-
Kwa Nini Watu Huwa hawatengenezi MSHAHARA NJE YA MSHAHARA wao wa kawaida
Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya watu wasitengeneze mapato nje ya mshahara wao wa kawaida: 1. Ukosefu wa Elimu ya Kifedha: Watu wengi hawajapata elimu ya kutosha kuhusu uwekezaji, biashara, au njia nyingine za kutengeneza mapato nje ya mshahara. Hivyo, wanaweza kukosa ujasiri au maarifa ya kutosha kuanza safari ya kutafuta mapato mbadala. 2. Hofu…
-
Mwandishi ni mwandishi kwa sababu anaandika. Kama Huandiki nina haya ya kusema na wewe
Mwandishi ni mwandishi kwa sababu anaandika. Kama huandiki, wewe siyo Mwandishi. Kwa hiyo, nataka na wewe uanze kuitwa mwandishi tena kuanzia leo, na utaweza hilo kwa kuanza kuandika. Kitabu kitakachokusaidia kufanikisha lengo lako ni kitabu Cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU. Gharama ya kitabu hiki ni 20,000/- tu. Lipia kwa 0684408755 sasa upate nakala yako.…
-
KITABU: NGUVU YA KUWEKA MALENGO
Kitabu cha NGUVU YA KUWEKA MALENGO kinaeleza dhana muhimu unayoihitaji kwa ajili yakufanikisha jambo lolote lile. Ukiona mtu kafanikisha jambo lolote lile kubwa, ujue kwamba nyuma ya lile jambo kulikuwa na malengo ambayo mtu huyo aliweka na akayafanyia kazi. Usipokuwa na malengo, ujue kwamba utazunguka huku na kule ila utashindwa kufanikisha jambo lolote lile la…
-
The Law Of Attraction Kitabu Kilichoandikwa na Simon Gray
UTANGULIZI1. Mwandishi wakitabu hiki anatujuza kwamba maisha tunao ni nishati yani kila tofali(seli ) mwilini ni nishati kutokana na fomula ya Albert Einstein:E=MC2 E= Nishati, M= mwili C = kasi ya mwanga Kwa hivyo basi, tunao uwezo mkubwa hapa duniani kiasi kwamba huwa tunazo nguvu zakufanya chochote kile tutachodhamiria kufanya, ubunifu, kuyafanya makubwa yoyote tutakapowaza…
-
Kanuni ya miezi sita kwenye biashara
Kuna kanuni ya miezi sita kwenye biashara ambayo wafanyabiashara wengi hawaifahamu. Ni kanuni muhimu ambayo kama mfanyabiashara unapaswa kuifahamu. Kutoifahamu kanuni hii kutakuponza sana Kanuni hii inasema kwamba, ukianza kufanya biashara, ndani ya miezi sita ya kuanza biashara kuna watu wengine wataanzisha biashara kama hiyo. HII kanuni inafahamika kama kanuni ya copy cat. ikimaanisha kwamba…
-
Utajiri haudaiwi mahakamani, ila ukifanya hivi utaupata
Rafiki yangu mpendwa salaam, utajiri ni haki yako ya msingi ambayo unapaswa kupata. Tofauti kubwa ya haki hii na nyingine ni kwamba unapaswa kuipambania. Wakati haki nyingine zinadaiwa mahakamani, utajiri haudaiwi mahakamani. Utajiri unakuja kwa kutokwa na jasho, damu na machozi.
-
Umewahi kujiuliza kuwa unaweza kupata wapi muda wa Kuandika Kitabu Chako?
Umewahi kujiuliza kuwa unaweza kupata wapi muda wa Kuandika Kitabu Chako? Jibu ni rahisi sana. Na jibu Hilo lipo kwenye SoMo la leo. kupata kitabu cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU, wasiliana na 0684408755 Jina ni GODIUS RWEYONGEZA karibu sana
-
Dhana ya jeshi la mtu mmoja, je ni dhana halisi au tunahitaji kufikiri nje ya boksi?
Moja ya dhana ambazo zimekuwepo miongoni mwa watu wengi ni dhana ya JESHI LA MTU MMOJA, kuna watu wamekuwa wanaamini kwamba kwenye shughuli zao ambazo wanafanya basi wao wanasimama kama jeshi la mtu mmoja. Wakimaanisha kuwa wao ndiyo kila kitu kwenye shughuli au jambo fulani ambalo wanafanya, sasa ambacho leo hii ningependa tujadili hapa ni…
-
Usikope Fedha Kwa ajili ya kufunga Ndoa au harusi
Usikope fedha kwa ajili ya kufunga ndoa ukitegemea kuwa fedha utakazopata zitarehesha ule mkopo. Mara nyingi huwa haiko hivyo, Kumbuka sijasema mara zote, ila mara nyingi.
-
Natamani kila kijana mwenye simu janja (smartphone) aingize kipato cha milioni moja kwa mwezi. Huu hapa mkeka wa kufanya hivyo
Rafiki yangu wa ukweli, salaam, hongera sana kwa siku hii nyingine nzuri sana. Siku ya leo, ningependa kukushirikisha kitu muhimu sana. Kitu hiki ni kwamba kama unamiliki simu janja, kama una simu kubwa, ukweli ni kuwa unaweza kuingiza milioni moja kwa mwezi. Lakini ukweli mwingine usiopingika ni kwamba, kiasi hiki ni kikubwa si ndio? Ndio,…
-
Mtoto Ni Urithi Wako
Kwa kitabu “1,000 YENYE NGUVU”Mwandishi : Jegi Bassu Mwandishi huyu kwa kitabu hiki kutoka sura ya kwanza hadi mwisho anaendelea kutupa masomo muhimu sana kuhusiana na urithi wa mali tutazoacha duniani wakati ambapo tutaaga hii dunia. Akitoa nukuu mbalimbali kutoka Baiblia takatifu anatufundisha waziwazi kwamba: 1.Urithi wetu kama wazazi nambari moja ni watoto. Kwa hivyo…
-
Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Inawezekana. Vitu Vitano Ambavyo Unapaswa Kuzingatia
Rafiki yangu wa ukweli salaam, hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana. Siku ya leo ningependa kukushirikisha namna ambavyo unaweza kuongeza kipato chako mara mbili. Hiki ni kitu ambacho kinawezekana. Ili uweze kunielewa vizuri. Naomba nianze kwa kukwambia kwamba kama unaingiza shilingi elfu moja kwa siku, jua wazi kuwa unaweza kuingiza elfu kumi.…
-
Jinsi Ya Kupata Vitabu Vyangu Bure Kabisa
Rafiki yangu mpendwa salaam. Hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana. Leo nataka nikupe siri kubwa na nzito aambayo umekuwa huifahamu. Na siri hii ni kwamba, unaweza kupata vitabu vyangu bure kabisa Unachotakiwa kufanya ni kitu kimoja tu. Unachotakiwa kufanya ni kuleta watu ambao watanunua vitabu. Kwa kila kitabu utakacholeta mtu akanunua, utapata…
-
Nguvu ya Vitu Vidogo Kuelekea Mafanikio Makubwa
Kitabu hiki ni chanzo cha motisha na mafundisho ya kuhamasisha ukuaji na mafanikio ya kibinafsi. Kitabu hiki kinashughulikia umuhimu wa kutambua thamani ya vitu vidogo katika kufikia malengo makubwa. Hakikisha umepata nakala yako na kujifunza jinsi vitu vidogo vinavyoweza kukuza uongozi wako na biashara yako. Nakala ni 25,000/- tu. Namba ya malipo ni 0684408755 Lipia…