Month: March 2022

  • Kama Huna Fedha Basi Kuna Maeneo Haya Matano Unayakosea

    2. Sina fedha/sina hela Hii ni kauli ambayo moja kwa moja inakufunga na kukufanya usione upenyo wa kutoka. Ukisema sina hela maana yake unakuwa unainyima akili uwezo wa kufikiri nje ya boksi na kuona fursa gani zaidi unazoweza kupata. Badala ya kusema sina fedha, unaweza kujiuliza hivi hapa nawezaje kupata fedha? Au ni mbinu gani…

  • Ifahamu Kanuni Ya Asilimia Moja Na Jinsi Ya Kuitumia

    Hii ni kanuni ambayo ukiifahamu utaishi maisha mazuri na utafanya makubwa kwa nguvu kidogo sana. Yaani, itakuwa kama unagusa tu na mambo yanajipanga. Kulingana na kanuni hii ni kwamba, Kila siku kwako inapaswa kuwa ni siku ya kukua kwa asilimia moja tu. Kama umeweka malengo basi siku ya leo yafanyie kazi kwa asilimia moja, na…

  • Mitandao Ya Kijamii Kama Dozi

    Siku hizi mitandao ya kijamii imekuwa ni aina mpya ya dozi. Na dozi hii haitumiki mara mbili kwa siku au mara tatu.mtu anatumia dozi hii kadri anavyojisikia. Na kuna mwingine aina hii ya dozi anaitumia ikiwa ya kwanza anapoamuka na bado anaendelea kuitumia siku nzima mpaka kulala.Je, hayo ni matumizi sahihi ya mitandao? 1. Jiwekee…

  • Jinsi Ya Kulipwa Kwa Kufanya Kile Unachopenda

    Unaendeleaje rafiki yangu. Leo ni siku ya kipekee sana. binafsi nimeona nije kwako kwa lengo la kukueleza kitu kidogo tu, namna ambavyo wewe unawezakulipwa kwa kufaya kitu unachopenda. Zamani mambo yalikuwa shaghalabaghala. Ulikuwa unatakiwa kusoma kozi fulani na baadaye kwenda kufanya kufanya kazi hata kama kozi au sekta husika ulikuwa huipendi. Ila leo hii mambo…

  • Jipatie zawadi ya kitabu cha BURE hapa

    Unaendeleaje rafiki yangu, Bila shaka siku ya leo imeanza vyema kabisa. Siku ya leo nimeona nikupe zawadi ya kitabu. Hiki hapa Sitaki nitoe maelezo mengi kuhusu hiki kitabu, Ila nataka wewe ukisome kisha urudi hapa kutupa mrejesho. PATA KITABU CHAKO HAPA

  • Inawezekana Kuvunja Rekodi

    Kabla ya mwaka 1954 watu waliamini kuwa mtu hawezi kukimbia maili moja (1500m) chini ya dakika. Waliamini mtu akifanye hivyo anaweza kufa. Hata hivyo, mwaka 1954 Roger Bannister alivunja rekodi kwa kukimbia mita 1500 kwa dakika 3:59:4.Kwa Mara ya kwanza kitu kilichotokea kinaonekana hakiwezekani, kiliwezekana. Kutokea hapo maelfu kwa maelfu wamevunja rekodi hiyo.Hali kama hii…

  • Vitabu Viwili Vya Kusoma Mwezi Machi 2022

    Unaendeleaje rafiki yangu wa ukweli. mwaka 2022 unaendelea kusogea mbele. na ninajua tangu mwaka huu unaanza moja ya lengo lako kubwa lilikuwa ni kuhakikisha kwamba unasonga mbele na unafanya makubwa. Leo nataka nikueleze kuhusu vitabu viwili ambavyo vitakusaidia wewe kufanya makubwa, vitabu hivi ni THE PYSCHOLOGY OF MONEY NA  KIPAJI NI DHAHABU Hivi ni vitabu…

  • Jinsi Ya Kuanza Biashara Na Mtaji Kidogo Mpaka Kuikuza Kuwa Bisshara Kubwa

    Siku moja nilikuwa naangalia mtandaoni, nlikutana na picha iliyokuwa inaonesha kampuni ya azam ilivyoanza kama mgahawa, ambao ulikuwa unahudumia katika mkoa wa Dar Es Salaam. Ambapo walikuwa wanafanya huduma za Catering na huduma nyingine zinahousisha hilo. Picha hiyo ilikuwa ni picha ya tangazo ambalo walifanya mwaka huo. Kama sijakosea ule mwaka uliooneshwa kwenye ile picha…

  • Uchambuzi wa Kitabu: The Psychology of Money: Mambo 94 niliyojifunza katika kitabu hiki.

    Mwandishi : Morgan Housel Karibu katika uchambuzi wa kitabu hiki muhimu sana kuhusu masuala ya fedha, tamaa, na tabia za watu wanazozionyesha wanapokuwa na fedha, kwenye uchambuzi huu utaelewa kwa kina kwanini tabia zina mchango mkubwa kukufanya kuwa tajiri au kuwa masikini. Yote haya tutajifunza katika uchambuzi wa kitabu hiki. Karibu! Linapokuja suala la fedha…

  • Jinsi Ya Kupata Mtaji Wa Biashara

    Siku ya leo tunaenda kuona ni kwa namna gani unaweza kupata mtaji wa biashara. Mtaji wa biashara kimekuwa ni kitu ambacho vijana wengi wanahangaika nacho. Wengi sana wamekuwawanauliza ni kwa jinsi gani naweza kupata mtaji wa kuanzia biashara. Tayari nimeshaandika ebook inayoeleza mitaji 8 iliyokuzunguka na jinsi ambavyo unaweza kuitumia hiyo mitaji. Lakini siku ya…

  • Inawezekana

    Ndio, inawezekana kwako wewe kufanya na kufanikisha kitu chochote kile utakachotaka kwenye maisha. inawezekana wewe kufikia ndoto zako. inawezekana wewe kuwa utajiri na kuagana na umasikini kiufupi inawezekana wewe kufanya kitu chochote na kukifanikisha.

  • Umeshapata ebook ya kipaji ni dhahabu? hivi ndivyo unaweza kuipata

    Juzi nilizindua ebook ya KIPAJI NI DHAHABU. Ebook hii imeeleza kwa kina mambo yote unayohitaji kujua kuhusu kipaji. Ndani yake Utajifunza kipaji ni Nini? Namna ya kugundua kipaji chako Namna ya kukiendeleza. Jinsi ya kutengeneza fedha kwa kutumia kipaji chako. Kipaji katika karne ya 21. Jinsi ya kutumia mtandao wa intaneti kwa manufaa na namna…

  • Kitu hiki tu kinakwamisha watu wengi Sana

    Moja ya kitu ambacho kinakwamisha watu wengi kwenye kufanyia kazi malengo ni kutojiwekea viwango. Unapaswa kuishi kwa viwango. Kampuni huwa zinajiwekea viwango vya uzalishaji wa bidhaa zake. Na muda mwingine viwango hivi huwa vinaangaliwa na watu wa ndani ya kampuni na nje ya kampuni. Kwenye kampuni unakuta kuna mkurugenzi anayehakikisha bidhaa zinazozalishwa ni bora. Wengine…

  • Watu ambao wanapata wazo  bora la biashara huwa wafanya hivi

    Usije ukafanya kosa la kukaa chini, na kuanza kusubiri upate wazo bora. Wazo bora halipatikani kwa kukaa chini n akuumiza kichwa. Muda mwingine wazo bora linapatikana kwa kufanya kazi. Ebu kwa mfano, hakuna mtu ambaye alikaa na kuumiza kichwa ili aje na wazo la tairi. Ugunduzi wa taili ulikuwa ni miongoni mwa mapinduzi makubwa, ambayo…

  • Kwa Nini Watu Wengi Na Hasa Vijana Wanashindwa Kuzifikia Ndoto Zao

      Juzi niliomba watu wapendekeze mada ambazo nitaandikia kwenye blogu yangu kupitia status yangu ya whatsap. Nilipokea maombi kadha wa kadha ambayo nitakuwa nayafanyia kazi moja baada ya jingine. Ombi mojawapo lilikuwa ni kuandika makala maalumu kueleza kwa nini watu wanashindwa kufikia NDOTO zao. Kabla sijaenda mbali nataka ufahamu kuwa tayari nimeandaa makala nyingi kuhusu…

X