-
Njoo rafiki yangu ujifunze mbinu za kuwekeza kwa faida.
Unaendelea rafiki yangu. Bila shaka kila kitu kipo Safi kwa upande wako. Mimi huku naendelea vyema. Nilikuwa najiuliza, Hivi umeshajiunga na semina ya uwekezaji kwenye HISA ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao kuanzia tarehe 1.8.2022? Kama ulikuwa hujui Ni kwamba kwenye semina hii ya kipekee, unaenda kujifunza mengi kuhusu uwekezaji kwenye HISA Baada semina hii…
-
Hii dhana ambayo kila kijana anapaswa kuachana nayo
Vijana wanapokuwa wanafikiria kuanzisha kitu, kitu Cha kwanza wanafikiria kupata mtaji au msaada. Nakumbuka wakati naanza chuo mwaka 2016 nilimwambia rafiki yang hivi, mpaka nahitimu chuo nataka niwe na uwezo wa kuajiri vijana kumi”. Yeye aliniambia “mpaka nahitinu chuo nitakuwa nimetafuta na kupata wadhamini kumi” Sasa nadhani vijana tunapaswa kubadili fikra zetu. Tubadili namna tunavyofikiri…
-
Namna ya kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa vijana. Njia Saba Zilizothibitishwa (Njia Namba 2, 4 na 7 ni muhimu sana)
Mwishoni mwa mwezi uliopita nilisafiri kwenda Dar kutembea. Nikiwa Dar nilipata nafasi ya kuongea na mmoja wa rafiki zangu. sijui ilikuwaje lakini kwenye maongezi yetu kuna sehemu tulifika tukaanza kuongelea suala zima la ajira, na hapo ndipo akawa ananiambia kwamba yeye alihitimu mwaka 2006 na kupata ajira miezi mitatu baada ya kuhitimu. Kwa maneno yake…
-
Karibu kwenye semina ya uwekezaji kwenye Hisa
Habari ya leo rafiki yangu. bila shaka unaendelea vyema kabisa. karibu kwenye semina ya uwekezaji kwenye hisa. Hii ni semina ya kipekee sana ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao kuanzia tarehe 1 Agosti 2022. Katika semina hii ya kipekee unaenda kujifunza kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uwekezaji wa hisa. Semina hii ya kipekee itadumu kwa…
-
Aina Tano (05) Za Ujuzi Unazohitaji Ili Kuwa Milionea Kwenye Ulimwengu Wa Leo
Kwenye makala niliyotuma kwa watu wa nguvu ambao huwa wanapokea makala zangu kwa njia ya email jana. Niliandika kwamba zama zimebadilika na wewe unapaswa kubadilika. Kama hujajiunga na mfumo wetu wa kupokea makala kwa njia ya barua pepe nina hakika huo ujumbe hukuuona, hivyo, leo nimelazimika kuuweka huo ujumbe kwenye blogu yetu hapa ili na…
-
ZAMA ZIMEBADILIKA: MAISHA YAMEBADILIKA PIA
Leo kwenye status ya moja za rafiki yangu aliweka picha ikionesha jinsi bei za vyakula zilivyokuwa chini siku za nyuma. Unaweza kuona mwenyewe picha yenyewe hapa Ukiangalia hapo utagundua bei zilikuwa chini kweli!Maziwa yalikuwa shilingi 100. Bei ya maji ya kandoro kwa sasa ! Sijui maji ya kandoro kipindi hicho yalikuwa yanauzwa shilingi ngapi. Au basi..…
-
Hivi Ndivyo Tunaweza Kufanya Biashara Za Kitanzania Zikue Zaidi
Kwa Dakika moja Tu Leo Nataka Nikwambie Ni Kwa Namna Gani Unaweza Kufanya Biashara ya Rafiki Yako Ikue Zaidi Na Zaidi Ya Ilivyokuwa Mwanzo. Njia hii ni kununua kwake. Hii ndio njia bora nay a kipekee sana. Maana kwa jinsi hiyo utamfanya mwenye biashara apate kipato cha kumwezesha kuikuza biashara yake Kwa hiyo badala ya…
-
Kitu Kimoja Cha Kufanya Unapokutana Na Watu
Unaendeleaje rafiki yangu mpendwa. Siku ya leo ningependa tujadili kitu kimoja cha kufanya unapokutana na watu. Kitu hiki ni kubadili maisha yao na Kuyafanya kuwa bora zaidi kuliko ulivyowakuta. Yaani, kuwainua na kuwafanya wajisikie vizuri ZAIDI Kuliko pale walipokuwa hawajakutana na wewe. Hii Ni moja sifa ya viongozi na watu wote WALIOFANIKIWA. Kwa hiyo kila…
-
App mbili ambazo kila mfanyabiashara anapaswa kuwa nazo
Kuna app mbili ambazo kila mfanyabiashara anapaswa Kuwa nazo. 1. Thl accountingHii inakusaidia kutunza hesabu zako zote za biashara. Na bidhaa ZAKO zote ulizonazo kwenye Biashara yako, itakuonesha bidhaa zinazokaribia kuisha au zilizoisha, itakusaidia kutengeneza invoice, itakusaidia kutunza hesabu za mauzo, mapato mpaka matumizi.Hata Kama uko mbali bado unaweza kuona mwenendo wa biashara yako. Kitu…
-
Ni makosa Yapi Kati Ya Haya Matatu Umewahi Kuyafanya Maishani Mwako?
1. Kuwa na wazo la BIASHARA au uwekezaji Ila ukachelewa na baadaye watu wengine wakalifanyia kazi Umewahi Kuwa na wazo la BIASHARA ambalo ulikuwa ukifikiria kulifanyia kazi Ila ukachelewa kulifanyia kazi. Baadaye likafanyiwa kazi? 2. Kuweka Mipango mikubwa mwanzoni mwa mwaka ambayo hukuwahi kufanyia Kazi?Au labda umewahi Kuwa na mpango mkubwa sana, mwanzoni mwa mwaka.…
-
Njia hii itakusaidia kufanya majukumu yako kwa mwendelezo na kuchana na kughairisha (Seinfeld Calendar)
Nadhani imewahi kukutolea maishani kwamba unapenda kuanzisha kitu na kukifanyia kisha baada ya muda kidogo unaachana nacho. Au baadaye unaanza kujiambia kwamba nitakifanya kesho au wiki ijayo. SIKU ya leo Nina mbinu ambayo inafahamika kama Seinfeld Calendar.Kuifahamu Seinfeld Calendar ngoja kwanza tujue Seinfeld mwenyewe alikuwa nani kiufupi. Huyu alikuwa ni mwigizaji ambaye kwa miaka mingi…
-
Kama Wewe Ni Mpenzi wa Kuandika kwenye Status Za WhatsApp Basi Leo Kuna kitu Nataka Nikwambie.
Siku hizi imekuwa ni rahisi kuandika mtandaoni. Status za WhatsApp, Facebook na maeneo mengine. Kitu hiki kinawafanya watu waandike jumbe fupi Ila nzuri ambazo huwa zinapotea baada ya muda. Kwa mfano, mtu anaandika status ya WhatsApp, lakini inapotea baada ya saa 24. Ule ujumbe wake mzuri alioandika unapotea na hauonekani Tena. Na wengi wanaoandika kwenye…
-
Hiki ni kitu ambacho unapaswa kukitafuta kwa nguvu zako zote
Ni kitu gani hiki….Ni kutafuta kuwaelewa wengine kabla ya kutaka kueleweka. Kwenye maongezi ya kila siku kila mtu huwa anapigana kuhakikisha kuwa anaeleweka kwenye kile anachofanya. Hiki kitu tu huwa kinasababisha ubishi mkubwa. Ninachotaka kukwambia leo ni kwamba tafuta kuwaelewa wengine kwanza kabla wewe hujaeleweka. Hilo litakusaidia sana maana ukishajua upande mwingine unataka nini itakuwa…
-
Business to Business (B2B) Ni Nini?
Business to business ni mfumo wa BIASHARA unaofanyika kati ya Kampuni na Kampuni au kati ya BIASHARA moja na nyingine. Yaani, Kampuni inatengeneza bidhaa kwa ajili ya kuuza kwa Kampuni nyingine na siyo kwa walaji wa mwisho. Kampuni nyingine zinaweza kuwa na bidhaa za aina mbili. Bidhaa moja ya kuuza kwa walaji wa mwisho na…
-
Hii Ni Zawadi Ya Kipekee ambayo Unaweza Kutoa Kwa Baba Yako (Happy Father’s Day)
Kila mzazi huwa anapenda kuona mtoto wake anafanikiwa na kufanya makubwa. Anaweza akawa hasapoti ndoto yako.Anaweza akawa hayuko nyuma yako wakati wa mapambano, Ila ukifika ukifanikiwa atakuwa nyuma yako. Kumbe zawadi ya kipekee ambayo unaweza kutoa kwa wazazi wako ni kufikia ndoto zako. Jipe muda wa kufanyia Kazi ndoto zako na kuhakikisha kuwa haurudi nyuma…
-
Viashiria Vitano Kuwa Wewe Ni Genius (Kiashiria Namba Tano Ni Muhimu Sana Rafiki Yangu)
Siku ya leo nimekuandalia video inayoeleza viashiria vitano ambavyo vinaonesha kuwa wewe ni Genius? Je, upo tayari kujua hivi viashiria? hakikisha umesubscribe kwenye channel yangu ya youtube kwa ajili ya mafunzo zaidi hapo baadaye.
-
Mwongozo Unapouhitaji Kufikia Ndoto Zako
Jana nilikuwa naongea na rafiki yangu ambaye amechukua vitabu vya JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO pamoja na NGUVU YA VITU VODOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA Inaonekana rafiki yangu kaelewa vizuri sana dhana ya hivi kitabu. Anasema hivi, Unahitaji kuwa na ndoto KUBWA. Ila haitoshi. Ili uifanikishe hapo ndipo utapaswa kutumia nguvu ya vitu VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO…
-
JINSI YA KUJUA THAMANI YA MUDA WAKO
Tuna rasilimali nyingi ambazo tunaweza kutumia kwenye maisha yetu ya kila siku. Rasilimali hizo ni kama Ardhi Madini Maji Fedha Muda …… Kati ya hizo rasilimali zote, muda ndio rasilimali ambayo ukiipoteza huwezi kuipata. Hivyo, unahitaji kuweza kuitumia vizuri rasilimali hii ya kipekee. Na leo nataka nikwambie namna ambavyo unaweza kujua thamani ya muda wako.…
-
Mwekezaji ni nani ?
Je, Ni mtu kutoka nje ya nchi Kama ambavyo watu wengi wamekuwa wakiamini? Je, mtanzania mwenye kipato Cha kawaida anaweza Kuwa mwekezaji na anaweza kuwekeza wapi? 👇🏿👇🏿
-
Audiobook Ya Kitabu Cha NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA Sasa Ipo Tayari
Moja ya kitabu muhimu ambacho nashauri usome ni kitabu Cha NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA. Kitabu hiki kimegawanyika kwenye sehemu kuu tatu.Sehemu ya kwanza inaeleza kwa Nini unapaswa kufikiri kikubwa lakini kuanza kidogo. Sehemu hii Ina sura sita. Sehemu ya pili ina inazungumzia kuhusu namna mafanikio makubwa yanavyoanzia kwenye tabia. Sehemu hii ina…
