-
Namba Zetu Za Malipo
Namba za malipo ya vitabu: Namba za lipa TIGO PESA: 19016638 Jina ni SONGAMBELE CONSULTANTS M-PESA: 5564517 jina ni GODIUS GORDIAN RWEYONGEZA Namba za kawaida AIRTEL MONEY: 0684408755TIGO PESA: 0655 848 392M-PESA: 0745 848 395 Kote jina ni GODIUS RWEYONGEZA NB: Kama namba ya malipo anatumiwa mtu ambaye yuko nje ya nchi. Iandikwe Kwa kuanza…
-
Wasiliana na Godius Rweyongeza Sasa
Habari yafuatayo ni mawasiliano Unayoweza kutumia kumpata GODIUS RWEYONGEZA Simu: +255 (0) 684408755 Whatsap: +255 (0) 755848391 Email: songambele.smb@gmail.com Kupata vitabu vyake wasiliana Moja kwa Moja na +255 (0) 684408755
-
Muda Sahihi ni…
Chukua hatua sasa Ungependa kuanza kuandika kitabu chako👇🏿 https://chat.whatsapp.com/G9kNW2SIIoR6DL8s8GuyRe
-
Nukuu 13 Za Kufikirisha:
1: 2: 3: 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13.
-
Nukuu Za Kufikirisha:
1: 2: 4: 5. 6: 7: 8: 9: 10: 11: 12: 13: 14: 15: 16: 17:
-
Jinsi Ya Kupanga Kitabu Chako Kwenye Simu
Umeandika kitabu chako kwenye simu na ungependa kukipanga kwa haraka ili kujua kina kurasa ngapi? Karibu sana kwenye video ya leo ambayo ninaenda kukueleza namna ya kufanya hivyo pamoja na mengine zaidi. Bonyeza hapa kuitazama Rafiki yangu kuna mafunzo mengi zaidi ambayo huwa natoa kwenye audio na mafunzo haya unaweza kuyafuatilia zaidi kwenye youtube hapa.
-
Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu vyanzo vingi vya kipato
Rafiki yangu mpendwa salaam, leo nataka nikwambie mambo machache kuhusu vyanzo vingi vya kipato Kwanza hakikisha kwamba unakuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha kipato. kwa vyovyote vile, usikae na chanzo kimoja tu cha kipato, mara nyingi chanzo kimoja cha kipato kikipata changamoto basi huwa unakuta kwamba watu wengi wanakutana na changamoto za kipato. Hivyo.,…
-
Nukuu 20 Za Kufikirisha:.
1: 2: 3: 4: 5: 6: 7: 8: 9: 10: 11: 12: 13: 14: 15: 16: 17: 18: 19: 20:
-
Ni lini uayakatie tamaa MALENGO Yako
Rafiki yangu salaam, hongera sana kwa kazi. Mtu mmoja ameniuliza ni lini ninapaswa kukatia tamaa MALENGO na ndoto zangu. Ni vigumu kidogo kujibu swali hili, lakini ukweli ni kuwa muda sahihi wa kukatia tamaa MALENGO na ndoto zako ni pale unapokuwa umetumia kila namna na kwa kila mbinu na Bado ukaona unakwama. Ukweli ni kuwa…
-
Vitabu vya Fedha Unavyopaswa Kusoma Ili Kuweka Msingi Imara wa Maendeleo ya Kifedha Katika ulimwengu wa sasa ambapo usimamizi wa fedha unahitaji umakini na maarifa, vitabu vinatoa mwongozo wa kipekee kwa watu wanaotaka kuboresha hali yao ya kifedha. Kama unataka kuelewa jinsi ya kutumia pesa zako vizuri, kuwekeza kwa busara, au kuongeza vyanzo vyako vya kipato, basi vitabu hivi vitakupa maarifa sahihi na vitendo vya kuchukua ili kufanikisha malengo yako. 1. NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO Kitabu hiki kinafundisha umuhimu wa kuwa makini na maamuzi madogo ya kifedha unayofanya kila siku, ambayo yanaweza kuleta mabadiliko makubwa kwa muda mrefu. Mwandishi anaeleza kwa ufasaha jinsi vidogo vinavyopelekea mafanikio makubwa, ukiweka nidhamu na mwendelezo katika mipango yako ya kifedha. 2. VYANZO VINGI VYA KIPATO Katika kitabu hiki, utajifunza namna ya kuongeza vyanzo vya kipato na jinsi ya kuvifanya vipato vyako vikupe uhuru wa kifedha. Mwandishi anaeleza kwa ufasaha njia mbalimbali za halali kabisa na za busara unazoweza kuzitumia kuongeza fedha unazopata. 3. JINSI YA KUTENGENEZA MSHAHARA NJE YA MSHAHARA Kama mshahara wako hautoshi kugharamia maisha yako kikamilifu, basi kitabu hiki ni mwongozo sahihi. Kitakufundisha jinsi ya kubuni njia za kuongeza kipato nje ya mshahara wako wa kila mwezi, pamoja na mikakati madhubuti ya kufanikisha malengo hayo. 4. MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA Anzisha biashara yenye mafanikio kwa kuelewa hatua na mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuchukua hatua. Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa vitendo kwa kila mtu anayetaka kuingia katika ulimwengu wa biashara, kikieleza hatua kwa hatua mambo ya msingi ya kuhakikisha biashara yako inafanikiwa.
1. 1. NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO Kitabu hiki kinafundisha umuhimu wa kuwa makini na maamuzi madogo ya kifedha unayofanya kila siku, ambayo yanaweza kuleta mabadiliko makubwa kwa muda mrefu. Mwandishi anaeleza kwa ufasaha jinsi vidogo vinavyopelekea mafanikio makubwa, ukiweka nidhamu na mwendelezo katika mipango yako ya kifedha. 2. VYANZO VINGI VYA KIPATO Katika…
-
Kitabu Cha VYANZO VINGI VYA KIPATO kinahusu Nini?
Kitabu changu VYANZO VINGI VYA KIPATO kinazungumzia mbinu mbalimbali za kutengeneza kipato zaidi ya chanzo kimoja. Kinaeleza umuhimu wa kuwa na vyanzo vingi vya mapato ili kuepuka kutegemea chanzo kimoja tu, ambacho kinaweza kuwa na changamoto mbalimbali. Bila kuwa na vyanzo vingi vya kipato, unaweza kujikuta na vyanzo vingi vya mahangaiko na wasiwasi wa kifedha.…
-
NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA: Kitabu Kinachobadilisha Mtazamo Wako wa Kifedha
Katika ulimwengu wa sasa, mafanikio makubwa hayaji kwa bahati nasibu. Mara nyingi, ni matokeo ya maamuzi madogo yanayofanywa kila siku—maamuzi ambayo huenda wengi wetu tunayaona yasiyo na umuhimu wa haraka. Lakini ukweli ni kwamba, vidogo hivi ndivyo vinavyokusanya nguvu kubwa kwa muda mrefu na hatimaye kubadilisha kabisa hali ya kifedha ya mtu. Hapa ndipo “NGUVU…
-
NAKALA LAINI 1. YA KITABU NA AUDIO BOOKS 6 ZA VITABU.
1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.
-
Nakala 13 Za Vitabu:
1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13.
-
Nukuu 14 Za Kufikirisha.
1: 2: 3. 4. 5. 6. 7: 8. 9. 10: 11. 12. 13. 14.
-
Picha Ya Nakala 5 za vitabu:
1. 2. 3. 4. 5.
-
Nukuu 7 Za Kufikirisha.
1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.
-
Ni njia zipi unazitumia kusambaza bidhaa au hudhuma zako?
rafiki yangu mpendwa salaamleo nataka tuongelee ni njia ambazo unazitumia kuhakikisha kwamba unasambaza bidhaa zako? Una njia moja, mbili au zaidi! Ninachotaka kukwambia siku ya leo ni kwamba kadri unavyokuwa na njia nyingi zaidi za kusambaza bidhaa zako ndivyo ambavyo unakuwa na uwezo wa kuwafikia wateja wengi kuliko pale unapokuwa na njia chache. Hivyo kama…
-
Mazoea ni mabaya sana
Mwaka fulani wakati wa mahali la saba wanafunzi waliimba wiMbo fulani unaosemaMazoea ni mabaya sana*2Wimbo huu ulikuwa ni kuwaaga darasa la saba ambao walikuwa wanamalizia masomo yao na kwenda hatua inayofuata. Sikumbuki nilikuwa darasa la ngapi kwa wakati hu[, na wimbo wenyewe siukumbuki vizuri sana, ila nakumbuka kiitikio kilikuwa kinaanza hivyo Mazoea ni mabaya sana…
-
Kwa nini tunapaswa kuwafundisha watoto fikra za kijasiriamali tokea wakiwa shuleni
Watoto wetu wanapaswa kufundishwa fikra za kijasiamali tokea wakiwa shuleni. Haijalishi kama watakuwa wajasiriamali na wafanyabiashara au hawatakuwa, lakini bado tunapaswa kuwafundisha wawe na fikra hizi maana zitawabeba sana kwenye maisha yao. Kwenye video hii nimeeleza kwa undani na kwa kina kuhusiana na hii dhana na namna ambavyo tunaweza kuanza kuitumia mara moja.
-
Nukuu 12 Za Kufikirisha:
1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11.
-
Uoga wako ndiyo umasikini wako
Watu wengi wanashindwa kuchukua hatua kwenye maisha kwa sababu tu ya kuwa na uoga. Kwenye somo la leo tunaenda kuona ni kwa namna gani unaweza kuondokana na uoga na kuweza kufanya makubwa. Haya twende kazi sasa