Month: May 2022

  • Ukifanya kitu unachopenda Ubunifu unakuwa mwingi.

    …….muda si mrefu nimetoka kuongea na mteja wetu mmoja ambaye yuko mkoani Mara (Msoma mjini).Ambaye amepokea kitabu Cha jinsi ya kufikia NDOTO ZAKO na kuanza kukisoma. Kitu cha pekee nilichopenda kutoka kwake ni usemi wake anaosema kuwa ukifanya kitu unachopenda, Ubunifu unakuwa mwingi. Na hiki kitu nimeona nikushirikishe na wewe pia. Kuna utafiti unaonesha kuwa…

  • Tumebaki Na Siku 3 Tu Za Kupata Kitabu Cha Jinsi Ya Kufikia Ndoto Zako Kwa Bei Ya Oda

    Hello, habari ya leo. Bila sahaka unaendelea vyema. Kwa siku sasa nimekuwa nikikwambia kuhusiana na kitabu cha jinsi ya kufikia ndoto na jinsi ambavyo unaweza kupata nakala yako. Kitabu hiki kinazinduliwa tarehe 20 Mei, hata hivyo, oda zimeshaanza kuwekwa. Na ubora ni kuwa nakala za kitabu zimetoka mapema. Hivyo, nimeona badala ya kusubiri mpaka tarehe…

  • Kitu Kimoja Cha Kufanya Kama Hauna Fedha Sasa Hivi

    Usikubali kubaki kuwa huna fedha halafu ukaendelea kusema tatizo langu sina fedha. Usipochukua hatua leo, kesho na kesho kutwa bado utakuwa unasema tatizo langu ni fedha. SOMA ZAIDI: Kama Hauna Hata Mia Mbovu Jua Unakosea Hapa Chukua hatua.   Tafuta bidhaa yoyote unayoweza kuuza. Nenda kwa watu uuze. Unachopaswa kujua ni kuwa fedha zako wanazo watu.…

  • Nidhamu ni nini?

    Nidhamu ni kuamua kufanya kitu, bila kujali unajisikia kufanya kile kitu au hujisikii. Matendo yako ya kila siku ndiyo yanaweza kutuambia kuwa una nidhamu kwenye eneo gani na hauna nidhamu kwenye eneo gani. Kwa mfano, kama umejiwekea utaratibu wa kuweka akiba kila siku, na ukaweka akiba kila siku, hapo unakuwa umejijengea nidhamu binafsi. Nidhamu ni…

  • Vitu vinazaliwa, vitu vinakua na hatimaye kuzeeka

    Ni kanuni ya maisha kuwa vitu lazima vinazaliwa, vitu vinakua na hatimaye kuzeeka. Hakuna kitu ambacho kinapaswa kubaki hivyo hivyo, kila kitu kinapaswa kuwa kwenye mwendo muda wote na sehemu zote. kumbe, kuna wakati unaweza kutakiwa kuwa sehemu fulani, ambayo ni sehemu ya chini kwenye mchakato wako wa kupanda, sehemu mbayo pengine wewe kwa upande…

  • Nguvu Ya Vitu Vidogo Kuelekea Mafanikio Makubwa

    Helo leo ninayo furaha kutambulisha kwako kitabu cha Nguvu ya vitu vidogo kuelekea mafanikio makubwa. Ni kitabu cha kipekee sana. kabla sijasema mengi kuhusu kitabu hiki, nataka nikupe kwanza utangulizi wa kitabu ili uweze kuuusoma. Karibu Hivi umewahi kujiuliza kuwa vitu vidogo vinaweza kukusaidia kitu gani maishani mwako? Hivi kwa mfano, kitu kidogo kama kuamka…

  • Kama haupo tayari kupoteza, hautaokota

    KUNa wakati unahitaji upoteze kitu ili uweze kupata kitu. Kama haupo tayari kupoteza usitegemee kuokota. Kama hauko tayari kupoteza mbegu za mahindi, usitegemee kwamba unaenda kuvuna mahindi. Nadhani hii inaenda vizuri na ule usemi wa kihenga unaosema kwamba mtaka cha uvunguni sharti ainame. Au ule usemi wa kuwa mficha uchi hazai Sasa swali ni kwako…

  • Audiobook ya kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO hii hapa

    Habari ya upande wa huko rafiki yangu. bila shaka kila kitu kinaenda vyema kabisa. Leo hii nina furaha kukutaarifu kuwa kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO, kina audiobook yake pia. Audio hii itaanza kupatikana kuanzia mei 20, 2022. hata hivyo, leo hii nina sample kidogo tu kukuonjesha. unaweza kuisikiliza hapa. ukimaliza kuisikiliza, usiache kuweka…

  • VITU viwili usivyovijua kuhusu kitabu Cha jinsi ya kufikia ndoto ZAKO

    Unaendeleaje rafiki yangu, bila shaka kila kitu kinaenda vyema kabisa. Leo hii nina habari njema kwako.. Habari njema kuhusu kitabu cha jinsi ya kufikia ndoto ZAKO.Kitabu hiki ambacho kinaenda kuzinduliwa tarehe 20 Mei. 1. Usichokijua kuhusu hiki kitabu ni kwamba watu wanaendelea kuweka oda ya kitabu hiki.Ukiweka oda unapata kitabu hiki Cha kipekee kwa bei…

  • Zawadi hii utaipata endapo utaweka Oda ya kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO tu.

    Habari ya upande wa huko. Bila shaka unaendelea vizuri kabisa. Leo hii nina zawadi ila sasa hii zawadi siyo ya kila mtu. Hii zawadi ni kwa ajili watu wachache ambao wanataka kupiga hatua na kufika mbali.  watu wenye ndoto kubwa  watu ambao wanazifanyia kazi ndoto zao kwa KUTUMIA mwongozo sahihi Kiufupi hii zawadi itawaendea wale…

  • Nitakuwa Live Kupitia FADECO FM Leo Saa Tano Asubuhi

     Habari ya upande wa hukoGodius Rweyongeza hapa kwa mara nyingine. Leo kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa sita mchana nitakuwa live kupitia FADECO FM. Nitazungumzia kuhusu mchango wa smartphone kwa mfanyabiashara na jinsi unavyoweza kutengeneza fedha mtandaoni. Unaweza kufuatilia kipindi kupitia 100.8 FM au mtandaoni kwa KUBONYEZA HAPA Godius Rweyongeza kutoka SONGAMBELE0755848391Morogoro-Tz

  • Kundi Maalumu Kwa Ajili Ya Uzinduzi Wa Kitabu Cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO

    Hello, nimetengeneza kundi maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO toleo la pili.Kama umeweka oda ya kitabu ingia kwenye hili kundi ili uendelee kupata updates kuhusiana na kitabu Pia kama hujaweka oda ingia kisha weka Oda.Twambie jina lako. Namba yako ya simu naUko wapi Mfano:Godius Rweyongeza 0755848391 (Morogoro mjini;…

  • Nini mchango wa smartphone kwa mfanyabiashara?

    Binafsi napenda sana maswali. Napenda maswali kwa sababu maswali ndiyo yanatufanya tukue, maswali ndiyo yameifanya dunia iwe kama ilivyo leo hii. Hii ni kutokana na dhana ya wanasayansi kutaka kujua zaidi. Watu wanajiuliza hivi kitu fulani kikifanyika kwa namna fuani itakuwaje? Hivi kweli ugonjwa fulani hauwezi kupatiwa tiba? Hivi hatuwezi kufanya utaratibu wa kwenda kwenye…

  • Jinsi Ya Kuweka Oda ya Kitabu Cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO

    Hello! Bila shaka unaendelea vyema. Kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO (hardccopy) kitatoka rasmi tarehe 20.5.2022 Hili ni toleo la pili la kitabu hiki cha kipekee. Karibu uwe miongoni mwa watu ambao watapata nakala ya kitabu hiki. Kwa wakazi wa mikoa ya Dar, Pwani na Morogoro mtafikishiwa nakala popote pale mlipo. Kama upo nje…

  • Usiweke bajeti kwenye AKILI yako.

    Kama umeanza kufanya hivyo, basi kuanzia leo iondoe bajeti hiyo maana ni kikwazo kikubwa sana. Akili yako itumie kubuni vitu vipya, itumie kufikiria mbinu mpya za kutatua matatizo, itumie kuongeza MAUZO kwenye biashara. Tafiti nyingi zimefanyika na tafiti hizi mara zote zimekuja na jibu moja kuwa watu wengi wanatumia chini asilimia kumi ya uwezo wao.…

  • Kuna Nini Kwenye Toleo La Pili La Kitabu Cha Jinsi Ya Kufikia Ndoto Zako

    Jana nilitangaza kuwa tarehe 20 Mei toleo la pili la kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO litakuwa tayari. Nakala zitafikishwa mpaka nyumbani kwako au ofisini kwako kwa wakazi mikoa ya Dar, Pwani na Morogoro. Hata hivyo, kama upo nje ya hii, mikoa, nakala zitatumwa na utazipokea vizuri tu. Nakala moja ni 20,000/- . hata…

  • Kama Unataka Mali: Maeneo Matano Unapoweza Kupata Mali Halali…

    Unalikumbuka lile shairi la kama mnataka mali mtaipata shambani? Ila shairi hili…walilisoma baba zetu, sisi tumelisoma na sasa watoto wetu wanaenda kulisoma pia. Hahah Kitu kikubwa kwenye hili shairi ni kwamba kama unataka mali utaipata shambani. Leo hii nilikuwa nafiria hivi kwamba huyu mwandishi wa hili shairi angekuwa analiandika sasa hivi, hivi kweli bado angeendelea…

  • YAH: UJIO WA TOLEO LA PILI LA KITABU CHA JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO

    Hello upande wa huko, siku ya leo nina furaha kubwa sana. na ninapenda kukujulisha kuwa nakala za kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO toleo la pili, zinaenda kuanza kupatikana kuanzia tarehe 20 Mei 2022. Kwa mara ya kwanza kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO nilikizundua mwaka 2020 mwishoni, na sasa mwaka huu 2022…

  • Unajua kwa nini mpaka sasa hivi hufanikiwi?

    Enheee! Leo bwana, nataka nikuchokonoe kidogo. halafu baada ya kuwa nimekuchokonoa nitakwambia ni kitu unapaswa kufanya ili uweze kufika kule unapotaka kufika. Au basi! Ninajua, kwamba wewe una ndoto kubwa, una ndoto za kufika mbali na ndoto za kufanya makubwa kwenye maisha yako. Si ndio. Na kwa siku nyingi sana umekuwa unapambana ili kuweza kufikia…

  • Mazoezi Ndio Kila Kitu

    Leo nimekumbuka msemo mmoja wa kilatini. Unasema repetitio est mater studiorum .Ukimaanisha repetition is the mother of study. Tukiwa o-level walimu wetu walipenda kuutumia sana kutuhamasiaha ili tusome kwa bidii na kwa kurudia mara kwa Mara kile tunachosoma. Kadiri unavyofanya mazoezi na Tena kwa marudio, ndivyo unakuwa unaelekewa kwenye ubobevu Kumbuka repetitio est mater studiorum.…

X