwenyewe umezitafuta kwa jasho na damu kubwa sana. Usipokuwa makini unaweza kujikuta unashawishika kutoa fedha zako kwa kila mtu anayekuja kwako kukwambia…
-
Vitu Vitano Vitakavyokuzuia wewe kufanikisha malengo yako
Siku siyo nyingi nilipokea ujumbe kutoka kwa mmoja wa watu wanaofuatilia kazi zangu mtandaoni. Kitu kikubwa sana ambacho aliweza kuniambia ni kuwa anapata changamoto hasa anapoweka malengo, anashangaa siku zinaenda ila hayo malengo yake hayatimiii. Sasa siku ya leo kwa namna ya kipekee ningependa kumjibu huyu rafiki pamoja na watu wengine wengi ambao wanawakuwa na…
-
Vitu Vitano Vya Kukusaidia Kuendelea Kuwasha Moto Wa Kufanikisha Malengo Yako.
Nakumbuka mwanzoni mwa mwaka huu niliandika makala ambapo ndani yake nilikuwa nikikukuuliza kuwa Lengo Lako Kuu La Mwaka 2022 Ni Lipi? Au Ndio Unamwachia Mungu🤔? Lengo lilikuwa ni kukufungua na kukuonesha kuwa mwaka huu mpya umeuanzaje au ndio kwanza unazubaa zubaa. Baadaye tarehe 19 Januari nilikukumbusha kwa kukwambia kuwa hiyo ndio tarehe ambayo watu wengi…
-
Kitu Cha Kufanya Ndoto Yako Inapohusisha Watu Wa Nje
Kuna nyakati ndoto na malengo yako yanahusisha watu wa nje. Yanahusisha taasisi za serikali, makampuni fulani au hata mataifa mengine ambayo yana taratibu zake, utendaji kazi wake na kila kitu cha kwake. Watu hawa utakuta kwamba wana njia zao kutenda na kushughulika na vitu vyao katika namna ambayo inaweza isiwe rafiki kwako. Kwa mfano, unaweza…
-
Leo ndiyo Siku Ambayo Watu Wengi Husahau Malengo Yao Ya Mwaka Na Kuanza Kuishi Kwa Mazoea
Leo ni tarehe 19 jnuari 2022. Ukiangalia tangu tuuanze mwaka huu, hata hatuna siku nyingi. Ila cha kushangaza ni kwamba kuna watu ambao tayari wameshasau malengo yao. Zimefanyika tafiti na imethibitishwa kuwa tarehe 19 ya kila mwaka mpya, ni tarehe ambayo watu wengi huwa wanasahau malengo yao na hivyo kuendelea kuishi kimazoea. Swali langu…
-
Sababu 5 kwa nini unashindwa kufanikisha malengo unayoweka
Najua. Umekuwa unaweka malengo mara kwa mara ila unashindwa kuyatimiza. Zifuatazo ni sababu tano (05) zinazokukwamisha wewe kutimiza malengo yako. Sitaishia tu kukuonesha sababu hizi bali pia nitakueleza kiundani namna ya kuepukana na sababu hizi ili uweze kufanikisha malengo yako.. Moja, NI KWA SABABU UNAWEKA MALENGO MENGI KWA WAKATI MMOJA. Una Mambo mengi ambayo ungependa…
-
Huyu ndiye mtu anayeweza kukusaidia kufanikisha malengo yako
Umewahi kujiuliza, “ni mtu gani ambaye anaweza kunisaidia mimi kufanikisha malengo yangu?” Siku ya leo ningependa nikwambie kuwa mtu pekee anayeweza kukusaidia wewe kufanikisha malengo yako ni wewe mwenyewe. Na unaweza kufanikisha hili kwa; 1. Kwanza kujituma na kufanya kazi kwa bidii ili lengo litimie. Usiweke lengo na kusubiri tu bila ya kulifanyia kazi.…
-
SIMAMA KWA MIGUU YAKO MIWILI
Leo rafiki yangu nimeamua kuongea na vijana wa kitanzania. Makala ya leo inawalenga zaidi hasa wanachuo, wahitimu wa chuo na vijana wengine ambao bado wanakaa nyumbani. Sasa labda tujiulize kusimama kwa miguu miwili ndio nini? KUSIMAMA kwa miguu miwili maana yake kuamua kutimiza malengo yako wewe kama wewe bila kusubiri wazazi, walezi au serikali.…
-
Nguvu Tatu (03) Kubwa Zitakazokusaidia Kufanikisha Malengo Yako
Rafiki yangu bila shaka siku ya leo imekuwa ni siku bora sana kwako. Leo hii ningependa nilete kwako nguvu tatu kubwa ambazo zitakusaidia wewe kuweza kutimiza malengo yako. NGUVU YA KWANZA NI NGUVU YA KUANDIKA MALENGO YAKO Hii ni nguvu muhimu sana ambayo inakufanya uandike malengo yako na kuwa unayapitia kila mara. Nguvu…
-
Ukiweka Juhudi Kubwa Sana Kuelekea Malengo Yako, Malengo Yako Pia Yataweka Juhudi Kubwa Kukuelekea Wewe
Moja ya kanuni za fizikia ni hii kanuni inayosema kwamba, to every action there is equal and opposite reaction. Ikimaanisha kwa kila kitu ambacho unafanya kuna kuwa na nguvu ya aina hiyo hiyo ambao inakujwa kwako. Kwa hiyo ukifanya kazi kwa bidii kubwa ili uweze kupata matokeo makubwa, mwisho wa siku matokeo makubwa yataanza kuja…
-
Kama Furaha Yako Inatokana na Kitu Hiki Hapa, Basi Jua Kwamba Sio Furaha Ya Kweli
Rafiki yangu, hongera sana. Leo ni siku njema sana kuwahi kutokea kwenye dunia hii.Ni siku ya kipekee sana kwetu kuchukua hatua kubwa sana.Ni siku ya kipekee kuongeza mtandao wa watu wanaotufahamu.Ni siku ya kipekee kwetu kutimiza malengo yetu.Ni siku ya kipekee kwetu kuimarisha akili zetu na kujenga akili zetu kwa namna ya upekee sana. Yaani…
-
WHEN ONE PLUS ONE DOES NOT BECOME TWO: Mambo Matano Ya Kufanya Ndoto, Malengo Na Maono Yako Yanapoenda Kinyume Na Matarajio
Kwa kawaida moja na moja ni mbili,njiti ikigusishwa na kiberiti moto huwaka na chumvi ikiwekwa kwenye maji itayeyuka. Hayo yote niliyotaja hapo juu yanatokea kwenye hali ya kawaida. Ila kuna nyakati moja na moja huwa haziwi mbili. Kuna nyakati njiti ikigusishwa na kiberiti, moto hauwaki. Na kuna nyakati chumvi kwenye maji haisagiki. Je, nataka kusema…
-
Je, Sehemu Yako Ya Kusimamia Ni Ipi?
Kuna wakati kuku huwa anaficha mguu mmoja na kusimama kwa mmoja. Kuna wakati paka huwa anasimama kwa miguu yake ya nyuma na kuiacha miguu ya mbele ikielea. Hii ndio kusema sehemu zinazotupa uhakika zipo kila wakati na kwa kila mtu, ila kuna wakati tunapaswa kuzikataa na kutafuta sehemu bora zaidi. Ndio maana kila siku tunaalikwa…