-
Fanya kitu hata kama ni kidogo
Fanya kitu kimoja kila siku ambacho kinakuogopesha. Fanya kitu hata kama ni kidogo. VItu vidogo mwisho wa siku ndyo huwa vinaleta matokeo na mafanikio makubwa sana. Kuna watu wanafikiria kuwa na mtaji mkubwa wa kuanzisha biashara. Kuna watu wanafirikia juu ya kuja kuwa mabilionea. Hilo lengo ukiliangalia ni lengo kubwa sana. Lakini sasa kulifanyia kazi…
-
Omba Utapewa
MOJA YA ujuzi ambao una-paswa kuwa nao ni ujuzi wa kuomba. Yaani, kuomab kitu unachotaka kutoka kwa watu wenye nacho. Hiki ni kitu ambacho watu waliofanya makubwa huwa wanafanya. Wanaofanya makubwa siyo kwamba wanaweza kufanya kila kitu hapa duniani. Hapana, wanaweza kufanya vitu vichache, ila sasa kwa vile vitu ambavyo hawawezi, basi wanaomba wengine waweze…
-
Usifanye Kosa Hili Unapotaka Kufanya Uwekezaji
Hongera sana Kwa siku hii ya kipekee rafiki yangu.Nadhani unajua ni Kwa Namba Gani nimekuwa nakusisitiza kufanya uwekezaji. Wakati mwingine unaweza kusikia watu wakiongelea Kuhusu uwekezaji ukaona nguvu hii iliyolala kwenye uwekezaji, basi ukaamua kwamba na wewe utaenda kuwekeza. Lakini sehemu yako ya kukimbilia ikawa ni kupata mkopo. Rafiki yangu, ninachotaka kukwambia siku ya Leo…
-
Kazi Yako Ya Kwanza
Rafiki yangu mpendwa salaam. Najua kuwa unapambana sana kwenye shughuli zako za kila siku. Hongera sana Kwa hilo. Siku ya Leo ningependa kukwambia kitu kimoja kikubwa sana. Kitu hiki ni kuwa kama unataka kufanikiwa kwenye maisha basi fahamu kuwa KAZI yako ya kwanza kabisa ni kuhakikisha haufi.Hakikisha unaendelea kuishi. Hilo, ukishalifanikisha kinachofuata ni wewe kuendelea…
-
Kama kila mtu angekuwa ni…
Hivi kaa chini ufikirie kama kila mtu angekuwa ni mzembe kama wewe. Kama kila mtu angekuwa na visingizio kama wewe Kama kila mtu angekuwa ni mwoga kama wewe Kama kila mtu angekuwa ni mlalamikaji kama wewe. Kama kila mtu angeona aibu kuitumia akili yake? Kama kila mtu angesema ni acha nile maisha leo kesho itajijua…
-
Kuwa Imara
Tunaishi katika dunia ambayo haipendi vitu ambavyo siyo imara. Na hili jambo la KUWA imara halijaanza leo. Limekuwepo kwa siku nyingi sana. Vitu ambavyo vimekuwa imara kwa miaka mingi ya nyuma, ndivyo ambavyo viliendelea kuishi, huku vile ambavyo siyo imara vikidhoofu na kufa. Watu wanyonge, mimea minyonge, wanyama wanyonge havina nafasi kubwa ya kuishi Kama…
-
Fanya hiki kitu unapokuwa na watu mara zote
Utagundua kwamba wiki hii nimekuletea makala za namna ya kuhusiana na watu, kuanzia juzi, jana na hata leo. Lengo ni moja tu. Uweze kujifunza saikolojia ya binadamu kwa undani na ikusaidie kuwa mtu mwenye ushawishi zaidi kuliko mtu mwingine ambaye amekuzunguka. Nakumbuka wakati nipo chuoni, nilipata kusoma kitabu cha Dale Carnergie kinachoitwa How to Win…
-
Kosa kubwa unalofanya unapokuwa unaongea na watu
Kwenye makala ya jana rafiki yangu, niliandika sana juu ya umuhimu wa wewe kukumbuka majina ya watu, na kwa nini mara zote unapaswa kuhakikisha kwamba unakumbuka majina ya watu. sikuishia hapo, nilikupa mbinu za kutumia ili kukumbuka majina ya watu bado nikakueleza umuhiu wa majina ya watu. Sasa tukiwa bado hapo kwenye kuongea na kuzungumza…
-
Jinsi Ya Kupata Ushawishi Mkubwa Miongoni Mwa Watu
Rafiki yangu mpendwa salaam, Umeshawahi kuona hili, unakutana na mtu, anakwambia au unamwambia kwamba nakukumbuka sura yako, ila sikumbuki jina lako. Sijawahi kukutana na mtu ambaye anakumbuka jina la mtu ila amesahau sura yake. Kwenye makala ya leo tunaenda kuangazia sula zima la MAJINA YA WATU. Tutaona njia rahisi utakayoitumia kupata majina ya watu, kukumbuka…
-
Sehemu Wanapokosea Wajasiriamali
Watu wengi wamekuwa wakifahamu kuwa ujasiriamali ndiyo njia ya uhakika ya kutoboa na kufanya makubwa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wanakosea kwa namna wanavyofanya ujasirimali na biashara zao kiasi kwamba, kutoboa kwao imekuwa ni ngumu sana. Kinachowakwamisha watu wengi ni kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Unakuta mtu ameanzisha biashara, wakati huohuo ana kitu kingine anachofanya…
-
Njia Ya Uhakika Ya Kutoboa Kwenye Biashara
Rafiki yangu, siku ya leo ningependa kukwambia njia ya uhakika ya wewe kutoboa kwenye biashara yako, unajua njia hii ni ipi? Ngoja kwanza nikwambie kitu. Tafiti nyingi kwenye biashara zimeonesha kwamba asilimia 90 ya biashara ambazo huwa zinaanzishwa kila mwaka, huwa zinakufa. hii ndio kusema kwamba kati ya biashara 100 ambazo huwa zinaanzishwa kila mwaka…
-
Ukifanya Hiki Kitu Kimoja Tu Utafanikiwa Sana
Rafiki yangu wa ukweli, kuna kitu kimoja ambacho endapo utakifanyia kazi, ni wazi kuwa utafanikiwa, tena siyo kwa viwango vya chini, bali utafanikiwa kwa viwango vya juu sana.Unaweza kuwa unajiuliza hili linawezekanaje maana kila siku najifunza kuhusu mambo mengi ya kufanya ili kufanikiwa. Kitu kikubwa unachohitaji wewe siyo kufanya mambo mengi ili ufanikiwe, bali unahitaji…
-
Tumezindua audiobook mpya, haya hapa ni mambo ya msingi ambayo unahitaji kuyajua.
Rafiki yangu mpedwa kwa mara ya kwanza kabisa mwaka jana tulizindua audiobook ya kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO. ilikuwa ni audiobook ya kwanza ya kiswhili, Tanzania kama siyo Afrika Mashariki nzima. Watu wengi waliichangamkia hii audiobook, kitu kilichonifanya nione kwamba kuna uhitaji mkubwa wa hizi audiobook, kutokea hapo tumeendelea kutengeneza audiobooks za vitabu…
-
Mabilioni yayeyuka upatu mpya
Hiki kichwa wala hata siyo mimi niliyekitunga, kilikuwa ni kichwa kwenye gazeti la mwananchi juzi. Ni moja ya habari ambayo imetikisa kwenye vyombo vya habari, na kwenye mitandao ya kijamii. Swali ambalo unaweza kuwa unajiuliza ni kuwa inawezekanaje watu wanalizwa kila mara kwa kutapeliwa na bado wanazidi kutapeliwa? Utapeli hautaisha hapa duniani. Moja kati ya…
-
Hii ndiyo njia rahisi ya wewe kujipoteza
Rafiki yangu, kama kuna njia rahisi ya wewe kujipoteza ni kufanya vitu kama ambavyo kila mtu anafanya. sote tunajua kwamba vitu ambavyo watu wengi huwa wanafanya huwa siyo sahihi. Na njia ya pekee ya wewe kuishi maisha ya kawaida, ni wewe kufanya vitu kama ambavyo kila mtu anafanya. Hii ni njia ambayo haifanyi kazi, na…
-
Kinachokukwamisha wewe ni hiki hapa
Rafiki yangu, umewahi kujiuliza ni kitu gani kinakukwamisha wewe kuweza kufanya makubwa. Kama kuna kitu kinakukwamisha wewe na watu wengine wengi, basi kitu hiki ni kufanya kazi kama vile una muda wote hapa duniani. Yaani, unaanza kufanya jukumu lako bila ya kuwa na lengo wala mwelekeo wowote. Kitu kinachokufanya ufanye jukumu hilo kwa muda mrefu…
-
Jinsi ya kuwa mtu mwenye msaada kwa wengine
Huwa inatokea kwamba mtu anasoma makala yangu ambayo niliandika siku nyingi za nyuma, kisha mtu huyo anasema kwamba hiyo makala imemsaidia sana. Mfano leo hii wakati naandika makala hii nimeagalia maoni kwenye blogu kwenye makala za nyuma nimeona kwamba, maoni ya jana yaliwekwa kwenye makala ya ambayo mimi niliandika mwaka jana mwezi wa 11. kwangu…
-
Epuka hiki Kitu kama unataka kufanya makubwa
/ Rafiki yangu, najua unataka kufanya makubwa kwenye maisha yako. Hongera sana kwa kuwa na ndoto kubwa sana.Ebu kwwanza, kabla sijakwambia kitu cha kuepuka kama unataka kufanya makubwa. Naomba kwanza uandike malengo yako na ndoto zako hizi kubwa chini. Ziandike kabisa, ili ujue ni kitu gani unataka kufanikisha kwenye maisha yako. Hongera kwa kuweza kufanyia…
-
Jinsi ya kunufaika na muda wako wa safarini
Kwa namna moja au nyingine KATIKA maisha yetu ya kila siku Kuna kusafiri.Unaweza kuwa unasafiri umbali mrefu sana kama kutoka mkoa mmoja KWENDA mwingine. Lakini muda mwingine Unaweza kuwa unasafiri eneo fupi tu. Dakika kumi, kumi na tano au SAA moja. Bila kujali, umbali unakwenda, Bado safari Ni safari na muda huu unapokuwa unatoka eneo…
-
Unataka kufanya vitu vya tofauti? Siri hii hapa
Watu wanaofanya vitu vya tofauti siyo kwamba ni watu ambao wameshuka kutoka mbinguni. Siyo watu ambao wana vitu vya kipekee kukuzidi wewe. Siyo watu ambao wana elimu kubwa kulliko wewe. Isipokuwa ni kuwa wana sifa moja kubwa ambayo inawatofautisha wao na wewe. Na sifa hii siyo nyingine, bali ni sifa ya kuamua kufanya jambo na…
