-
-
Umuhimu wa Uakifishaji
Uakifishaji ni uwekaji wa alama za uandishi kama vile nukta, mkato, mshangao, kiulizo, funga semi na fungua semi pamoja alama nyingine nyingi ambazo kimsingi, ndiyo nguzo ya uandishi wa aina yoyote ile. Leo ninazungumza na ndugu zangu waandishi wa vitabu. Ni ukweli usiyopingika kwamba, hakuna namna unaweza kujiita mwandishi kama hujui matumizi sahihi ya alama…
-
Zingatia kitu hiki kimoja kama unataka kufanya makubwa
Habari ya asubuhi kila mmoja, Leo ni siku nyingine muhimu ya Mimi na wewe kwenda kupambania MALENGO ND ndoto kubwa tulizonazo. Leo nataka nikwambie kitu kimoja muhimu sana ambacho unapaswa kujifahamu Unapaswa kujua ni muda Gani kwenye simu huwa unakuwa na uzalishaji mkubwa, na unapaswa kuulinda huo muda kwa NGUVU zako zote. Siyo kila muda…
-
KITABU: Watu 60 Walioshindwa Karibia Katika Kila Kitu Lakini Bado Wakashinda Kwa Kishindo
Rafiki yangu, nimezindua kitabu kipya. Kitabu hiki kinaitwa watu 60 walioshindwa karibia katika kila kitu walichofanya. Lakini hawa watu watu hawakukata tamaa, wala hawakurudi nyuma. Kila walipokutana na kikwazo, kwao huo haukuwa mwanzo wa kukata tamaa wala kurudi nyuma, bali ulikuwa ni mwanzo wa wao kuongeza juhudi zaidi, kupambana zaidi ili waweze kufikia malengo na…
-
Unataka Kwenda Mbinguni Kuishi Milele Ili Ufanye Nini? Una Uhakika Utautumia umilele wako Vizuri?
Unakuta mtu hajui ni kitu Gani anapaswa kufanya hapa duniani. Lakini Bado anang’ang’ania kuwa anataka kwenda mbinguni. Huko mbinguni unataka kwenda kufanya Nini kama ya duniani yamekushinda. Imeandikwa kuwa usipokuwa mwaminifu kwenye mambo madogo hutakuwa mwaminifu kwenye MAKUBWA. Kama usipokuwa mwaminifu kwa muda mchache wa hapa duniani. Unamwaminishaje Mungu kuwa mbinguni utautumia vyema ? Kama…
-
Je, kuna mtu amewahi kukwambia kuwa hapa umekosea?
Je, kuna mtu amewahi kukwambia kuwa hapa umekosea? Hili ni swali ambalo amewahi kuulizwa aliyekuwa rais wa marekani Donald Trump. Alijibu swali hili kwa kusema, kiuhalisia mke wangu huwa ananiambia kuwa nimekosea kila siku. UKWELI NI KUWA kama kuna kitu cha tofauti ambacho unafanya kwenye maisha yako, ni lazima tu utaambiwa, tena utaambiwa mara nyingi…
-
Kitu Kimoja Ambacho Hakuna Mtu anaweza Kukifanya Kwa Niaba Yako
Rafiki yangu mpendwa salaam. Naamini UNAENDELE VYEMA kabia ana majukumu yako ya kila siku, siku ya leo nimekuja kwako kukwambia kitu kimoja tu rafiki yangu. Naam, kitu ambacho hakuna mtu anaweza kukifanya kwa niaba yako, Isipokuwa wewe tu ndiye unaweza kufanya hivi vitu. Naomba kwanza ufahamu umuhimu wa kuwapa wengine majukumu. Siyo kila jukumu unaweza…
-
📢 Audiobook: JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO 📢
Unataka kuongeza thamani yako binafsi? Unatafuta njia ya kuwa bora zaidi kwenye kazi, biashara, na maisha kwa ujumla? Audiobook hii ni JIBU LAKO! “JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO” imejaa mbinu na siri za kuongeza thamani yako, kukuza uwezo wako, na kujenga heshima yako katika jamii na kazi yako. Ndani yake utajifunza:✅ Namna ya kujiweka katika…
-
Haya hapa ni mambo 101 unayoweza kuandika kwenye kitabu chako
Rafiki yangu mpendwa salaam. Hongera sana kwa siku hii nyingine ya leo. Leo ninataka nikwambie mambo 101 unayoweza kuandika kwenye kitabu chako. Ni ukweli usiopingika kwamba watu wengi wangependa kuandika vitabu vyao kwa wakati na kwa haraka. Hata hivyo wengi hawajuia hata wapi pa kuanzia. Kwenye somo la leo tunaenda kuona mambo 101 unayoweza kuandika…
-
Kwa nini ni muhimu kuhakikisha unautumia ulimwengu wa mtandao kwa manufaa
Kuna kipindi ilikuwa inaaminiwa kwamba mitandao ya kijamii na mtandao wa intaneti ni kwa ajili ya vijana, ila leo hii sote tunaona wazi kuwa mtandao wa intaneti siyo tu kwa ajili ya vijana. bali ni kwa ajili yetu sote. Kumbe mimi, wewe au mwingine yeyote anaweza kuutumia mtandao huu tena kwa manufaa makubwa. Sote leo…
-
Nukuu 10 Za Kufikirisha
1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 10.
-
Muda Sahihi ni…
Chukua hatua sasa Ungependa kuanza kuandika kitabu chako👇🏿 https://chat.whatsapp.com/G9kNW2SIIoR6DL8s8GuyRe
-
Nukuu 13 Za Kufikirisha:
1: 2: 3: 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13.
-
Nukuu Za Kufikirisha:
1: 2: 4: 5. 6: 7: 8: 9: 10: 11: 12: 13: 14: 15: 16: 17:
-
Jinsi Ya Kupanga Kitabu Chako Kwenye Simu
Umeandika kitabu chako kwenye simu na ungependa kukipanga kwa haraka ili kujua kina kurasa ngapi? Karibu sana kwenye video ya leo ambayo ninaenda kukueleza namna ya kufanya hivyo pamoja na mengine zaidi. Bonyeza hapa kuitazama Rafiki yangu kuna mafunzo mengi zaidi ambayo huwa natoa kwenye audio na mafunzo haya unaweza kuyafuatilia zaidi kwenye youtube hapa.
-
Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu vyanzo vingi vya kipato
Rafiki yangu mpendwa salaam, leo nataka nikwambie mambo machache kuhusu vyanzo vingi vya kipato Kwanza hakikisha kwamba unakuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha kipato. kwa vyovyote vile, usikae na chanzo kimoja tu cha kipato, mara nyingi chanzo kimoja cha kipato kikipata changamoto basi huwa unakuta kwamba watu wengi wanakutana na changamoto za kipato. Hivyo.,…
-
Nukuu 20 Za Kufikirisha:.
1: 2: 3: 4: 5: 6: 7: 8: 9: 10: 11: 12: 13: 14: 15: 16: 17: 18: 19: 20:
-
Ni lini uayakatie tamaa MALENGO Yako
Rafiki yangu salaam, hongera sana kwa kazi. Mtu mmoja ameniuliza ni lini ninapaswa kukatia tamaa MALENGO na ndoto zangu. Ni vigumu kidogo kujibu swali hili, lakini ukweli ni kuwa muda sahihi wa kukatia tamaa MALENGO na ndoto zako ni pale unapokuwa umetumia kila namna na kwa kila mbinu na Bado ukaona unakwama. Ukweli ni kuwa…
-
Vitabu vya Fedha Unavyopaswa Kusoma Ili Kuweka Msingi Imara wa Maendeleo ya Kifedha Katika ulimwengu wa sasa ambapo usimamizi wa fedha unahitaji umakini na maarifa, vitabu vinatoa mwongozo wa kipekee kwa watu wanaotaka kuboresha hali yao ya kifedha. Kama unataka kuelewa jinsi ya kutumia pesa zako vizuri, kuwekeza kwa busara, au kuongeza vyanzo vyako vya kipato, basi vitabu hivi vitakupa maarifa sahihi na vitendo vya kuchukua ili kufanikisha malengo yako. 1. NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO Kitabu hiki kinafundisha umuhimu wa kuwa makini na maamuzi madogo ya kifedha unayofanya kila siku, ambayo yanaweza kuleta mabadiliko makubwa kwa muda mrefu. Mwandishi anaeleza kwa ufasaha jinsi vidogo vinavyopelekea mafanikio makubwa, ukiweka nidhamu na mwendelezo katika mipango yako ya kifedha. 2. VYANZO VINGI VYA KIPATO Katika kitabu hiki, utajifunza namna ya kuongeza vyanzo vya kipato na jinsi ya kuvifanya vipato vyako vikupe uhuru wa kifedha. Mwandishi anaeleza kwa ufasaha njia mbalimbali za halali kabisa na za busara unazoweza kuzitumia kuongeza fedha unazopata. 3. JINSI YA KUTENGENEZA MSHAHARA NJE YA MSHAHARA Kama mshahara wako hautoshi kugharamia maisha yako kikamilifu, basi kitabu hiki ni mwongozo sahihi. Kitakufundisha jinsi ya kubuni njia za kuongeza kipato nje ya mshahara wako wa kila mwezi, pamoja na mikakati madhubuti ya kufanikisha malengo hayo. 4. MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA Anzisha biashara yenye mafanikio kwa kuelewa hatua na mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuchukua hatua. Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa vitendo kwa kila mtu anayetaka kuingia katika ulimwengu wa biashara, kikieleza hatua kwa hatua mambo ya msingi ya kuhakikisha biashara yako inafanikiwa.
1. 1. NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO Kitabu hiki kinafundisha umuhimu wa kuwa makini na maamuzi madogo ya kifedha unayofanya kila siku, ambayo yanaweza kuleta mabadiliko makubwa kwa muda mrefu. Mwandishi anaeleza kwa ufasaha jinsi vidogo vinavyopelekea mafanikio makubwa, ukiweka nidhamu na mwendelezo katika mipango yako ya kifedha. 2. VYANZO VINGI VYA KIPATO Katika…
-
Kitabu Cha VYANZO VINGI VYA KIPATO kinahusu Nini?
Kitabu changu VYANZO VINGI VYA KIPATO kinazungumzia mbinu mbalimbali za kutengeneza kipato zaidi ya chanzo kimoja. Kinaeleza umuhimu wa kuwa na vyanzo vingi vya mapato ili kuepuka kutegemea chanzo kimoja tu, ambacho kinaweza kuwa na changamoto mbalimbali. Bila kuwa na vyanzo vingi vya kipato, unaweza kujikuta na vyanzo vingi vya mahangaiko na wasiwasi wa kifedha.…