Category: Uncategorized

  • ZEGE HALILALI

    Wajenzi wanalifahamu hili. Zege ikichanganywa, kwa vyovyote vile hata iweje, inapaswa kuisha, la sivyo ikilala, asubuhi, hutaikuta kama zege, badala yake itakuwa imekauka. Itakuwa siyo zege tena…Itakuwa haifai tena kwa ajili ya ujenzi.Ndio maana huwa wanaenda kwa kanuni ya zege HALILALI. Na wewe unaweza kujiwekea utaratibu kama huu. Kuna vitu katika maisha yako unapaswa kuvifanya…

  • Karibu kwenye darasa la mwisho la kuandika kitabu kwa mwaka 2021

    Njoo ujifunze kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uandishi wa vitabu Kwa mara nyingine tena, napenda kukutangazia kuwa dirisha la kujiunga na darasa la uandishi limefunguliwa. Ila zamu hii litakuwa darasa la mwisho kwa mwaka 2021. Kama una mpango wa kuandika kitabu kabla mwaka haujaisha, Basi jiunge na darasa hili. Nani anahitajika kwenye darasa? Mtu yeyote…

  • Fursa Tano Ambazo Vijana Wa Siku Hizi Wanachezea (SEHEMU YA TATU)

    Kama hukusoma sehemu ya pili bonyeza HAPA 3. Fursa ya kufanya kazi kwa bidii Kwani kufanya kazi kwa bidii ni fursa?  Na hapa ningependa nikurudishe tena nyuma mpaka miaka ya akina Napoleon Bonaparte. Umewahi kumsikia huyu mtu? Bonaparte alikuwa mbabe wa vita wa nyakati zake na pengine mbabe wa vita wa nyakati zote. Alipigana Sana…

  • KITABU CHA SUGU: From The Streets To Parliament; MUZIKI NA MAISHA

    Leo wakati natembea hapa mtaani, nimekutana na mtu anauza vitabu kikiwemo hiki cha wasifu wa SUGU. Nilivyoambiwa bei ya kitabu tu, sikuchelewa kutoa fedha mfukoni kukichukua! Kinaeleza maisha yake kutoka mtaani mpaka kufika bungeni. Ndio naanza kukisoma hivyo maswali yako yote yatunze. Utaniuliza nikimaliza kukisoma. Kwa wale mnaopenda vitabu vyenye picha, hiki kinaweza kukufaa pia.…

  • Fursa Tano Ambazo Vijana Wa Siku Hizi Wanachezea (SEHEMU YA PILI)

      Leo tutaendelea na sehemu ya pili. Kama hukusoma sehemu ya kwanza; BONYEZA HAPA kwanza. 2. Fursa ya kujifunzaAcha nikurudishe nyuma tena, mpaka miaka ya akina Benjamin Franklin. Miaka hiyo walikuwa wanafanya apprenticeship kwa miaka 7-9. Huo ni muda ambao mtoto au kijana alikuwa ananolewa chini ya mtaalamu bila malipo. Kama kijana alifuatilia vizuri masomo yake…

  • Fursa Tano Ambazo Vijana Wa Siku Hizi Wanachezea

    Ngoja kwanza, kwani fursa ni nini? Unafanyaje ili kujua kuwa kitu fulani ni fursa na kingine siyo fursa. Kwani fursa huwa zinavaa vazi gani haswa? Enewei, tuachane kwanza na maswali hayo japo nitayajibu mwishoni mwa makala haya, ila kwa sasa acha kwanza tuone fursa tano ambazo vijana wanachezea.  Hizi fursa, japo zinachezewa sasa hivi, hazikuwahi…

  • Vitu Vitano Ambavyo Havitabadilika Miaka Kumi Ijayo

      Vimeandikwa vitabu vingi sana kuhusu mabadiliko. Vinaeleza kuwa unapaswa kubadilika maana mambo yanabadilika. Mimi pia nimekuwa nikiandika kuhusu mabadiliko ila leo ninataka kukwambia vitu vitano ambavyo havitabadilika miaka 10 ijayo. Ubora ni kuwa ukivijua vitu ambavyo havitabadilika, unaweza kuvitumia kwa manufaa na kuvifanya kuwa fursa. Hivyo, hivi hapa ndivyo vitu ambavyo havitabadilika ndani ya…

  • Waafrika Tuutafute Ukweli Wetu; Wazungu Wamedanganya Vyakutosha Sasa

      Waafrika tukiujua ukweli kuhusu sisi utatusaidia kufanya makubwa zaidi. Kuna ukweli mwingi umefichwa. Vitabu vya historia vyenyewe vimeandika historia feki. Vyombo vya habari vikubwa, vinatoa habari zisizokuwa za kweli. Vinatoa habari kwa maslahi ya wamiliki wa vyombo hivyo. Kitu kinachotufanya tuendelee kuamini uongo kama ukweli.  Najisikia kusema kitu kuhusu Afrika na uongo mwingi uliosemwa/unaosemwa…

  • Mambo 100 Ya Kujifunza Kutoka Kwenye Kitabu Cha Rich Dad Poor Dad

    Kitabu: RICH DAD POOR DAD Mwandishi: Robert Kiyosaki Mchambuzi: Hillary Mrosso Simu: +255 683 862 481 UTANGULIZI RICH DAD POOR DAD, ni kitabu cha ajabu sana, tangu kiandikwe zaidi ya miaka 25 iliyopita kimeleta mageuzi makubwa sana kwenye maisha ya watu, makampuni, biashara, fedha, uwekezaji, uongozi, ujasiriamali na utajiri. Ni kitabu ambacho kinaelezea mifumo ya…

  • Uoga wako ndio umasikini wako

    Watalaam wa Biblia wanasema kwamba kwenye Biblia kuna usiogope 365. Maana yake kila siku ukiamka unaambiwa usiogope. Usiogope maana uoga wako ndio utakufanya uendelee kuishi maisha yaleyale kila siku bila kufanya kitu Cha tofauti ambacho kinaweza kuleta mabadiliko makubwa maishani mwako. Usiogope maana uoga wako ndio umasikini wako. Ukiogopa, hutachukua hatua yotote, kitu ambacho kitakufanya…

  • Jinsi ya kuwa na fedha kama serikali

    Bila shaka umewahi kusikia watu wanasema serikali ina fedha nyingi, au pengine wewe mwenyewe ndiye huwa unasema hivyo. Sasa leo ni zamu yako wewe kuwa na fedha kama serikali. Na utaweza hili kwa kuwa na vyanzo vingi vya kipato. Wanasema serikali ina mkono mrefu. Na fedha yake inapata kutoka sehemu nyingi. Kwanza ina una uwezo…

  • USHAURI: Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Ukiwa Umeajiriwa Bila Bosi Wako Kujua

     Ok vizuri. Inawezekana kuanzisha biashara ukiwa umeajiriwa.  Kwanza, unapaswa kujua aina ya biashara ambayo ungepsnda kuanzisha. Pili, unapaswa kujua na ratiba yako ya kazi. Hii itakusaidia kupangilia muda wa mwajiriwa wako na muda wa kufanya biashara yako.  Tatu, unapaswa kuhakikisha kwamba unafanya kazi zako kuajiriwa kwa nguvu na weredi mkubwa. Usifanye kazi ya ajira hovyo,…

  • Kama Fedha Ingekuwa Dini

      Fedha ni kitu pekee duniani ambacho kinaunganisha watu wote. Hakijali jinsia, dini, rangi Wala kabila. Mwislam na mkiristo wanatofautiana kwa mamho mengu mengi kwenye dini, ila linapokuja suala zima la fedha basi wanakubaliana vizuri. Kwa hiyo nataka kusema Nini? Nataka kusema Mambo haya matano. Moja; kama fedha Ingekuwa dini, basi Ingekuwa dini yenye wafuasi…

  • Fursa Za Msimu

      Kuna fursa nyingine huwa zinatokea kwa msimu na kupotea. Ndio maana hata kwenye vyombo vya habari utasikia wanasema, msimu huu wa pasaka, krismasi n.k. Maana yake hicho ni kipindi ambacho huwa kinaambatana na fursa fulani. Kuna fursa za msimu wakati wa pasaka, krismasi, mwezi mtukufu wa ramadhani, sikukuu za kiserikali na kidini, matamasha, semina…

  • Huu Ndio Ukweli Unapaswa Kuufahamu Kuhusu Wazo Bora La Biashara

    Rafiki yangu, moja ya kitu ambacho watu wamekuwa wanakosea ni Kushindwa kuanza  biashara huku wakisubiri wapate wazo bora la biashara. Ninachopenda ufahamu ni kuwa wazo Bora la biashara halishuki kutoka mbinguni.1. Wazo la biashara lipo kwenye huduma mbovu wanazotoa watu.2. Unaweza kupata wazo bora la biashara kutokea kwenye matatizo yanayowakumba watu.3. Unaweza kupata wazo bora…

  • Jinsi Habari Njema Zinavyoweza Kukufanya Upate Ushindi

      Soma habari njema kwanza, kabla hujasoma habari mbaya Tunaishi katika ulimwengu ambapo habari mbaya zinasambazwa kwa kasi kwelikweli kuliko habari njema. Hata hivyo kwenye ulimwengu huu unapaswa kuwa mtu wa kusoma habari njema zaidi ya unavyosoma habari mbaya. Jiwekee utaratibu wa kusoma habari njema kwanza.Ukiamka asubuhi, tafuta habari njema na uzisome. Mchana, Soma habari…

  • PENDA MREJESHO.

     Kwenye makala ya jana nilikutahadharisha kuhusu kuepuka kujiingiza kwenye ugomvi na watu kutokana na wewe kutaka kuwaonesha njia sahihi pale unapoona hawafanyi kitu sahihi. Nilikutahadhirisha hivyo, kwa sababu watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli. Hata hivyo hali inapaswa kuwa tofauti kwako. Soma zaidi: Huu Ni Ugomvi Ambao Unapaswa Kujiepusha Nao Wewe unapaswa kuwa mtu wa kupenda…

  • Huu Ni Ugomvi ambao Unapaswa Kujiepusha Nao

      Rafiki yangu, muda mwingine watu huwa tunajikuta tumeingia kwenye Ugomvi na watu. Tena kwa kujitakia kabisa. Leo nimeona nikwambie kitu komoja kinachofanya watu waingie kwenye ugomvi na jinsi ya kukiepuka. Kitu hiki ni kuwaonesha watu kuwa wanakosea. Ni wazi kuwa unaweza kuwa unaishi na watu ambao wanafanya vitu ndivyo sivyo. 1. Labda wanatumia fedha…

  • Wanaokwambia huwezi

      Wanaokwambia hujui, wanatumia mwonekano wako wa nje au wanatukua uzoefu wao juu yao. Wewe una uwezo mkubwa sana ndani yako. Anza kuutumia.

  • Tujikumbushe Dibaji Ya Kitabu Cha Kutoka SIFURI MPAKA KILELENI

    Rafiki yangu, kuna usemi kuwa kama kuna kitabu ambacho hakijawahi kuandikwa. Kiandike wewe. Wakati naandika kitabu Cha Kutoka SIFURI MPAKA KILELENI, nilikuwa naandika kitabu ambacho mwenyewe nilikuwa napenda kukisoma ila nilikuwa sijakipata sokoni. Cha kushangaza kuna watu wengi pia waliokuwa wanapenda kuona kitabu cha aina hiyo hiyo. Mmoja wao ni mwandishi wa Dibaji Ya Kitabu…

X