Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

  • Njia nzuri ya kuwaambia watu wakulipe katika kipindi hiki ambacho gharama za miamala zimeongezeka

    Nakumbuka mwaka juzi baada ya kuwewa kwa tozo za miamala kwa njia ya simu niliandika makala moja ndefu sana kuhusiana na namna ambavyo tungeweza kukabialiana na hiyo hali kwa ustadi zaidi.  Utakumbuka kwenye hiyo makala nilieleza wazi kuwa moja ya eneo ambalo tunapaswa kulitumia vizuri kwenye kuweka akiba katika kipindi hicho ambacho miamala ya simu…

  • Sehemu sahihi ya kuweka akiba yako

    Jana kwa nyakati tofauti watu watatu walinipigia na kuniuliza swali ambalo kwangu lilikuwa ni kama swali moja tu. japo kila mtu alikuwa na namna yake ya kulitoa hilo swali, ila kilichonishangaza ni kuwa hilo swali lilikuwa  na vipande vitatu muhimu ambavyo vinafanana. Kwanza kila mtu alitaka kuweka akiba sehemu nzuri Sehemu ambayo haina makato Sehemu…

  • Uchambuzi wako pendwa umesomwa kwa sauti (Kitabu cha how to stop worring and start living)

    Wiki hii kweney blogu ya songambele tumefanya uchambuzi wa kitabu c ha How to stop worrying and start living. ni uchambuzi ambao umesomwa na watu wengi na wengi wameupenda. kutokana na hilo tumeona ni vyema ukasomwa kwa sauti, na hiki kitu ndicho kimenisukuma niulete hapa siku ya leo. huu hapa chini ndio uchambuzi wa kitabu…

  • Mtazamo mzuri kuhusu intaneti

  • Vitu Vitano Vitakavyokuzuia wewe kufanikisha malengo yako

    Siku siyo nyingi nilipokea ujumbe kutoka kwa mmoja wa watu wanaofuatilia kazi zangu mtandaoni. Kitu kikubwa sana ambacho aliweza kuniambia ni kuwa anapata changamoto hasa anapoweka malengo, anashangaa siku zinaenda ila hayo malengo yake hayatimiii. Sasa siku ya leo kwa namna ya kipekee ningependa kumjibu huyu rafiki pamoja na watu wengine wengi ambao wanawakuwa na…

  • Uchambuzi Wa Kitabu: How To Stop Worrying and Start Living

    NB: kusikiliza makala hii kwa njia ya sauti. Bonyeza hapa Kitabu: How To Stop Worrying and Start Living Mwandishi: Dale Carnegie Mchambuzi: Hillary Mrosso Simu: +255 683 862 481 Utangulizi Jina la kitabu hiki lenye maana ya Namna ya kuachana na hofu na kuanza kuishi. Ni kitabu bora sana kinachoelezea namna ya kukabiliana na hofu…

  • Kiashiria Kuwa Unatakiwa Kuchapa Kazi Kubwa Zaidi Ya Unavyofanya Sasa

    Ukiona bado unatumia nguvu kubwa kujieleza kwa watu ili waweze kukufahamu wewe ni nani, basi fahamu kuwa bado unahitaji kuweka juhudi kubwa na kazi kubwa zaidi, ili kupata unachotaka. Chapa kazi kiasi kwamba ifikie hatua,  ukisema kwamba mimi ndiye John Makene, basi kila mtu ajue wazi kuwa ni wewe, siyo unaanza kujieleza sana ili ufahamike.…

  • Kitu Kimoja Muhimu Unachohitaji kufahamu Kuhusu Uwekezaji

    Rafiki yangu leo nataka nikwambie kitu kimoja na muhimu sana unachohitaji kufahamu kuhusu uwekezaji. Na kitu hiki siyo kingine bali ni kuwa usiwekeza kwenye kitu ambacho wewe mwenyewwe huelewi. Kamwe usikubali kuitoa fedha yako ambayo umeihangaikia kwa jasho kubwa kuiwekeza kwenye kitu ambacho wewe mwenywewe huelewi. Hakikisha kabla ya kuwekeza unajirisha kwa undani kuwa kitu…

  • Kitu Muhimu Kuhusu Fursa

    Habari ya upande wa huko rafiki yangu, bila shaka unaendelea vizuri kabisa. Mimi nakusalimia hapa kutoka mjini Morogoro.Leo nimeukumbuka ujumbe mmoja ambao niliwahi kuusoma siku za nyuma. Ujumbe huu sijauandika mimi, ila una funzo kubwa sana kuhusiana na fursa. Na ningependa na wewe uusome.Sina shaka utaniambia kitu kikubwa ulichojifunza baada ya kuwa umeusoma. Ujumbe mwenyewe…

  • Tegemea hiki endapo utasoma kitabu Cha Godius Rweyongeza

    Ni kitabu kipi Cha Godius Rweyongeza umewahi kusoma?  Kama hujawahi kusoma kitabu chake chochote Basi huu unaweza kuwa Ni wakati wako muafaka wa kuhakikisha kuwa unasoma kitabu chake hata kimoja. Kitu kikubwa unachopaswa kutegemea kutoka kwenye vitabu vyake ni kuwa  kitabu chake chochote utakachosoma utapata  thamani zaidi ya vile ulivyolipia. Ukinunua kitabu Cha elfu tano,…

  • Ni marufuku kwako kutumia hii kauli kuanzia leo hii

    Moja ya kauli ambayo watu wamekuwa wanapenda kutumia ni kauli ya ninapoteza muda. Mtu anapotumia kauli hii maana yake hana kitu chochote cha maana cha kufanya kwa sasa, hivyo, kitu pekee anachoweza kufanya ni kupoteza muda. Hivi kweli rafiki yangu, unaweza kukosa kitu cha maana cha kutumia kwenye muda wako. Kuanzia leo hii nataka kabisa…

  • Kitu cha kufanya kama unataka kupata matokeo ya tofauti

    Moja ya kitu ambacho watu huwa wanapenda kwenye maisha ni kupata maisha ya tofauti na maisha mazurri. Sasa leo nataka nikuoneshe ni kitu gani haswa unapaswa kufanya kama unataka kupata matokeo ya tofauti kulinganisha na vile ambavyo umekuwa unapata siku zote. Kwanza kabisa kama unataka kupata matokeo ya tofauti unapaswa kuwa mtu wa tofauti. Hapa…

  • Umefanya uamuzi uliobora sana

    Habari ya leo Mimi ni Godius Rweyongeza kutoka SONGAMBELE Ninajua kwamba umeomba kupata KITABU CHA BURE . lakini pia nimeona siyo vibaya ukijua mimi ni nani na kitu gani utegemee kupata kwangu na SONGAMBELE kiujumla. Bila kuongeza la ziada napenda kukutaarifu kuwa kitabu chako kimeshatumwa kwenye baruapepe yako, ila kama hukioni unaweza kukipakua kwa KUBONYEZA HAPA Kwa miaka…

  • Jiwe la uzito wa tani moja kwa wale ambao hawataki kuweka akiba

    Moja ya sababu ambazo watu huwa wanatoa linapokuja suala zima la kuweka akiba ni kuwa hawawezi kuweka akiba kwa sababu wana vitu vingi vya kufanya na fedha. Utakuta mtu anakwambia kwamba nina kodi, ya nyumba na bili nyinginezo ambazo ninapaswa kulipa na hata fedha hainitoshi. Kitu kimoja cha muhimu sana na cha kushangaza ni kuwa…

  • Kitu ambacho kitakufanya uweze kulipwa zaidi ya unavyolipwa sasa

    Watu huwa wanatafuta siri za mafanikio na kuwafikisha mbali. Kama Kuna Siri ya mafanikio ambayo Unapaswa kuifahamu ambayo itakuwezesha kuongeza kipato Chako zaidi ni kufanya kazi zaidi ya vile unavyolipwa. Yaani, kujituma zaidi na kuchapa kazi zaidi ya ambavyo unalipwa. Hiki kitu kitakufanya uweze kulipwa zaidi. Kwa sababu kama MTU akikupa kazi yake na ukaifanya…

  • Jinsi Ya Kupata Wazo La Kuandika Kitabu

    Kuna watu huwa wanafikiri labda ili kuandika kitabu basi unapaswa kuwa na wazo la kipekee sana ambalo halijawaji kutokea Hapa duniaani. Siyo kweli. Unaweza kuwa na wazo la kawaida tu, Ila wazo Hilo ukalikuza na kulifanya kuwa kitabu kizuri sana. Bado huamini! Mfano kwenye picha ya kawaida tu ambayo watu wanachukulia poa wewe unaweza kupata…

  • Usikubali ufe na ndoto yako ya kuwa Mwandishi mkubwa.

    Wakati wa maonesho ya nanenane Kuna watu wengi walikuwa wanapita eneo la vitabu kwa nguvu zao zote. Wengine walikuwa wanasimama kidogo na kuangalia kinachoendelea Kisha kuendelea na safari Siku ya tarehe 3.Agosti alitokea mama mmoja ambaye alisimama kwenye banda letu kwa muda. Nilimkaribisha na kadiri nilivyokuwa nazidi kuongea naye alionekana kuwa anapenda nilivyokuwa naongea ila…

  • Mtu pekee anayeweza kufanya ufeli kwenye maisha

    Rafiki yangu, Kama Kuna MTU ambaye anaweza kukufabyavufeli kwenye maisha yako Basi Ni wewe mwenyewe. Hakuna mtu mwingine wa nje ambaye anaweza kukufanya ufeli. Watu wa nje wanaweza kufunga njia ya wewe kupitia lakini hawawezi kukuzuia kutafuta njia nyingine. Wanaweza kukusema vibaya lakini hawawezi kuzuia motisha yako na NGUVU yako ya ndani ya kufanya makubwa.…

  • Ufanyeje unapopata fedha nyingi kwa wakati mmoja huku ukiwa hujui wapi unaweza kuiweka

    Huwa inatokea mtu anapata fedha nyingi kwa wakati mmoja wakati akiwa hajui Cha kufanya. Sasa siku ya leo nataka tuone wapi unaweza kuweka fedha yako pale inapotokea umepata fedha nyingi kwa wakati mmoja. Haijalishi fedha hiyo umeipata kutokana na kubeti 😂Au labda wewe Ni mkulima umeuza mazao yako ila sasa unasubiri msimu.Au pengine hata inaweza…

  • Maoni Ya Watu KuhusuVitabu Vya Godius Rweyongeza

    Leo nimekuandalia baadhi ya maoni na shuhuda za watu waliosoma vyangu. Huyu wa kwanza alichukua kitabu Cha MAISHA NI FURSA wakati wa nanenane. Na haya ndiyo anasema kuhusu hiki kitabu Huyu mwingine wakati naongea naye aliniambia anataka kuwa Mwandishi. Nikamtumia kitabu kwa njia ya mtandao. Na Sasa amekisoma na kuanza kuandika. Ndoto yake ya siku…

X