-
Jinsi Ya Kupata Vitabu Vyangu Bure Kabisa
Rafiki yangu mpendwa salaam. Hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana. Leo nataka nikupe siri kubwa na nzito aambayo umekuwa huifahamu. Na siri hii ni kwamba, unaweza kupata vitabu vyangu bure kabisa Unachotakiwa kufanya ni kitu kimoja tu. Unachotakiwa kufanya ni kuleta watu ambao watanunua vitabu. Kwa kila kitabu utakacholeta mtu akanunua, utapata…
-
Nguvu ya Vitu Vidogo Kuelekea Mafanikio Makubwa
Kitabu hiki ni chanzo cha motisha na mafundisho ya kuhamasisha ukuaji na mafanikio ya kibinafsi. Kitabu hiki kinashughulikia umuhimu wa kutambua thamani ya vitu vidogo katika kufikia malengo makubwa. Hakikisha umepata nakala yako na kujifunza jinsi vitu vidogo vinavyoweza kukuza uongozi wako na biashara yako. Nakala ni 25,000/- tu. Namba ya malipo ni 0684408755 Lipia…
-
Je, Semina Ya Juni Ni Gharama Kubwa?
Najua utakuwa unasema kwamba semina hii ni gharama kubwa sana. Lakini ngoja ni kwambie kitu, ni mara ngapi umekuwa unapoteza fedha KWENYE VITU AMBAVYO HATA HAVINA NGUVU KUBWA KAMA SEMINA HII?Kuchukua laki moja na kuiwekeza kwenye semina kama hii ni uwekezaji wa kipekee ambao unapaswa kuufanya kwa ajili yako. KADIRI UNAVYOWEKEZA KIKUBWA, ndivyo inaonesha wazi…
-
Kosa Kubwa Ambalo Watu Hufanya Tunapozungumzia Kuhusu Kuweka Akiba
Salaam, tunapoongelea kuhusu kuweka akiba naona kuna kosa kubwa ambalo watu huwa wanafanya. Wengi wanafikiri kwamba akiba wanayoweka leo hii inapaswa kuja kutumika baadaye kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Hili ni kosa kubwa sana. Akiba siyo kwa ajili ya matumizi. Naomba uambatane nami sasa mwanzo mpaka mwisho ili nikueleweshe akiba ni kwa ajili ya…
-
Jinsi Ya Kutengeneza Mshahara Nje Ya Mshahara
JINSI YA KUTENGENEZA MSHAHARA NJE YA MSHAHARA ni kitabu kilichoandikwa na Godius Rweyongeza kinachoeleza namna mtu yeyote anavyoweza 1. Kuongeza kipato chake Cha Sasa hivi 2. Kufanya uwekezaji 3. Kutengeneza KIPATO chenye hadhi ya MSHAHARA wake wa Sasa. Kinapatikana kwa nakala ngumu na nakala laini. Wasiliana na +255 684 408 755 kupata nakala Yako sasa
-
Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa wachina. Ni Pipi china, kuliko kuinunua kwa Mangi Mtaani Kwako!
Siku siyo nyingi nilikuwa nikitafuta kipaza sauti cha kutumia kwa ajili ya kazi zangu. nilijaribu kuangaza hapa na pale kwa wasambazaji wa hivi vifaa hapa tanzania, ila kwa bahati mbaya sikufanikiwa. Hivyo, ilinibidi niagieze hivi vifaa kwa njia ya mtandao. Ilibidi niagize hivi vifaa moja kwa moja kutoka china. Kitu cha kwanza nilichokutana nacho ni…
-
Tatizo si rasilimali zilizopotea: Tatizo ni rasilimaliwatu tunaowapoteza
Tatizo si rasilimali zilizopotea, ni kitabu ambacho kimeeleza kwa kina kuwa changamoto, matatizo au kitu chochote kile ambacho unapitia, chanzo chake siyo rasilimali zilizopotea, walizoiba wazungu au hata zinazopotea sasa hivi. Tatizo kubwa ni rasilimaliwatu tunaowapooteza sasa hivi. Tunawapotezaje? Na nini kinatakiwa kufanyika sasa hivi? Tuingie ndani kwenye hiki kitabu ili twende sawa. Kila la…
-
Ulipata KOZI ya kupakua vitabu bure mtandaoni.
Rafiki yangu salaam. Hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Siku chache zilizopita tulizindua kozi fupi tu ambayo inakuwezesha wewe kupakua kitabu chochote kile mtandaoni. kwa kozi hii fupi, maana yake huu ndiyo unakuwa ni mwisho wa wewe kuendelea kulipia hela ili utumiwe kitabu chochote cha KIINGEREZA. Ni kozi fupi ambayo unaweza kujifunza muda…
-
UNATAKA KUJIFUNZA UANDISHI WA KITABU CHA KUVUTIA! !
JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU imekuwa chachu kwa wengi wanaotafuta kuvutia wasomaji wao. Sasa, pata nakala yako ya kitabu hiki kwa TZS 20,000/- tu! Anza kuandika kurasa zenye mvuto katika kitabu chako! Lipia kwa kutuma pesa kwenye namba: 0684 408 755 (Godius Rweyongeza) Endelea kufuatilia machapisho mazuri zaidi kupitia [Songambele](www.songambele.co.tz) na [Jifunze Uandishi](www.jifunzeuandishi.wordpress.com). Jiunge nasi…
-
Una habari ya semina yetu ya Juni, 29 2024
Rafiki yangu wa ukweli, salaam.
-
Unafeli wapi wewe Mzee mama. Mzee mama uko wapi?
Unafeli wapi wewe Mzee mama. Mzee mama uko wapi? Twende zetu Land mark hotel Juni 29. Maelelezo hayo hapo. Thibitisha ushiriki wako sasa https://chat.whatsapp.com/CAdCnW82i8N0clD2fDvn7v
-
Jichukulie wewe kama kampuni
Jichukulie wewe kama kampuni, kama ungekuwa kampuni watu wangekuwa wanahamasika kuwekeza katika kampuni hii (ambayo ni wewe) au wasingekuwa na hamu kabisa. na swali tamu sana kuhusi hili kwamba je, ungekuwa unawekeza kwenye kampuni ambayo ni wewe, ungewekeza kwenye wewe? SOMA ZAIDI: Jambo Moja Kubwa La Kujifunza Kutoka Kwa Kampuni ya Alibaba JINSI YA KUMILIKI…
-
Kitabu hicho hapooo. Jinsi Ya kuongeza thamani yako
Kitabu hicho hapooo. Jinsi Ya kuongeza thamani. Kisome, uongeze thamani yako zaidi ya sasa. Fanyia kazi utakayojifunza uanze kulipwa mara kumi zaidi ya sasa. Zijue aina za unzip mazopaswa kuanza kufanyia kazi sasa hivi. Zinalipa sana Zifahamu njia za kuongeza thamani yako, kazini, ofisini au sehemu yoyote ile. Na huo ndio mwanzo rafiki yangu Kitabu…
-
Vitu 33 Unavyopaswa Kuanza Kufanyia Kazi!
Unataka kuwa na mwanzo wa kushangaza kuelekea mafanikio? “Nguvu ya Kuchukua Hatua ya Kwanza” kitabu kilichoandikwa na Godius Rweyongeza kina vitu 33 ambavyo unaweza kuanza kufanyia kazi leo! Sura ya Tano inafichua vitu hivi muhimu na jinsi ya kuvifanyia kazi. Pata mbinu za kujenga tabia bora na kuanza kuchukua hatua mara moja. Anza safari yako…
-
Namba Zetu Za Malipo
Namba za malipo ya vitabu: Namba za lipa TIGO PESA: 19016638 Jina ni SONGAMBELE CONSULTANTS M-PESA: 5564517 jina ni GODIUS GORDIAN RWEYONGEZA Namba za kawaida AIRTEL MONEY: 0684408755TIGO PESA: 0655 848 392M-PESA: 0745 848 395 Kote jina ni GODIUS RWEYONGEZA NB: Kama namba ya malipo anatumiwa mtu ambaye yuko nje ya nchi. Iandikwe Kwa kuanza…
-
Karibu Kwenye Programme Ya Uandishi (CHUO CHA WAANDISHI)
Karibu kwenye programme ya uandishi (CHUO CHA WAANDISHI) Hii Ni programme maalumu kwa ajili yako wewe unayetaka kujifunza uandishi wa vitabu, makala pamoja wewe unayetaka kuandika (historia ya maisha yako). Je, wewe ni mtu wa aina hii, basi soma kwa umakini hapa ili uweze kung’amua mambo mengi mazuri kwa ajili yako! Kozi hii inaendeshwa kwa…