-
UAMINIFU NI MTAJI
Mwaka 2018, nilisafiri kwenda Arusha na baadaye nikaenda Bukoba kwa wazee kusalimia. Ilikuwa ni safari ya zaidi ya mwezi… Nikiwa Arusha kuna jamaa alinitafuta. Alikuwa mshikaji ninayemfahamu. Au basi niseme tulikuwa tunasoma wote pale SUA. Aliniambia anataka nimkope fedha kama laki tano hivi, na angenirudishia hiyo fedha ndani ya wiki…Kuna fedha alikuwa anaisikilizia…. Nilimwambia wiki…
-
Anza wewe kubadilika.
Unazikumbuka kampeni za mwaka 2015!!! Unazikumbuka? Ni miongoni mwa kampeni zilizokuwa motomoto. Kila mgombea alikuwa na hoja zake kubwa ambazo alikuwa akitoa kwa wapiga kura ili waweze kumchagua. Kitu kikubwa kwenye kampeni hizi yakikuwa mabadiliko. Kila mgombea alikuwa akiongelea namna ambavyo ataleta mabadiliko endapo atapewa madaraka.Magufuri alikuwa anasema Tanzania ya viwanda.Lowassa alikuwa anasema Movement For…
-
Kitabu Ambacho Utatamani Kuwa Ungekuwa Umekisoma Miaka Mitano Iliyopita
Kuna mwaka nilikutanana mzee mmoja ambaye alikuwa anatamaani sana kuwekeza kwenye kilimo cha miti ila hakuweza. Kilichomkwamisha ilikuwa ni kukosa mwongozo sahihi. Labda niseme kwamba watu wengi wamekwama maishani mwao kwa kukosa mwongozo. Leo hii nataka nikupe kitabu kimoja tu ambacho wewe mwenyewe utashangaa kwa nini hukukipata miaka mitano iyopita Kipate hapa Ni bure, halafu…
-
Ilikuwaje Mpaka Nikaandika Vitabu 10 Na zaidi
Ilikuwaje? Kwa wasionijua, basi wanafikiri kwamba Godius Rweyongeza ni jitu fulani hivi la miraba minne. Lenye miaka zaidi 60+ na mabusara kama yote… Hahaha! Miaka sina mingi kiviiile, labda mabusara nadhani nitakuwa nayo. Ila mama yangu alinifundisha nisiwe najisifia… Binafsi nilikuwa na ndoto ya kuandika kwa siku nyingi sana, tangu nasoma. Nakumbuka nikiwa kidato cha…
-
NGUVU YA KUWEKA MALENGO
Umewahi kujiuliza malengo yanaweza kuwa na nguvu gani kwenye maisha yako. Kama ulikuwa hujui ni kwamba malengo ni kama petroli kwenye moto. unajua ukiweka moto kwenye petroli ni kitu gani ambacho kinaenda kutokea…Moto utawaka zaidi, si ndio… malengo na yenyewe yako hivyohivyo. Ukiweka malengo, yatakusukuma kufanya makubwa zaidi karibu sana ujipatie ebook ya kipekee ya…
-
Mipango yangu ya miaka 100 ijayo
Nilipokuwa mdogo, nilikuwa napenda sana kusikiliza redio. Kila siku SAA kumi na mbili asubuhi ilikuwa lazima nisikilize DW habari za ulimwengu. Mchana na jioni ilikuwa hivyo hivyo, yaani, ilikuwa kama dozi . Siku moja wakati nasikiliza habari, walitangaza kwamba kufikia mwaka 2050 kuna viumbe watakuwa wamepotea na kutoweka kwenye uso wa dunia. Watu niliokuwa nao walianza…
-
Email List Ni Nini?
Jana niliandika hapa JINSI YA KUANZISHA BLOG. Kuna watu tayari wamesoma hiyo Makala na kuifanyia kaI. Sasa leo nilikuwa nikiwaambia wafungue email list kupitia MailChimp.com Ila swali lilikuwa email list nini? Kujibu Hilo swali naomba usome hapa chini Email list ni mfumo wa kukusanya mawasiliano ya watu wanaofuatilia kazi zako. Ambapo kila anayesoma na kupenda…
-
Jinsi Nilivyoandika Kitabu Kilichosomwa Sana Kuliko Vitabu Vyote Tanzania
Nakumbuka mwaka 2019 kulikuwa na kijitabu kidogo hivi kilikuwa kinazunguka mtandaoni. Kijitabu hiki kilikuwa kinajulikana kama Baharia. Kilikuwa kinazungumzia mambo kadha wa kadha ambayo baharia anafanya. Kijitabu hiki kilizunguka sana, sana. Binafsi sikukisoma, Ila watu wengi ninaowafahamu mimi walikisoma hicho kijitabu. Kwa hiyo mada yao kubwa kwenye mazungumzo ikawa imekuwa BAHARIA. Yaani, ulikuwa huwezi kupitisha…
-
JINSI YA KUANZISHA BLOG
Habari ya leo rafiki yangu. Siku ya leo ningependa kukuelezea ni kwa namna gani unaweza kufungua blog. Kwanza labda nianze kwa kusema kwamba ulimwengu wa sasa hivi umebadilika. Kwenye ulimwengu wa leo mtu anapokuwa na wazo, au dukuduku sehemu ya kwanza kabisa anapokimbilia ni mtandaoni kutafuta kitu hicho. Hiki kitu kimejenga utagemezi kwa watu, maana…
-
Ni Nani Huyu Anaenda Kukupigia Push-Up?
Hakuna mtu ambaye anaenda kupambana kwa ajili yako. Kufanya kazi ambazo unapaswa kufanya, kufikia mafanikio ambayo unataka wewe. Hakuna mtu wa aina hiyo. Wewe mwenyewe ndiye unapaswa kupambana kwa ajili yako, mwenyewe. Jua malengo ambayo unapaswa kuyafanyia kazi.Kisha yafanyie kazi bila ya kuchoka. Maisha haya ni mafupi na siyo ya kupoteza. Yatumie vizuri kupambana kwa…
-
UKIANGUKA SIMAMA TENA
Usijivunie kuwa hujawahi kushindwa, bali jivunie kuwa ulisimama tena baada ya kuwa umeanguka-Ralph Waldo Emerson Ni vibaya kushindwa, ila ni vibaya kama hujwahi kujaribu na kushindwa-Theodore Roosevelt Mtu pekee ambaye hajawahi kufanya makosa ni yule ambaye hajawahi kufanya chochote-Theodore Roosevelt Sikushindwa mara 10,000 bali nilijifunza njia 10,000 za kufanya kitu kwa usahihi-Thomas Edison Mambo yakienda…
-
Maisha Ni Fursa: Zitumie ZIKUBEBE
Unaendeleaje rafiki yangu wa ukweli. Jana nilikutana na kichekesho fulani hivi mtandaoni. Jamaa mmoja alikuwa akizungumzia kuhusu mfumuko wa bei unayoendelea Sasa hivi. Hivyo akawa amesema maneno haya: Jamani jamani, mtuonee huruma mnapandisha vitu mno. Mafuta mnapandisha, gesi mmepandisha, uchumi mmepandisha, mtapandisha hadi mapepo…….. Baada ya kuangalia hiki kichekesho, nilijiuliza hivi Kuna fursa yotote kwenye…
-
Zawadi Yako Kama Hutakata Tamaa
Rafiki yangu, unapofanya kitu kikaenda ndivyo sivyo, usikate tamaa. Kwa sababu kadiri unavyokosea ndivyo unazidi kuwa imara zaidi. Makosa ni mwalimu mzuri kama utayatumia vizuri. Ndio maana wahenga wetu wanasema kufanya kosa siyo kosa. Kosa ni kurudia kosa. Ukirudia kosa maana yake hukukifunza chochote na wala hukupata funzo lolote kutokana na kosa la kwanza. Na…
-
Wazo Bora La Biashara
Najua kila mtu anapenda kupata wazo zuri la biashara. Ukweli ni kwamba WAZO ZURI LA BIASHARA NI LILE AMBALO UNAWEZA KUFANYIA KAZI KWA SIKU 365 BILA KUCHOKA. Usipolifanyia kazi wazo lako, ujue utalinyima uhai. Ebu fikiria mtu ana wazo la kuchonga sanamu fulani, halafu hilo wazo akakaa nalo kichwani mwake. Unadhani wewe utaiona hiyo sanamu?…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kutenda Miujiza Maishani Mwako
Ninaandika hii makala tukiwa kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa waislam. Kwa kawaida baada ya mfungo wa Ramadhan ndio huwa zinafuata sherehe za Idd. Hakuna mwaka hata mmoja nimewahi kusikia waislam wamesherehekea Idd bila ya kufunga kwanza. Haijawahi kutokea na wala haitakuja kutokea. Kwa kawaida siku ya Idd huwa ni sikukuu kubwa, ambayo…
-
Kwa Nini Unasherehekea Mabadiliko Yaliyo Nje Ya Uwezo Wako Pekee?
Kuna watu vitu ambavyo huwa wanasherehekea kama mafanikio yao ni vile vitu vilivyo nje ya uwezo wao. Yaani, watu wanasherehekea sherehe kama pasaka, idi, siku za kuzaliwa,… Haya yote ni mabadiliko ambayo yanatokea kila mwaka, ila mabadiliko haya yapo nje ya uwezo wako. Wewe siyo unayesabisha mabadiliko haya, badala yake kalenda iko hivyo. Kwa mfano,…
-
Hii Ndiyo Kazi Rahisi Kuliko Zote Duniani
Nakumbuka siku moja kwenye redio kulikuwa mjadala mzito. Mada mezani lilikuwa ni swali lililouliza ni kazi ipi ni rahisi hapa duniani. Kila mtu alijitahidi kuchangia mada kiundani kadiri alivyoweza. Nakumbuka vizuri jamaa mmoja alichangia mada kwa kusema kuwa hapa duniani hakuna kazi rahisi. Kila kazi ni ngumu. Aliendelea kusema kuwa ukiwa mwanasheria utaona kuwa Sheria…
-
Ni ushauri tu
Mafanikio ya mwenzako yawe ni chachu kukusukuma na wewe kufanikiwa zaidi. Ni ushauri tu
-
Malengo Yako Yawe Na Ukomo
Rafiki yangu, moja ya kosa ambalo watu wanafanya kwenye kuweka malengo ni kuyanyima ukomo wa muda. Wanaaweka kama vile wataishi milele na milele. Unapoweka malengo yako hakikisha kwamba unayapa ukomo wa muda. Yaani kunakuwa na tarehe ya mwisho ya kuyafikia malengo haya. Na hili linapaswa kujionesha kwenye malengo yako unayoyaweka. Kwa mfano unaweza kuandika hivi,…
-
Sababu 10 kwa nini unapaswa kuanzia chini
Habari ya leo rafiki yangu mpendwa. Siku ya leo tarehe 11 wakati nafikiria cha kuandika, nimekumbuka nukuu ya John D. Rockefeller. Kama ulikuwa hujui John D. Rockefeller alikuwa ni bilionea wa kwanza nchini marekani kufikia kiwango kikubwa. Kwa Afrika Mansa Munsa ndiye baba lao na utajiri wake haujafikiwa na yeyote mpaka leo duniani kote. Basi…
