-
Imegundulika: Hili Ni Kundi La Watu Wachache Wanaoitawala Dunia Kisirisiri, Utaratibu Wa Kujiunga Nao Pia Umefichuka
Tangu enzi na enzi, asilimia kidogo ya watu wamekuwa wanaiongoza dunia. Watu hawa wamekuwa wanaiongoza dunia kwenye masuala ya uchumi, siasa, biashara, vipaji n.k. na watu ninaowaongelea hapa ni wale ambao wanaonekana kula mema ya nchi. Ukipita mtaani utasikia mtu anasema, aiseeh fulani ana nyota, wewe acha tu. Watu hawa wamekuwa wakionekana kama…
-
Hili Ni Kosa Ambalo Linagharimu Maisha Ya Watu Walio Wengi
Ukitaka kutuma ujumbe mfupi kwa rafiki yako, huwezi kuandika herufi zote za kishwahili kuanzia A mpaka Z na kumwacha rafiki yako ajitugie ujumbe mwenyewe. Au huwezi kuandika maneno tu kutoka kwenye kamusi bila mpangilio maalumu na kutuma kama ujumbe. Ni lazima utatengeneza sentensi inayoeleweka na kuituma ili aisome na kukupa jibu kulingana na sentensi uliyotuma.…
-
Hili Ni Eneo Muhimu Ambapo Unapaswa Kuelekeza Bajeti Yako Kwa Miezi Sita Ijayo
Rafiki yangu, bila shaka umewahi kusikia kuwa serikali imebadilisha bajeti yake na kuielekeza sehemu nyingine. Na mara nyingi huwa unakuta kuwa hili linafanyika mara baada ya kutokea kitu fulani cha dharula ambacho hapo awali hakikuwa kwenye bajeti husika ya serikali. Sasa leo hii ningependa na wewe ufanye kitu kama hiki hapa. Hiyo fedha…
-
SIMAMA KWA MIGUU YAKO MIWILI
Leo rafiki yangu nimeamua kuongea na vijana wa kitanzania. Makala ya leo inawalenga zaidi hasa wanachuo, wahitimu wa chuo na vijana wengine ambao bado wanakaa nyumbani. Sasa labda tujiulize kusimama kwa miguu miwili ndio nini? KUSIMAMA kwa miguu miwili maana yake kuamua kutimiza malengo yako wewe kama wewe bila kusubiri wazazi, walezi au serikali.…
-
Kubali Kuwa umekosea, jisamehe kisha SONGAMBELE
Rafiki yangu kukosea ni sehemu ya maisha. Unaweza Kuwa umezaliwa kwenye jamii ambayo inapenda ukamilifu. Hilo lisikutishe unapoksea. Hata hivyo hakuna yeyote atakayekuua. Hivyo jitoe kufantia kazi Ndoto na malengo yako. Kitu kikubwa kwenye kukosea ni Kuwa 1. Unapaswa kujifunza somo 2. Kuchukua hatua 3. Kuendelea mbele.
-
Maneneo Sita (06) Ambapo Kila Kijana Mwenye Miaka 20-29 Anapaswa Kuwekeza
Habari ya siku hii ya kipekee rafiki yangu, karibu sana kwenye makala hii ya siku ya leo. Ambapo tunaenda kujifunza maeneo sita kwa kjjana yeyote mwenye miaka kati 20-29 anapaswa kuwekeza. Labda unaweza kujiuliza kwa nini leo niongelee kuhusu miaka 20-29. Jibu lake ni kwamba, hiki ni kipindi ambapo vijana wengi wanakuwa na ndoto…
-
Hii Ndiyo Idadi Ya Kurasa Za Kitabu Ambazo Unaweza Kuandika Kwa Siku Za Mwaka Zilizobaki
Rafiki yangu, bila shaka siku ya leo unaendelea vyema kabisa. siku ya leo nimeandaa makala kwa ajili ya wale ambao kazi zao zinawabana sana kiasi kwamba hawapati muda wa kukaa chini na kuandika japo wangependa kuandika na wanajisikia kwamba wana kitu cha kuandika. Kwanza nipende kusema kwamba hicho kitu ambacho unaona kwamba unacho, hakikisha…
-
Socrates Alikuwa Na Haya Ya Kutufundisha Kuhusu Mafanikio
Hii ni maalumu tu kwa ajili ya yule ambaye anahitaji mafanikio makubwa kama ambavyo anahitaji hewa Siku moja kijana mmoja almfuata Socrates akimwomba amfundishe siri ya mafanikio. Socrates hakuwa mchoyo, hivyo alichofanya alimpangia miadi siku iliyofuata. Kweli bwana, kijana alitokea kama ambavyo alikuwa amepangiwa. Socrates alimwambia kijana yule kwamba nifuate. Kijana alimfuata Socrates nyuma.…
-
NINAONA KITU NDANI YAKO
KUNA BAADHI YA WATU WALIKUWA HAWAJIELEWI KWENYE HATUA FULANI KWENYE MAISHA. Ninaposema kwamba walikuwa wahajielewi ninamaanisha kwamba hawakuwa na kitu kikubwa cha kufanya na maisha yao. Yaani, wao walikuw wanaishi tu ilimradi wamekula, wamekunywa na kufanya kazi. maisha yao yalikuwa yakiendelea hivyo hivyo mpaka pale ambapo alitokea mtu ambaye aliona kitu kikubwa ndani yao.…
-
Leo Ndio Siku Ya Mwisho Ya Zawadi Ya Kitabu Cha Bure Cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni Kuisha
Rafiki yangu, bila shaka siku ya leo ni siku bora sana kwako. Siku si nyingi sana nilitoa zawadi ya nakala ya bure kabisa ya kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni. Uliipata zawadi hii? Kama hukuipata, basi soma makala hii HAPA na uchukue hatua leo maana yamebaki masaa machache. Na leo ndio siku ya mwisho kabisa…
-
Nguvu Tatu (03) Kubwa Zitakazokusaidia Kufanikisha Malengo Yako
Rafiki yangu bila shaka siku ya leo imekuwa ni siku bora sana kwako. Leo hii ningependa nilete kwako nguvu tatu kubwa ambazo zitakusaidia wewe kuweza kutimiza malengo yako. NGUVU YA KWANZA NI NGUVU YA KUANDIKA MALENGO YAKO Hii ni nguvu muhimu sana ambayo inakufanya uandike malengo yako na kuwa unayapitia kila mara. Nguvu…
-
Mambo Kumi Na Moja (11) Ambayo Watu Waliofanikiwa Hawachoki Kufanya
Rafiki yangu karibu sana kwenye makala ya siku ya leo. Na leo, nimeona nikushirikishe mambo ambayo watu waliofanikiwa hawachoki kufanya; 1. hawachoki kujifunza na kusoma vitabu. 2. hawachoki kufanyia kazi kile ambacho wamejifunza. 3. hawachoki kutafuta ushauri wa kitaalamu au ushauri wa watu waliofanikiwa. 4. hawachoki kuuliza maswali sahihi. 5. hawachoki kujituma. 6. hawachoki kulipa…
-
Hatimaye Leo Nimemnasa Aliyesema Hakuna Haraka Barani Afrika
KWA siku sasa nimekuwa nikijiuliza, hivi ni mtu gani aliyesema kuwa hakuna haraka barani Afrika. Leo hii tarehe 12.4.2020 ndio nimemgundua huyu mtu aliyesema huu usemi. Najua unajua kuwa usemi huu ndio ule usemi ambao, watu wengi huwa wanautumia kama kisingizio cha kuchelewa. mambo ya maana. Usemi huu ndio umepelekea mpaka watu wengine kuamini kuwa…
-
Jinsi Ya Kuutumia Muda Ulioupata Ndani Ya Kipindi Hiki Cha Korona Kwa Manufaa. Mambo Sita (06) Ya Kufanya Katika Kipindi Hiki Ambayo Hujaambiwa Na Mtu Yeyote
Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki yangu. Hongera sana kwa kupata siku hii nyingine, kiukweli hakikisha kuwa siku hii unaitumia vizuri kwa ajili kufanya vitu vya toafuti. Dunia nzima sasa hivi inapitia katika kipindi ambacho shughuli nyingi za kiuchumi zimefungwa. Hivyo kitu hiki kufanya watu wengi kuwa majumbani kwao bila majukumu ya…
-
Hivi Ndivyo Unavyopishana Na Gari La Mshahara Kwenye Zama Hizi Za Taarifa
Rafiki yangu bila shaka siku ya leo ni siku njema sana kwako. karibu sana kwenye makala ya siku hii ya kipekee na leo kuna vitu viwili vikubwa. Kwanza nitekueleza kidogo historia ya binadamu alivyopitia kwenye zama mbalimbai na jinsi ambavyo kila zama ilikuwa na madhara yake. Pili nitaeleza kiundani kuhusu zama tulizomo sasa hivi na…
-
Mambo 13 Ya Kufanya Kila Siku Ili Kufikia Mafanikio Ambayo Umedhamiria
Rafiki ni wazi kwamba kwamba mpaka sasa hivi umeshajitoa kuhakikisha kwamba unafikia malengo yako makubwa maishani. Umeshaamua kwamba hata iweje, lazima nifanyie kazi malengo yangu na kuyafikia. Na malengo yako yanaweza kuwa ni ya kifedha (kuufikia uhuru wa kifedha, au kuwa tajiri), yanaweza kuwa ni ya kiroho, kiakili, kimahusiano n.k. Sasa ukizingatia kwamba…
-
Siku 100 Za Kwanza Za Mwaka 2020 Zimeisha: Mambo 100 Unayoweza Kufanyia Kazi Kwa Siku 266 Zilizobaki
Tarehe 1.1.2020 dunia nzima ilishangilia mwaka mpya. Shangwe kutoka kila kona ya dunia zilitawala. Kuna watu siku iliyotangulia tarehe 1 hawakulala wakiusubiri mwaka mpya ufike. Kuna watu walikuwa na mipango mikubwa sana ya kufanya mwanzoni mwa mwaka huu. Kuna watu ambao siku ya mwaka mpya ilipofika walijiambia kwamba haiwezi kupita hivi hivi tu, lazima…
-
Huu Ndio Mfumo Bora Utakaokuwezesha Wewe Kutimiza Malengo Yako. mfumo huu haujawahi kufeli hata kidogo
HIVI IMEWAHI KUKUTOKEA, ukiwa kwenye chumba ambapo kuna kelele nyingi za watu na unaongea na marafiki ila ghafla ukasikia sehemu mtu anataja jina lako. Yaani watu waliokuwa pembeni kidogo wanaonge mwanzoni na ulikuwa hujawasikia wanachoongea muda wote, ila zamu hii tu mtu kataja jina lako, basi masikio yako yameshanasa kila kitu. Hivi ni kitu gani…
-
Dibaji ya kutoka sifuri mpaka kileleni Kama Ilivyoandikwa Na Albert Nyaluke Sanga
Habari ya siku ya leo rafiki yangu. Siku ya leo nimeona nikusogee walau kurasa chache kutoka kwenye kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni ili uweze kuzisoma. Na kwa leo nimekuletea kwako Dibaji ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI ambayo imeandikwa na Albert Nyaluke Sanga. Kama hujawahi kusoma kitu chochote kile kwenye kitabu hiki,…
-
Tofauti 15 Kati Ya Matajiri Na Masikini Ambazo Zitakuacha Mdomo Wazi
Unaendeleaje rafiki yangu, bila shaka siku ya leo imekuwa ni siku bora sana. Leo nimeona nikuletee tofauti 12 zilizopo kati ya matajiri na masikini. Hizi tofauti zitakuacha mdomo wazi kabisa. kuna vitu ambavyo pengine umezoea vinafanywa wengi na hivyo vinaonekana ni sahihi. Ila ukweli ni kwamba wingi wa watu haumaanishi usahihi wa kitu. Hivyo watu…
