-
Aina 5 Za Nidhamu Unazopaswa Kuwa Nazo
Siku siyo nyingi sana niliakuandikia makala maalumu kukueleza maana halisi ya nidhamu. Kama hukubahatika kufuatilia makala hii basi ni muhimu kwako kuhakikisha kwamba unabonyeza HAPA ili kuifuatilia makala hii kwanza. Sasa baada ya wewe kuwa umeijua maana halisi ya nidhamu, siku ya leo ningependa ufahamu aina tano za nidhamu unazopaswa kuwa nazo ili kuweza…
-
Sababu tano kwa nini hufanikiwi
Unaendeleaje rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii nyingine mpya na ya kipekee sana. Siku ya leo ninaenda kukushirikisha sababu tano, kwa nini wewe hapo hufanikiwi. Kwenye kila sababu tunaenda kuona ni kitu gani ambacho wewe unaweza kufanya ili na wewe uweze kuingia kwenye orodha ya watu ambao wamefanikiwa. Hivyo, kaa mkao wa kula…
-
Vitu Vitano vya kuepuka ili uweze kufikia malengo yako
Ni wazi kuwa furaha ya mtu yeyote anayeweka malengo ni kuona yanakamilika. Kama umeweka malengo yako kwa kufuata VIGEZO sahihi na kuepuka HAYA ni wazi kuwa malengo yako yatatimia. Hata hivyo, malengo yako yanaweza yasitimie kutokana na wewe kuendekeza vijitabia vingine vya kukukwamisha. Hivyo, hapa chini kuna vijitabia vitano unavyopaswa kuepuka baada ya kuweka…
-
Njia Tano Za Kuyafanyia Kazi Malengo Yanayojirudia Kila Mwaka
Kuna malengo ambayo huwa yanajirudia kila mwaka. Yaani, utakuta kuwa kila mwaka lengo hilohilo linajirudia na linapaswa kufanyika. Na tena unaweza kukuta lengo la aina hii linahitaji fedha. Zifuatazo ni njia tano za kufanyia kazi malengo Yanayojirudia kila mwaka. Kwanza, yafahamu malengo yenyewe Yanayojirudia kila mwaka. Kama Ni kusafiri kwenda kuwaona wazazi, kupanda miti, kuchapa…
-
Sababu Tano Kwa Nini Afrika Ndiyo Eneo Pekee Unapoweza Kutengeneza Mabilioni ya Fedha Zaidi Ya Eneo Jingine Hapa Duniani
Kabla ya julai 2016, nilikuwa napenda sana kufuatilia taarifa ya habari. Na mara kwa mara nilipokuwa nikisikiliza taarifa ya habari nilisikia wakitangaza kuwa kuna watu wamekamatwa wakijaribu kuingia Ulaya kinyume na utaratibu au pengine walisema kuna maelfu wameaga dunia baharini wakati wanavuka kuingia Ulaya. Wote hawa walikuwa wanaenda huko ili kutafuta maisha mazuri au…
-
Njia 5 Za Kuifanya Fedha Ikufuate
Kuna watu wana tabia ambazo kwa vyovyote vile zinaendelea kuvuta fedha kwao. Na wengine kwa tabia yao, hata iweje Ni LAZIMA tu fedha iwakimbie. Umewahi kujiuliza Ni kwa jinsi gani unaweza kufanya fedha ivutike kwako mara kwa mara. Zifuatazo Ni njia tano za kuivuta fedha kwako. 1. TOA THAMANI KUBWA KWA WATU. Labda kwanza…
-
Nipe Elfu Tano Nami Nitakulipa Laki Tano Ndani Ya Dakika 5 Tu
Najua! Unaanza kujiuliza inawezekanaje kupata laki tano ndani ya dakika 5 tena kwa kutoa elfu tano tu? Huu si mchezo wa upatu huu? Sasa naomba ukae chini ili niweze kukueleza hapa. Kwanza fahamu kuwa huu siyo mchezo wa upatu. Bali unaenda kutoa shilingi elfu tano na kupata kitu chenye thamani ya laki tano na…
-
Njia Tano Za Kujitofautisha Mwenyewe Kwenye Kile Unachofanya
Tunaishi katika dunia ambapo watu wengi wanapenda ufanye mambo kwa namna ya kawaida. Upate metokeo ya kawaida na kuishi maisha ya kawaida. Hata kama utasema kwamba hutaki maisha ya aina hii, utajikuta kwamba unalazimika kuishi maisha ya kawaida kwa sababu kila mtu kwenye jamii anafanya hivyo. Na ikumbukwe kuwa watu waliokuzunguka wana nguvu kubwa ya…
-
KAMA UNAFIKIRI KILA KITU KILISHAANDIKWA, FIKIRI TENA (SABABU 18 Kwa Nini Tunaandika Vitabu na Tutaendelea Kuandika Vitabu, Na Kwa Nini Wewe Unapaswa Kuandika Cha Kwako)
Ok! Juzi kuna mtu alinifuata inbox kwangu na kuandika ujumbe mfupi unaosema kila kitu kilishaandikwa. Nilishangaa kidogo kuuona ujumbe huu, ila baadaye nikakumbuka kuwa kwenye group mijawapo la whatsap Kuna mtu ambaye alikuwa ameuliza swali linalosema Jamani habari za humu, Hivi mimi nitakuwa mwandishi kamili lini Kujibu swali niliandika kwa kifupi mno nikisema,…
-
Sababu 5 kwa nini unashindwa kufanikisha malengo unayoweka
Najua. Umekuwa unaweka malengo mara kwa mara ila unashindwa kuyatimiza. Zifuatazo ni sababu tano (05) zinazokukwamisha wewe kutimiza malengo yako. Sitaishia tu kukuonesha sababu hizi bali pia nitakueleza kiundani namna ya kuepukana na sababu hizi ili uweze kufanikisha malengo yako.. Moja, NI KWA SABABU UNAWEKA MALENGO MENGI KWA WAKATI MMOJA. Una Mambo mengi ambayo ungependa…
-
Hii Ndiyo Maana Halisi Ya Nidhamu
Hivi ukisikia mtu anasema mtu fulani ana nidhamu au hana nidhamu anakuwa anamaanisha nini? Je, wewe una una nidhamu? Au ndio ulishasahau mambo ya kuwa na nidhamu tangu ulipohitimu shule? Siku ya leo naomba ufahamu kwamba nidhamu, ni pale unapoamua kufanya kitu kwa utaratibu fulani na ukakifanya bila kuacha. Umeamua kuwa kila siku utaamka alfajiri…
-
Huyu ndiye mtu anayeweza kukusaidia kufanikisha malengo yako
Umewahi kujiuliza, “ni mtu gani ambaye anaweza kunisaidia mimi kufanikisha malengo yangu?” Siku ya leo ningependa nikwambie kuwa mtu pekee anayeweza kukusaidia wewe kufanikisha malengo yako ni wewe mwenyewe. Na unaweza kufanikisha hili kwa; 1. Kwanza kujituma na kufanya kazi kwa bidii ili lengo litimie. Usiweke lengo na kusubiri tu bila ya kulifanyia kazi.…
-
MAISHA NI WAJIBU WAKO
Kuna watu wanashangaza kweli. Mwaka 2015 walikuwa wanasema maisha ni magumu, hawana mtaji, ajira hazipo n.k. Mwaka 2020 bado walikuwa wanasema mambo yaleyale. Cha ajabu zaidi ni kwamba 2025 watakuwa watu walewale bado watakuwa wanasema yale ya 2015. Sasa kwa nini? Je. Wewe ni mmoja wao. Unapaswa kubadilika mara moja. 1. Fahamu kuwa maisha ni…
-
Mambo Matano Unayopaswa Kufahamu Ili Utengeneze Marafiki Wazuri Na Wa kudumu
Marafiki ni watu wa muhimu Sana kwenye maisha yetu ya kila siku. Wanatusaudia kufanya mambo mengi Sana. Imegundulika pia kuwa marafiki wazuri ni chanzo cha furaha miongoni mwa watu. Huku marafiki wabaya wakiwa ni chanzo cha huzuni na karaha. Siyo Hilo tu marafiki wazuri wanaweza kukufanya usonge mbele na kufanikisha malengo yako au la urudi…
-
Jinsi Ya Kuondokana Na Hofu Ya Kuongea Mbele Ya Watu (How To Overcome The Fear Of Public Speaking)
Hivi ni kitu gani ambacho wewe huwa unaogopa sana? Watu wote huwa Wana kiwango fulani cha uoga kwenye vitu mbalimbali japo uoga hutofautiana. Hata hivyo, kuna kitu kimoja ambacho kinaonekana Kuogopwa Na watu Wengi. Kitu hiki hapa ni kuongea mbele ya watu. Huu ndio uoga unaowakumba watu wengi sana pengine na wewe ukiwa mmoja…
-
SABABU 2 kwa Nini kila ukipata fedha unasahau mipango yako yote
Kuna watu wengi ambao wasipokuwa na fedha wanakuwa na mipango lukuki, ila siku wakipara hiyo fedha, mipango yao inayeyuka kwanza, halafu ndipo wanakuja kuikumbuka baadaye sana baada ya kuwa wametumia fedha zikaisha. Sasa zifuatazo happy chini ni sababu 2 za kwa nini kila ukipara fedha mipango yako inateyuka kwanza 1. Hauna malengo madhubutiKinachokupelekea wewe…
-
Kanuni kuu ya mafanikio iliyojificha
Kwenye mafanikio kuna kanuni moja ambayo imejificha ambayo watu wengi hawaonekani kuijua wala kuitumia. Kanuni hii inaitwa kanuni ya 80/20. Hii ni kanuni muhimu inayoweza kukupa mafanikio makubwa wewe na mtu yeyote atakayeitumia. Ebu ifuatilie hapa
-
4. THE FOUR AGREEMENTS book review (uchambuzi wa kitabu)//GODIUS RWEYONGEZA
Karibu sana kwenye uchambuzi wa kitabu cha Four Agreements kilichoandikwa na Don Miguel Ruiz. Hiki ni kitabu bora kinachoeleza maagano manne ambayo huwa yanafanyika maishani. Watu wengi hufanya maagano haya bila kujua na huwa yanawaumiza sana. Mwandishi anaanza kitabu hiki hapa kwa kueleza domestication kubwa ambayo imewahi kufanyika hapa duniani. Itakushangaza sana, siyo ya wanyama…
-
2. MAKE YOUR BED review (uchambuzi wa kitabu)//GODIUS RWEYONGEZA
Ni wazi kuwa watu wengi wnapenda kufanya mambo mengi kwenye hii dunia. wanataka kuleta mabadiliko na wengine wana ndoto kubwa sana. ila kitu ambacho watu wengi wamekuwa hawajui ni jinsi gani unaweza kufanya mabadiliko kenye maisha yako. kwenye uchambuzi wa kitabu cha leo tunaenda kuona vitu tisa kutoka kwenye kitabu hiki cha MAKE YOUR BED.…
-
Nguvu kubwa iliyonyuma ya kupanga
Kupanga ni kitu muhimu sana kwa ajili ya mafanikio yako na kesho yako bora. Kupanga ni kuileta kesho yako hapa ili uweze kufanya kitu leo keo cha kukupeleka kwenye kesho yako. Kitu muhimu unachopaswa kufanya siku ya leo ni kuhakikisha una mpango mwaka, mwezi na wa wiki hii. Halafu mipango yako ya kila siku…
