Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

  • Nguvu ya mtandao wa INTANETI, na siri muhimu ambazo bado hujazifahamu

    Mtandao wa intaneti ni sehemu muhimu sana ya ambapo watu wengi wanatembelea. Kila siku kuna watu wanatembelea huu mtandao kwa ajili ya masuala mbalimbali, na hasa kikubwa ikiwa ni kujipatia maarifa. Watu wanaingia kwenye hii mtandao ya kijamii wakiwa na maswali na sehemu ya haya maswali majibu yake unayo wewe. Mfano mtu anaingia mtandao akiwa…

  • Thamani ya muda

      Muda ni kitu chenye thamani kubwa sana hapa dunini. Ni watu wachache sana ambao wanajua thamani ya muda na hivyo ni wachache pia ambao wanapata kuutumia vizuri muda wao. Leo nianze kwa kukambia kwamba kitu chochote kile unachotaka kufanikisha hapa duniani utakifanikisha ndani ya muda huu huu ulionao. Hivyo, kitu kikubwa sana ambacho wew…

  • Biashara Ni Zaidi Ya Mtaji

    Biashara ni zaidi ya mtaji Vijana Wengi wamekuwa wanafikiri kuwa Ili kuanzisha biashara na kukuza biashara mtaji ndiyo kitu pekee kinachohitakika, kitu hiki kimepelekea vijana Wengi wanaoanzisha biashara  baadaye kufeli na biashara zao Kwa sababu TU ya kukosa ujuzi Muhimu sana hasa kwenye eneo la biashara. Ukweli ni kuwa biashara ni zaidi ya mtaji, unahitaji…

  • Muda Ni Maisha

    Nakumbuka kipindi Nipo shule, ( High level) kuna mwalimu nilikuwa namchukia sana kwa sababu alikuwa makini na MUDA, Asubuhi MUDA wa Mchaka Mchaka ilikuwa ni lazima ukimbie, na muda wa darasani ni lazima uwepo na asikuone nje unazurura, Hali hii ilimpelekea achukiwe na wanafunzi wengi ikiwemo mimi, lakini mwisho wa yote alikuwa ametusaidia pakubwa sana…

  • Hii ndiyo Aina Ya Watu Ambao Siwapendi

    Rafiki yangu wa ukweli.hongera sana kwa kazi na kwa siku hii ya kipekee. leo ni siku nyingine bora sana ambapo wewe unatakiwa kwenye kufanya kazi na kuzipambania ndoto zako kubwa pamoja na malengo yako makubwa. Ukweli ni kuwa, vile unaishi kwenye hii dunia, hauna kitu chochote kile ambacho kinapaswa kukukwamisha wewe kufanyia kazi malengo na…

  • Kitabu: Jinsi ya Kufikia Ndoto Zako

    “Hapa kuna kitabu ambacho Nina uhakika kitaleta nuru kwenye safari yako ya kufikia ndoto zako – ‘Jinsi ya Kufikia Ndoto Zako’. Kitabu hiki kinaelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kutambua malengo yako, kujipanga kwa njia ya vitendo, na kushinda vikwazo vinavyokuzuia kufikia mafanikio makubwa. Je, ungetaka kujua zaidi kuhusu jinsi kitabu hiki kinavyoweza kusaidia kuleta…

  • Ninachokijua Mimi Kuhusu Vitabu Ni Hiki

    Minachojua Mimi, vitabu Huwa rafiki mzuri hasa wakati wa changamoto.Havikuachi hata kidogo, hata kama wengine watakuacha. Vibebe vikubebe

  • KITABU: YOU ARE NOT SICK, YOUR ARE THIRSTY: DON’T TREAT THIRST WITH MEDICATIONS MWANDISHI: DR F. BATMANGHELIDI

    KITABU: YOU ARE NOT SICK, YOUR ARE THIRSTY: DON’T TREAT THIRST WITH MEDICATIONSMWANDISHI: DR F. BATMANGHELIDI Je, unayajua magonjwa 10 yanayotibika kwa kunywa maji pekee?Suluhisho la kupanda kwa gharama za afya yako binafsi Utangulizi Maji huwa hutumika mwilini mwa kila binadamu kukidhi mifumo yote ya mwili.Ata mkuu wa kanisa katoliki duniani, baba mtakatifu (POPE) asilimia…

  • KITABU: Jinsi Ya Kuongeza Thamani Yako

    Jinsi ya Kuongeza Thamani Yako’, ni mwongozo kamili wa kuboresha maisha yako kwa kujenga ujuzi, kujiamini, na kufikia malengo yako kwa ufanisi zaidi. Ni chanzo cha mafunzo yanayotia moyo na yanayoweza kuleta mabadiliko makubwa maishani mwako. Je, ungependa kujipa fursa ya kufaidika na maarifa haya?” Pata nakala Kwa 25,000/- TU.Lipia Kwa 06844038755 tutakutumia nakala popote…

  • KITABU: Mwongozo wa Wapambanaji

    “Nina kitabu kizuri sana kinachoitwa ‘Mwongozo wa Wapambanaji’ ambacho naamini kitakusaidia sana kuboresha uelewa wako kuhusu mbinu za kupambana na changamoto mbalimbali maishani. Ni chanzo kizuri cha maarifa na ujuzi utakaokuwezesha kufanikiwa katika kila jambo unalolenga kufanya. Je, ungependa kukipata?” Tuwasiliane Kwa Kwa 0684408755 Sasa.

  • Ninahitaji Watu Watano, Nami Nitawasaidia Kuandika Na Kukamilisha Kitabu Ndani Ya Miezi Mitatu Mpaka Sita

    Ninahitaji Watu Watano, Nami Nitawasaidia Kuandika Na Kukamilisha Kitabu Ndani Ya Miezi Mitatu Mpaka Sita Rafiki yangu mpendwa habari ya leo. Kwa siku sasa nimekuwa nikiwasaidia watu mbalimbali kuandika vitabu vyao. Watu ambao tokea mwanzo walikuwa hawafikirii kama wanaweza kuandika vitabu vyao, nimewasaidia kuweza kuandika na kukamilisha vitabu vyao. Katika uandishi wa vitabu huwa nafanya watu…

  • Hii Ndiyo Njia Ya Uhakika Ya Kuwanyamazisha Watu

    Njia nyingine ya kuwanyamazisha watu wanaokukatisha tamaa ni wewe kufanyia kazi kile unachotaka kufanyia kazi bila ya kuacha, haurudi nyuma na walahukwamishwi na kitu chochote.  

  • Kazi ni nini?

    Rafiki yangu mpendwa salaam. Hongera sana kwa kazi na kwa mapambano makubwa ambayo unaendelea kuyafanya. Unastahili pongezi kubwa sana na hasa katika kipindi hiki ambacho watu wengi wanapenda sana fedha bila ya kupenda kufanya kazi na kujituma kwenye kazi zao. Lakini sote tunajua wazi kuwa kazi ndiyo kipimo cha utu. Kazi zinatupa utambulisho, Kazi ndiyo…

  • Nawezaje Kujua Thamani Ya Saa Langu Moja

    Kujua thamani ya saa moja kunategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na mahali unapoishi, kazi unayofanya, ujuzi wako, na kadhalika. Hapa kuna njia kadhaa za kufikiria kuhusu thamani ya saa yako moja: 1. Mshahara wako: Ikiwa unalipwa kwa saa, thamani ya saa moja inaweza kuwa mshahara wako kwa kazi hiyo. 2. Uzalishaji: Ikiwa wewe ni…

  • Kosa kubwa unalofanya kwenye fedha na uwekezaji

    Na kosa hili ni wewe kuweka fedha yako sehemu moja tu. Hili ni kosa kubwa sana kwa sababu ukiwekeza fedha yako sehemu moja na sehemu hiyo ikipata shida, utakuwa umepata shida pia. Kwa hiyo, badala ya wewe kuweka fedha zako sehemu moja unapaswa kuwa na maeneo kadha wa kadha ya kuweka fedha zako. na hivyo…

  • Kwa Nini Watu Huwa hawatengenezi MSHAHARA NJE YA MSHAHARA wao wa kawaida

    Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya watu wasitengeneze mapato nje ya mshahara wao wa kawaida: 1. Ukosefu wa Elimu ya Kifedha: Watu wengi hawajapata elimu ya kutosha kuhusu uwekezaji, biashara, au njia nyingine za kutengeneza mapato nje ya mshahara. Hivyo, wanaweza kukosa ujasiri au maarifa ya kutosha kuanza safari ya kutafuta mapato mbadala. 2. Hofu…

  • Mwandishi ni mwandishi kwa sababu anaandika. Kama Huandiki nina haya ya kusema na wewe

    Mwandishi ni mwandishi kwa sababu anaandika. Kama huandiki, wewe siyo Mwandishi. Kwa hiyo, nataka na wewe uanze kuitwa mwandishi tena kuanzia leo, na utaweza hilo kwa kuanza kuandika. Kitabu kitakachokusaidia kufanikisha lengo lako ni kitabu Cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU. Gharama ya kitabu hiki ni 20,000/- tu. Lipia kwa 0684408755 sasa upate nakala yako.…

  • Watu wa Kawaida Vs Matajiri

  • KITABU: NGUVU YA KUWEKA MALENGO

    Kitabu cha NGUVU YA KUWEKA MALENGO kinaeleza dhana muhimu unayoihitaji kwa ajili yakufanikisha jambo lolote lile. Ukiona mtu kafanikisha jambo lolote lile kubwa, ujue kwamba nyuma ya lile jambo kulikuwa na malengo ambayo mtu huyo aliweka na akayafanyia kazi. Usipokuwa na malengo, ujue kwamba utazunguka huku na kule ila utashindwa kufanikisha jambo lolote lile la…

  • The Law Of Attraction Kitabu Kilichoandikwa na Simon Gray

    UTANGULIZI1. Mwandishi wakitabu hiki anatujuza kwamba maisha tunao ni nishati yani kila tofali(seli ) mwilini ni nishati kutokana na fomula ya Albert Einstein:E=MC2 E= Nishati, M= mwili C = kasi ya mwanga Kwa hivyo basi, tunao uwezo mkubwa hapa duniani kiasi kwamba huwa tunazo nguvu zakufanya chochote kile tutachodhamiria kufanya, ubunifu, kuyafanya makubwa yoyote tutakapowaza…

X