-
Kitabu Hiki Kinahusu Nini?
Mara kwa mara napokea maswali kuhusu kitabu Cha MAAJABU YA KUSOMA VITABU. Maswali haya yanatokabkwa wale ambao hawajakisoma na wanapenda kujua kwa ufupi kinahusu Nini? Unaamzaje kumweleza mtu juu ya kitabu kilichosaidia maelfu ya watu KUJENGA tabia ya ya KUSOMA vitabu? Nadhani kwa ufupi kitabu hiki kinaeleza NGUVU YA KUSOMA VITABU na JINSI vitabu vinavyoweza…
-
Utajiri ni haki yako ya msingi
Utajiri ni asili lyako, hivyo usiogopeshwe na wala usidanganywe na mtu yeyote anayekwambia kwamba utajiri siyo saizi yako au siyo kitu unachopaswa kuwa nacho. Fursa za kuwa tajiri zipo kwa usawa kwa kila mmoja. Zitumie hizo fursa vizuri haswa. Utajiri hauna ubaguzi. Haumpendelei mmoja na kumbagua mwingine. Unatoa fursa kwa usawa kwa watu wote Unapawa…
-
Vitabu vipya vya GODIUS RWEYONGEZA
Godius Rweyongeza amezindua vitabu vipya. Na Kwa kuwa ndiyo kwanza amevizindua basi vitakuwa vinapatikana Kwa ofa. Chagua vitabu vitatu kati ya hivyo, utumiwe vitabu hivyo Kwa bei ya ofa Sasa hivi Vitabu vyenyewe ni: 1. TENGENEZA PESA KWA KILE UNACHOJUA 2. NGUVU YA KUFIKIRI KWA UKUBWA 3. FURSA AMBAZO VIJANA WA SIKU HIZI WANACHEZEA…
-
Jambo Moja Kubwa La Kujifunza Kutoka Kwa Kampuni ya Alibaba
Picha hizi hapo ni picha za matangazo ya kampuni ya Alibaba ambayo binafsi nimekutana nayo mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii. Mtandao wa alibaba ni moja ya mtandao ambao unawekeza sana kwenye mtangazo. Ukiingia google unakutana na matangazo yao. Ukiingia youtube, unakutana na matangazo yao. Ukiingia facebook, matangazo yao pia yapo, Ukiwa instagrama matangazo…
-
Leo ni Siku ya Wafanyakazi Duniani!
Asanteni na hongereni nyote kwa kujituma na kujitolea kila siku katika kazi na majukumu mnayofanya. Nyie ndiyo mnafanya taifa letu kuzidi kuwa Bora zaidi. Juhudi zenu zinathaminiwa sana na zinastahili pongezi kubwa mno! Tunathamini sana mchango wenu katika ufanisi maendeleo ya nchi yetu. Hongera kwa kazi nzuri mnayofanya! ” Leo Nina OFA Kwa ajili Yako…
-
Kwa Nini Unapaswa Kuwa na Fikra za Kuwa Bilionea
Rafiki yangu mpendwa, salaam.Leo nataka Nikwambie sababu kuu Kwa Nini Wewe unahitaji kuwa na fikra za kuwa bilionea. Wengi wakifikiria juu ya hili Huwa wanaogopa sana na kuona kama kitu ambacho haiwezekani, ila ukweli ni kuwa kile anachofikiria mtu ndiyo anakuwa. Kama Leo hii unaingiza KIPATO chochote, hata kama ni kidogo, una nafasi kubwa ya…
-
NGUVU YA KUANZA
Habari na karibu sana kwenye video hii ya siku ya leo ambapo tunaenda kuwa tunaongelea nguvu ya kuanza na jinsi ambavyo tunaweza kuitumia nguvu hii ya kuanza kwa manufaa kwenye mambo mbalimbali na kazi mbalimbali ambazo tunafanyia kazi kwenye maisha yetu ya kila siku. Unaenda kujifunza nguuv ya kuanza kwenye maisha na jinsi ambavyo unaweza…
-
Utt ni Nini?
1. Utt ni Nini? 2. Ina faida gani? 3. Nani anaruhusiwa kuwekeza? 4. Unafunguaje akaunti? 5. Nikiwa mkoani nafunguaje akaunti? 6. Kiasi gani Cha pesa unahitaji ili kuanza kuwekeza utt? 7. Mfuko upi mzuri utakaonipa mrejesho mzuri? 8. Kwani utt na hisa utofauti wake ni Nini? 9. Mfuko wa Hatifungani wa utt ni sawa na…
-
Hii Ndiyo Gharama Halisi Unayopaswa Kulipa Ili Kufanikiwa Kwenye Biashara
Nyuma ya ushindi wa biashara kuna vitu ambavyo unapaswa kufanya ili uweze kuisogeza biashara yako mbele. Baadhiya hivi vitu vinahitaji ujitoe, kuliko mtu yeyote. #1. Kuchelewa kulala, hii mojawapo ya gharama ambazo unapaswa kulipa kama mfanya biashara katika kujenga biashar ayako. Kuna nyakati nyingi ambazo utahitaji kutumia muda mwingi kazini kwa ajili ya kukamilisha…
-
Njia za Kweli za Kuwathibiti Wakatisha Tamaa
Kuna watu wengi wanaokatisha tamaa kwenye maisha yetu ya kila siku. Hata hivyo, ni muhimu sana, kuwa kujua njia ya kujikinga na wakatisha tamaa. kama ambavyo kuna mavazi ambayo ni bullet proof, hivyohivyo kuna njia ambazo ukizitumia naweza kuthubutu kuziita, kukatishwa tamaa proof, yaani njia hizi zitakufanya uzidi kusongambele hata katikati ya wakatisha tamaa. Utakuwa…
-
Iko hivyo. Vitu ambavyo watu wanakwambia kinyume chake na nini chakufanya kuanzia leo hii
Nakumbuka kwenye hesabu za kidato cha tatu kulikuwa na hesabu fulani za maumbo, ambapo ulikuwa unatafuta ukubwa wa pembe fulani au urefu fulani. Sehemu ya kwanza kabisa ulipokuwa unaanzia ilikuwa ni kutumia zile pembe ambazo zinafanana. Mfano ungeweza kusema kwamba pembe ABC ni sawa na pembe EFG kwa sababu iko hivyo (its given). Kama yangekuwa…
-
Njia pekee ya kuongeza mshahara wako mara mbili
Biashara ndiyo njia pekee ya kuongeza kipato chako mara mbili kadiri muda unavyokwenda. Ni tofauti na njia nyingine zozote. Uongezwaji wa kipato kwenye ajira una kikomo, na mshahara kwenye ajira hauwezi kuongezeka mara mbili kila mwaka, lakini kwenye biashara, kama kweli utajifunza biashara kwa kina na kufanyia kazi yale unayotakiwa kufanyia kazi. Inawezekana. SOMA ZAIDI: …
-
Anza tu
Wewe anza, kisha endelea mbele. wanaokubeza leo, wanaoona kwamba huwezi leo, kuna siku watakushangilia huku wakisema kwamba nilijua tu mwamba lazima atafanikiwa
-
Njia Bora Na Ya Uhakika Ya Kunufaika Elimu Na Elimu Yako Ya Chuo
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana ambao wanahitimu chuo huku wakiwa bado wakiwa hawana mwelekeo. na ambacho kimekuwa kinatokea ni kwamba hawa vijana ambao wamesoma chuo na kufaulu vizuri, baadaye wanaingia mtaani, wanakutana na maisha ya huku kitaani, yanawapiga, wanaishia kufanya kazi ambazo hata wao wenyewe walikuwa hawapendi. SIKU YA LEO nipo hapa kukuonesha namna…
-
Mambo ya kufanya kama bado hujaanzisha biashara Na kama una biashara tayari, fanya hivi
Kama bado hauna biashara, anzisha biashara. Kama tayari una biashara Ongeza juhudi ili uweze kuwafikia watu wengi zaidi. Ongeza mauzo Kuza biashara
-
Unakwepa Hatari Zipi?
Moja ya kitu ambacho huwa kinawakwamisha walio wengi ni kuogopa hatari. Wengi wanaogopa kuchukua hatua katika baadhi ya vitu kwa kuogopa hatari ambazo zinaweza kuwatokea kwenye maisha yao ya kila siku. Huwa napenda kuwaambia watu kuwa hatari kwenye maisha tunatembea nazo kila sehemu. Hatari tunazo kila wakati na hatari ni kama sehemu ya maisha yetu.…
-
Misingi Sahihi Ya Kujenga Urafiki Kwenye Biashara
Uache urafiki ubaki kwa ajili ya urafiki na wewe Fanya kazi na watu wanaojua kufanya kazi Fanya biashara na watu wanaojua misingi ya biashara na amba watakukwa tayari kuisimamia mara zote. Kwenye biashara, urafiki mzuri ni ule unaotengenezwa na biasahara. Ila siyo mtu mlikuwa rafiki halafu eti mnaanzisha biashara, mara nyingi mtajikuta mnaweka urafiki kwenye…
-
Mtu Pekee Atakayekusaidia Kufanikisha Makubwa, Cha Kushangaza Ni Kwamba Humtumii. Mfahamu Sasa
Ngoja nikwmabie kitu rafiki yangu. Kuna vitu ambavyo unapaswa kufanya mwenyewe. Siku za nyuma nimewahi kuandika hapa kwamba hakuna mtu anayeweza kupiga pushup kwa ajili yako. Makala hiyo bado ina nguvu kubwa sana kama ambavyo niliiandika miaka hiyo. Kama ulivyo ukweli usiopingika kuwa hakuna mtu anayeweza kupiga pushup kwa ajili yako. Hivyohivyo ni ukweli usiopingika…
-
Kama una Simu Janja na huingizi Kipato, Unakosea hapa. Rekebisha Mara moja
Siku Moja Robert Kiyosaki alisema kwamba kama una simu janja na Bado wewe ni maskini, basi fahamu wazi kuwa Kuna sehemu unakosea. Ukitafakari maneno ya Robert Kiyosaki unagudua Kuna ukweli mkubwa sana hasa katika ulimwengu wa Leo ambapo unaweza kufanya makubwa Kwa dhana ambazo zinetuzunguka. Kwa mfano ukiangalia 🌐 ChatGPT inapatikana bure 🔍 Google ni…
