Category: Uncategorized

  • NGUVU YA RIBA MKUSANYIKO-Utangulizi

      Riba mkusanyiko ni nini? Riba mkusanyiko ni muunganiko wa vitu baada ya kuwa vimefanyika kwa kipindi kirefu katika kuleta matokeo yaliyokusudiwa. Vitu  vikifanyika mara kwa mara kwa muda mrefu, huleta nguvu ya pamoja ambayo kwa kufanya kitu kwa wakati mmoja isingewezekana. Kwa mfano ni nadra sana kuangusha ukuta kwa kupiga nyundo moja tu. Hata…

  • Anza Wewe Kwanza

      Mabadiliko yoyote unayoka kuyaona, Anza wewe kuyafanyia kazi.  Fanya kitu na kibadili kwanza, watu wengine watafuata nyuma yako. Huwezi tu kuhubiri mabadiliko wakati wewe mwenyewe hutaki kubadilika

  • Fursa zimejificha kwenye matatizo.

      Fursa zimejificha kwenye matatizo. Matatizo yaliyo kwenye jamii ukiyatatua ni fursa. Hivyo, kaa uangalie jamii yako ina matatizo gani, kisha angalia namna ya kuyatatua hayo matatizo . Siku siyo nyingi tulikuwa kwenye mlipuko wa ugonjwa UVIKO. Kuna watu mlipuko huu umekuwa fursa kwao wakati wengine umekuwa janga kubwa kwao. Kuna watu waliweza kufanya vitu…

  • KAMA HUWEZI KUKIFANYA KWA VIWANGO VIKUBWA, KIFANYE HATA KWA VIWANGO VIDOGO

      Kama kitu huwezi kukifanya kwa viwango vya juu basi kifanye kwa viwango vya chini. Kama huwezi kuajiri watu wengi basi ajiri watu wachache. Kama huwezi kuwa na vyanzo vingi vya kipato vinavyoingiza kipato kikubwa, basi kuwa na vyanzo zaidi vinavyoingiza hata kipato kidogo.Kama huwezi kukimbia kilomita nne kwa siku, kimbia mita mia tano.Kama huna…

  • Siri nzito ya kufikia chochote unachotaka

      Miaka mingi iliyopita Napolleon Hill aliwahi kusema; kitu chochote ambacho akili yako inaweza kuamini na kushikilia kwa muda mrefu inaweza kukifikia. Kumbe basi, kama unataka kufikia kitu chochote kikubwaMoja, unapaswa kukijua hicho kitu.Pili, unapaswa kuwa  imani isiyoteteleka.Tatu, unapaswa kukifanyia kazi huku ukiwa na imani yako. Kama imani yako kuwa unaweza kufikia hicho kitu haitateteleka,…

  • Vitu 10 ambavyo siyo lazima uwe kiongozi ili uvifanye

      Umekuwa ni utaratibu wa watu wengi kuilalamikia serikali na kuitwisha mzigo kwa kila kitu hata kwa vitu ambavyo wao wenyewe wanahusika kuvifanya maishani mwao. Siyo kwamba naikingia mkono serikali ili usiiseme, ila ebu mwangalie mtu kama huyu hapa. Kuna siku moja ambapo nilisikia jamaa analamlalamikia Magufuri kuwa ameshindwa kuiendesha nchi vizuri kwa sababu siku…

  • Njia bora ya wewe kukabiliana na tatizo la kughairisha

    Rafiki yangu Kama umekuwa mtu wa kughairisha kazi zako, hii hapa nu njia ambayo unaweza kuitumia kwa manufaa. Njia hii ni 1. Kuamua kufanya hicho kitu kwa muda mfupi tu, labda dakika moja au mbili. Ukiweza kufanya hivi, utajikuta umeweza kufanikisha kazi yako, maana shida kubwa huwa ipo kwenye kuanza, ila ukishaanza dakika mbili zinaweza…

  • Ijue maana nzuri ya MASIKINI

    Kusikiliza Makala Hii BOFYA HAPA Watu huwa wanapenda kusema kuwa kila kitu kina faida na hasara zake, hata hivyo nimewahi kujiuliza faida za umasikini zikuzipata. Na hata nilipowauliza watu waniambie faida za umasikini hakuna aliyeniambia. Soma zaidi: Nani Anaweza kuniambia faida ya umaskini? Sasa siku ya leo ninataka nikwambie maana ya umasikini. Mtu MASIKINI kwa…

  • Kwa Nini Nitaendelea Kuandika Kila Siku Bila Kuchoka

    Leo nimeona nishirikishe kuhusu uandishi na kwa nini nitaendelea kuandika bila kuchoka. 1  Uandishi Ni kitu ambacho ninafanya kutoka moyoni 2. Uandishi ni kitu ambacho kinanipa ushindi. Hata kama ikitokea jdani ya siku yangu nimeshindwa kufanikisha majukumu yangu ila nitakuwa na uhakika kuwa kwenye suala zima la uandishi nimefanikiwa kwa kuandika kitu fulani. 3. Uandishi…

  • Jenga mazingira ya kupata fursa zaidi

      Kama unaona kama fursa haziji kwako, Tengeneza mazingira ya kupata fursa. Maana  fursa huwa hazikauki ni Kama mto mkubwa. Muda wote unatiririka tu. Na fursa hivyohivyo.Kwa hiyo, kama wewe unaona fursa haziji kwako basi ebu jikwamue kwa kutengeneza mazingira ya kuzipata fursa zaidi. Jiongezee ujuzi zaidi ya ule uliokuwa nao mwanzo.Jitangaze zaidi.Ongea na watu…

  • Anza kutumia kitu hiki kwenye maisha yako kuanzia leo

      Siku ya leo kuna kitu kimoja ambacho ningependa kukwambia ili uanze kukitumia kwenye maisha yako. Ukitumia kitu hiki ni wazi kuwa kinaenda kuwa chenye manufaa makubwa sana kwako. Kitu hiki siyo kingine bali ni kuongea kile unachohitaji bila kuanza KUZUNGUKA. Kitu hiki kidogo kitakufanya ufanikishe Mambo mengi kwa wakati Kila la kheri  Umekuwa nami,…

  • Ifahamu Nguvu Kubwa Iliyo Katika Picha/Kideo Na Jinsi Makampuni Makubwa Yanavyoitumia Kwa Manufaa

      Picha au video ni muhimu sana katika matangazo. Unapokuwa unafanya matangazo yako unapaswa kutafuta namna ya kuvitumia hivi vitu viwili. Ndio maana unaona kila siku utakuta kampuni kubwa kama Cocao zinaweka matangazo ya picha njiani. Zinatumia kideo kwenye runinga na hata mtandaoni. Hawaweki maneno matupu. Wanafanya hivyo kwa sababu wanaijua na kuitumia nguvu ya…

  • Faida Za Kuwa Blogu Ambazo Hakuna Mtu Amewahi Kukwambia

      Siku ya leo nitakuwa nikijibu malalamiko yaliyotewa na mmoja wa wasomajj kwenye kundi la WhatsApp Talent School.  Hili ni kundi maalumu kwa ajili ya watu wenye vipaji vyao na jinsi wanavyopaswa kuviendeleza. Huyu msomaji aliiandika ujumbe uliosomeka hivi: Mwanzoni Madarasa yalikuwa yanatumwa tunasoma humu, nowadays ni Blogs tuu🤭 Kujibu malalamiko yake niliandika hivi Mpaka…

  • Maswali Manne Muhimu Unayopaswa Kujiuliza Baada Ya Kusoma Kitabu

    Kusikiliza Makala Hii BOFYA HAPA Kwanza napenda ufahamu kuwa kila unapochukua kitabu basi walau unapaswa kupata kitu kimoja tu ambacho utafanyia kazi. Kama umesoma kitabu ukapata hata kimoja, inatosha; kifanyie kazi kwanza hicho kitu. Haifai usome kitabu halafu utoke bila kitu. Halafu kazi yako iwe kuwambia watu kuwa umeshasoma  kitabu fulani na kitabu fulani. Hilo…

  • Kanuni Muhimu Unayopaswa Kuitumia Kwenye Kugawa Utajiri Wako

    Kusikiliza makala hii BONYEZA HAPA Umewahi kusikia usemi wa one mistake, onge goal? Yaani, ukiwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu ukafanya kosa moja tu, kosa hili hapa linaweza kukupeleka wewe kufungwa goli ambalo litakunyima ushindi wa siku hiyo. na kama mechi hiyo ni fainali maana yake ndio umeshakosa kombe. halafu usiombe siku hiyo mkafungwa…

  • KITABU: MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE

      Hivi umewahi kuona wazungu wanavyokuja hapa nchini na kuzunguka huku na kule. Na hata kutembelea vivutio ambavyo vipo karibu yako wakati wewe ukiwa hujawahi kuvitembelea. Huwa wanawezaje kukaa hapa nchini kwa mwezi au zaidi? Je, huwa hawana kazi huko kwao? Moja ya kitu ambacho huwa wanahakikisha wanakuwanacho ni fedha inayowafanyia kazi. Ubora siyo tu…

  • MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE

      Kitabu kilichoeleza mambo makubwa kuhusu uwekezaji kwenye hisa, HATIFUNGANI NA VIPANDE kwa lugha rahisi sana. Ukisoma kitabu hiki utaelewa vizuri ulichosoma na hivyo kukusaidia kuchukua hatua haraka. Ubora ni kuwa unaweza kupata kitabu hiki kwa bei ya vocha kabisa.Yaani, elfu nne tu. Najua utaanza kusema elfu nne siyo bei ya vocha. Nakubaliana na wewe…

  • Vitu Kumi Na Tatu Vya Kufanya Kipindi Hiki Ambapo Gharama Za Miamala Ya Simu Imepanda Bei

    Kusikiliza makala hii kwa sauti BONYEZA HAPA Kuanzia juzi tarehe 15 julai, mitandao ya simu imepandisha gharama za kutuma na kutoa fedha ambapo kwa sasa kwa baadhi ya miamala gharama ya kutuma na kutoa fedha ni mara mbili ya ilivyokuwa hapo mwanzo. Kuna utani kuwa sasa hivi itakuwa bora kumtuma bodaboda fedha zako apeleke kwa…

  • Kama hukupata kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, FANYA HIVI SASA HIVI?

      Kwa miaka iliyopita nilikuwa nimezoea kuwaambia marafiki zangu mara kwa mara kwamba, unawezaje kuishi kwenye nchi yako bila kuwa na umiliki wa kipande kidogo cha ardhi? Nikawa nawaambia kwamba mtanzania yeyote ambaye hamiliki kipande chochote cha ardhi kisheria anakuwa ni mgeni kwenye nchi yake. Ni ujumbe ambaobaadhi wameufanyia kazi na wengine wameupuuza pia. Sasa…

  • Aina Tano Za Ujuzi Unaouhitaji Ili Uweze Kufikia Malengo Yako

    Watu wengi wanadhani kuwa ukiweka malengo tu basi kinachofuata inakuwa ni tiketi ya wewe kuyafanikisha. Siyo hivyo. Kuna vitu vinahitajika ili kukusaidia wewe kufanikisha malengo yako. Na kwa leo nitakushirikisha aina tano za ujuzi unaouhitaji ili uweze kufikia malengo yako. 1. Unahitaji ujuzi wa kuweka malengo sahihi. Siyo kila lengo ni sahihi kwako. Na siyo…

X