-
Vitu viwili ambavyo hakuna MTU anapaswa kukuzidi
Rafiki yangu, SIKU ya leo ningependa kukwambia vitu viwili ambavyo hakuna MTU anapaswa kukuzidi kwenye kuvifanya. Vitu hivi ni 1. Kufanya kazi kwa bidiiAcha watu wakuzidi kwenye mambo mengine yote ila wasikuzidi kwenye kufanya kazi kwa bidii. Kufanya kazi kwa bidii kupo ndani ya uwezo wako. Kwa hiyo kuanzia leo, acha watu wakuzidi kwenye vitu…
-
Changamoto Ni Fursa
Badala kuomba kuishi maisha ambayo hayana changamoto wala matatizo, omba uwezo wa kutatua changamoto unazokutana nazo. Changamoto ni fursaChangamoto ni biashara.Changamoto ni njia kufika mbali.Watu WALIOFANIKIWA siyo kwamba hawakuwa na matatizo wala changamoto. Bali walitumia changamoto na matatizo waliyonayo Kama fursa kwa ajili ya kusongambele zaidi. Mara zote jiulize Ni kwa namna gani naweza kunufaika…
-
Sababu Tano Kwa Nini Unashindwa Kuamka Asubuhi Na Mapema Na Kitu Gan Unaweza Kufanya Sasa Hivi
Ni takribani wiki sasa tangu nimeandika andiko langu nikieleza kuwa kuamka asubuhi ni tabia. Katika makala hiyo nilieza jinsi ambavyo unaweza kujenga tabia ya kuamka asubuhi na mapema hata kama hukuwahi kujenga tabia hii hapo awali. Hata hivyo, kuna mtu amejaribu kuufuata ushauri huo wa kuamaka asububuhi na mapema na umemshinda. Ameniambia kwamba…
-
Vitu Vitano Ambavyo Bosi/ Mwajiri Wako Hawezi Kukwambia
siku ya leo nimeona nikueleze vitu vitano ambavyo bosi wako hawezi kukwambia. na vitu hivi hakuna mtu mwingine atakuja kukwambia isipokuwa mimi tu ndio nimeona inafaa nikwambie vitu hivi. sasa ni juu yako kuvifanyia kazi ili utengeneze maisha ya tofauti au la uendelee kama ulivyokuwa unafanya siku zote. 1.Bosi wako hawezi kukwambia fedha iliyoanzisha biashara…
-
Jijengee Utaratibu Wa Kusema Kidogo Na Kuwa Na Matendo Makubwa
Kuna usemi kuwa ni rahisi kusema ila vigumu kutenda. Na katika ulimwengu huu ambao tunaishi sasa hivi wasemaji ni wengi. au watu wenye maneno ni wengi. unaweza kukuta watu kwenye mitandao yao ya kijamii wameandika kwamba wao ni wakurugenzi wa makampuni, wakiwa hawaweki juhudi za kuanzisha hayo makapuni. Kitu pekee ambacho ninaweza kusema kwako…
-
Maneneo Sita (06) Ambapo Kila Kijana Mwenye Miaka 20-29 Anapaswa Kuwekeza
Habari ya siku hii ya kipekee rafiki yangu, karibu sana kwenye makala hii ya siku ya leo. Ambapo tunaenda kujifunza maeneo sita kwa kjjana yeyote mwenye miaka kati 20-29 anapaswa kuwekeza. Labda unaweza kujiuliza kwa nini leo niongelee kuhusu miaka 20-29. Jibu lake ni kwamba, hiki ni kipindi ambapo vijana wengi wanakuwa na ndoto…
-
Ushauri Kwa Kijana Ambaye Anaanza Maisha Na Angependa Kufanya Kitu Anachopenda Ila Hajui Pa Kuanzia
Mara nyingi huwa unakuta kwamba, kijana anapoenda kusoma chuo, anasoma kitu ambacho wazazi wake au walezi wake wameona kwamba kinafaa kwake. Hivyo, hata anapoenda kufanya kazi, anaenda kufanya kazi ambayo haitaki. Lakini kwenye zama hizi hapa, ni rahisi sana kwa kijana kufanya kazi ambayo anataka hata kama chuo kasomea kitu ambacho walikuwa hataki.…
-
Washindi Huwa Wanafanya Hivi Baada Ya Changamoto
Mara nyingi unapoanza kufanya kitu mwanzoni matokeo mrejesho wake huwa ni mdogo sana. Kwa mfano unaweza kuanzisha biashara ukiwa na timu kubwa ya watu ambao wako nyuma yako na wanakuahidi kununua ila baada ya kuanzisha biashara ukawa huwaoni watu hao kwenye biashara. Au pengine unaweza kuanzisha biashara ukitemgemea kupata mwitikio mkubwa wa wateja kuanzia siku…
-
Ushauri Muhimu Kwa Mtu Anayeanza Biashara Kutoka Jack Ma
Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Bila shaka umeianza siku yako vyema kabisa. siku ya leo nakuja kwako na ushauri muhimu kwako wewe ambaye unapenda kuanzisha biashara. Ushauri huunimeona niulete kutoka moja kwa moja kwa Bilionea wa China, Jack Ma. Nimemleta kwako Bilionea huyu kwa sababu kanuni kuu za mafanikio ni…
-
Mambo Saba (07) Ya Kufanya Pale Unapokuwa Hauna Cha Kufanya
Huwa inatokea kwa watu wengi mara nyingi, ambapo wanajikuta kwamba hawana kitu cha kufanya. Kitu hiki huwa kinawafanya watu wengi kuanza kuzunguka huku na kule wakisema kwamba wanapoteza muda. Sasa siku ya leo napenda nikwambie vitu vitano ambavyo utapaswa kufaya pale ambapo utakuwa unaona kwamba hauna kitu cha kufanya. KWANZA, SOMA KITABU Ukijikkuta katika mazingira…
-
Kitu Kimoja Kitakachotokea Endapo Utakuwa Mlalamikaji
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya leo na ya kipekee sana. Kama umekuwa mtu wa kulalamika leo kuna vitu viwili ambavyo huwa vinatokea pale mtu anapolalamika. Kwanza kabisa unapolalamika unakuwa unawaonesha watu wengine fursa ambazo wewe mwenyewe umeshindwa kuzitatua. Hivyo watu wengine wanaweza kutatua kurekebisha hicho kitu ambacho wewe mwenyewe unalalamikia. Ni wazi…
-
Tabia Saba (07) Zinazoleta Umasikini Na Jinsi Ya Kuziepuka Ili Kutengeneza Utajiri
Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana. Leo ikiwa ni februari 29 2020. siku zinazidi kusogea kwelikweli. Mwezi wa pili wa mwaka uliokuwa mpya, sasa unaelekea ukingoni. Siku chache zijazo tu utashangaa mwezi wa tatu huo umefika. Nina hakika moja ya lengo lako kubwa maishani ni kutokomeza umasikini na kujenga utajiri…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kutoa Hotuba Yako Kwa Watu Kama Vile Uko Mbele Ya Mkutano Wa Umoja Wa Mataifa.
Mikutano ya umoja wa mataifa ni mikutano yenye watu kutoka kila nchi. Hivi kwa mfano leo hii ukiambiwa umepewa nafasi ya kwenda kuongea mbele ya mkutano mmojawapo wa umoja huu wa mataifa, utafanyaje? Je, unaweza kwenda au kukataa? Je, kama utaamua kwenda nini unapaswa kuzingatia? Na Je, badala ya umoja wa mataifa ukiambiwa kuna kikundi…
-
Haya Ni Mambo Ya Kipekee Niliyojifunza Kwa Mzee Wa Zaidi Ya Miaka 55
Wahenga walisema “kuishi kwingi ni kuona mengi”. Nina hakika kwa msingi huu wahenga walitaka tujue kwamba wazee wetu wana mengi sana ambayo tunaweza kujifunza kwao na kuchukua hatua. Sio hilo tu kuna mtu mwingine aliyewahi kusisitiza kwa kusema kwamba, ukitaka kujua mengi basi waulize wazee wangekuwa wanarudi kwenye ujana wao wangefanya nini kikubwa? Ni kitu…