-
KUWA ORIGINAL
Siku moja mwaka 2016 wakati naanza uandishi nilikaa mezani na kufikiria kitu cha kuandika, ila nikawa nimeshindwa namna ya kuanza kuandika na hata nikawa sielewi nawezaje kuendelea kuandika. Baada ya kukaa kwa muda bila kuona matokeo yoyote yale, niliamua kuingia whatsap na nikawa nasoma makala za hapa na pale. Hapo ndipo nikakukutana na makala ya…
-
Maisha hayana fomula ila yanakuhitaji uwe na fomula
Siku moja dereva mmoja wa bodaboda alikuwa anaendesha bodaboda yake kutoka eneo moja kwenda jingine. Akiwa njiani, alipata ajali akawa ameanguka chini. watu walikimbia haraka kwa ajili ya kuhakikisha kwamba wanamsaidia. Kitu cha kwanza watu walichoona ni shingo kupinda. Hivyo, walianza harakati za kumpa huduma ya kwanza na hapa waliamua kurudsha shingo kwenye eneo lake.…
-
Subscribe kwenye channel yangu ya YouTube Sasa.
Rafiki yangu, hivi unajua kwamba huwa natoa baadhi ya mafunzo kwenye channel yangu ya youtube? Mara kwa mara nimekuwa nikitoa mafunzo huku. Na wewe unaweza kuyafuatilia kupiatia hapa. Subscribers kwenye channel hii walikuwa bado hawajafika hata elfu moja 😂😂, ila wiki hii ni muda wa kufanya hivyo, au wewe unasemaje? Bado watu 50 tu. wewe…
-
Sababu Tano (05) kwa nini unapaswa kuukataa umasikini
Limekuwa ni kama jambo la kawaida kusikia watu wanajiita masikini, wanyonge. Kuna watu wanajisifia kuwa masikini kama vile kuwa maskini jambo la kheri au jambo la sifa. Kwa kulifahamu hili, siku ya leo ningependa kukupa sababu 15 kwa nini unapaswa kuukataa umasikini. Kweli kabisa, unapaswa kuukataa umasikini kwa nguvu zako zote. Kwanza kwa sababu umasikini…
-
Kwa Nini Watu Wenye Kipaji Hushuka Kiwango
Nadhani umewahi kusikia hili, kuwa wachezaji au wasanii au hata wawekezaji wameshuka viwango. Unakuta mtu mwanzoni alikuwa na kipaji na uwezo mzuri sana ambao alikuwa akiutumia kwa viwango vikuwa na viwango vya hali ya juu, ila kadiri siku zinavyoenda basi mtu huyo anazidi kushuka viwango mpaka kufikia hatua ambapo inadhihirika kuwa kiwango chake kimeshuka. Sasa…
-
Uchambuzi wa Kitabu: The Leader Who Had no Title (Kiongozi Asiye na Cheo); Mambo 200 Niliyojifunza katika kitabu hiki.
Mchambuzi: Hillary MrossoMawasiliano: 255 683 862 481 UtanguliziDhana ya uongozi imekuwa na maana nyingi, na watu wengi hawajui maana halisi ya uongozi, wengi wameshindwa kufanya makubwa, wengi wameshindwa kufanya maamuzi muhimu kwenye maisha yao kwasababu wanajiona hawapo kwenye nafasi ya kufanya hivyo. Mwandishi wa kitabu hiki, Robin Sharma anaweka wazi maana halisi ya uongozi, amefafanusha…
-
Sababu tano kwa nini utahitaji kutoa kitabu chako kwa njia ya mtandao kwanza kabla ya kukitoa kwa njia ya nakala ngumu
Unapozungumzia kutoa kiytabu chako kwa mfumo wanakala laini, basi swali ala kwanza ambalo watu huwa wananiuliza ni kuwa vipi kuhusu hakimiliki? Hili huwa ni swali kubwa sana ambalo watu huwa wanauliza. Kwenye makala ya leo ningependa kuongelea kwa nini unapaswa kutoa kitabu chko kwa mfumo wa nakala laini kwanza kabla ya kutoa kitabu hicho kwa…
-
Watu hawawezi kukupuuza siku zote
Siku ya leo nina ujumbe mfupi kwako rafiki yangu. Na ujumbe wangu Ni kwamba kama wewe unapambamia lengo au ndoto yako na unalifanyia kazi mara kwa mara, basi Kaa ukijua kuwa watu hawatakupuuza siku zote. Ndio wanaweza kukupuuza mara moja au mara mbili, Ila hawatakupuuza siku zote. Kuna siku watanyoosha mikono juu na kusema ngoja…
-
Sifa mbili ambazo ukiwa nazo, basi mafanikio kwako ni suala la muda tu
Siku ya leo ningependa nikueleze sifa mbili ambazo ukiwa nazo, basi ujue kuwa mafanikio kwako litakuwa ni suala la muda tu. unajua sifa hizi ni zipi.. Sifa ya kwanza ni sifa ya kufanya kazi kwa bidii Hakuna kitu chochote kile unachoweza kupata bila ya kufanya kazi, tena siyo tu kufanya kazi, bali kuhakikisha kwamba umefanya…
-
Mwonekano wa Bustani Yangu
Leo asubuhi nilienda bustanini kwangu. Wakati nikiwa bustanini, nilimtafuta rafiki yangu ambaye katika kuchati naye nikamwambia nipo bustanini. Na hapo nikamrekodia video fupi ya mwonekano wa Bustani yangu. Sina shaka na wewe ungependa kuiona. Na hata pengine kusema mawili matatu kuhusu hii Bustani. Japo nilikuwa sijapanga kurekodi video siku ya leo. Ila naamimi utakachoona utapata…
-
Sababu 15 kwa nini haupaswi kuwa na plan B
Kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kuikuwa na utani ambao ulikuwa unasambaa mtandaoni. Mmoja wa watu alitengeneza meme fulani hivi ambayo ilikuwa ikimwongelea waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa. Ilikuwa inasema kuwa kila mara unapaswa kuwa na Plan B kama Lowassa. Amekatwa CCM asigombee urais, amehamia CHADEMA, na sasa akishindwa kuingia ikulu kwa tiketi ya CHADEMA anahama…
-
Viashiria 15 kuwa kipaji chako kitakufikisha mbali
Rafiki yangu mpendwa karibu sana kwenye makala ya siku ya leo. Na leo tunaenda kuona viashiria 15 vinayoonesha kuwa kweli hiki kipaji chako ulichonacho kinaenda kukufikisha mbali. 1. upo tayari kuanza kidogo Kama upo tayari kuanza kidogo kisha kuendelea kukifanyia kazi kipaji chako ili kuhakikisha kwamba unakikuza na kukifikisha juu zaidi, basi hiki ni kiashiria…
-
Vitu 21 Ambavyo Ni Lazima Kufanya Hata Kama Una Kipaji Kikubwa
Rafiki, una kipaji si ndio! Hongera sana, mbali na kuwa una kipaji na unakifanyia kazi na una maono makubwa ya kukipeleka mbali kipaji chako mpaka kwenye ngazi za kimataifa. Ila kuna vitu vya msingi sana ambavyo hupaswi kuacha kufanya hata kama una kipaji kikubwa. kwenye hii sura ninaenenda kukushirikisha vitu 21 ambavyo hupaswi kuacha kufanya…
-
Vitu vitano (05) Vitakavyokufanya uheshimike
Rafiki yangu bila shaka unaendelea vyema kabisa. siku ya leo ningependa kukushirikisha vitu vitano ambavyo vitakufanya wewe uweze kuheshimika kwenye kazi, kwenye mahusiano na kwenye maisha kiujumla. Kwa hiyo, kama unataka kuheshimika rafiki yangu, hivi hapa ni vitu vitano ambavyo unapaswa kuanza kufanyia kazi mara moja. 1. KITU CHA KWANZA NI KUCHAPA KAZI Kazi ni…
-
Tofauti Kati Ya Kazi na Ajira
Kazi ni kitu ambacho kinampa mtu heshima. Na hata maandiko mbalimbali yamethibitisha na kusisitiza hili la kufanya kazi kwa namna tofauti tofauti, huku maandiko maarufu yakiwa yale yanayosema kwamba asiyefanya kazi basi asile. Rafiki yangu, kazi ni moja ya kipimo cha utu. Kwa hiyo, kama unataka kuheshimika kwenye jamii, basi fanya kazi. Kwa watu wengi…
-
Vitu Viwili Kuhusu Kipaji Ambavyo Hakuna Mtu Amewahi Kukwambia
Jana nilikuwa naangalia mahojiano kati ya mtengenezaji wa maudhui kutoka Ghana maarufu sana kama Wode Maya na msanii wa Zimbabwe Jah Prayzah. Kuna mengi waliyongea ila mimi binafsi niliondoka na mawili ambayo yamenigusa na ambayo nimeona nikushirikishe na wewe. Kitu cha kwanza kabisa Jah Prayzah alisema hivi, mimi sikuchagua kuwa msanii ila nilichaguliwa kuwa msanii.…
-
Kitu hiki kimoja kitakutofautisha wewe na watu wengine wenye kipaji kama cha kwako
Kama kuna kitu ambacho kinaweza kukutofautisha wewe na watu wengine wenye kipaji kama cha kwako basi kitu hiki siyo kingine bali ni kujifunza na kulielewa eneo ambalo unafanyia kazi kwa undani zaidi kuliko mtu mweingine yeyote. Yaani, unahakikisha kuwa taarifa zote za muhimu kuhusana na kipaji chako unakuwa nazo na unazitumia kwa manufaa kuhakikisha kwamba…
-
Hiki kitu Kimoja Tu, Kitakufanya Utumie Kipaji Chako Kwa Viwango Vikubwa
Leo asubuhi nimeamka na kuangalia video moja ambayo Kobe Braynat alikuwa akihojiwa na Patrick Bet-David. Moja ya swali ambalo Kobe Brayant aliulizwa ni kuwa ni msukumo gani ambao umekuwa ukimsukuma kujituma na kuhakikisha anakuwa jinsi anakuwa mchezaji bora. Kati ya mengi ambayo ameongea, kitu kikubwa amesema sitaki siku moja nije nianze kujuta kuwa ningeweza kuwa…
-
Sababu Sita Zisizopingwa Kwa Nini Unapaswa Kuendeleza Kiapaji Chako
Kwenye kitabu cha Acres of Diamond, mwandishi ameeleza historia ya jamaa ambaye aliambiwa kuwa ukiwa na almasi yenye ukubwa kidole unaweza kuimiliki dunia. Huyu jamaa kusikia hivyo, aliamua kusafiri kwenda kuitafuta dhahabu ambayo mwisho wa siku hakuipata! Siku hizi bado watu wanatafuta dhahabu! Utasikia watu wanapeana stori kuwa ukienda kwenye machimbo ya Geita au Mererani…
-
Jinsi Ya Kutangaza Kipaji Chako
Moja kati ya kitu ambacho nimekuwa nikiwaambia watu wengi ni kuwa tuna bahati ya kuishi kwenye ulimwengu wa leo tunaoishi. Mababu zetu wangekuwa wanarudi leo hii na kuona fursa kibao zilizotuzunguka, ni wazi kuwa wenyewe wangetuonea gere. Mambo ambayo miaka hiyo yalikuwa hayawezekani, leo hii yanawezekana, tena siyo kwamba yanawezekana kidogo, yanawezekana sana tu. Ebu…
