Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

  • Vitabu Viwili Vya Kusoma Mwezi Machi 2022

    Unaendeleaje rafiki yangu wa ukweli. mwaka 2022 unaendelea kusogea mbele. na ninajua tangu mwaka huu unaanza moja ya lengo lako kubwa lilikuwa ni kuhakikisha kwamba unasonga mbele na unafanya makubwa. Leo nataka nikueleze kuhusu vitabu viwili ambavyo vitakusaidia wewe kufanya makubwa, vitabu hivi ni THE PYSCHOLOGY OF MONEY NA  KIPAJI NI DHAHABU Hivi ni vitabu…

  • Jinsi Ya Kuanza Biashara Na Mtaji Kidogo Mpaka Kuikuza Kuwa Bisshara Kubwa

    Siku moja nilikuwa naangalia mtandaoni, nlikutana na picha iliyokuwa inaonesha kampuni ya azam ilivyoanza kama mgahawa, ambao ulikuwa unahudumia katika mkoa wa Dar Es Salaam. Ambapo walikuwa wanafanya huduma za Catering na huduma nyingine zinahousisha hilo. Picha hiyo ilikuwa ni picha ya tangazo ambalo walifanya mwaka huo. Kama sijakosea ule mwaka uliooneshwa kwenye ile picha…

  • Uchambuzi wa Kitabu: The Psychology of Money: Mambo 94 niliyojifunza katika kitabu hiki.

    Mwandishi : Morgan Housel Karibu katika uchambuzi wa kitabu hiki muhimu sana kuhusu masuala ya fedha, tamaa, na tabia za watu wanazozionyesha wanapokuwa na fedha, kwenye uchambuzi huu utaelewa kwa kina kwanini tabia zina mchango mkubwa kukufanya kuwa tajiri au kuwa masikini. Yote haya tutajifunza katika uchambuzi wa kitabu hiki. Karibu! Linapokuja suala la fedha…

  • Jinsi Ya Kupata Mtaji Wa Biashara

    Siku ya leo tunaenda kuona ni kwa namna gani unaweza kupata mtaji wa biashara. Mtaji wa biashara kimekuwa ni kitu ambacho vijana wengi wanahangaika nacho. Wengi sana wamekuwawanauliza ni kwa jinsi gani naweza kupata mtaji wa kuanzia biashara. Tayari nimeshaandika ebook inayoeleza mitaji 8 iliyokuzunguka na jinsi ambavyo unaweza kuitumia hiyo mitaji. Lakini siku ya…

  • Inawezekana

    Ndio, inawezekana kwako wewe kufanya na kufanikisha kitu chochote kile utakachotaka kwenye maisha. inawezekana wewe kufikia ndoto zako. inawezekana wewe kuwa utajiri na kuagana na umasikini kiufupi inawezekana wewe kufanya kitu chochote na kukifanikisha.

  • Umeshapata ebook ya kipaji ni dhahabu? hivi ndivyo unaweza kuipata

    Juzi nilizindua ebook ya KIPAJI NI DHAHABU. Ebook hii imeeleza kwa kina mambo yote unayohitaji kujua kuhusu kipaji. Ndani yake Utajifunza kipaji ni Nini? Namna ya kugundua kipaji chako Namna ya kukiendeleza. Jinsi ya kutengeneza fedha kwa kutumia kipaji chako. Kipaji katika karne ya 21. Jinsi ya kutumia mtandao wa intaneti kwa manufaa na namna…

  • Kitu hiki tu kinakwamisha watu wengi Sana

    Moja ya kitu ambacho kinakwamisha watu wengi kwenye kufanyia kazi malengo ni kutojiwekea viwango. Unapaswa kuishi kwa viwango. Kampuni huwa zinajiwekea viwango vya uzalishaji wa bidhaa zake. Na muda mwingine viwango hivi huwa vinaangaliwa na watu wa ndani ya kampuni na nje ya kampuni. Kwenye kampuni unakuta kuna mkurugenzi anayehakikisha bidhaa zinazozalishwa ni bora. Wengine…

  • Watu ambao wanapata wazo  bora la biashara huwa wafanya hivi

    Usije ukafanya kosa la kukaa chini, na kuanza kusubiri upate wazo bora. Wazo bora halipatikani kwa kukaa chini n akuumiza kichwa. Muda mwingine wazo bora linapatikana kwa kufanya kazi. Ebu kwa mfano, hakuna mtu ambaye alikaa na kuumiza kichwa ili aje na wazo la tairi. Ugunduzi wa taili ulikuwa ni miongoni mwa mapinduzi makubwa, ambayo…

  • Kwa Nini Watu Wengi Na Hasa Vijana Wanashindwa Kuzifikia Ndoto Zao

      Juzi niliomba watu wapendekeze mada ambazo nitaandikia kwenye blogu yangu kupitia status yangu ya whatsap. Nilipokea maombi kadha wa kadha ambayo nitakuwa nayafanyia kazi moja baada ya jingine. Ombi mojawapo lilikuwa ni kuandika makala maalumu kueleza kwa nini watu wanashindwa kufikia NDOTO zao. Kabla sijaenda mbali nataka ufahamu kuwa tayari nimeandaa makala nyingi kuhusu…

  • Chukua Mambo Haya 10 Kuhusu Namna Ya Kuanza Kidogo Na Kufikia Pakubwa

    1. Mti wowote ule mkubwa haukuanza ukiwa hivyo, ulikua taratibu mpaka kufikia ulipofikia. Wewe pia kuwa tayari kuanza kidogo na kuendelea mbele zaidi. 2. Ukitaka kupanda ghorofa kuna njia mbili. Unaweza kupanda ngazi moja baada ya nyingine au unaweza kupanda lift. Ila fahamu kuwa njia ya kwanza itakuimarisha na kukufanya uwe bora zaidi. 3. Ukianza…

  • KUWA MABADILIKO UNAYOTAKA KUYAONA

    Kama kuna mabadiliko unataka kuyaona kwenye jamii yako wewe kuwa wa kwanza kuonesha njia. Badala ya kukaa na kulalamika kwamba unataka ufanyiwe kitu fulani. Onyesha njia. Fanya unachotaka kuona. Mabadiliko yanaanza na mimi na wewe. Ni mabadiliko gani unayotaka kuona? Picha hiyo hapo juu inaonesha kijana aliyetaka kufanya mabadiliko kwenye jamii yake kwa kuwasaidia kusoma…

  • Sifa Moja Kuu Ya Watu Wanaofanya Vitu Visivyo Vya Kawaida

    Wanaofanya vitu visivyo vya kawaida siyo kwamba wao wameshuka kutoka mbinguni au wana upekee ambao wewe huna. Ni watu tu kama wewe ambao wamejitoa kufa na kupona kuhakikisha kwamba wanafika mbali. Na huo ndio mwanzo wao wa kufanya vitu visivyo vya kawaida Godius Rweyongeza

  • Unawezaje Kupata Wazo La Biashara La Kipekee?

    Kwenye makala iliyopita nilikwambia kwamba huwezi kupata wazo la kipakee la biashara. Ni vigumu kupata wazo ambalo halijawahi kufanyika kabisa. Unachohitaji sana wewe, siyo wazo la kipekee ambalo halijawahi kufanyika. Unachihitaji ni kUchagua kitu kimoja na kuhakikisha kwamba unashughulika na hicho. Angalia jamii yako ina tatizo gani kisha tatua hilo tatizo. Ebu fikiria kuhusu sehemu…

  • E-BOOK MPYA: KIPAJI NI DHAHABU: Jinsi Ya Kukigundua, Kukinoa Na Kutumia Kipaji Chako Kwa Manufaa

    Najua umekuwa unajiuliza, hivi mimi nimezaliwa na kipaji? Kipaji changu Ni kipi?Nawezaje Kukigundua? Nakiendelezaje na kinawezaje kuninufaisha? Kwa majibu ya maswali yote hayo na zaidi, karibu usome ebook ya kipaji ni dhahabu. Ebook hii ya kipekee sana imejaa mambo mengi muhimu kuhusu kipaji, unavyoweza kukinoa, kukiendeleza mpaka kikakufikisha mbali. E-book hii ya kipekee itakusaidia wewe…

  • Ungekuwa wewe umewekeza kwenye hii kampuni ungefanyaje?

    Brown Unaendeleaje? Bila shaka umeamka salama  kabisa. Leo ninataka niongee na wewe kuhusu uwekezaji. Kwanza ebu niambie mimi, Ni kampuni gani unaikubali hapa Tanzania? Ni kampuni gani ambayo kwa vyovyote vile unapenda  huduma zake na kamwe huchoki kwenda kwao. Ebu niambie ni ipi hiyo? Inaweza hata isiwe kampuni kubwa, ikawa biashara yoyote ya kawaida tu,…

  • KIPAJI NI DHAHABU: Jinsi Ya Kukigundua, Kukinoa Na Kutumia Kipaji Chako Kwa Manufaa

    Nakumbuka mwaka 2013 nilikutana na vijana wenzangu ambao walikuwa kwenye mjadala mkali kuhusiana na Messi, Ronaldo na Neymar. Kwenye mjadala huu walikuwa wakijadili kuhusiana na uwezo wa wachezaji hawa, huku wengine wakisema kwamba Messi na Neymar wana kipaji ila Ronaldo akiwa anatumia nguvu. Nadhani kama wewe ni mpenzi wa soka, mijadala kama hii utakuwa unaifahamu…

  • Kipaji Ni Dhahabu: Jinsi Ya Kukigundua, Kukinoa Na Kutumia Kipaji Chako Kwa Manufaa

    Nakumbuka mwaka 2013 nilikutana na vijana wenzangu ambao walikuwa kwenye mjadala mkali kuhusiana na Messi, Ronaldo na Neymar. Kwenye mjadala huu walikuwa wakijadili kuhusiana na uwezo wa wachezaji hawa, huku wengine wakisema kwamba Messi na Neymar wana kipaji ila Ronaldo akiwa anatumia nguvu. Nadhani kama wewe ni mpenzi wa soka, mijadala kama hii utakuwa unaifahamu…

  • Kitu Kimoja Muhimu Usichokijua Kuhusu Darasa Rasmi La Uandishi Mwaka 2022

    Kuanzia tarehe 16 machi, 2022 tutakuwa na darasa rasmi la uandishi. Darasa hili maalumu litahusisha watu wachache tu. Watu 10. Ukihudhuria darasa hili: 👉Utaandika kitabu chako na kitakamilika ndani ya siku 30. 👉 Nitakusimamia na kusoma kazi zako unazoandika kila siku na kukusaidia kuziboresha. 👉 Nitakufungulia blogu ya bure. 👉 Utajifunza mengi kutokana na yale…

  • Maswali Unayopaswa kuwauliza watu waliofanikiwa

    Ukikutana na mtu ambaye amefanikiwa, usitoke bure kwake. Kuwa mdadisi ili uweze kujua ni kitu gani ambacho kimeweza kumpa mafanikio makubwa. Yafutayo ni maswali ambayo unapaswa kuwauliza watu waliofanikiwa? 1. Imekuwaje umefanikiwa wakati wengine huona siyo rahisi kufanikiwa maishani? 2. Unawezaje kuendesha miradi mikubwa wakati mimi nahangaika na miradi midogo? 3. Nini siri ya mafanikio…

  • Je, kizazi kijacho cha Mabilionea wa Afrika kitatokea wapi?

    Takwimu zilizotolewa na gazeti la Forbes ni kwamba karibia bilionea mmoja anatengenezwa kila baada ya dakika moja. Hii Ndio kusema kwamba fursa za kutengeneza mabilionea zaidi zinazidi kuongezeka. Nafasi ya wewe kutengeneza ubilionea pia ipo, lakini endapo tu utaifahamu na kuiishi misingi na kanuni za kibilionea. Sababu Tano Kwa Nini Afrika Ndiyo Eneo Pekee Unapoweza…

X