-
NIMEZALIWA MSHINDI; Kauli Muhimu Ambazo Unapaswa Kuzitumia
Wahenga walisema kwamba meneno huumba. Hii ni kauli muhimu sana ambayo unahitaji kuifahamu na kuitumia kwenye maisha yako kwa ajili ya kupata kilichobora. Kila kauli unayoitoa huwa inaleta madhara yake, kwako. Ukisema kwamba kwa hakika hili siliwezi, basi umemaliza. huliwezi kweli! Ukisema mimi ni mjinga, ni kweli wewe utakuwa mjinga. Kumbe kama maneno yanaumba basi…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; AMUA➡AMINI➡PATA
“napoamua kwamba nitafanya kitu fulani, inatosha, maana uamuzi huwa unafanya Mara moja tu’ alisema Tonny Robbins mwandishi na mjasiliamali wa kimarekani. Kwa kitu chochote Kile unachotaka uamuzi huwa unafanyika Mara moja. Ndio maana ukienda dukani kununua kitu hurudii rudii kitu kilekile Mara kwa Mara. Bali ukisema niletee nguo fulani basi unakuwa umemaliza. Au ukifanya muamara…
-
Huwezi Kumkodisha Mtu Wa Kukupigia Push Up
Habari za leo rafiki yangu. Imani yangu kuwa umeamka vizuri asubuhi ya leo na unaenda kufanya makubwa. Leo tuangalie jinsi ambavyo huwezi kumkodisha mtu kukupugia push up Najua huwa unasoma vitabu na makala nyingi sana za kuelimisha na kukuhamamisha kila siku. Kama ulikuwa hujaanza kufanya hivyo anza leo. Mambo yote ambayo unayasoma na kuhamasika hayatafanya…
-
Nani Anaweza Kuniambia Kichwa Cha Makala Hii?_
1.Safari ya maili mia moja huanza na maili moja.Ghorofa kubwa imejengwa kwa matofali hvyo chochote kikubwa unachohitaji kinaanza na hatua ndogo usikate tamaa 2.Kuna hazna tatu muhimu unazoweza kuzitumia kwenye maisha yako. (@)ya kwanza ni huruma,kuwa na huruma. (@)hazina nyngne ni kutokutumia zaidi ya unachopata(ubahiri) (@)kutokwenda kinyume na sheria za asili. 3.Maneno ya kweli sio…
-
NIMEZALIWA MSHINDI: IJUE KANUNI YA PASI NA HAKIKISHA UNAITUMIA
Habari za siku hii ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za songa mbele blog. Leo ni siku njema sana kwetu na tunaenda kuweka juhudi kubwa sana kuhakikisha kwamba tunaweza kufikia mafanikio makubwa sana.Kumbuka kwamba leo ni siku ya tofauti na siku nyingine ambazo umewahi kukutana nazo maishani mwako. Weka juhudi kubwa sana…
-
HII NI BARABARA AMBAYO UNAWEZA KUICHUKUA MAISHANI
Kuna mwanamziki mmoja aliwahi kusema kwamba “maisha ni safari, na ya kwangu ishanoa nanga”.Bila shaka safari ambayo anaizungumzia hapa sio safari nyingine bali safari ya kutoka sehemu moja ya chini na kwenda sehemu nyingine ya juu kabisa. Na hii inaweza kudhibitishwa na ukweli kwamba mwanadamu ni mtu ambaye siku zote anakua. Yaani tangu siku ya…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; NI BORA KUOMBA SAMAHANI KULIKO KUOMBA RUHUSA..
Moja kati ya vitu ambavyo unavihitaji katika dunia hii ni ubunifu. Nimegundua kitu ambacho kinawatofautisha waliofanikiwa na wale ambao bado wako chini ni ubunifu. Mara nyingi ubunifu huwa unatokana na mambo mawili Moja, kile ambacho wewe unaona kwamba ni shida kwako ila ukikitatua unaona ni msaada kwako na kwa watu wengine. Pili, shida ambazo zinawakuta…
-
Makosa Mawili (02) Ambayo Vijana Wanaoomba Kazi Wanafanya
Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele, Imani yangu kwamba leo ni siku bora na njema sana kwako. Unaenda kuweka juhudi na kuhakikisha kwamba umeweza kupiga hatua kubwa sana. Hakikisha kwamba unaweka juhudi na unafanya kazi zako kwa weredi wa hali ya juu sana ili uweze kufikia…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; Mambo Manne (04) Yatakayokufanya Ung’ae
Kama Unataka kuwa millionea lazima ufanye ambavyo mamilionea wanafanya. Kama unataka kuwa mwanamziki lazima ufanye kama ambavyo wanamziki wanafanya. Watafute watu ambao unaona kwamba wao wamefanikiwa katika sekta ambayo na wewe unataka kung’aa ili na upate sehemu nzuri ya kuanzia. Angalia wanafanya nini ila hakikisha kwamba unajitofautisha wewe mwenyewe na kufanya kwa namna ya tofauti.…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; Huyu Ni Mtu Ambaye Hashikiki Kwenye Karne Hii Ya 21.
Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele vitu navyo vinazidi kushuka na pengine vingine vinazeeka. Vipo vingine vinavyotoweka kabisa katika ulimwengu huu na kutoonekana. Mfano kuna wanayama ambao wanaitwa dinosaurs wanyama hawa wametoweka kabisa kwenye uso wa dunia na hawaonekani kabisa. Leo imebaki kuwa historia kwamba walikuwepo basi hauna mingine cha ziada. Labda tu pengine kuonekana kwenye…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kuwanasa Watanzania Wengi Kwenye Mtego Mmoja
. Habari za siku hii ya leo Rafiki na ndugu msomaji wa blogu Yako ya songambele. Imani yangu leo ni siku njema sana, na unaenda kufanya mambo makubwa sana. Jiambie kwamba hata iweje lazima leo nitoboe. Lazima leo nifanye mambo kwa namna ya tofauti sana. Kisha baada ya hapo nenda kazini kapige kazi. Kumbuka kwamba…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; Nje Au Ndani? Wapi Panafaa Zaidi?
Tunaishi katika dunia ambapo kila kitu kinapatikana kwa uwili. Yaani vitu vitu vingi vinaenda vikiwa na pande mbili mbili. Mfano huwezi kuzungumzia mbele bila kuzungumzia nyuma,Huwezi kuzungumzia juu bila kuzungumzia chiniHuwezi kuzungumzia kulia ukasahu kwamba kuna kushotoHuwezi kuzungumzia urefu ukasahau ufupi.Ukizungumzia juu ya suala la kukumbuka huwezi kusahau kwamba kuna kusahau,Ukizungumzia unene basi jua kwamba…
-
KONA YA SONGA MBELE; Hivi Ni Vitu Vinavyotafutwa Kwa Wanachuo Wanaotafuta Ajira
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Karibu sana katika makala hii ya siku hii ya leo tujifunze kitu kipya. Maana bila kujifunza kitu kipya tutaangamia. Maarifa siku hizi yana mwisho kikomo. Kama hutatafuta Maarifa mapya, basi jua kwamba unajifungia na kujifungia fursa njema sana ambazo zingekujia. Sasa karibuni…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; Maneno Huwa.
Ni kawaida yetu kuongea maneno mengi sana kwa siku tangu tunapoamuka, mpaka jioni tunapoenda kulala. Maneno ambayo tunayaongea ni mengi sana. Kuna utafiti uliwahi kufanyika na ukagundua kwamba mwanamke kwa siku anaongea maneno 20,000 wakati mwanaume kwa siku anaongea maneno 7,000. Utafiti huu ulifanyika katika chuo kikuu cha California nchini marekani. Kuna utafiti mwingine ambao…
-
Hivi Ndivyo Watu Wanapaswa Kuhukumiwa.
Habari za siku hii ya leo rafiki yangu imani yangu siku Yako ni njema sana. Hakikisha kwamba leo unaitumia vizuri sana maana leo hii ndio siku pekee kwako. Katika maisha ya siku hizi kuhukumu watu ni jambo la kawaida sana. MTU akikuona unafanya kitu fulani basi kitu kikubwa sana ambacho anafanya, anakimbilia kukuhukumu na kutoa…
-
NIMEZALIWA MSHINDI: zaeni mkaongezeke
Mungu alipomuumba mwanadamau kuna baadhi ya vitu ambavyo alimkabidhi mwanadamu ili avitumie. Mungu alimpa manadamu uwezo wa kuzalisha zaidi na kuviongeza zaidi vile ambavyo aliumba hapo mwanzoni. Kumbe wewe haujazaliwa kubweteka na kukaa tu huku ukiwa unataka kuishi maisha mazuri. Ebu mtazame MUNGU baada ya kumuumba Adamu. Alimwambia kwamba zaeni mkaongezeke. Tafsiri ya neno hili…
-
NMEZALIWA MSHINDI; Je, Wajua Kwamba Bahari Shwali Haitoi Wanamaji Stadi?
Siafu ni viumbe wadogo sana, ambao huwa wanaonesha mfano mzuri sana katika ushirikiano na uchapaji kazi wake. Leo hii ningependa ujue kwamba kuna wakati siafu wanapokuwa wakisafiri, kuna baadhi ya siafu huwa wanalazimika kutengeneza nyumba kwa juu ili wenzao waweze kupita kwa chini. Sio kwamba wale wanaotengeneza hiyo nyumba kwa juu huwa wamekufa, hasha, bali…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; Huu Ndio Ujuzi Ambao Hauuzwi Sokoni
Kuna vitu ambavyo unaweza kuvinunua sokoni, na kuna vitu huwezi hata siku moja kuvinunua sokoni. Kuna vitu ambavyo upatikanaji wake unakuwa mgumu wakati vitu vingine upatikanaji wake wake ni kawaida. Wakati vitu Vingine vinakubitaji uwe na pesa,, ili uvipate vitu vingine vinahitaji juhudi yako tu ili viweze kuwepo. Vinahitaji pia muda wako ili uvipate. Kuna…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; Hii Ndiyo Sehemu Bora Unapopaswa Kuwa
Kuna MTU mmoja aliwahi kusema kwamba “kama wewe kwenye chumba chako ndio MTU pekee ambaye ana busara sana basi jua kwamba unapaswa kutoka kwenye chumba hicho na kutafuta chumba kingine, maana haupo kwenye eneo sahihi”. Kumbe kama wewe ndiwe MTU ambaye anategemewa sana kwenye eneo ulilopo na unaonekana kama MTU mwenye busara sana kuliko watu…
-
HAYA NDIO MAMBO MAWILI AMBAYO UNAHITAJI KUYAZIKA.
Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za songa mbele. Imani yako leo ni siku njema sana na kila kitu kinaenda vizuri kama umenga. Ni jambo jema sana kwamba leo tunaenda kujifnza kitu kipya na cha tofauti kitkachotutoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine katika maisha yetu. Katika maisha kuna baadhi ya…
