-
Vitu 50 Ambavyo Hupaswi Kuchukulia Poa
Kuna vitu katika maisha ya kila siku ambavyo watu huwa wanachukulia poa, ila japo vina uzito mkubwa sana. wapo wanaofanya hivi kwa kujua. Eubu chukulia vitu kama kuvuta hewa ya oksijeni. Ni kitu cha kawaida ambacho pengine unaweza kupitisha wiki bila kuona umuhimu wake au hata kujua kama unapumua, ila pale ambapo mtu anaumwa na…
-
Siku 100 Za Kwanza Za Mwaka 2020 Zimeisha: Mambo 100 Unayoweza Kufanyia Kazi Kwa Siku 266 Zilizobaki
Tarehe 1.1.2020 dunia nzima ilishangilia mwaka mpya. Shangwe kutoka kila kona ya dunia zilitawala. Kuna watu siku iliyotangulia tarehe 1 hawakulala wakiusubiri mwaka mpya ufike. Kuna watu walikuwa na mipango mikubwa sana ya kufanya mwanzoni mwa mwaka huu. Kuna watu ambao siku ya mwaka mpya ilipofika walijiambia kwamba haiwezi kupita hivi hivi tu, lazima…
-
Vitu Saba Vya Kujifunza Na Kuchukua Hatua Kutoka Kwenye Wimbo Wa Ben Paul Wa JIKUBALI
Moja ya wimbo ambao huwa napenda kuusikiliza mara kwa mara ni wa mwanamziki Ben Paul unaoitwa JIKUBALI. Huwa napenda kuusikiliza mara kwa mara kwa sababu kuna mafunzo muhimu ambayo naona na wewe nikushirikishe baadhi ya hayo masomo siku ya leo. 1. UNAWEZA Ben Paul anaanza kwa kusema kwamba, unaweza kuwa doctor, unaweza kuwa star, …
-
Kama Sio Wewe Nani? Kama Sasa Lini? INAWEZEKANA
Rafiki yangu hongera sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee sana. Siku ya leo napenda nikwambie kwamba inawezekana, ndio kama una lengo ambalo unataka kulifanyia kazi katika maisha yako unapaswa kufahamu kwamba inawezekana kulifanikisha lengo hili hapa. Kama kuna ndoto ambayo unayo maishani mwako basi fahamu kwamba inawezekana. Watu unawaona sasa hivi wakiwa wamefanya…
-
Mambo 20 Ya Kufanya Kwa Siku 340 Zilizobaki Kabla Mwaka Huu Kuisha
Siku ya leo sitaki niandike sana, ila hapa kuna mambo 20 ambayo unapaswa kufanya kwa siku 340 zilizobaki ili kuufanya mwaka huu kuwa mwaka wa mafanikio makubwa sana. 1. Hakikisha unakuwa na notebook ambapo kila siku utaangalia mwenendo wako. huku utaandika mambo yako unayofanya kila siku. Hii pia itakupa urahisi wa kujifanyia tathimini kila mwisho…
-
Kubali Kulipa Gharama Ili Uzifikie Ndoto zako
LIPA GHARAMA Ili kweza kufikia mafanikio makubwa kwenye kutimiza ndoto zako basi moja ya kitu ambacho utapaswa kufanya ni kulipa gharama. Hii haijalishi kwamba wewe ni ndoto yako ni kuwa baba bora au mama bora, au iwe ni kufikia viwango vya juu katika mchezo fulani. Kwa vyovyote vile gharama bado haitaepukiki Na hapa ninapozungumzia gharama…
-
Vitu Viwili Kuhusu Ndoto Ambavyo Watu Wa Kawaida Hawana (Kama Utakosa Vitu Hivi, Utaishia Kusikia Mafanikio Kwenye Vyombo Vya Habari).
Kama Utakosa Vitu Hivi, Utaishia Kusikia Mafanikio Kwenye Vyombo Vya Habari Mwaka juzi wakati nasoma kitabu cha Who Will Cry When You Die nilikutana na kitu cha kushangaza kidogo ila ikabidi nikifanyie kazi. Mwandishi wa kitabu Robin Sharma alisahuri kwamba unapaswa kuwa na kitabu cha ndoto chenye orodha ya vitu 101 ambavyo utavifanyia kazi kabla…
-
Mambo Muhimu Unayopaswa kuyafanya Unapoamka Asubuhii
Moja kati ya vitu ambavyo vimekuwa havielekezwi kwa umakini sana basi ni namna ya kuianza siku yako. Unapoamka asubuhi unakuwa na mambo mengi sana ya kufanya.Wengi huutumia muda huu kufungulia redio na kusikiliza taarifa ya habari. Hata hivyo hapa napenda nikushirikishe namna sahihi ya kuianza siku yako. Haupaswi kuianza siku yako kama mnyama au ndege.…
-
Mambo 25 Niliyojifunza Ndani Ya Miaka 25 Ya Kuishi Kwangu Hapa Duniani
Mwaka 1994, tarehe 5/8 ilikuwa ni siku ambayo kwa mara ya kwanza nilizaliwa na kuvuta pumzi ya kwanza ya dunia hii. Na leo hii ndipo naadhimisha miaka 25 ya kuzaliwa kwangu. Niseme kwamba hii ni siku muhimu ambayo imenifanya niweze kuona mengi, kukutana na watu wengi na kuzunguka maeneneo mengi. Miaka yangu ishirini na tano…
-
Hii Ni Kwa Wale Tu Wanaohitaji Mafanikio Kama Vile Wanavyohitaji Kupumua
Siku moja kijana mdogo alimwendea Socrates ili amuulize siri ya mafanikio. Alichofanya Socrates alimwambia njoo kesho muda fulani, tutakutana kwenye mto. Kesho yake kijana alijiandaa na kufika eneo husika. Socrates alianza kuingia kwe maji huku akimwambia kijana nifuate. Kijana alishangaa huyu ananipeleka wapi? Waliingia kwenye maji na kina cha maji kilianza kuongezeka. Ghafla Socrates alimshika…
-
Kama Tatizo Ni Nyota Ya Kwako Imeenda Wapi?
Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi hii ya kipekee sana. Zawadi ya maisha. Moja kati ya vitu vinavyoongelewa sana na watu ni nyota. Mtu akifanikiwa wanasema ni nyota. Asipofanikiwa pia wanasema ni nyota. Mtu akijenga mahusiano mazuri wanasema ni nyota. Lakini pia mahusiano yake yakiwa mabaya wanasema ni nyota. Imefikia hatua sasa watu wamesahau misingi…
-
UCHAMBUZI WA KITABU: THE ALCHEMIST
Ukisia watu hawasomi vitabu, basi jua kwamba hawasomi kwa sababu ya uzembe. Ukisikia watu wanasoma vitabu jua kwamba wamejitoa kweli kutafuta maarifa na wana kiu ya maarifa. Katika dunia hii unaweza ukaamua kufanya kimoja kati ya hayo hapo. Mosi kujitoa au kuzembea. Na huwezi kufanya yote mawili. Kwa nini nimeanza uchambuzi wa leo kwa namna…
-
365: ANZA KUTUMIA KILE ULICHONACHO
MADE IN AFRICA: IMETENGENEZWA BARANI AFRIKA Mbinu 366 Za Kujing’arisha barani Afrika GODIUS RWEYONGEZA MBINU YA 365: ANZA KUTUMIA KILE ULICHONACHO Mara nyingi watu huwa wanazunguka huku na kule kutafuta fursa. Na sio jambo la ajabu kukuta watu wamekaa tu kwa kisingizio cha kwamba hawana kitu au hawana kazi ya kufanya. Na hapo hapo watu…
-
TOO BUSY TO WATCH YOUR DREAM; Hatua Sita (06)Za Kukutana Na Watu Maarufu, Wafanyabishara Wakubwa Na Wanamziki Nguri Bila Kutumia Nguvu
Kwa kawaida huwa sipendi kutumia kiingereza katika maandishi yangu labda pale ambapo huwa ninakazia kitu fulani hapo ndipo huwa nalazimika kutumia kiingereza ili uweze kuelewa zaidi. Makala ya siku hii ya leo imebeba kichwa chenye lugha ya kiingereza. Na kwa sababu kuna kitu kikubwa sana nakazia basi itabaki hivyo hivyo. Samahani sana kama utakuwa hujaelewa…
-
USIKUBALI KUKOSA NAMBA!
Kila unapoamka kila siku asubuhi, siku yako unakuwa nayo masaa mengi sana yaani masaa 24, lakini hata siku moja, muda siku zote huwa unaonekana kama hautoshi hii ni kutokana na ukweli kwamba kazi zinakuwa zinaonekana ziko ningi sana. tena ukifanya kazi zako kufikia jiooni unajikuta kwamba umechoka sana lakini ukiingalia siku yako umefanya nini unaonekana…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA Tatizo hujaweka ukomo
Ili kitu kiweze kufanyika vizuri na kwa ufasaha wa hali ya juu sana unahitaji kuhakikisha kwamba umewekiwekea ukomo hasa katika kukitenda na kukikamilisha. Usipokuwa na ukomo katika kutenda utajikuta kwamba utakuwa unafanya hiki na kufanya kile. Utajikuta kwamba unaanza kufanya kitu fulani ila bado hukimalizi kwa sababu hakina ukomo, Kwani ukomo ni wa nini kwenye…
-
Sheria Tano (05) Za Mchezo Wa Mwaka Huu
Katika mchezo wa mpira wa miguu wachezaji wanajua kwamba kipenga kikipulizwa basi huwa hakuna kitu kingine bali kucheza mpira. Kipenga huwa sio ishara ya kujiandaa bali huwa ni ishara ya ANZA. Kwa hiyo hakuna mchezaji ambaye huwa anaanza kujiandaa pale kipenga kinapopiulizwa. Bali kipenga huwa kinawakuta wachezaji uwanjani moja kwamoja. Jambo kama hili hapa limejitokeza…
-
NAAM! KIPENGA KIMEPULIZWA 2023!
Duniani hapa kumeshuhudiwa mitanange mingi sana ya mpira tangu dunia imekuwepo mpaka leo hii unaposoma makala haya. Mitanange hii si ya mipira ya ligi kuu ya vodacom au ligi kuu ya ulaya tu bali pia kuna mitanange ya michezo mingine ya maisha. Kuna mechi ambazo huwa zikichezwa, kwa hakika huwa zinavutia sana. Sio tu kwamba…
-
NAAM! KIPENGA KIMEPULIZWA
Duniani hapa kumeshuhudiwa mitanange mingi sana ya mpira tangu dunia imekuwepo mpaka leo hii unaposoma makala haya. Mitanange hii si ya mipira ya ligi kuu ya vodacom au ligi kuu ya ulaya tu bali pia kuna mitanange ya michezo mingine ya maisha. Kuna mechi ambazo huwa zikichezwa, kwa hakika huwa zinavutia sana. Sio tu kwamba…
-
Je, kuna haja ya kuogopa hatari?
Miongoni mwa vitu ambavyo watu huwa hawapendi ni tendo la kufanya kosa. Watu wengi sana huwa hawapendi kufanya makosa wala kusikia kwamba wao wameshiriki katika kufanya makosa hayo. Ndio maana asilimia kubwa sana ya watu wengi sana huwa hawaweki malengo katika maisha yao kwa sababu tu kwamba wanaogopa pale ambapo hawatatayatimiza itakuwaje. Lakini pia inakuwa…