-
Usifanye kitu mara moja…
Kama unataka kubobea kwenye kitu, usifanye hicho kitu mara moja. badala yake kifanya mara kwa mara na kwa mwendelezo. Kadiri unavyofanya kitu au kazi mara kwa mara inakupa nguvu na ufanisi na hata kujiamini. Marudio yako kwenye kufanya kazi yanakufanya uzidi kubobea na hatimaye unakuwa bingwa. Mchezaji bora wa mpira wa miguu siyo yule ambaye…
-
Uchambuzi Wa Kitabu: 25 Hours a Day; Going One More to Get What You Want
Mwandishi: Nick BareMchambuzi: Hillary MrossoSimu: 255 683862481 UTANGULIZIKaribu katika uchambuzi wa kitabu bora sana cha 25 Hours a Day. Kikiwa na maana ya kwenda hatua moja zaidi kupata kila unachokitaka. Mwandishi ametumia uzoefu wake wa kijeshi kutengeneza nidhamu kubwa kwenye maisha yake binafsi, maisha ya biashra na mafanikio. Kama unavyojua jeshini kikubwa ni nidhamu ya…
-
Aina Tatu Za Ujuzi Unaohitaji Ili Kuongeza Thamani Yako Na Kula Mema Ya Nchi
Kwenye hii makala ningependa tuongelee aina tatu za ujuzi ambao ukiwa nao kwenye hizi zama ni wazi kuwa unaenda kufanya vizuri na hata kuweza kufikia viwango vikubwa na vya hali ya juu sana kuliko unavyotegemea. Najua umewahi kushauriwa kujifunza aina nyingi za ujuzi, ila kwenye aina hizo zote za ujuzi ambao umewahi kushauriwa kuwa nao,…
-
Kitabu ChaNGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA: Utangulizi wa kitabu kama ulivyoandika kwenye kitabu chenyewe
Habari ya siku ya leo rafiki yangu, siku ya leo ningependa nikushirkishe Utangulizi wa kitabu cha NGUVU ya vitu vidogo kama ulivyoandikwa kwenye kitabu chenyewe. Nina hakika wewe mwenyewe utaufurahia, baada ya kuwa umesoma Utangulizi huu, usisite kujipatia nakala ya kitabu hiki kwa kuwasiliana nami mwandishi kwa simu 0755848391. Sasa utangulizi wenyewe huu hapa chini.…
-
Vitabu Viwili Unavyopaswa Kuhakikisha umesoma mwezi huu wa tisa
Habari ya leo rafiki yangu, siku ya leo ningependa kwa ufupi nikwambie vitabu vitano ambavyo unapaswa kusoma ndani ya mwezi huu wa tisa. Bila kupoteza muda, vitabu vyenyewe ni 1. The school of money Hiki ni moja ya kitabu muimu sana ambacho unapaswa kusoma hasa kuhusiana na suala zima la fedha. Kitabu hiki ndani yake…
-
JINSI UBUNIFU UNAVYOWEZA KUKUINUA KWENYE BIASHARA
Siku moja nilikuwa naongea na rafiki yangu Edius Katamugora, akawa ameaniambia juu ya kinyozi aliyekuwa anatengeneza app ya kuwakumbusha wateja kurudi kunyolewa. Yaani, app yenyewe ingekuwa inafanya kazi hivi, Pale Ambapo ungekuwa unaenda kunyoa kwa yule fundi kinyozi, angekuwa anachukua namba yako, saa chache baada ya kuwa umenyoa app ingekutumia ujumbe kukushukuru kwa kuja konyoa.…
-
Vitu vitano ambavyo hupaswi kuvipoteza kwenye safari yako ya mafanikio
Siku ya leo nataka nikwamie vitu viwili vikubwa sana ambavyo hupaswi kupoteza kwenye safari yako ya kufikia ndoto zako. Kwanza usipoteze ndoto yako kubwa Hiki ni kitu muhimu sana. ukipoteza ndoto zako maana yake unapoteza ile motisha na ile nguvu ya kukusukuma wewe kuweza kufanya kitu cha tofauti. Mara zote na sehemu zote hakikisha kwamba…
-
NGUVU YA KUFANYA MAZOEZI
Ukitoa jasho jingi wakati wa mazoezi, utavuja damu kidogo wakati wa vita Siku moja rafiki yake Kobe Bryant alimtembela Kobe, sasa wakati wanaongea wakawa wamekubaliana kuwa kesho yake alfajiri yule rafiki yake Kobe ambaye pia alikuwa kocha angekuja kushirikiana na Kobe kwenye kumsaidia kufanya mazoezi. Wakawa wamekubaliana muda wa kukutana ambao ulikuwa ni saa kumi…
-
Njia nzuri ya kuwaambia watu wakulipe katika kipindi hiki ambacho gharama za miamala zimeongezeka
Nakumbuka mwaka juzi baada ya kuwewa kwa tozo za miamala kwa njia ya simu niliandika makala moja ndefu sana kuhusiana na namna ambavyo tungeweza kukabialiana na hiyo hali kwa ustadi zaidi. Utakumbuka kwenye hiyo makala nilieleza wazi kuwa moja ya eneo ambalo tunapaswa kulitumia vizuri kwenye kuweka akiba katika kipindi hicho ambacho miamala ya simu…
-
Sehemu sahihi ya kuweka akiba yako
Jana kwa nyakati tofauti watu watatu walinipigia na kuniuliza swali ambalo kwangu lilikuwa ni kama swali moja tu. japo kila mtu alikuwa na namna yake ya kulitoa hilo swali, ila kilichonishangaza ni kuwa hilo swali lilikuwa na vipande vitatu muhimu ambavyo vinafanana. Kwanza kila mtu alitaka kuweka akiba sehemu nzuri Sehemu ambayo haina makato Sehemu…
-
Uchambuzi wako pendwa umesomwa kwa sauti (Kitabu cha how to stop worring and start living)
Wiki hii kweney blogu ya songambele tumefanya uchambuzi wa kitabu c ha How to stop worrying and start living. ni uchambuzi ambao umesomwa na watu wengi na wengi wameupenda. kutokana na hilo tumeona ni vyema ukasomwa kwa sauti, na hiki kitu ndicho kimenisukuma niulete hapa siku ya leo. huu hapa chini ndio uchambuzi wa kitabu…
-
Vitu Vitano Vitakavyokuzuia wewe kufanikisha malengo yako
Siku siyo nyingi nilipokea ujumbe kutoka kwa mmoja wa watu wanaofuatilia kazi zangu mtandaoni. Kitu kikubwa sana ambacho aliweza kuniambia ni kuwa anapata changamoto hasa anapoweka malengo, anashangaa siku zinaenda ila hayo malengo yake hayatimiii. Sasa siku ya leo kwa namna ya kipekee ningependa kumjibu huyu rafiki pamoja na watu wengine wengi ambao wanawakuwa na…
-
Uchambuzi Wa Kitabu: How To Stop Worrying and Start Living
NB: kusikiliza makala hii kwa njia ya sauti. Bonyeza hapa Kitabu: How To Stop Worrying and Start Living Mwandishi: Dale Carnegie Mchambuzi: Hillary Mrosso Simu: +255 683 862 481 Utangulizi Jina la kitabu hiki lenye maana ya Namna ya kuachana na hofu na kuanza kuishi. Ni kitabu bora sana kinachoelezea namna ya kukabiliana na hofu…
-
Kiashiria Kuwa Unatakiwa Kuchapa Kazi Kubwa Zaidi Ya Unavyofanya Sasa
Ukiona bado unatumia nguvu kubwa kujieleza kwa watu ili waweze kukufahamu wewe ni nani, basi fahamu kuwa bado unahitaji kuweka juhudi kubwa na kazi kubwa zaidi, ili kupata unachotaka. Chapa kazi kiasi kwamba ifikie hatua, ukisema kwamba mimi ndiye John Makene, basi kila mtu ajue wazi kuwa ni wewe, siyo unaanza kujieleza sana ili ufahamike.…
-
Kitu Kimoja Muhimu Unachohitaji kufahamu Kuhusu Uwekezaji
Rafiki yangu leo nataka nikwambie kitu kimoja na muhimu sana unachohitaji kufahamu kuhusu uwekezaji. Na kitu hiki siyo kingine bali ni kuwa usiwekeza kwenye kitu ambacho wewe mwenyewwe huelewi. Kamwe usikubali kuitoa fedha yako ambayo umeihangaikia kwa jasho kubwa kuiwekeza kwenye kitu ambacho wewe mwenywewe huelewi. Hakikisha kabla ya kuwekeza unajirisha kwa undani kuwa kitu…
-
Kitu Muhimu Kuhusu Fursa
Habari ya upande wa huko rafiki yangu, bila shaka unaendelea vizuri kabisa. Mimi nakusalimia hapa kutoka mjini Morogoro.Leo nimeukumbuka ujumbe mmoja ambao niliwahi kuusoma siku za nyuma. Ujumbe huu sijauandika mimi, ila una funzo kubwa sana kuhusiana na fursa. Na ningependa na wewe uusome.Sina shaka utaniambia kitu kikubwa ulichojifunza baada ya kuwa umeusoma. Ujumbe mwenyewe…
-
Tegemea hiki endapo utasoma kitabu Cha Godius Rweyongeza
Ni kitabu kipi Cha Godius Rweyongeza umewahi kusoma? Kama hujawahi kusoma kitabu chake chochote Basi huu unaweza kuwa Ni wakati wako muafaka wa kuhakikisha kuwa unasoma kitabu chake hata kimoja. Kitu kikubwa unachopaswa kutegemea kutoka kwenye vitabu vyake ni kuwa kitabu chake chochote utakachosoma utapata thamani zaidi ya vile ulivyolipia. Ukinunua kitabu Cha elfu tano,…
-
Ni marufuku kwako kutumia hii kauli kuanzia leo hii
Moja ya kauli ambayo watu wamekuwa wanapenda kutumia ni kauli ya ninapoteza muda. Mtu anapotumia kauli hii maana yake hana kitu chochote cha maana cha kufanya kwa sasa, hivyo, kitu pekee anachoweza kufanya ni kupoteza muda. Hivi kweli rafiki yangu, unaweza kukosa kitu cha maana cha kutumia kwenye muda wako. Kuanzia leo hii nataka kabisa…
-
Kitu cha kufanya kama unataka kupata matokeo ya tofauti
Moja ya kitu ambacho watu huwa wanapenda kwenye maisha ni kupata maisha ya tofauti na maisha mazurri. Sasa leo nataka nikuoneshe ni kitu gani haswa unapaswa kufanya kama unataka kupata matokeo ya tofauti kulinganisha na vile ambavyo umekuwa unapata siku zote. Kwanza kabisa kama unataka kupata matokeo ya tofauti unapaswa kuwa mtu wa tofauti. Hapa…
