Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

  • Kama Unataka Kubadili Dunia Fanya Haya Hapa

    Unaendeleaje rafiki yangu Nimekutana na watu wengi wanaopenda kubadili dunia. Hata hivyo, cha kushangaza wamekuwa hawachukui hatua. siku leo, nimeona siyo vibaya, ngoja nikuandalie kitu kuhusu mabadiliko, kama unataka kubadili dunia fuatilia haya mafunzo. 1. Kama unataka kubadili dunia, tandika kitanda chako vizuri.(KITABU) Huu ni uchambuzi wa kitabu cha Make Your Bed kilichoandikwa na William…

  • Je, Viwanja Vya Zama Hizi Vimehamia Mtandaoni

    Leo nimeona nifunguke mambo ya muhimu sana baada ya kuona kwamba dunia inazidi kubadilika kwa Kasi sana wakati Watanzania wenzangu wakiwa wanaendelea kuishi kama vile hakuna kinachotokea. Zamani ilikuwa kwamba mtu akiwa na mashamba makubwa au viwanja basi alikuwa anahesabika kuwa ana utajiri mkubwa sana. ila siku hizi hali inaonekana kama imebadilika. Nadhani wewe mwenyewe…

  • Kwa Nini Mpaka Sasa hivi huanzishi biashara yako?

    Ngoja kwanza! Si ulisema mwaka 2020 kwamba utaanzisha biashara? Ilikuwaje? Nakumbuka mwaka 2021 ulisema ndio mwaka wako wa kufanya makubwa! Uliishia wapi? Mbona hilo wazo lako la kuanzisha biashara unarudia kulisema kila mwaka huku ukiwa huchukui hatua? Siku ya leo nataka nikudadavulie vitu vinavyokuzuia wewe kuanzisha biashara yako mwaka hadi mwaka na hatua unazoweza kuchukua.…

  • Dhana Ya Riba Mkusanyiko Kwenye Kipaji

    Hakikisha unasoma: Kipaji Ni Nini? Mwanasayansi Albert Einstein aliwahi kunukuliwa akisema “riba mkusanyiko (compound interest) ni moja kati ya maajabu saba ya dunia”. Dhana ya riba mkusanyiko imejengwa kwenye msingi kwamba vitu vidogo vidogo vidogo vinapokusanywa kwa pamoja kwa kipindi kirefu, basi inafikia hatua ambapo vitu hivyo vinatengeneza kitu kikubwa. Ukitaka kunielewa vizuri zaidi nikupe…

  • Mafanikio Sio Ajali

    Mafanikio siyo kitu kinachotokea mara moja kama ajali, bali ni kitu ambacho kinatokea kwa kuandaliwa kila siku. Kwa hiyo mafanikio yako unapaswa kuyaandaa kila siku. Usisubiri ije itokee siku moja ambapo utaamka ukiwa umefanikiwa. Ishi kila siku yako kwa mafanikio. Maana mkusanyiko wa siku moja moja ndio unaleta mafanikio makubwa. Soma zaidi: Nguvu Ya Riba…

  • Tai Anatufundisha Somo Hili Kubwa Kuhusu Maisha Ya Mafanikio

    Tai Anatufundisha Somo Hili Kubwa Kuhusu Maisha Ya Mafanikio

    Siku ya leo nataka tujifunze kutoka kwa tai. Kuna mengi ya kujifunza Kutoka kwa tai ila kwa leo acha twende na hili. Tai akitaka kumla nyoka anamnyanyua kwa nguvu na kwa spidi kali ambayo nyoka hawezi kuhimili mpaka juu, Kisha anamwachia. Nyoka akiwa bado hajaelewa kinachoendelea tai anamdaka haraka kabla hajadondoka chini na kupanda naye…

  • Amsha Uungu Ulio Ndani Yako: Siri Kuu Ya Mafanikio Kutoka Kwa Socrates

      Socrates anaaminika kuwa miongoni mwa watu waliokuwa na busara katika ugiriki yote katika nyakati zake. Kipindi hicho kijana mmoja alimfuata kumwomba ushauri wa namna ya kufanikiwa. Kwa busara Socrates akamwambia njoo siku fulani. Yule kijana akawa kweli ametokea siku hiyo ili aambiwe siri ya mafanikio. Nadhani yule kijana alikuwa anataka njia ya mkato ya…

  • Kinachokukwamisha Wewe Kuandika Kitabu Chako Ni Hiki..

    Kama Kuna kitu watu wamekuwa wanasema kwamba halijakaa sawa ni mfumo wa elimu. Umekuwa unalalamikiwa kwaKukaririsha watu vituKutokujjenga watu wenye ujuziKutokuwaandaa wahitimu kwa ajili ya maisha baada ya chuo n.k. Kwenye hili naweza kusema kuwa Kuna kitu kimoja watu huwa wanakisahau. Kitu hiki ni namna mfumo wa elimu unavyozuia watu kutumia uwezo wao mkubwa wa…

  • Ugunduzi mkubwa kuwahi kufanyika hapa duniani

       Zimewahi kufanyika gunduzi nyingi sana hapa duniani. Na hata leo hii bado kuna gunduzi nyingi zinaendelea kufanyika. Hata hivyo, kuna ugunduzi mkubwa ambao ndiyo ugunduzi nambari moja kukiko ugunduzi mwingine unaoufahamu wewe. Na ugunduzi huu ni kuwa mtu anaweza kubadili maisha yake akibadili mtazamo wake. Hii ni kauli ya James Allen ambayo aliitoa kwa…

  • Huu Ndio Muda Ambao Unapaswa Kufanikiwa Kwa Viwango Vikubwa Sana

      Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana.  Sku ya leo nilipenda tu nikueleze kuwa kuna muda ambao wewe hapo unapaswaa kufanikiwa kwa viwango vikubwa. Na muda huu ni pale ambapo unkuwa hauna kitu chochote kile cha kupoteza. Kama ndio kwanza unaanza na hauna vitu vingi ambavyo unaweza kusema kwamba utapoteza basi…

  • Kama Kuna Kitabu Ambacho Ungependa Kusoma Fanya Hivi

    Kama kuna kitabu ambacho unaona kwamba hakijaandikwa basi chukua hatua wewe hapo kukiandika. Kama kuna wimbo ambao ungependa kuusikiliza ila unaona kwamba haujaimbwa uimbe wewe hapo. kama kuna mchoro ambao ungependa kuuona basi uchore wewe, hapo. Usipoteze muda wako kujadili vitu ambavyo wewe mwenyewe unaweza kusbabisha na kuvileta kwenye uhalisia. Na kama huwezi kuvileta kwenyey…

  • HAKIKISHA UNAZIMA KIFAA CHAKO CHA KIELETRONIKI UNAPOENDA KULALA

       Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii nyingine ya leo. Siku ya leo nina ujumbe mfupi tu kwako ambao ningependa uufahamu. Na ujumbe huu ni kuwa hakikisha unazima kifaa chako cha kieletroniki kila unapoenda kulala. Kwenye zama hizi imekuwa ni tabia ya watu kuwa mtu anapoamka asubuhi, mpaka usiku anapoenda kulala, anakuwa amefungulia vifaa…

  • Fursa Ya Wazi Ambayo Unaichezea

    Kuna fursa ambazo naona wazi vijana hawazitendei haki. Na pengine wanachukulia poa hii fursa.  Lakini pengine fursa hii wangeipata mababu wetu, basi wangefurahi sana. Au kama hao mababu wetu wangekuwa leo hii wanakuja na kuona jinsi wewe  unavyoamua kuchezea fursa hii wangekupiga Kofi.  Fursa hii sio nyingine, Bali fursa ya mtandao wa intaneti. Mtandao umekuja…

  • Vitabu Nane (08) Nilivyosoma Mwezi Wa Saba

    Hiki ni kitabu cha TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA Kuanzia mwezi huu nimeanzisha utaratibu mpya ambao utakuwa unaniwezesha mimi kukushirikisha vitabu ambavyo nimesoma ndani ya mwezi uliotangulia. Kutoka kwenye orodha hiyo, nitakuwa nakuelekeza kitabu kimoja utapaswa kusoma Hivyo leo hii ninaenda kukushirikisha vitabu NANE ambavyo nilisoma mwezi uliopita. Kila kitabu nitapata nafasi ya kukiongelea kidogo, na…

  • ACHA KUUA BIASHARA YAKO KWA KUFANYA VITU HIVIA HAPA. Vitu Saba (07)Ambavyo Unafanya Ila Vinaua Biashara Yako

    Nichukue nafasi hii kukushukuru wee rafi ki yangu ambaye umekuwa unatembelea blogu kila mara.  Asan te sana. wewe ndiwe unanifanya niendelee kuandika kila siku na kuweka masomo mapya hapa bila kuchoka. Nafurahi kuona kwamba blogu hii inawafikia maelfu ya watu kila mwezi. Ambao ninaamini wananufaika na hiki kinachoandikwa humu na hivyo kuendelea kuja zaidi ili…

  • Jijengee Utaratibu Wa Kusema Kidogo Na Kuwa Na Matendo Makubwa

    Kuna usemi kuwa ni rahisi kusema ila vigumu kutenda. Na katika ulimwengu huu ambao tunaishi sasa hivi wasemaji ni wengi. au watu wenye maneno ni wengi. unaweza kukuta watu kwenye mitandao yao ya kijamii wameandika kwamba wao ni wakurugenzi wa makampuni, wakiwa hawaweki juhudi za kuanzisha hayo makapuni.   Kitu pekee ambacho ninaweza kusema kwako…

  • Haya Ni Maajabu Yaliyojificha Kwenye Kutoa

      Rafiki yangu kuna nguvu kubwa sana katika kutoa. Hii ni tabia ambayo unapaswa kujifunza na kuifanyia kazi kila siku. Nadhani utakuwa umewahi kusikia kuwa matajiri wana hadi mashirika ambayo yanahusika na utoaji. Kwa mfano, Bill Gates ana shirika la GATES AND MELINDA FOUNDATION. Elon Musk ana shirika la MUSK FOUNDATION na mabilionea wengine pia…

  • Watu wanasukumwa na uroho wa kutajirika haraka linapokuja suala la fedha. Hivyo kwa sababu ya uroho huo wanajikuta kwamba wamewekeza fedha zao ambazo wamezitafuta kwa jasho kwenye mambo ambayo hata wao hawaelewi. Lengo lao likiwa ni kupata fedha nyingi kwa hara sana. rafki yangu u nakosea sana, tupo katika ulimwengu ambao paarifa mengi yanapatikana na…

  • Hiki Ni Kipimo Tosha Kwamba Sasa Umekomaa Kwenye Fedha

    Kama unaweza kutembea na fedha, ukakutana na vitu vya kununua ila ukaacha kuvinunua japo una fedha, basi hapo ujue umeanza kukomaa. Kama hauna uwezo huu basi anza kuujenga. Tembea na kiasi fulani cha fedha, watu wakija kwako na vitu vya kukuuzia, wewe usinunue. Kila utakapopata kishawishi hiki, kishinde kwa kutoitumia hiyo fedha. Fanya hivyo kwa…

  • Hii Ni Tabia Moja MUhimu Ya Fedha Ambayo Unapaswa Kuifahamu

    Kuna tabia moja ya fedha ambayo ningependa uifahamu siku hii ya leo. Na tabiai hiii ni kwamba fedha huwa inawaendea zaidi wale wenye nazo na kuwakimbia wale ambao hawana. Kwa hiyo kama wewe una tabia ya kuwa unapokea fedha na kuitumia yote kwa mkupuo bila kubakiza kitu, unapaswa kufahamu kwamba fedha zitakuwa zinakukimbia mara kwa…

X