-
Anza Na Kina Kile Ulichonacho
Kabla hujasema kwamba haiwezekani na wala siwez i kufanya kitu fulani, jihoji kiundani na uangalie ni kitu gani unaweza kufanya. Kuna vitu vingi unaweza vizuri tu Kabla hujasema kwamba, sina cha kuanza nacho, angalia vizuri ikwenye mazingira yako ni kipi ulicho nacho ambacho unaweza kuanza kutumia sasa hivi. Kuna vitu ulivyo navyo ambavyo unaweza kuanza…
-
Hizi Hapa Ni Sababu Za Kwa Nini Unapaswa Kufanyia Wazo Lako Mwaka Huu Na Sio Kusubiri
Natumai kwamba unaendelea vyema. Ni takribani wiki nzima sasa nimekuwa nikiandika makala kuhusu wazo la biashara. Kila siku tumekuwa tunapata makala moja iliyojishosheleza na yenye ujumbe uliokamilika. Sasa leo nimerudi tena kwa lengo la kukueleza kwa nini unapaswa kufanyia wazo lako la biashara mwaka huu na sio mwaka mwingine. Najua kwamba ninachoenda kuandika hapa ni…
-
Njia 7 Za Kutumia Ili Kupata Wazo Bora La Biashara
Wazo bora la biashara halishuki kutoka mbinguni~ Godius Rweyongeza Moja ya kitu ambacho kimekuwa kinawakwamisha watu wengi na kuwafanya washindwe kuanzisha biashara ni wazo la biashara. Watu wamekuwa wanashindwa kupata wazo la biashara, sasa kwenye kipengele hiki ninaenda kukuonesha ni kwa jinsi gani ambavyo unaweza kupata wazo bora la biashara.
-
Ugunduzi mkubwa kuwahi kufanyika hapa duniani
Zimewahi kufanyika gunduzi nyingi sana hapa duniani. Na hata leo hii bado kuna gunduzi nyingi zinaendelea kufanyika. Hata hivyo, kuna ugunduzi mkubwa ambao ndiyo ugunduzi nambari moja kukiko ugunduzi mwingine unaoufahamu wewe. Na ugunduzi huu ni kuwa mtu anaweza kubadili maisha yake akibadili mtazamo wake. Hii ni kauli ya James Allen ambayo aliitoa kwa…
-
Vitu Vitano Ambavyo Bosi/ Mwajiri Wako Hawezi Kukwambia
siku ya leo nimeona nikueleze vitu vitano ambavyo bosi wako hawezi kukwambia. na vitu hivi hakuna mtu mwingine atakuja kukwambia isipokuwa mimi tu ndio nimeona inafaa nikwambie vitu hivi. sasa ni juu yako kuvifanyia kazi ili utengeneze maisha ya tofauti au la uendelee kama ulivyokuwa unafanya siku zote. 1.Bosi wako hawezi kukwambia fedha iliyoanzisha biashara…
-
Njia Tano Za Kutengeneza Utajiri Na Moja Kuu Inayokufaa
Utajiri ni asili ya mwanadamu yeyote. Ni kitu muhimu kwake kuwa nacho. Kamusi ya kiswahili sanifu inasema kuwa utajiri ni hali ya kuwa na mali nyingi. Hata hivyo, leo hapa tunaenda kuona kuwa utajiri ni zaidi ya kuwa na mali nyingi. Maana kuna utajiri wa aina tatu. Kwanza, kuna utajiri mali na vitu vingine vizuri…
-
ACHA KUUA BIASHARA YAKO KWA KUFANYA VITU HIVIA HAPA. Vitu Saba (07)Ambavyo Unafanya Ila Vinaua Biashara Yako
Nichukue nafasi hii kukushukuru wee rafi ki yangu ambaye umekuwa unatembelea blogu kila mara. Asan te sana. wewe ndiwe unanifanya niendelee kuandika kila siku na kuweka masomo mapya hapa bila kuchoka. Nafurahi kuona kwamba blogu hii inawafikia maelfu ya watu kila mwezi. Ambao ninaamini wananufaika na hiki kinachoandikwa humu na hivyo kuendelea kuja zaidi ili…
-
Hiki Kitu Ndicho Kinafanya Biashara Yako Ishindwe Kukua
Habari ya siku ya leo rafiki yangu. Karibu sana kwenye makala ya siku ya leo ambapo ninaenda kukueleza, kitu kimoja ambacho kinafanya biashara yako ishindwe kukua. Kitu hiki sio kingine bali ni kwa sababu ya kukosa maono. Unaweza kuwa unashangaa kuwa biashara yangu inakosaje maonio. Pengine ulianzisha biashara yako ukiwa na mtazamo fulani wa…
-
Tafadhal Usifanye Kosa Hili Kwenye Biashara Yako Pale Watu Wanapokuja Kununua (mbinu zilizothibishwa za kumvuta mteja kwako bila kuficha chenji yake)
kitabu hiki ni nakala tete (soft copy) na gharama yake ni 5,000/- tu. tuwasiliane kwa 0755848391 ili uweze kupata nakala yako. Rafiki yangu karibu sana kwenye makala ya siku hii ya leo. Siku ya leo napenda nikwambie uepuke kosa hili hapa. kosa hili hapa ni pale kukataa kutoa chenji kwa mteja huku ukimwambia aondoke, wakati…
-
Kama Umeajiriwa, Upo Kwenye Biashara. Na Mteja Wako Ni Mtu Mmoja Tu Ambaye Ni Mwajiri Wako. Haya Hapa Ni Mambo Matano Ambayo Unaweza Kufanya Ili Kuuteka Moyo Wake
Ujue kila mtu hapa duniani yupo kwenye biashara, tofauti ya watu waliofanikiwa zaidi kwenye biashara ni wale ambao wanakuwa tayari kuwasaidia watu wengi zaidi na huku wengine wakichaguwa kuwahudumia wateja wachache. Mtu anapoingia kwenye ajira anakuwa amechagua kumhudumia mteja mmoja ambaye ni mwajiri wake. Kwa hiyo kipato chake chcote anakuwa anakitegemea kutoka kwa…
-
Mafunzo Saba (07) Muhimu Kutoka Kwa Wajasiliamali Saba Waliofanikiwa Kibiashara Kwenye Karne Ya 19
Siku ya leo ninaenda kukuletea masomo saba muhimu kutoka kwa wajasiliamali na wagunduzi bora a karne ya 19. Kutoka kwa watu hawa utaweza kujifunza mengi ambayo unaweza kuchukua hatua. Ujue ipo hivi rafiki yangu. Kwenye maisha unaweza kuamua kujifunza kutoka kwa watu waliofanikiwa au unaweza kuamua kujifunza ambao hawajafanikiwa. ubora wa kujifunza kwa watu waliofanikiwa…
-
Kitu kimoja Ambacho Watu Hawajui Kuhusu Biashara Zao
Kitu kimoja ambacho hawajui watu kwenye biashara wanazofanya ni kuwa na wao ni wateja wa biashara zao. Kitu hiki kinawafanya watu hawa kutoa bidhaa kwenye biashara bila mpangilio maalumu kwa sababu tu wao ni wamiliki wa biashara hizo. Rafiki yangu, hili ni kosa kubwa ambalo hupaswi kufanya. Kuna wakati wewe unapaswa kuwa mteja kwenye biashara…