-
Kitabu kitakachokusaidia Kuandika Kitabu
Siku ya Leo hakikisha unapata kitabu Cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU MBOBEVU. Kitakusaidia sana kuandika Kitabu Chako Kwa miezi sita hii ijayo. Safari ndiyo kwanza imeanza.Piga 0655 848 392 kupata nakala Yako.
-
Sikiliza, USIKATE TAMAA kwenye kuandika Kitabu Chako
Kuanzia Leo tuna miezi sita Kamili. Isiyo na chenga KABLA ya mwaka huu kuisha. Kama upo siriazi ndani ya hii miezi sita hutashindwa kuandika kitabu chako. Nakuhakikishia. Unaweza kujiuliza kivipi? Beep 0755 848 391 nikupigie tuongee Ili uweke plan Yako vizuri ya kuandika.
-
Weka lengo la kuandika kitabu
Weka lengo la kuandika Kila siku, hata kama ni kurasa mbili au hata Aya moja au sentensi moja tu. Kikubwa uwe kwenye mwendo muda wote.www.songambele.co.tz Telegram: https://t.me/jifunzeuandishi
-
jukumu la kufanikisha Malengo Yako ni kwako
Nakukumbusha tu kuwa jukumu la kufanikisha Malengo Yako ni kwako siku zote. Wala siyo la Mjomba Shangazi au mtu mwingine awaye yeyote. Ukishindwa ni juu yako, ukishinda pia ni juu yako.
-
Upo tayari kubadili mtazamo wako?
Upo tayari kubadili mtazamo wako? Mtazamo wako ni mmoja ya kitu MUHIMU unachopaswa kubadili. Usispobadili mtazamo wako, hutabadili MAISHA Yako 1. Badili mtazamo wako kwenye jukumu la MAISHA Yako. Fahamu wazi kuwa MAISHA ni Wajibu wako, ukishindwa ni juu Yako, ukishinda ni juu Yako. Usisubiri watu wengine watimize Wajibu ambao unakuhusu wewe 2. Badili mtazamo…
-
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO-kitu kimojawapo kinachoweza kukusaidia KUKUZA BIASHARA YAKO kwa haraka zaidi *Watu wengi wamedumaa kwenye biashara kwa kuangalia lengo Moja tu la mauzo.Hatakama utafanya mauzo sana utajikuta unaanza kupoteza 1) HUMAN RESOURCES-Biashara pamoja na BIDHAA na HUDUMA unayotoa kitu Cha MUHIMU pia katika biashara ni watu na ni MUHIMU sana kuchagua watu…
-
Ukiandika Kitabu hata baada ya kuaga Dunia unaendelea kuishi kupitia kitabu chako
Unaweza kuaga Dunia kimwili, ila ukaendelea kuishi kupitia kitabu chako. Kama hujaandika kitabu chako, Fanya hivyo Leo. Hakikisha umepata kitabu Cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU Leo. Kupata nakala, nicheki Kwa 0684 408 755 Wasap: 0745 848 395
-
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWEIli uweze kufikia Malengo na MAFANIKIO unayotaka lazima ukubali kuacha baadhi ya mambo🤷MAFANIKIO kwako yanaweza kuwa na maana tofauti ,Kila mmoja wetu na wengi wetu hutafsiri MAFANIKIO ni kama Pesa,umaarufu,majumba,magari,.Wengine hutafsiri kama MAFANIKIO kwako ni furaha,Amani,uhuru,inategemea ni JINSI Gani unaweza kutafsiri MAFANIKIO kwako wewe mwenyewe 👉Ukijua maana ya MAFANIKIO kwako…
-
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE 😊
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWEIli uweze kufikia Malengo na MAFANIKIO unayotaka lazima ukubali kuacha baadhi ya mambo…MAFANIKIO kwako yanaweza kuwa na maana tofauti ,Kila mmoja wetu na wengi wetu hutafsiri MAFANIKIO ni kama Pesa,umaarufu,majumba,magari,.Wengine hutafsiri kama MAFANIKIO kwako ni furaha,Amani,uhuru,inategemea ni JINSI Gani unaweza kutafsiri MAFANIKIO kwako wewe mwenyewe 👉Ukijua maana ya MAFANIKIO kwako…
-
Kitabu Siyo Ubwabwa
Mwanzoni utatumia gharama kubwa. Kuandika. Kuhariri. Kupata ISBN na Barcode. Kuchapa Huu ni uwekezaji, Kwa sababu kitabu siyo kama ubwabwa kwamba kikiiva unakula unananawa na kusubiri kuandaa kingine. Kitabu kikiiva, kimeiva, watu wanaendelea kula maarifa maisha yote, hata baada ya wewe kufa. www.songambele.co.tz
-
Usitafute ukamilifu mwanzoni mwa kuandika Kitabu Chako, tafuta kuanza
Lakini ninachoandika mbona siyo kizuri, anajiuliza mmoja wa waandishi. Ukweli ni kuwa wewe mwanzoni Anza kuandika TU, andika hata kama mwanzoni huoni huo uzuri. Baadaye utaboresha
-
Usisubiri Uwe na Muvi Kichwani Ili uandike kitabu chako. Una mengi ya kuandika leo
Anayekwambia kwamba usubiri mpaka uwe na muviq kichwani Ili uandike kitabu chako anakudanganya. Wewe hapo ulipoq na ninavyokuona wewe una mengi ya kuandika haya yote yanaweza kuwa chanzo Cha wewe kuandika na kukamilisha kitabu chako. Kila la kheri kupata usimamizi au msaada wa kuandika Kitabu Chako tumia 0678 848 396
-
Aina Tano Za Uwekezaji Ambazo Unaweza Kufanya Leo Hii, Zikakupa Faida Hapa Duniani Na Hata Pale Uakapokuwa Umetangulia Ahera
Kuna aina za uwekezaji ambazo unaweza kufanya leo hii, zikaweza kukuletea faida ukiwa hapa duniani, hata itakapofika hatua ukatangulia mbele ya haki, bado utakuwa unaengeneza faida hapa duniani. Unajua aina hizi za uwekezaji ni zipi? Aina ya kwanza ni uwekezaji kwenye hisa Kama utachagua aina nzuri ya uwekezaji na ukaufanya kwa msimamo, nakuhakikishia kuwa…
-
Gharama ya uandishi wa kitabu ni uwekezaji. Hii hapa ni sababu Kwa Nini?
Gharama unayotumia mwanzoni kwenye kuandika Kitabu Chako, ni uwekezaji. Kitabu kikishakamlika. Kitaendelea kuwepo maisha yako yote na hata baada ya wewe kuaga Dunia. Uandishi wa kitabu ni kazi unayofanya mara Moja ila unalipwa maisha yako yote. Hata baada ya kufa, kitabu kinakutengenezea faida ukiwa duniani na hata ukiwa ahera. Godius Rweyongeza +255755848391
-
Muda wa kuandika Kitabu unausubiri utoke wapi?
Utasikia mtu anakwambia nasubiri siku niwe na muda wa kutosha Ili niandike. Sikiliza. Tena sikiliza vizuri. Muda wa kutosha haupo.Hakuna mwandishi mwenye muda wa kutosha.Kila mwandishi yuko bize. Ila muda mchache TU anaopata anaandika. Hata wewe Fanya hivyo. Kusubiri muda wa kutosha Ili uandike kitabu chako ni uongo. Hatusubiri tuwe na muda wa kutosha Ili…
-
Ile kozi fupi inayokuelekeza namna ya kupakua vitabu mtandaoni hii hapa
Habari ya leo rafikii yangu, umeshaipata ile kozi fupi ambayo inakuelekeza hatua kwa hatua namna ya kupakua vitabu mtandaoni? Kama hukupata hii kozi, muda wako mzuri wa kuipata ni sasa. Unaweza kuipata sasa. Itakusaidia wewe kuweza kupakua kitabu chochote kile mtandaoni. Itakusaidia wewe kuondokana na hali ya kulipia kila kitabu kila unapokihitaji. Utalipia mara moja…
-
Usifanye kosa la kujiajiri kama hujui hiki kitu
Una mpango wa kujiajiri? Hakikisha kuwa hauchukui hatua ya kujiajiri kama huna ufahamu wa jambo hili Moja.Jambo hili ni kwamba, kama huwezi kujisimamia mwe yewe kutekeleza majukumu Yako, usijiajiri. Kama Bado unasubiri watu wakusimamie ndiyo utekeleze majukumu Yako, usianzishe biashara ya namna yoyote. Pengine unajiukiza Kwa Nini.Jibu la haraka ni Kwa sababu hiyo biashara Yako…
-
App hii hakikisha unaiweka kwenye simu yako, tena iweke sasa hivi
Mara kwa mara huwa nikikutana na app ambayo ni nzuri, basi huwa siachi kukushirikisha na wewe ili uweze kunufaika na kile kilichomo kwenye app husika. Nimekuwa nikifanya hivyo hapa mara kwa mara. Siku kadhaa zilizopita nilikutana na app inayoitwa the secrets of the billionaires mind, niliipakua na kuiweka kwenye simu yangu. Kiukweli imekuwa ni…
-
Jack Welch: Safari ya Uongozi na Urithi Wake Katika Ulimwengu wa Biashara
Jack Welch, ambaye jina lake kamili ni John Francis Welch Jr., alizaliwa tarehe 19 Novemba 1935, huko Peabody, Massachusetts, Marekani. Alijulikana sana kama mkurugenzi mtendaji wa General Electric (GE) kuanzia mwaka 1981 hadi 2001. Chini ya uongozi wake, GE iliongezeka thamani kutoka dola bilioni 12 hadi zaidi ya dola bilioni 410, jambo lililomfanya kuwa mmoja…
-
Wilbur na Orville Wright: Wawezeshaji wa Ndoto ya Kuruka
UtanguliziWilbur na Orville Wright, maarufu kama Ndugu wa Wright, wanajulikana kama waanzilishi wa safari za anga. Walifanikisha ndoto ya kuruka kwa kutumia mashine nzito kuliko hewa. Safari yao ya kuvumbua ndege iliyo na injini na inayoweza kudhibitiwa imekuwa msukumo mkubwa kwa wanateknolojia na wavumbuzi duniani kote. Ebook hii itachunguza maisha yao, kazi zao, na mafanikio…