-
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWEIli uweze kufikia Malengo na MAFANIKIO unayotaka lazima ukubali kuacha baadhi ya mambo🤷MAFANIKIO kwako yanaweza kuwa na maana tofauti ,Kila mmoja wetu na wengi wetu hutafsiri MAFANIKIO ni kama Pesa,umaarufu,majumba,magari,.Wengine hutafsiri kama MAFANIKIO kwako ni furaha,Amani,uhuru,inategemea ni JINSI Gani unaweza kutafsiri MAFANIKIO kwako wewe mwenyewe 👉Ukijua maana ya MAFANIKIO kwako…
-
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE 😊
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWEIli uweze kufikia Malengo na MAFANIKIO unayotaka lazima ukubali kuacha baadhi ya mambo…MAFANIKIO kwako yanaweza kuwa na maana tofauti ,Kila mmoja wetu na wengi wetu hutafsiri MAFANIKIO ni kama Pesa,umaarufu,majumba,magari,.Wengine hutafsiri kama MAFANIKIO kwako ni furaha,Amani,uhuru,inategemea ni JINSI Gani unaweza kutafsiri MAFANIKIO kwako wewe mwenyewe 👉Ukijua maana ya MAFANIKIO kwako…
-
Kitabu Siyo Ubwabwa
Mwanzoni utatumia gharama kubwa. Kuandika. Kuhariri. Kupata ISBN na Barcode. Kuchapa Huu ni uwekezaji, Kwa sababu kitabu siyo kama ubwabwa kwamba kikiiva unakula unananawa na kusubiri kuandaa kingine. Kitabu kikiiva, kimeiva, watu wanaendelea kula maarifa maisha yote, hata baada ya wewe kufa. www.songambele.co.tz
-
Usitafute ukamilifu mwanzoni mwa kuandika Kitabu Chako, tafuta kuanza
Lakini ninachoandika mbona siyo kizuri, anajiuliza mmoja wa waandishi. Ukweli ni kuwa wewe mwanzoni Anza kuandika TU, andika hata kama mwanzoni huoni huo uzuri. Baadaye utaboresha
-
Usisubiri Uwe na Muvi Kichwani Ili uandike kitabu chako. Una mengi ya kuandika leo
Anayekwambia kwamba usubiri mpaka uwe na muviq kichwani Ili uandike kitabu chako anakudanganya. Wewe hapo ulipoq na ninavyokuona wewe una mengi ya kuandika haya yote yanaweza kuwa chanzo Cha wewe kuandika na kukamilisha kitabu chako. Kila la kheri kupata usimamizi au msaada wa kuandika Kitabu Chako tumia 0678 848 396
-
Aina Tano Za Uwekezaji Ambazo Unaweza Kufanya Leo Hii, Zikakupa Faida Hapa Duniani Na Hata Pale Uakapokuwa Umetangulia Ahera
Kuna aina za uwekezaji ambazo unaweza kufanya leo hii, zikaweza kukuletea faida ukiwa hapa duniani, hata itakapofika hatua ukatangulia mbele ya haki, bado utakuwa unaengeneza faida hapa duniani. Unajua aina hizi za uwekezaji ni zipi? Aina ya kwanza ni uwekezaji kwenye hisa Kama utachagua aina nzuri ya uwekezaji na ukaufanya kwa msimamo, nakuhakikishia kuwa…
-
Gharama ya uandishi wa kitabu ni uwekezaji. Hii hapa ni sababu Kwa Nini?
Gharama unayotumia mwanzoni kwenye kuandika Kitabu Chako, ni uwekezaji. Kitabu kikishakamlika. Kitaendelea kuwepo maisha yako yote na hata baada ya wewe kuaga Dunia. Uandishi wa kitabu ni kazi unayofanya mara Moja ila unalipwa maisha yako yote. Hata baada ya kufa, kitabu kinakutengenezea faida ukiwa duniani na hata ukiwa ahera. Godius Rweyongeza +255755848391
-
Muda wa kuandika Kitabu unausubiri utoke wapi?
Utasikia mtu anakwambia nasubiri siku niwe na muda wa kutosha Ili niandike. Sikiliza. Tena sikiliza vizuri. Muda wa kutosha haupo.Hakuna mwandishi mwenye muda wa kutosha.Kila mwandishi yuko bize. Ila muda mchache TU anaopata anaandika. Hata wewe Fanya hivyo. Kusubiri muda wa kutosha Ili uandike kitabu chako ni uongo. Hatusubiri tuwe na muda wa kutosha Ili…
-
Ile kozi fupi inayokuelekeza namna ya kupakua vitabu mtandaoni hii hapa
Habari ya leo rafikii yangu, umeshaipata ile kozi fupi ambayo inakuelekeza hatua kwa hatua namna ya kupakua vitabu mtandaoni? Kama hukupata hii kozi, muda wako mzuri wa kuipata ni sasa. Unaweza kuipata sasa. Itakusaidia wewe kuweza kupakua kitabu chochote kile mtandaoni. Itakusaidia wewe kuondokana na hali ya kulipia kila kitabu kila unapokihitaji. Utalipia mara moja…
-
Usifanye kosa la kujiajiri kama hujui hiki kitu
Una mpango wa kujiajiri? Hakikisha kuwa hauchukui hatua ya kujiajiri kama huna ufahamu wa jambo hili Moja.Jambo hili ni kwamba, kama huwezi kujisimamia mwe yewe kutekeleza majukumu Yako, usijiajiri. Kama Bado unasubiri watu wakusimamie ndiyo utekeleze majukumu Yako, usianzishe biashara ya namna yoyote. Pengine unajiukiza Kwa Nini.Jibu la haraka ni Kwa sababu hiyo biashara Yako…
-
App hii hakikisha unaiweka kwenye simu yako, tena iweke sasa hivi
Mara kwa mara huwa nikikutana na app ambayo ni nzuri, basi huwa siachi kukushirikisha na wewe ili uweze kunufaika na kile kilichomo kwenye app husika. Nimekuwa nikifanya hivyo hapa mara kwa mara. Siku kadhaa zilizopita nilikutana na app inayoitwa the secrets of the billionaires mind, niliipakua na kuiweka kwenye simu yangu. Kiukweli imekuwa ni…
-
Jack Welch: Safari ya Uongozi na Urithi Wake Katika Ulimwengu wa Biashara
Jack Welch, ambaye jina lake kamili ni John Francis Welch Jr., alizaliwa tarehe 19 Novemba 1935, huko Peabody, Massachusetts, Marekani. Alijulikana sana kama mkurugenzi mtendaji wa General Electric (GE) kuanzia mwaka 1981 hadi 2001. Chini ya uongozi wake, GE iliongezeka thamani kutoka dola bilioni 12 hadi zaidi ya dola bilioni 410, jambo lililomfanya kuwa mmoja…
-
Wilbur na Orville Wright: Wawezeshaji wa Ndoto ya Kuruka
UtanguliziWilbur na Orville Wright, maarufu kama Ndugu wa Wright, wanajulikana kama waanzilishi wa safari za anga. Walifanikisha ndoto ya kuruka kwa kutumia mashine nzito kuliko hewa. Safari yao ya kuvumbua ndege iliyo na injini na inayoweza kudhibitiwa imekuwa msukumo mkubwa kwa wanateknolojia na wavumbuzi duniani kote. Ebook hii itachunguza maisha yao, kazi zao, na mafanikio…
-
Walt Disney: Mwanzilishi Disyneland (Ulimwengu wa Burudani)
Utangulizi Walt Disney ni jina maarufu duniani kote, anayejulikana kama mbunifu wa ulimwengu wa burudani unaojumuisha filamu za katuni, mbuga za burudani, na biashara mbalimbali za burudani. Katika ebook hii, tutachunguza kwa undani maisha ya Walt Disney, kutoka utotoni mwake, hadi kuanzisha kampuni ya Walt Disney, na athari zake kubwa katika ulimwengu wa burudani. Sura…
-
Cornel Sanders: Mwanzilishi wa KFC aliyeanza kuifanyia kazi ndoto yake baada ya kustaafu
Cornel Sanders: Mwanzilishi wa KFC aliyeanza kuifanyia kazi ndoto yake baada ya kustaafu UtanguliziColonel Harland David Sanders ni jina maarufu ulimwenguni kwa kuanzisha mnyororo wa mgahawa maarufu wa KFC (Kentucky Fried Chicken). Hadithi yake ni ya kipekee na ya kuvutia, ikijaa vikwazo na mafanikio. Katika ebook hii, tutachunguza maisha ya Cornel Sanders hatua kwa hatua…
-
Mfahamu Napoleon Hill: Mwandishi wa Kitabu cha Think And Grow Rich
Napoleon Hill: Mbunifu wa Mafanikio Utangulizi Napoleon Hill alikuwa mmoja wa waandishi maarufu wa vitabu vya kujisaidia na mafanikio binafsi katika karne ya 20. Kazi zake, hasa kitabu chake maarufu “Think and Grow Rich,” zimeathiri maisha ya mamilioni ya watu duniani kote. Ebook hii inachunguza kwa undani maisha ya Napoleon Hill, kazi zake, falsafa zake,…
-
Napoleon Bonaparte: Maisha na Urithi
Utangulizi Napoleon Bonaparte alikuwa mmoja wa viongozi wa kijeshi na wa kisiasa walioacha alama kubwa katika historia ya Ufaransa na ulimwengu kwa ujumla. Alizaliwa katika familia ya kawaida na akaibuka kuwa mmoja wa watawala wenye nguvu zaidi wa wakati wake. Ebook hii itachunguza kwa kina maisha yake, kuanzia utoto wake hadi utawala wake na hatimaye…
-
Alexnder The Great:
Utangulizi Alexander Mkuu, au Iskandar Dhul-Qarnayn kama anavyojulikana katika utamaduni wa Kiislamu, alikuwa mmoja wa viongozi wa kijeshi na wa kisiasa wenye ushawishi mkubwa katika historia ya dunia. Kuanzia utoto wake uliojaa matukio ya kipekee hadi kufanikiwa kwake katika kuunda moja ya milki kubwa zaidi za kale, hadithi ya Alexander inavutia na kujaa mafundisho. Katika…
-
Thomas J. Watson Sr.: Mwanzilishi wa IBM
Sura ya 1: UtanguliziThomas John Watson Sr. alikuwa mwanzilishi na kiongozi mwenye maono ya Kampuni ya Kimataifa ya Biashara Mashine (International Business Machines, IBM). Alijulikana kwa uongozi wake thabiti, alifanya IBM kuwa mojawapo ya makampuni makubwa zaidi na yenye ushawishi mkubwa duniani. Ebook hii inachunguza maisha yake, mafanikio yake, na urithi wake katika historia ya…
-
Andrew Carnegie: BILIONEA WA NYAKATI ZAKE
Utangulizi Andrew Carnegie alikuwa mmoja wa wajasiriamali maarufu wa karne ya 19 na mwanzilishi wa sekta ya chuma nchini Marekani. Safari yake kutoka kwa kijana maskini wa Scottish hadi kuwa tajiri mkubwa na mfadhili wa hisani imekuwa ikitoa msukumo kwa vizazi vya wajasiriamali na wafadhili wa hisani. Ebook hii itachunguza kwa undani maisha ya Andrew…