-
Siri Mbili Za kuwa Kiongozi Bora Kutoka Kwenye Kitabu Cha My Story Cha Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum
1.Siri ya kuwa Kiongozi Bora kuwasikiliza watu wako na kuwa karibu na watu wako. Mwandishi anasema kwamba hiki Ni kitu ambacho alijifunza kutoka kwa babu yake na alikuja kukifanyia kazi yeye mwenyewe kwenye maisha yake. Ukiwa karibu na watu wako ni rahisi kujua matatizo yao na hivyo kujua wanataka Nini? 2. Unapaswa kubadilika la sivyo…
-
[eBOOK MPYA] NGUVU YA KUTOA (THE MAGIC OF GIVING)
Utangulizi Rafiki yangu kuna nguvu kubwa sana katika kutoa. Hii ni tabia ambayo unapaswa kujifunza na kuifanyia kazi kila siku. Nadhani utakuwa umewahi kusikia kuwa matajiri wana hadi mashirika ambayo yanahusika na utoaji. Kwa mfano, Bill Gates ana shirika la GATES AND MELINDA FOUNDATION. Elon Musk ana shirika la MUSK FOUNDATION na mabilionea wengine pia…
-
1. UCHAMBUZI WA KITABU CHA THE 5 SECOND RULE
Una sekunde tano tu za kuanza kufanya kitu. Kitabu cha the 5 second rule kinakuonesha nguvu ya sekunde tano katika kufanya majukumu yako na kuepuka kughairisha. Kama umelala kitandai na alarm ya kuamka ikalia. Hesabu tano, nne, tatu, mbili, moja, kisha toka kitandani.. Kwenye kitabu hiki Mel Robbins anaenda kukuonesha namna ambavyo utaepuka kughairisha majukumu…
-
Kitu Ambacho Hakuna Mtu Yeyote Anaweza Kufanya Kwa Ajili Yako
Pigana kwa ajili ya ndoto zako maana hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kufanya hivyo kwa ajili yako. Hakuna mtu wa aina hiyo. unajua kwa nini? Kwa sababu hakuna mtu AMBAYE anaweza kuiona ndoto yako kwa usahihi Kama ambavyo wewe mwenyewe unaiona. Wewe ndiwe unaona ndoto yako kwa usahihi. Pili, kama wewe mwenyewe tu utashindwa kupambana…
-
KITABU CHA KISWAHILI CHA BURE
Abraham Lincoln aliwahi kunukuliwa akisema kuwa, rafiki yangu wa kweli ni yule ambaye atanipa kitabu. Nadhani huu usemi una maana kubwa katika ulimwengu wa leo kuliko hata alipousema.Ebu fikiria katika ulimwengu wa sasa ambapo kila mtu anapenda kupewa simu mpya na ya kisasa kama zawadi.Ulimwegu ambapo watu wanapenda kupewa zawadi ambazo ukifungua utaonekana kwa nje…
-
Jinsi Ya Kupakua Vitabu Bure Mtandaoni-2
Kama umekuwa unajiuliza unawezaje kupakua vitabu mtandaoni, leo nimekuja na maelekezo yanayojieleza moja kwa moja kuonesha namna ambavyo unaweza kupakua vitabu mtandaoni. Kuna video ya kwanza ambayo ilitangulia hii.Kwa hiyo unaweza kutumia video hii ya kwanza au ukatumia video hii ya pili. Ila sana sana nashauri utumie hii ambayo nimekushirikisha hapa. Kila la kheri.
-
Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Bila Mtaji Tanzania
Utangulizi Vijana wengi wamekuwa wakitamani kuanzisha biashara zao ila sasa wamekuwa wanakwama jinsi gani ambavyo wao wenyewe wanaweza kuanzisha hizo biashara bila ya mtaji. Kila ninapoongea na vijana nagundua kuwa wapo wengi wenye ndoto kubwa za kufanya makubwa ila kuna ambao kama bado wamefungwa hivi. Na kitu ambacho kimewafunga walio wengi ni kufikiri kuwa bado…
-
Jinsi Ya kupakua vitabu bure mtandaoni
Mara kwa Mara nwatu wamekuwa wakiniuliza mi kwa jinsi gani wanaweza kupakua vitabu mtandaoni. Wengine huwa wananiomba niwattumie vitabu fulanifulani. Binafsi huwa sipendi kumtumia mtu kitabu wakati najua anaweza kukipata mwenyewe. Ni mpaka pale ninapokuwa Nina uhakika kuwa huyu mtu hawezi kukipata kitabu fulani ndio namtumia. Kwa leo sasa ningependa wewe ujue namna unavyoweza kupakua…
-
Kitu kimoja kinachounganisha washindi wote
Kama una ndoto za kuwa mshindi na kufanya makubwa unapaswa kufahamu kitu hiki kimoja ambacho kinaunganisha washindi wote na watu wote ambao wanafanya makubwa. Kitu hiki ni kuwa na ndoto kubwa. Na siyo ndoto kubwa tu, bali ndoto kubwa ambazo wapo tayari kuzifanyia kazi mpaka zikatimia. Bila ya kuwa na ndoto kubwa utakosa msukumo wa…
-
AMRI KUMI ZA MAISHA
Huwa likitajwa neno Amri mara nyingi huwa linahusishwa na Amri za Mungu ambazo ndizo amri maarufu. Leo nataka nikwambie pia amri za maisha. Hizi amri hizi hakuna mtu yeyote ambaye anakubembeleza kuzifuata au kuzivunja. Ni au unazifuata kwa faida yako au unazivunja kwa hasara yako. Kama umewahi kusikia usemi kwamba malipo ni hapahapa duniani. Ukizifuata …
-
Kitu muhimu unachopaswa kufahamu kabla ya kuajiri
Ukiingia kwenye ujasiriamali ni wazi kuwa itafikia hatua ambapo utahitaji kuajiri. Iwe Ni msaidizi wa kaziMtu wa masokoMtu wa mauzoAu yeyote yule.. Kwa vyovyote vile utapaswa kuajiri… Sasa kabla ya kuajiri jiulize je, kuna mashine au kitu ambacho kinaweza kufanya hii kazi? Kama hiki kitu kitumie kwanza badala ya kuajiri. Kama hakuna mashine wala kifaa…
-
Hata kama itatokea ukasahau vyote maishani, Ila hakikisha hausahau kufanya hivi vitu
1. Usisahau kuweka AKIBA. Kwa kila kipato chako unacjopata weka akiba ya asilimia 10. 2. Usitumie fedha zaidi ya unavyoingiza. 3. Usifanye vitu kuwaridhisha watu. 4. Usitegemee chanzo kimoja cha kipato na hasa mshahara. 5. Mara zote kuwa na kitabu na soma vitabu. 6. Hakikisha unakuwa na malengo na unayafanyia kazi. 7. Ukitaka kuibadili dunia.…
-
Jinsi ya kuandika KITABU kikubwa kwa namna ya kawaida
Mwaka juzi nilitoa Kitabu CHANGU cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO. Kwenye Kitabu HIKI nimeeleza hatua kwa hatua jinsi ambavyo unaweza kufikia malengo na ndoto kubwa kwenye maisha. Mmoja wa wasomaji wa Kitabu hicho alinipigia simu baada ya kuwa anlmekisona na kuniambia kuwa ana ndoto ya kuandika tamthiliya. Niliongeaa Naye na kumtakia kila la kheri.…
-
Kitu kikubwa na muhimu kwenye ujasiriamali siyo kujua kutengeneza bidhaa
Kitu kikubwa na muhimu kwenye ujasiriamali siyo kujua kutengeneza bidhaa. Siyo kabisa! Ingekuwa hicho ndio kitu kikubwa basi wengi wangekuwa wametoboa. Hiyo ni sehemu ndogo tu… Juzi tu hapa nilikuwa naongea ndugu mmoja ambaye anakaribia kuhitimu chuo. Kama ilivyo kawaida yangu nilimwuliza una mpango gani na maisha baada ya chuo…! Hili ni swali ambalo nimewauliza…
-
Kitu gani unaenda kufanya wiki hii ili kujisogeza karibu na malengo yako?
Kwenye kitabu changu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI, nimeeleza kwamba kadiri unavyokuwa unafanyia malengo yako, yenyewe yanakuwa yanasogea karibu pia. Hivyo, Kuna sehemu mtakutana ambayo ndiyo pointi ya wewe kufikia melengo yako. Sasa wiki mpya tayari imeanza, ni kitu gani unaenda kufanya wiki hii ili usogee karibu na malengo yako? Hakikisha unafanya kitu. Bila kufanya…
-
Namna ya kufanya usomaji wa vitabu uwe sehemu ya pili ya maisha yako
Kusoma ni tabia. Na tabia yoyote hujengwa. Kuna tabia ambazo unazo sasa hivi unazifanya ila hujiulizi mara mbili kama uzifanye au uache. Kwa mfano kila siku unapiga mswaki ila hujiulizi mara mbili kwamba upige au usipige leo utapiga mswaki kesho. Yaani, kupiga mswaki kumeshakuwa tabia yako ya pili. Sasa hata kusoma kunapaswa kuwa tabia yako…
-
Zama Zimebadilika (Part 1)
UTANGULIZI Dunia tunamoishi sasa imepitia katika nyakati mbali mbali kwa vipindi mbali mbali. Dunia hii imekumbana na vitu mbali mbali ambavyo vimekuwa vikiiweka hii katika vipindi kadha wa kadha ambavyo tunaviita zama. Zama ni nini? Kamusi ya Kiswahili sanifu inazizungumzia zama kama nyakati. Kwa hiyo tungeweza kusema kwamba nyakati sasa zimebadilika badala ya kusema kwamba…
-
KUTOKA KWENYE AJIRA MPAKA KUJIAJIRI
Nakumbuka juzi nilikushirikisha safari ambayo unapaswa kuifuata ili uweze kujiajiri kama umeajiriwa kwa sasa. leo hii naomba kuendelea tena kwa kukushirikisha vitu zaidi kwenye suala zima la ujasiriamali na kujiajiri. Na leo ninakushirikisha machache niliyopata kutoka kwenye kitabu cha Employee To Entrepreneur Moja ya ushauri ambao umekuwa unatolewa kwa watu wengi ni ushauri wa kwamba…
-
Ushauri Mzuri Ambao Nimewahi Kupokea Maishani Mwangu
Nakumbuka mwaka 2016 hivi wakati naendelea na masomo yangu ya chuo. Nilikuwa njia panda nikifikiria niache chuo niendelee na biashara na uandishi au nifanyeje? Uamuzi wangu ulikuwa kuacha chuo… Baadaye katika kuwashirikisha watu wangu wa karibu; mmoja wao aliniambia hivi; Godius fanya vyote, endelea na kusoma, andika na fanya biashara. Ukifanikisha vyote vitatu utaonekana shujaa…
-
Nguvu Ya Kuwa Na Ratiba Na Mambo Matano Ya Kujifunza Kutoka Kwa Benjamin FranklinKila Mara nimekuwa
Kila mara nimekuwa nikisisitiza juu ya umuhimu wa kuwa na ratiba. Ukiamka asubuhi pangilia siku yako kwa namna ambavyo ungependa iwe. Andika vitu ambavyo utafanya na hata vile ambavyo hutafanya. Lakini pia kuna vitu ambavyo vinajirudia kila siku katika ratiba yako. Na hapo ndipo unapaswa kuwa na mfumo fulani ambao unaufuata. Mfumo huu utakuwezesha wewe…
