-
Maisha Yangekuwa Rahisi Kama Kungekuwa Na Kitu Hiki
maisha yangekuwa rahisi sana, kama kungekuwa na kibao cha mabadiliko kwenye safari ya maisha. Yaani kwamba ukikifikia kibao hicho unajua kwamba kuna mabadiliko mbele yatatokea baada ya mita mia, hivyo na wewe utapaswa kubadilika. Lakini ukweli ni kwamba mabadiliko hayatokei kwa kelele kubwa. Ndio maana baadhi ya watu huyapokea na wengine huyapuuza. kama kila mtu…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kupata Kitu Cha Kuandika
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Bila shaka siku ya leo imeanza vyema kabisa rafiki yangu. Siku ya leo, nataka nikwambie kitu kimoja muhimu sana kuhusu uandishi. Ujue rafiki yangu moja ya swali ambalo watu huwa wanauliza mara nyingi sana linapokuja suala la unandishi ni swali la je, mimi ninandike kitu gani. Ukweli…
-
Ushauri muhimu kwa mtu anayetaka Kubobea kwenye Uandishi
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Siku ya leo, nimekuja na ushauri kwako wewe ambaye ungependa kubobea kwenye uandishi. Kuna namna mbili za wewe kuweza kuwa mwandisho bora. Kwanza ni kuhakikisha kamba unaandika mara kwa mara. Kitu hiki kitakufanya uwe unaboresha uandishi wako kila unapoandika na hivyo kukufanya uwe mbobezi baada…
-
Hawa Hapa Ndio Mawakala Wa Kitabu Cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni
Rafiki yangu kama umekuwa unajiuliza ni wapi unaweza kupata kitabu cha sifuri mpaka kileleni, siku ya leo ningependa ni kwambie kwamba kuna mawakala ambao wanaweza kuwa karibu yako kabisa na hivyo wakakusaidia kukupatia kitabu popote pale ulipo hapa nchini. Hivyo nimeona wazi kwamba nikuwekee orodha ya hawa watu ili kama kuna mtu ambaye yuko karibu…
-
Ushauri Muhimu Kwa Mtu Anayeanza Biashara Kutoka Jack Ma
Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Bila shaka umeianza siku yako vyema kabisa. siku ya leo nakuja kwako na ushauri muhimu kwako wewe ambaye unapenda kuanzisha biashara. Ushauri huunimeona niulete kutoka moja kwa moja kwa Bilionea wa China, Jack Ma. Nimemleta kwako Bilionea huyu kwa sababu kanuni kuu za mafanikio ni…
-
Vitu Viwili Vya Kushangaza Kuhusu Warren Buffet. Angekuwa Tanzania Watu Wangesema Ametoa Kafara Au Basi Watu Wangesingizia Majini
Katika bara la Afrika kuna tabia moja ya kipekee sana. Tabia hii imejengwa kwenye msingi kwamba, anayemiliki kitu cha bei ghali basi yeye ndiye, anachukuliwa kama tajiri. Kwa mfano, kama wewe unamiliki nyumba ya bei ghali sana basi wewe ndiye mtu tajiri sana kuliko wote. Hiyo ndio imani ya waafrika walio wengi. Kwa hiyo imani…
-
Maendeleo Yetu Kama Taifa Yatatokea Hivi. Tofauti Na hapo Ni Uongo
Maendeleo yetu kama taifa yanaanza na maendeleo ya mtu mmoja mmoja. Kama kila mtu atajitoa kuhakikisha anaongeza kipato chake. Kila mtu atajitoa kuhakikisha kwamba anakuwa bora kwenye kile anachofanya basi ni wazi kwamba taifa hili litaendelea kwa kasi sana. Binafsi naona kuna vikwazo vitatu vinazuia hili. Na tabia hizi zipo zaidi kwa vijana ambao ndio…
-
Kitu Kimoja Cha Kishujaa Unachoweza Kufaya Kwa Dakika Moja Kikawa Na Manufaa Maisha Yako Yote
Rafiki yangu, hongera sana kwa nafasi hii nyingine ya kipekee sana. Bila shaka siku ya leo ni siku yako ya kipekee sana. Ujue shujaa ni mtu ambaye anaheshimika sana kwenye jamii zetu. Lakini siku hizi jinsi ushujaa unavyopatikana ni tofauti kabisa na zamani. Wakati zamani ulihitajika tu uende vitani upigane na kulifanya taifa lako au…
-
UNATAKA KULA MEMA YA NCHI, BASI SOMA HAPA
Rafiki yangu, habari ya jioni. Leo nimeona nikwambie aina tatu za ujuzi ambao ukiwa nao wewe hapo utakula mema ya dunia hii. Nadhani umewahi kusikia watu wanaosemekana kula mema ya nchi. Leo hii kuna vitu vitatu ambavyo ni uhakika ukiwa navyo basi utakuwa njiani kula mema ya nchi. Kwanza, ni ujuzi wa kuandika andiko lililotukuka.…
-
Siri Muhimu Ya Mauzo Kutoka Kwa Tony Robins
Naandika makala hii ikiwa ni usiku saa 2 kasoro dakika tatu sasa ya tarehe 21//2/2020. sijajua wewe makala hii unaisoma muda gani na siku gani. Nimeamua niandike makala hii baada ya kuwa nimetoka kufanya mauzo sehemu. Hivyo wakati narudi njiani ndio nikakumbuka kauli mojawapo ya Tony Robins. Hivyo nikaona wazi kwamba kuna somo kubwa sana…
-
Mambo Saba (07) Ya Kufanya Pale Unapokuwa Hauna Cha Kufanya
Huwa inatokea kwa watu wengi mara nyingi, ambapo wanajikuta kwamba hawana kitu cha kufanya. Kitu hiki huwa kinawafanya watu wengi kuanza kuzunguka huku na kule wakisema kwamba wanapoteza muda. Sasa siku ya leo napenda nikwambie vitu vitano ambavyo utapaswa kufaya pale ambapo utakuwa unaona kwamba hauna kitu cha kufanya. KWANZA, SOMA KITABU Ukijikkuta katika mazingira…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kufanya Mishale Inayolenga KukuangamizaKuwa Baraka
Maisha hayatakuja kuwa rahisi kwako hata kidogo. Maisha yataendelea kukurushia mawe na mishale. Na kadri utakavyokuwa na ndoto kubwa sana, ndivyo mishale itakavyokuwa mingi zaidi. habari njema ni kwamba ukiwa mgumu, mishale hii itakuumiza kwa muda tu lakini bado utaendelea. Kuna usemi mzuri wa kiingereza ambao unasema kuwa safari inapokuwa ngumu, wagumu ndio huwa wanaendelea…
-
Kitu Kimoja Kitakachotokea Endapo Utakuwa Mlalamikaji
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya leo na ya kipekee sana. Kama umekuwa mtu wa kulalamika leo kuna vitu viwili ambavyo huwa vinatokea pale mtu anapolalamika. Kwanza kabisa unapolalamika unakuwa unawaonesha watu wengine fursa ambazo wewe mwenyewe umeshindwa kuzitatua. Hivyo watu wengine wanaweza kutatua kurekebisha hicho kitu ambacho wewe mwenyewe unalalamikia. Ni wazi…
-
Epuka Haya Makosa Matano (05) Wakati Unaanzisha Biashara
kitabu hiki kipo kwa ajili yako. kinapatikana kwa shilingi elfu tano tutuwasiliane kwa 0755848391 Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Karibu sana kwenye makala ya leo ambapo ninaenda kukuonesha makosa matano ambayo unapaswa kuepuka kama kweli una mpango wa kuanzisha biashara, yenye mafanikio makubwa. ni vizuri uyafahamu haya makosa mapema, ili…
-
BADILI MAJI KUWA DIVAI: Jinsi Ya Kuona Fursa Katika Changamoto Unazokutana Nazo Masihani
Nimeona niseme hiki kitu, ili usije kusema kwamba sikusema. Usije kusema kwamba sikusema kwamba fikra zako ndizo zinazalisha matokeo unayopata. Watu wawili wanaweza kuwa wanapitia katika hali ileile, ila mmoja akawa ameiona kama fursa ya yeye kusonga mbele. Wakati mwingine akaona kwamba ni kikwazo. Mmoja akaona kwamba ni upenyo wake wa kufanya makubwa mwingine akaona…
-
Hili Ni Kundi Maalumu La Whatsapp Ambalo ulipaswa Kuwa Umejiunga Sasa Hivi
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipeke sana. Siku ya leo napenda nikwambie juu ya kundi moja la whatsapp ambalo ulipaswa kuwa umejiunga mpaka sasa hivi. Kiukweli ulipaswa kuwa umejiunga na kundi hili hapa mwaka jana, ila kama hukukufanya hivyo, muda sahihi wa kufanya hivyo ni leo hiii. Kwanza hili ni zaidi ya…
-
Vitu Saba Vya Kujifunza Na Kuchukua Hatua Kutoka Kwenye Wimbo Wa Ben Paul Wa JIKUBALI
Moja ya wimbo ambao huwa napenda kuusikiliza mara kwa mara ni wa mwanamziki Ben Paul unaoitwa JIKUBALI. Huwa napenda kuusikiliza mara kwa mara kwa sababu kuna mafunzo muhimu ambayo naona na wewe nikushirikishe baadhi ya hayo masomo siku ya leo. 1. UNAWEZA Ben Paul anaanza kwa kusema kwamba, unaweza kuwa doctor, unaweza kuwa star, …
-
SIku ya leo (valentine) napenda nimtambulishe kwako….. (sijawahi kufanya utambulisho mkubwa kama huu, ila leo imebidi tu nifanye hivyo)
Kheri ya sikukuu ya wapendanao, rafiki yangu. Siku kama hii hujitokeza mara moja tu kwa mwaka, hivyo huna budi kuhakikishakwamba unafurahi na kuitumia kwako. Siku ya leo binafsi kuna mtu mmoja tu ambaye ningependa nimtambulishe kwako. na mtu huyu si mwingine bali ni wewe mwenyewe. Kwa nini ninafanya hivi? Ninafanya hivi kwa sababu katika dunia…
-
Habari njema kwako Rafiki yangu.
Rafiki bila shaka uaendelea vyema kabisa.Binafsi jioni ya leo nimekuja kwako na habari njema sana. Habari hii ni kwamba unaweza kuwa wakala wa kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI mkoani kwako. Kwa hiyo popote pale ulipo (bara na visiwani) naomba uwasiliane na mimi ili tufanye utaratibu wa wewe kupata nakala za vitabu. Hii ni habari…
-
Uwekezaji Huu Utakufanya Kuwa Mtu Mkuu Kwenye Hii dunia
Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Siku hii ya leo napenda nikwambie uwekezaji ambao kama utaufanya na utakuja kukufanya mtu mkuu kwenye hii dunia. Kwanza kabla sijakwambia ni uwekezaji gani. Nataka nikwambie kwamba kuna watu ambao unaweza kuwa unawaona wanafanya vitu vikubwa, wewe ukawa unawaona kwamba wao wamezaliwa na Baraka…
