Category: Uncategorized

 • Waandishi Wa Vitabu: Igeni Kitu Hiki Kimoja Tu Kutoka Kwa Wasanii Muziki

    Huwa napenda kusikiliza muziki wa bongo flava mara mojamoja ninapokuwa nimepumzika. Kama na wewe huwa unausikiliza walau hata mara moja moja nyoosha mkono juu tujuane. Ukifuatilia muziki huu hata kwa dakika tano tu, Kuna kitu kimoja ambacho utakigundua kwa wasanii na hiki ndicho ninataka tujadiliane leo. Kitu hiki siyo kingine bali ni kushirikisha kwa…

 • Majadala Mzito Kuhusu Kitabu Cha Kutoka SIFURI MPAKA KILELENI//GODIUS RWEYONGEZA

  Siku moja nilishiriki kwenye mjadala kwenye kundi la KITABU CHAT. ambapo mada kubwa ilikuwa ni KILICHOMO NDANI KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Nilianza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki hapa cha kipekee sana. baada ya utangulizi na mae lezo machache, yalianza kuulizwa maswali. swali la kwanza kuulizwa lilikuwa ni hili hapa chini.  “…mtu akifanya kazi…

 • KUZA KIPAJI CHAKO

  Kipaji ni mauwezo fulani hivi ya asili ambayo mtu unazaliwa nayo na yanakuwezesha kufanya vitu kwa namna ya upekee sana. Mauwezo haya yanakutambulisha kwa watu kwa sababu hakuna mwingine ambaye anakuwa nayo. Na wala ya kwako hayawezi kulinganishwa na ya mtu mwingine.  Sasa nikuulize wewe, kipaji chako unakifahamu? Ni kipi? Na je unakifanyia kazi? Hakikisha unakitumia…

 • Usiende Chuo Kusomea Uandishi Wa Vitabu; Badala Yake Fanya Hivi

  Siku kadhaa zilizopita nilipokea simu ya mtu aliyekuwa anataka nimwambie chuo kizuri kinachonoa Waandishi Wa Vitabu. Nilimjibu vizuri tu, ila hakuridhika na majibu yangu kwa maana yalipingana na kile alichokuwa anaamini kwa asilimia 100. Yeye alitaka kwenda chuo, asomee uandishi na apate cheti. Cheti cha nini sasa? Najua, jamii yetu imezoea kwamba ukiwa na cheti…

 • FANYA UAMUZI SASA

  Bila kujali upo katika hali gani, Kuna wakati unapaswa kufanya UAMUZI kwamba sasa mimi nitaanzia hapa na nitaendelea mbele  Kataa kabisa kuendelea kusema kwamba sina mtaji Kataa kuendelea kulalamikia ugumu wa maisha. Chagua kuanzia hapo ulipo, miaka 10 ijayo utajishukuru kwa uamuzi huu. Amua Sasa kupata vitabu vitano kwa elfu kumi tu. Hii ofa mwisho…

 • Kinachotokea Unapokuwa Na Ndoto Kubwa

   Jana niliandika makala yenye vitu 9 ambavyo hupaswi kuchoka kufanya. Mmoja wa wasomaji wa amkala hiyo alinibu kwa kusema hivi Nami nikawa nimemjibu pia kwa ujumbe huu hapa chini Ni kweli unapokuwa unapambania ndoto kubwa watu watakuona mtu wa ajabu sana.  Watakuona kichaa, utaambiwa umechnganyikiwa na mambo mengine mengi. Na hili linawatokea watu wote wenye…

 • Vitu 9 ambavyo hupaswi kuchoka kufanya

  Katika maisha Kuna vitu hata iweje huwezi kusema umechoka kuvifanya. Huwezi kusema nimechoka kupumua, maana ykiacha kupumua tu huo ndio mwisho wako. Huwezi kusema nimechoka kula, wala huwezi kusema nimechoka kulala, kuanzia leo sitalala tena. Ni vitu vya asili ambavyo mwili wako unahitaji ili uendelee kuwa imara zaidi. Wewe pia Kuna vitu unapaswa kujiwekea utaratibu…

 • FANYA UNACHOPENDA

    Mara nyingi watu hupenda kufanya kazi fulani kwa sababu aidha ya kifedha au kutafuta umaarufu au pengine kwa kulazimishwa na wazazi. Lakini kazi hizi huwa hawazifanyi kutoka moyoni au Wala huwa haziwapi motisha. Ni muhimu sana ufanye kitu unachopenda kuliko kulazimisha au kulazimishwa kufanya kitu usichopenda. Kama ni fedha au umaarufu utaupata kwa kufanya…

 • Kitu hiki lazima tu kitokee maishani mwako

    Kuna vitu katika maisha lazima tu vitokee. Vinatokea uwe unavipenda au huvipendi. Vyenyewe vinatokea tu. Jua linachomoza na kuzama, bila kujali unapenda au hupendi.Dunia inajizungusha kwenye mhimili wake, bila kujali una chuki nayo au unaipenda. Ukiruka juu, sharti utarudi chini bila kujali unapenda au hupendi. Mojawapo ya kitu kingine ambacho lazima kitokee kwenye maisha…

 • Madhara Ya Kuwa Na Mahusiano Na Mtu Zaidi Ya Mmoja

    Kama una ndoto kubwa na umekuwa na mpango wa kuja kuwa na mahusiano na watu wawili, au tayari una mahusiano na watu wawili ni bora ukauhairisha au kuondoa kabisa huo mpango. Yafuatayo ni mdhara ya kuwa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Kwanza utapoteza nguvu zako nyingi kwa watu hao ambao umeingia nao…

 • Kitabu cha KUTOKA UMASIKINI MPAKA MAFANIKIO CHA ERICK SHIGONGO.

  Kwenye kitabu hiki Erick Shigongo ameeleza historia ya maisha yake na kutoa mafunzo kadha kadha kuhusu maisha Kitabu hiki ni kizuri sana, nashauri kila mwenye kiu ya mafanikio makubwa akisome. Utajifunza mengi kuhusu kutoka umasikini mpaka mafanikio makubwa kupitia stori ya Erick Shigongo ambaye maisha yake yalikuwa duni sana, kuliko hata wewe ila akaweza kupasua…

 • Fursa iliyotengeneza mabilionea kwenye karne ya 21

    Madalali ni watu ambao wamekuwepo kwa siku nyingi sasa. Kazi yao kubwa imekuwa ni kuunganisha eneo moja lenye bidhaa na jingine lenye uhitaji. Kama una uhitaji wa chumba cha kupanga unamwona dalali anayekuunganisha kilipo. Kiufupi wenyewe wamekuwa wanaingia katikati ya mlaji na mzalishaji. Kwenye karne ya 21 udalali ndio umetengeneza mabilionea kwa wingi. Mtandao…

 • Asilimia 99 ya Maisha ya Watu Hujihusisha Na Vitu Hivi

  Leo nimekuandalia vitu ambavyo huwa vinachukua muda wa watu japo huwa havina manufaa yoyote kwao. Ni jukumu lako kuvifahamu na Kisha kuamua kuachana navyo. 1. Watu wengi hupoteza muda mwingi wakihofu jinsi watu wengine wanavyowafikiria, wakati na wao wanahofu wanasemwaje. 2. Watu wengi huishi maisha kwa kutaka kuwaridhisha wengine; wakati mtu pekee wanayepaswa kumridhisha ni…

 • Hiki Ndicho Kitakachotokea Miaka Mitano Ijayo…

   Miaka mitano ijayo utakuwa jinsi ulivyo ,isipokuwa kwa vitu viwili. Vitabu unavyosoma na watu unaokutana nao. Watu unaokutana nao wana uwezo wa kukubadili na kukufanya mpya. Watakupa mtazamo wao, fikra zao, ujuzi n.k. Ukitaka kwenda MBALI ambatana na watu sahihi. Vitabu pia ni muhimu sana. Vitabu muda mwingine vinaweza kukukutanisha na watu sahihi.  Muda mwingine…

 • USIPOZIBEBA FURSA, HAZITAKUBEBA

    Moja ya shida ya watu ambao huwa wanashindwa kutumia fursa ni kujuta mbeleni. Ndio baadaye unakuja kusikia mtu anasema kuwa;๐Ÿ‘‰ Mtu fulani tulisoma wote.๐Ÿ‘‰Mtu fulani tulianza kazi kwa pamoja. ๐Ÿ‘‰Maeneo fulani viwanja vilikuwa   vinauzwa kwa bei ndogo ila sasa havishikiki.Ne  mengine mengi Hiki ni kiashiria kimojawapo kuwa mhusika hakutumia fursa zilizojitokeza maishani mwake vizuri.…

 • Kwa Nini Asilimia 1 Tu Ya Watu Duniani Ndio Hufanikiwa Sana

  Tafiti nyingi zimeonesha kuwa asilimia 1 ya watu duniani ndiyo wenye mafanikio makubwa kukiko wengine. Na hiki kitu kinaelekea kuwa kinafanya kazi kila sehemu. Asilimia 1 ya watu ndio wanaoohodhi mitandao tunayoitumia mara kwa mara. Ndiyo maana juzi anguko la mitandao ya facebook limeleta taharuki kubwa sana. Asilimia 1 ya watu ndio wanaomiliki mashamba makubwa…

 • TUKUZE AKAUNTI AISEE

  ! Siyo za insta wala facebuku! Ila za benki kuu, Na siyo kwa kuongeza wafuasi, Bali kwa kipato hata cha buku, Kitokanacho na kazi ya mikono yetu, Tuifanyayo mchana hata usiku, Tukuze kipato chetu. Kipato ni chanzo uhuru, Uhuru wa maisha mazuri, Na siyo  wa kujionesha bila senti, Kipato kitakusaidia mpaka wajukuu  Wao watafurahi hata…

 • MAiSHA NI FURSA: ZITUMIE ZIKUBEBE. Zipuuze Zikukikimbie

  Hakuna fursa ambayo huwa inapotea. Usipotumia vizuri fursa inayokuja kwako, kuna mtu ambaye ataitumia. Asiyejulikana. Huwezi kuongelea ulimwengu wa kompyuta na mapinduzi ya kompyuta kiujumla bila kumwongelea Gary Kildall. Huyu jamaa ndiye alipaswa kuwa Bill Gates wa nyakati zetu ila akachezea fursa..endelea kusoma ili ujue kilichotokea. Mwaka 1977 kampuni ya apple ilitengeneza kompyuta yao ya…

 • UCHAMBUZI WA KITABU CHA SUGU MAISHA NA MUZIKI. Mambo 14 niliyojifunza kwenye kitabu hiki kinachoeleza Maisha ya Sugu Kutoka Mtaani Mpaka Bungeni

  Mwishoni wa uchambuzi huu, nimeeleza jinsi unavyoweza kupata nakala ya kitabu hiki. Nipo tayari kukuchangia kiasi kidogo ili upate nakala ya kitabu hiki kizuri cha Kitanzania. Kwanza, karibu kwenye uchambuzi wa  cha SUGU. kitabu hiki kimeeleza maisha ya msanii Joseph Osmund Mbilinyi, maarufu kama Sugu. Ambaye ni mmoja kati ya wanahiphop wa kwanza hapa Tanzania,…

 • Mitandao Mitano Ambayo Vijana wa Kitanzania Wanapenda Kutembelea Sana

    Siku ya leo nimeona nikuibie hili. Mtandao wa Alexa huwa una utaatibu wa kupangilia mitandao yote kutokana na wingi wa watembeleaji kutoka kwenye kila nchi. Kwa kutumia mtandao huu unaweza kujua nchi ipi, watu wake wanapendelea kutembelea mtando  upi. Na leo tunaenda kuona mitandao ambayo Watanzania wanapenda kutembelea sana. Hii ni muhimu kwako kuifahamu…

X