Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

  • Hii Ndiyo Sheri Ambayo Itakusaidia Wewe Kupata Chochote Kile Unchotaka

    Profesa mmoja alifanya kijiutafiti chake binafsi. Zilikuwa ni nyakati za krismasi, hivyo alichofanya ilikuwa ni kuandika kadi za krismasi kwa watu ambao walikuw hawamjui huku akiwatakia kheri ya krismasi. Profesa akakaa huku akisubiria majibu. Baadaye alikuja kugundua kuwa asilimia kubwa ya watu walijinu kwa kushukuru kwa kadi ile ya krismasi ambayo alitoa na , ila…

  • Nguvu ya uvumilivu

    Kuna ndugu mmoja alianzisha biashara huku akitegemea kwamba watu wangemiminika kwenye biashara yake siku ya kwanza. Ila watu hawakumiminika kama alivyokuwa anatarajia. Siku ya kwanza alitokea mtu mmoja wa kuuliza kuhusiana na biashara yake na kile ambacho anafanya. siku ya pili watu kadha wa kadha pia walipitia na kuangalia kuuliza uliza ila hawakununua. Siku ya…

  • Vitu Vitano Vitakvyokuwezesha Kupata  Maisha Ambayo Umekuwa Unatamani

    Siku ya leo kuna vitu vitano ambavyo naamini kwamba ukivifanyia kazi, unaenda kuwa na maisha ambayo umekuwa ukiyatamani kwa siku nyingi. Kilichokukwamisha wewe kuweza kupata maisha unayoyataka ni kwa sababu hujafanyia kazi hivi vitu vitano hapa.   Kitu Cha Kwanza Ni Kujua Watu Wanataka Nini. Ukijua watu wanataka nini, wewe pia utaweza kupata kitu chochote…

  • Fanya vitu vichache kwanza

    Kuku anapoatamia mayai anasahau mpaka kula ili tu hakikishe lengo lake la kuatamia na kupata vifaranga linatimia. Wewe pia kuna vitu unapaswa kuachana navyo sasa hivi li uweze kufika kule unapotaka kwenda Siyo lazima ukimbizane na kila kitu sasa hivi. Fanya vitu vichache ambavyo vitekupelekea kwenye lengo na ndoto yako badala ya kukimbizana na kila…

  • Hatua Nane Za Kuwa Mwandishi Mbobevu

    Leo nataka nikupe hatua nane za kuwa mwandish mbobevu. 1. Andika 2.  Kila 3. Siku 3. Hata 4. Kama 5. Ni 6. Sentensi 7. Moja 8. Tu. Rafiki yangu unakwama wapi kwenye kuandika. Naamini kwa siku huwezi kukosa hata dakika tano tu za kuanadika hata kama unaandika kitu kidogo. Unahitaji kuandika kila siku kwa sababu…

  • Usiache Kufanya Mazuri Kwa Sababu Umezungukwa Na Watu Wanafanya Mabaya

    Kama umezungukwa na watu ambao wanafanya vitu ndivyo sivyo. Usikubali kuachana na tabia yako nzuri na kuanza kufanya vitu ambavyo havieleweki. Mara zote na sehemu zote hakikisha kwamba unafanya mazuri hata kama umezungukwa na watu ambao wanafanya vitu vibaya.. Usikubali kuwa sehemu ya kuendeleza ubaya. Badala yake sambaza upendo wa kufanya mazuri. Unaweza usione matokeo…

  • Hivi Ndivyo Na Wewe Unaweza Kuandika Kitabu Historia Ya Maisha Yako Kama Sugu

    Miongoni mwa watanzania ambao wameandiaka vitabu vya historia ya maisha yao ni Sugu. Kitabu chake kinaeleza historia ya maisha yake kuanzia alipozaliwa mpaka anaingia bungeni mwaka 2010. Kina mambo mengi mzuri na ya kujifunza kwelikweli. Nashauri kama hujasoma kitabu cha Sugu, kinachoitwa Maisha na muziki ukisome. Utajifunza mengi sana ndani ya hiki kitabu. Tunaweza pia…

  • Maswali Yanaoulizwa Mara Kwa Mara Kuhusu Semina Ya Uwekezaji Kwenye Hisa

    Unaendeleaje mwekezji siku ya leo ningependa kujibu maswali ambayo watu wamekuwa wanauliza mara kwa mara kuhusu semina ya uwekezaji kwenye hisa? 1. Semina itaendeshwa wapi? Semina itaendeshwa kwa njia ya mtandao kupitia kundi maalumu la whatasap. Na inaenda kudumu kwa siku 10 mfululizo. Yaani, kuuanzia tarehe 1.8.2022 mpaka tarehe 10.8.2022 2.Je, atakayehudhuria semina atajifunza vitu gani…

  • Hivi Ndivyo Elfu moja inaweza kukusaidia kuhudhuria semina ya uwekezaji kwenye hisa

    Unaendeleaje rafiki yangu wa ukweli. Mimi kwa upande mwingine huku naendelea vizuri kabisa. Wiki ilyopita nilitangaza juu ya uwepo wa semina ya uwekezaji kwenye hisa. Semina hii ya kipekee itaendeshwa kwa njia ya mtandao wa whatsap kupitia kundi maalumu la semina. Itadumu kwa siku 10 na kila siku itakuwa ni siku ya mafunzo kwako. Baada…

  • Vitu Viwili Ambavyo Havitapitwa na wakati kwenye zama hizi

    Tuna facebook, twitter na mitandao mingine ya kijamii. Kila mtu anakazana sana kuhakikisha kwamba kwenye hii mitandao anakuwa na wafuasi wengi Hata hivyo, ukweli ni kwamba hii mitandao huimiliki wewe. Muda wowote ule wanaomiliki hii  mitandao wanaweza kufanya chochote na watu wazuri wanaofuatilia kazi zako wakashindwa kuziona tena. Hii ni mbaya sana. Instagram wanaweza kukufungia…

  • KITABU CHA MY STORY kipo, hivi ndivyo unaweza kukipata

    Rafiki yangu mpendwa unaendeleaje. Kwenye mojawapo ya makala ambazo nimewahi kuandika hapa siku za nyuma nilieleza kuwa nina kitabu cha MY STORY cha Mohmmed Ibn  Sasa watu wengi wamekuw wananiomba niwatumie hiki kitabu, leo nimeona nikwambie kwamba unaweza kupata hiki kitabu. Kama utakaitaka basi nitumie ujumbe kwa njiaa ya baruapepe ili nikutumie. Baruapepe yangu ni…

  • Njoo rafiki yangu ujifunze mbinu za kuwekeza kwa faida.

    Unaendelea rafiki yangu. Bila shaka kila kitu kipo Safi kwa upande wako. Mimi huku naendelea vyema. Nilikuwa najiuliza, Hivi umeshajiunga na semina ya uwekezaji kwenye HISA ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao kuanzia tarehe 1.8.2022? Kama ulikuwa hujui Ni kwamba kwenye semina hii ya kipekee, unaenda kujifunza mengi kuhusu uwekezaji kwenye HISA Baada semina hii…

  • Hii dhana ambayo kila kijana anapaswa kuachana nayo

    Vijana wanapokuwa wanafikiria kuanzisha kitu, kitu Cha kwanza wanafikiria kupata mtaji au msaada. Nakumbuka wakati naanza chuo mwaka 2016 nilimwambia rafiki yang hivi, mpaka nahitimu chuo nataka niwe na uwezo wa kuajiri vijana kumi”. Yeye aliniambia “mpaka  nahitinu chuo nitakuwa nimetafuta na kupata wadhamini kumi”  Sasa nadhani vijana tunapaswa kubadili fikra zetu. Tubadili namna tunavyofikiri…

  • Namna ya kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa vijana. Njia Saba Zilizothibitishwa (Njia Namba 2, 4 na 7 ni muhimu sana)

    Mwishoni mwa mwezi uliopita nilisafiri kwenda Dar kutembea. Nikiwa Dar nilipata nafasi ya kuongea na mmoja wa rafiki zangu. sijui ilikuwaje lakini kwenye maongezi yetu kuna sehemu tulifika tukaanza kuongelea suala zima la ajira, na hapo ndipo akawa ananiambia kwamba yeye alihitimu mwaka 2006 na kupata ajira miezi mitatu baada ya kuhitimu. Kwa maneno yake…

  • Karibu kwenye semina ya uwekezaji kwenye Hisa

    Habari ya leo rafiki yangu. bila shaka unaendelea vyema kabisa. karibu kwenye semina ya uwekezaji kwenye hisa. Hii ni semina ya kipekee sana ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao kuanzia tarehe 1 Agosti 2022. Katika semina hii ya kipekee unaenda kujifunza kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uwekezaji wa hisa. Semina hii ya kipekee itadumu kwa…

  • Aina Tano (05) Za Ujuzi Unazohitaji Ili Kuwa Milionea Kwenye Ulimwengu Wa Leo

    Kwenye makala niliyotuma kwa watu wa nguvu ambao huwa wanapokea makala zangu kwa njia ya email jana. Niliandika kwamba zama zimebadilika na wewe unapaswa kubadilika. Kama hujajiunga na mfumo wetu wa kupokea makala kwa njia ya barua pepe nina hakika huo ujumbe hukuuona,  hivyo, leo nimelazimika kuuweka huo ujumbe kwenye blogu yetu hapa ili na…

  • ZAMA ZIMEBADILIKA: MAISHA YAMEBADILIKA PIA

    Leo kwenye status ya moja za rafiki yangu aliweka picha ikionesha jinsi bei za vyakula zilivyokuwa chini siku za nyuma. Unaweza kuona mwenyewe picha yenyewe hapa Ukiangalia hapo utagundua bei zilikuwa chini kweli!Maziwa yalikuwa shilingi 100. Bei ya maji ya kandoro kwa sasa ! Sijui maji ya kandoro kipindi hicho yalikuwa yanauzwa shilingi ngapi. Au basi..…

  • Hivi Ndivyo Tunaweza Kufanya Biashara Za Kitanzania Zikue Zaidi

    Kwa Dakika moja Tu Leo Nataka Nikwambie Ni Kwa Namna Gani Unaweza Kufanya Biashara ya Rafiki Yako Ikue Zaidi Na Zaidi Ya Ilivyokuwa Mwanzo. Njia hii ni kununua kwake. Hii ndio njia bora nay a kipekee sana. Maana kwa jinsi hiyo utamfanya mwenye biashara apate kipato cha kumwezesha kuikuza biashara yake Kwa hiyo badala ya…

  • Kitu Kimoja Cha Kufanya Unapokutana Na Watu

    Unaendeleaje rafiki yangu mpendwa. Siku ya leo ningependa tujadili kitu kimoja cha kufanya unapokutana na watu. Kitu hiki ni kubadili maisha yao na Kuyafanya kuwa bora zaidi kuliko ulivyowakuta. Yaani, kuwainua na kuwafanya wajisikie vizuri ZAIDI Kuliko pale walipokuwa hawajakutana na wewe. Hii Ni moja sifa ya viongozi na watu wote WALIOFANIKIWA. Kwa hiyo kila…

  • App mbili ambazo kila mfanyabiashara anapaswa kuwa nazo

    Kuna app mbili ambazo kila mfanyabiashara anapaswa Kuwa nazo. 1. Thl accountingHii inakusaidia kutunza hesabu zako zote za biashara. Na bidhaa ZAKO zote ulizonazo kwenye Biashara yako, itakuonesha bidhaa zinazokaribia kuisha au zilizoisha, itakusaidia kutengeneza invoice, itakusaidia kutunza hesabu za mauzo, mapato mpaka matumizi.Hata Kama uko mbali bado unaweza kuona mwenendo wa  biashara yako. Kitu…

X