-
Kwa nini unapaswa kuanzisha biashara
1 zama zimebadilika Mambo yanabadilika aisee! Zamani ulikuwa hivi, ulitakiwa kwenda shule, kusoma kwa bidii ma baadaye ulikuwa na uhakika wa kupata ajira. Siku hizi mambo yamekuwa tofauti. Kuna watu wengi ambao wamehitimu na wapo mtaani ila kazi hawana. Kwa hiyo je, tuendelee kuwambia wanetu na washikaji zetu kuwa waende shule wasome kwa bidii ili…
-
KITABU:MAAJABU YA KUWEKA AKIBA: Jinsi Tabia ya Kuweka Akiba Inaweza Kukufanya Uwe Tajiri
Mwaka juzi (2020) niliandika kitabu cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA. Kwenye kitabu hiki niliandikabutangulizi huu hapq chini ambao Leo hii bado una nguvu kubwa aawa na nilipouandika. “Tangu umezaliwa mpaka leo hii, ni unaposhika kitabu hiki mikononi mwako ni wazi kuwa fedha nyingi tayari zimepita mikononi mwako. Hivi laiti ungekuwa umeweka utaratibu wa kuwa unatoa…
-
Hakuna mwenye kipaji cha kila kitu
Hakuna mwenye kipaji cha kila kitu na wala hakuna anayeweza kila kitu. Usitake kujihangaisha na kuonesha kuwa wewe ndiye wewe kwenye kila kitu. Kuna vitu vichache unaweza kuvifanya vizuri Weka juhudi zako hapo. Vingine waachie wengine. kupata ebook ya KIPAJI NI DHAHABU tuma elfu tano kwenda 0755848391 ili utumiwe ndani ya dakika tano bila kuchelewa.
-
Jinsi ya kupata chochote unachotaka
Rafiki yangu habari ya leo. Bila shaka unaendelea vyema kabisa. Zig Ziglar aliwahi kunukuliwa akisema kuwa unaweza kupata chochote unachotaka kama utawasaidia watu kupata kile wanachotaka. Yaani, kauli hii fupi laiti ingefahamika kwa watu vizuri basi kila mtu alipaswa kufurahi maana kauli hii imebeba siri kubwa. Kama hujajua siri iliyobebwa kwenye kauli hii naomba utulie…
-
Kipaji ni dhahabu-4: Kipaji Hakifanyiwi Kazi Kwa Siku Moja
Najua kuna wengi wangependa wagundue kipaji chao Leo hii na kesho yake wawe tayari wamekuwa mabingwa. Hapana. Inachukua muda. Unahitaji muda kukinoa kipaji chako. Kifanyie kazi kipaji chako kila siku. Wewe wa leo hapaswi kuwa sawa na wewe wa jana na wiki ijayo. Kila wiki iwe wiki ya tofauti kidogo. JIFUNZE kuitumia kanuni ya asilimia…
-
Jinsi Ya Kutengeneza Fedha Mtandaoni
Moja ya swali ambalo niliwahi kujiuliza miaka mingi iliyopita, lilikuwa ni namna gani naweza kutengenwza fedha mtandaoni? Kiukweli swali hili lilipa shauku ya kutaka kujua mengi. Kipindi hicho nilikuwa nasikia habari kuwa akina Millard Ayo wanalipwa kupitia mtandao.Sasa swali langu lilibaki, na mimi nawezaje kulipwa mtandaoni. Swali hili lilinifanya niianze kujifunza kupitia kusoma maandiko mengi…
-
Vyeti Vya Hisa Vinaenda Kusitishwa Kutolewa
Unaendeleaje rafiki yangu. Leo nina taarifa muhimu kwako ambayo unapaswa kuifahamu kama mwekezaji. Kama umesoma kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE na umeanza uwekezaji, basi utakuwa unajua kuwa kila ukiwekeza fedha yako huwa unatumiwa Cheri. Hata hivyo, utaratibu mpya unaenda kuanza tarehe 1 mwezi ujao (April) Ni kwamba utakuwa hutumiwi cheti…
-
Mafanikio yanachukua njia ndefu
Ndio inachukua muda, lakini sasa hakuna jinsi. Hii ndio njia nzuri ya kufika kule tunapotaka. Njia nyingine fupi zipo ila sasa siyo za kuaminika na wala hazikupi matokeo ya kudumu. Kwa hiyo njia pekee ya kufika mbali ni kuhakikisha unachagua njia sahihi na kuifuata hata kama inachukua muda. Njia fupi zina matokeo ya haraka yasiyodumu.…
-
Kipaji ni dhahabu-3 njia ya kuwa gwiji
Njia pekee ya wewe kuwa gwiji kwenye kufanyia kazi kipaji chako ni kufanya mazoezi mara kwa mara bila kuacha. Kadiri unavyofabya mazoezi ndivyo unavyozidi kuwa imara zaidi na kubobea. Usichoke kukifanyia kazi kipaji chako.
-
Kafanyaje nini huyu?-2
Mwaka wa tatu jamaa yupo mtaani Hana ajira Ebu fikiria hili. Unaenda shule, unasoma kwa bidii huku ukiwa unategemea upate ajira ya maana, mara unamaliza chuo na ajira haipo! Unasubiri mwaka wa kwanza unapita huku ukiwa umetuma maombi ya kutosha. Unataka kuanzisha biashara, unakuta kwamba mtaji huna! Hiki kitu tu, lazima kitakupa pressure. Usiwaze. Mtaji…
-
Kafanyaje huyu?
Kapata pressure baada ya biashara yake kutofanya vizuri! Tafiti zinaonesha kuwa Kati ya biashara 10 zinazoanzishwa biashara tano hufa ndani ya mwaka mmoja na nyingine ambazo hubaki huwa hazifikishi miaka 10. Hili wewe mwenyewe lifuatilie mtaani kwako. Utakuta kwamba kuna biashara nyingi zinazoanzishwa baada ya muda kidogo zinapotea. Hii ndio kusema kwamba usipokuwa makini wakati…
-
Kinachokwamisha wewe kufika mbali.
Umekuwa unakwama kufika mbali kwenye maisha na kushindwa kufikia ndoto zako kwa sababu tu hujawa na ndoto kubwa kiasi cha kutosha. Maneno ya busara yanasema hivi, unapaswa kulenga kuifikia nyota kiasi kwamba hata ukishindwa uufikie mwezi. Sasa ebu fikiria hili, wewe ndoto yako siyo kubwa kiasi cha kulenga kuifikia nyota badala yake umelenga kufika kileleni…
-
Usidharau fedha hata kama ni kidogo
Leo nataka ni kwambie kwamba fedha siyo kitu ambacho unapaswa kudharau. Unaweza kukuta mtu ana fedha kiasi fulani ila akawa anakidharau. Na hata akakitumia hovyo, ila unachopaswa kufahamu ni kuwa usidharau fedha. Hivi hujawahi kujiuliza kwa nini Mo Dewji na utajiri wake wote kwa nini bado anaendelea kutengeneza hadi viberiti? Kiberiti kimoja huku mtaani tunakinunua…
-
KIPAJI NI DHAHABU-2: wekeza kwenye uwezo wako na siyo kwenye udhaifu wako
Kila mtu kuna eneo ambalo yuko vizuri. Ukishaligundua hilo eneo ndilo sasa unapaswa kulipa nguvu na kuachana na udhaifu wako. Ukikazana kuboreaha udhaifu wako huwezi kufika mbali hata kidogo kwenye maisha. Ukiwekeza kwenye uwezo wako zaidi na kuufanyia kazi, utakuwa bora zaidi. Hakikisha unapata Ebook ya KIPAJI NI DHAHABU pamoja ebook ya MITAJI 8 ILIYOKUZUNGUKA…
-
Kutoka Kwenye Ajira Mpaka Kujiajiri: HATUA 09 Za Kufuata Kutoka Kwenye Ajira Mpaka Kujiajiri
Leo nataka nikupe mwongozo muhimu ambao unaweza kuutumia katika kuanzisha biashara hasa ukiwa umeajiriwa. Ebu fikiria kwamba umeajiriwa leo hii na unataka uanzishe biashara yako ili ujiajiri. Huu mwongozo ninaoenda kukupa hauna mfanano wake, kiufupi hakuna mtu mwingine ambaye amewahi kukwambia kitu Kama hiki, na wala hata hamna kitabu wala ebook ya kununua ambayo imefunguka…
-
Jinsi Ya Kupima Thamani Ya Utajiri Ulionao
Kama una ndoto kubwa na za kufika mbali basi ni muhimu kwako kujua utajiri ulionao kwa sasa. Hii itakupa nguvu ya wewe kuendelea kupambana zaidi ili uweze kufika mbali. Muda wa wewe kupima Utajiri wako. Kutokana na shughuli kuwa nyingi, huwezi kuwa unapima Utajiri wako kila siku. Ila unaweza kuwa unapima Utajiri wako walau mara…
-
UWEKEZAJI NI NINI?
Moja ya eneo ambalo limekuwa halieleweki miongoni kwa watu wengi basi ni UWEKEZAJI. Kumekuwepo na dhana mbalimbali kuhusu UWEKEZAJI na WAWEKEZAJI. Hizi dhana zimewafanya watu wengi washindwe KUWEKEZA huku wachache wanaoilewa dhana hii wakiwa wanawekeza kwenye maeneo ya muhimu kwa manufaa makubwa. Dhana potofu kuhusu UWEKEZAJI. Kumekuwepo na dhana mbalimbali kuhusu UWEKEZAJI. Na moja ya…
-
Mafanikio ni nini?
Mafanikio ni kitu ambacho kinakuwa na maana tofauti tofauti kwa watu. Kwa mwanafunzi mafanikio yake ni kufaulu mtihani.Kwa mwanachuo mafanikio yake yanaweza kuwa kupata kazi baada ya kuhitimu.Kwa aliyepata ajira mafanikio kwake yanaweza kuwa ni kupandishwa cheo au kuoa/ kuolewa au kuanzisha biashara au kujiajiri. Hivyo, hakuna maana moja ya mafanikio ambayo inaweza kuwekwa kama…
-
Cha Kufanya Pale Wenzako Wanapokuzidi Elimu, Kipaji, Ujuzi, Konekisheni n.k
Kama unajua Kuna wenzako wanakuzidi, elimu, kipaji, ujuzi, konekisheni n.k. unapaswa kupiga kazi kwa bidii. Yaani, wewe huna maarifa, ujuzi, kipaji halafu unabweteka. Inakuwa siyo poa hata kidogo. Moja ya kitabu ambacho nimewahi Kusoma kikanifungua sana ni kitabu cha 50CENT na cha Kobe Bryant. 50CENT anasema hivi, unaweza kumzidi akili, unaweza kumzidi konekisheni, unaweza kumzidi…
-
Kitu Kitakachobadili maisha yako leo hii na hata milele
Ninataka nikwambie kitu kitakachobadili maisha yako kuanzia leo hii na kuendelea. Nataka ufanye zoezi hili rahisi sana. Anza kwa kujiuliza vitu na shughuli zako zote unazofanya. Sasa angalia ni shughuli ipi ambayo ukiacha kuifanya na KUWEKEZA nguvu zako kwenye shughuli zinazobaki utapata matokeo makubwa sana. Kama ipo achana nayo. Kisha nguvu zako na muda wako…