Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

  • Ni muda upi mzuri kuanzisha bishara

    Rafiki yangu, unaweza kuwa unajiuliza hivi ni muda upi mzuri kwangu kuweza kuanzisha biashara? Rafiki yangu hili swali limekaa kimtego sana. Kuna watu ambao huwa wanaanza kufanya utafiti kuhusiana na biashara ambayo wanataka kufanya, ila huo utafiti wao huwa haufiki mwisho. Kuna watu ambao kila mwaka huwa wanajiambia kwamba wataanza biashara ila huwa hawaanzi, mwaka…

  • Jinsi Ya Kuwa Mtu Mwenye Thamani Kubwa

    Rafiki yangu, kama kuna kitu ambacho utasikia kutoka kwangu amra kwa mara ni kuhusu kuongeza thamani yako. Nasisitiza hili kwa sababu watu wengi wangependa kupata mafanikio. Ila sasa tatizo ni kwamba hawajui ni kwa namna gani wanaweza kuwa na mafanikio. Moja ya kitu ambacho kinaweza kuwafanya watu wawe wenye mafanikio makubwa ni kwa kuhakikisha kwamba…

  • TABIA ZA WATU WANAOLIPWA SANA

    Rafiki yangu, kila sekta huwa ina watu wake ambao huwa wanafanya jambo fulani. Na ili uweze kuwa kwenye kundi fulani, lazima uwe na tabia ambazo zinaenda na ambao wako kwenye sekta husika. Kwa mfano ili luweze kuwa kwenye kundi la watu ambao wanalipwa sana, lazima uwe tabia za watu ambao wanalipwa sana, hivyo vhiyo kama…

  • Njia bora ya kumbadili mtu yeyote

    Rafiki yangu, watu wengi wamekuwa wanapenda mabadiliko. Wanapenda watu waliowazunguka kwenye maisha yao wabadilike na wafanye vitu kama ambavyo wao wanataka pia. Nina njia moja ambayo itakupa uhakika wa kubadilika na kufanya chochote kile unachotaka kama ambavyo wewe mwenyewe unataka. Na njia hii ni wewe kuanza kubadilika. Yaani, kama kuna njia bora ya kuwabadili watu…

  • Njia ya uhakika ya kupata bahati maishani mwako

    Rafiki yangu unajiuliza ni kwa namna gani unaweza kupata bahati maishani mwako. Siku ya leo nina njia moja ya ukweli na ya uhakika ya kukufanya wewe uweze kupata bahati maishani mwako. Na njia hii ni wewe kufanya kazi kwa bidii. Kuna mtu mmoja aliwahi kusema kwamba kadiri ninavyokuwa nafanya kazi kwa bidii ndivyo ambavyo ninakuwa…

  • Kitabu; How To Win Friends And Influence People

    Mwandishi: Dale Carnegie Mchambuzi: Hillary Mrosso Mawasiliano: +255 683 864 281 UTANGULIZI How to Win Friends and Influence People, ni moja ya kitabu bora sana kwenye kujenga urafiki, kutanza urafiki, kujenga mahusiano bora na watu na kuongeza ufanisi kwenye kazi na biashara. Ni kitabu kilichojaa hekima za kweli ambazo sio tu zitakushangaza, bali zitakufanya ubadilike…

  • Njia ya uhakika ya kukutana na mtu yeyote

    Rafiki yangu, siku ya leo ningependa kukwambia njia ya uhakika ya kukutana na mtu yeyote yule. Na njia hii ni kuhakikisha kwammba unakuwa mteja wake au mteja wa biashara yake. Watu huwa wanapenda kukutana wateja wao, kukaa nao meza moja na kuongea nao hivyo ukiwa mteja kwenye biasahra ya mtu ambaye ungependa kukutana naye, ni…

  • Haya ni mambo ya msingi ambayo unaenda kujifunza kutoka kwenye kitabu cha jinsi ya kuongeza thamani yako

    Rafiki yangu wa ukweli, sina shaka unaendela vyema kabisa. Hongera sana kwa siku hii ya kipekee. siku ya leo ningependa kukwambia kitu kikubwa ambacho unaenda kujifunza kutoka kwenye kitabu cha JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO. Hiki ni kitabu cha kipekee chenye mafunzo makubwa sana ambacho kila mtu aliye hai anapaswa kuhakikisha kwamba amekisoma. Na kwa…

  • KITABU: JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO: Njia Za Uhakika Zitakazokufanya Ulipwe Mara Kumi Zaidi ya Unavyolipwa Sasa

    Sisi binadamu ni viumbe ambao tunapenda kuthaminiwa, kuheshimiwa na tunataka watu watambue uwepo wetu. Ukienda kwenye mkutano au kwenye sherehe fulani, wakiwatambulisha watu wote halafu wakakuacha wewe bila kukutambulisha, ni wazi utajisikia vibaya na pengine utasema kwamba wamekudharau. Au ukienda sehemu watu na wote wakapewa vinywaji na chakula, halafu ukasahaulika wewe, ni wazi kuwa wewe…

  • KITABU KIPYA: JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO

    Rafiki yangu mpendwa Salaam, Moja ya kitu muhimu sana unachopaswa kukifanyia kazi kwenye maisha yako ni thamani yako. Ila kwanza labda tujiulize thamani ni nini? Ili tujue maana halisi ya thamani nimelazimika kuangalia kwenye kamusi ya Kiswahili sanifu, ambayo inasema Kuwa thamani ni gharama au ubora wa kitu kutokana na hali na kuhitajika kwake na…

  • Umuhimu wa kuwa na pesa ya dharula

    Chukulia kwamba unaenda Bukoba, umepanda Basi la umma. Ila unapofika Nyakanazi au Biharamulo gari linakata Moto. Katika hali ya kawaida kitakachofuata Ni wewe kutafuta Usafiri mwingine, hapa kama hauna fedha ya dharula, Ni wazi kuwa utaingia choo ambacho siyo sahihi. Tena bora safari yako iwe inaishia Biharamuro, Ila kama unaenda Bukoba mjini, Karagwe-Kaisho, hapo safari…

  • Njia Saba (07) Bora Za Kutangaza Ujuzi Wako Kwa Watu

    Rafiki yangu siku ya leo ningependa kikufundishe njia Saba Bora za KUTANGAZA UJUZI WAKO KWA watu, kiasi Cha kuweza kuwashawishi watu waweze kutoa hela zao mfukoni na kukulipa. Naomba ifahamike hapa kuwa ninapoongelea Aina za ujuzi namaanisha, kile kitu ambacho tayari unacho na unaweza kukipangilia vizuri kikaanza kuleta mafanikio.Kuna watu wanaposikia ujuzi Basi wanadhani kinapaswa…

  • Nguvu ya fedha; Itumie Ikubebe

    Hivi umewahi kujiuliza fedha kama fedha ina nguvu gani maishani mwangu, kwenye maisha ya familia yangu au hata maisha ya watu wengine wa karibu sana kwenye andiko la leo ambapo unaenda kujifunza nguvu hizi muhimu za fedha na jinsi ambavyo unaweza kutumia nguvu hizi hapa kwa manufaa yako. 1. Nguvu ya kufanya maamuzi. Kwenye hili…

  • Kitu kimoja ambacho hupaswi kuacha kufanya hata kama una nguvu ya pesa

    Rafiki yangu mpendwa, ila shaka unaendela vizuri. Kwa upande mwingine mimi nipo vizuri kabisa. leo nataka tujadiliane kwa pamoja kuhusiana na kitu kimoja ambacho hupaswi kuacha kufanya hata kama una nguvu ya pesa. na kitu hiki ni kujadiliana muuzaji kuhusiana na bei anayokuuzia bidhaa. Yaani, kiufupi ni kwamba mtu akitaka kukuuzia kitu kwa bei fulani,…

  • Fanya kazi kwanza, tutaongea

    / Mr. Beast ni moja ya watu maarufu sana kwenye mtandao wa youtube. Yeye alianzia chini kabisa kwenye ulimwengu wa youtube, hakuwa na umaarufu wowote kama huu alionao sasa hivi. alianza kurekodi video moja baada ya nyingine,. Nyingi hazikufanya vizuri, lakini jamaa hakukata tamaa aliendelea, baada ya miaka mingi ya kuweka kazi bila ya kukata…

  • Kuwa bora

    Moja ya dhana ambayo watu wengi tumekuwa hatujifunzi ni kuwa vitu ambavyo ni bora ndivyo ambavyo huwa vinapendwa. Hakuna mtu huwa anapenda kukaa karibu na vitu dhaifu, vitu ambavyo siyo vizuri na vitu ambavyo  havivutii. Ili uweze kunielewa vizuri kwenye hili, nitatolea mfano ambao unaweza kukuudhi kidogo. Hivi eti kwa mfano, unaweza kuchukua chakula chako…

  • Iambie dunia kile unachotaka kufanya, ila  kwanza kioneshe hicho kitu

    Rafiki yangu, habari ya siku ya leo. Hongera sana kwa siku hii ya leo nay a kipekee sana. mimi kwa upande wangu rafiki yangu siku ya leo, nina kitu kimoja tu ambacho ningependa kukwambia. Na kitu hiki siyo kingine bali ni kwamba kama kuna kitu ambacho ungependa kuiambia dunia, basi hicho kitu unapaswa kukisema kwa…

  • Jinsi ya kuitumia nguvu ya mara kumi zaidi kufanikisha makubwa

    Rafiki yangu, sina shaka unaendelea vizuri kabisa. hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. siku ya leo ningependa kuongea na wewe juu ya suala moja tu. Na suala hili ni namna ambavyo unaweza kuitumia nguvu ya mara kumi zaidi kufanikisha malengo yako, na kitu chochote kile ambacho umepanga. Kiufupi kwenye hii makala nataka nikuoneshe…

  • Hivi unajua Nini kuhusu uwekezaji wa hisa, hatifungani na VIPANDE?

    Katika kuongea kwangu na rafiki zangu. Nimekuja kugundua kitu Kimoja kutoka kwa Watu kadha wa kadha ambao nimeongea nao. Hawana ufahamu kamili kuhusu uwekezaji wa hisa au hawajui kabisa. Hiki kitu Godius, Kimenikusuma niandae kitabu kinachohusu uwekezaji wa hisa, hatifungani na vipande kwa ajili yako. Ni kitabu ambacho hupaswi kukikosa rafiki yangu. Ndani yake unaenda…

  • Zifuatazo ni mada 15 utakazojifunza kwenye semina ya Kufungua mwaka 2023!

    Wahenga wanasema hayawi hayawi, Sasa yamekuwa. Rafiki yangu wa ukweli, kwa siku sasa nimekuwa nikikwambia juu ya habari Semina ya Kufungua mwaka 2023. Najua umekuwa unajiuliza hivi hii semina itafanyika kweli? Jibu langu Ni kwamba lazima semina ifanyike bila kukwama. Maana mwaka 2023 haturembi mwandiko Semina hii itaanza tarehe 15.1.2023 na itadumu mpaka mwezi wa…

X