-
Fursa Ya Wazi Ambayo Unaichezea
Kuna fursa ambazo naona wazi vijana hawazitendei haki. Na pengine wanachukulia poa hii fursa. Lakini pengine fursa hii wangeipata mababu wetu, basi wangefurahi sana. Au kama hao mababu wetu wangekuwa leo hii wanakuja na kuona jinsi wewe unavyoamua kuchezea fursa hii wangekupiga Kofi. Fursa hii sio nyingine, Bali fursa ya mtandao wa intaneti. Mtandao umekuja…
-
Jinsi Ya Kusoma Vitabu Vya Nakala Laini Kwa Haraka Zaidi
Tupo kwenye ulimwengu ambao umebadilika sana. kwa ssa hivi ni rahisi kumiliki maktaba kubwa kuliko maktaba ambayo aliwahi kumiliki mfalme wa karne ya 16 au 17. Hii ni kutokana na ukweli kuwa asilimia kubwa ya vitabu vinapatikana mtandaoni bure au kwa gharama ndogo. Kutokana na mapinduzi ya kiteknlojia, basi mpaka sasa hivi tumefikia hatua ambapo…
-
Vitabu Nane (08) Nilivyosoma Mwezi Wa Saba
Hiki ni kitabu cha TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA Kuanzia mwezi huu nimeanzisha utaratibu mpya ambao utakuwa unaniwezesha mimi kukushirikisha vitabu ambavyo nimesoma ndani ya mwezi uliotangulia. Kutoka kwenye orodha hiyo, nitakuwa nakuelekeza kitabu kimoja utapaswa kusoma Hivyo leo hii ninaenda kukushirikisha vitabu NANE ambavyo nilisoma mwezi uliopita. Kila kitabu nitapata nafasi ya kukiongelea kidogo, na…
-
KRIBU KWENYE YOUTUBE CHANNEL YA GODIUS RWEYONGEZA
Karibu sana kwenye channel ya Godius RWEYONGEZA AMBAPO huwa naandaa mafuno mbali mbali kwa njia za video, makala za sauti na mfunzo mengine mengi. Kwenye channel hii kuna funzo moja kila siku ambalo linaaweka hewani. Hakikisha leo hiii umeitembelea na KUSUBSCRIBE. Waaalike pia na rafiki zako ili waweze kuitembelea YOU TUBE CHANNEL hii kwa…
-
Jinsi Ya Kuwafanya Watu Uliowapa Kazi Wapende Kazi Uliyowapa
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana. Siku ya leo hakikisha unaitumia vizuri kwenye safari yako ya mafanikio. Leo ningependa tujadili jinsi ya kuwafanya wale watu ambao umeaajiri waipende kazi yao na kuifanya kwa ufanisi, bila kukukimbia. Nimeona niandike hili hapa maana kwa wiki kadhaa zilizopita nimeshuhudia watu wawili wa…
-
ACHA KUUA BIASHARA YAKO KWA KUFANYA VITU HIVIA HAPA. Vitu Saba (07)Ambavyo Unafanya Ila Vinaua Biashara Yako
Nichukue nafasi hii kukushukuru wee rafi ki yangu ambaye umekuwa unatembelea blogu kila mara. Asan te sana. wewe ndiwe unanifanya niendelee kuandika kila siku na kuweka masomo mapya hapa bila kuchoka. Nafurahi kuona kwamba blogu hii inawafikia maelfu ya watu kila mwezi. Ambao ninaamini wananufaika na hiki kinachoandikwa humu na hivyo kuendelea kuja zaidi ili…
-
Vitu Nane (08) Vidogo Ambavyo Unaweza Kuanza Kufanya Leo, Vikaongeza Thamani Yako Na Ya Watu Wengine
HONGERA sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee sana. leo hii nimeona nikultee vitu vitano ambavyo ukianza kufanya leo hii vitaongeza thamani yako na thamani ya maisha ya watu wengine pia 1. Kutabasamu 2. kusema maneno chanya kuhusu watu 3. kusoma kurasa kumi za kitabu kila siku 4. kuvuta hewa kwa nguvu unapoamka asubuhi.…
-
Hii Ndio Maana Halisi Ya Kusamehe Saba Mara Sabini Na Jinsi Ya Kuitumia Kupata Mafanikio Zaidi
PATA KITABU HIKI KWA SHILINGI ELFU KUMI TU Rafiki yangu hongera tena kwa siku nyingine tena. Leo hii nimeona niongee kitu muhimu ambacho kinaweza kukufanya ufikie utajiri wako wa kifedha, kiroho na KIAFYA. Kama utakitumia vyema au kama utakitumia vibaya, kitakuzuia kuufikia huu utajiri. Na kitu hiki ni kusamehe. Unaweza kushangaa hivi kusamehe…
-
Hiki Ni Kitu Ambacho Kinapaswa Kukusukuma Wewe Kuitafuta Fedha Zaidi
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana, karibu sana kwenye makala ya siku ya leo ambapo ninaenda kukushirikisha kitu ambacho kinapaswa kukusukuma wewe kutafuta fedha zaidi. Rafiki yangu kumekuwepo na watu ambao wana imani mbalimbali kuhusiana na fedha kiasi kwamba wengine wamekuwa wanaona aibu kuitafuta fedha. Wengine wamekuwa wanafikiri kwamba…
-
PATA ZAWADI YA KITABU HAPA
Hivi mwezi huu wa sita umepanga kusoma kitabu gani? kuna kitabu hiki hapa naona kitakufaa sana ndani ya mwezi huu hapa. kinaitwa 50 THINGS YOU SHOULD NEVER TAKE FOR GRANTED. unaweza kuendelea kwa BONYEZA HAPA ILI KUKIPATA kama wewe hupendi kusoma vitabu vya kiingereza basi nimeandaa uchambuzi wake ambao unajitosheleza vizuri tu. unaweza kuusoma huu uchambuzi…
-
Kitu Hiki Hapa Ndicho Watu Wamekuwa Hawajui Kuhusu Fedha
Hongera sana kwa siku hii ya leo rafiki yangu. Leo ningependa kuongelea kuhusu fedha. Maana, ni kitu ambacho watu wengi wanaogopa kukiongelea. Mtu akionekana anaongelea sana kuhusu fedha jamii inamchukulia kuwa ni mnafiki, na mtu ambaye haweki maslahi ya watu wengine mbele. Hata hivyo ni wazi kuwa mtu ambaye anaongelea fedha LAZIMA tu atakuwa…
-
Jijengee Utaratibu Wa Kusema Kidogo Na Kuwa Na Matendo Makubwa
Kuna usemi kuwa ni rahisi kusema ila vigumu kutenda. Na katika ulimwengu huu ambao tunaishi sasa hivi wasemaji ni wengi. au watu wenye maneno ni wengi. unaweza kukuta watu kwenye mitandao yao ya kijamii wameandika kwamba wao ni wakurugenzi wa makampuni, wakiwa hawaweki juhudi za kuanzisha hayo makapuni. Kitu pekee ambacho ninaweza kusema kwako…
-
INALIPA KUKUMBUKA MAJINA YA WATU
Rafiki yangu kuna vitu ambavyo vinalipa ukvifanya kwenye hiii dunia. Moja ya kitu ambacho kinalipa kufanya ni kukumbuka majina ya watu. Majina ya watu usiyachukulie poa hata kidogo. watu wanapenda kukumbukwa kwa majina yao. Nadhani wewe ni shahidi wa hil hapa. kila mara unapokutana na mtu ambaye ulishamwambia jina lako ila sasa anaonesha…
-
Haya Ni Maajabu Yaliyojificha Kwenye Kutoa
Rafiki yangu kuna nguvu kubwa sana katika kutoa. Hii ni tabia ambayo unapaswa kujifunza na kuifanyia kazi kila siku. Nadhani utakuwa umewahi kusikia kuwa matajiri wana hadi mashirika ambayo yanahusika na utoaji. Kwa mfano, Bill Gates ana shirika la GATES AND MELINDA FOUNDATION. Elon Musk ana shirika la MUSK FOUNDATION na mabilionea wengine pia…
-
Jinsi Ya Kujiimarisha Kifedha Katika Hali Zote Unazopitia
ni haki yako kuwa na fedha kwa kiwango chochote unachotaka Kuna mchezaji mmoja ambaye alikuwa anajifunza vizuri sana kuhusu mbinu za mchezo wa masumbwi ila alipokuwa anaingia uwanjani na kupigwa ngumi moja, alikuwa anapteza ule uwezo wake wote na hivyo kuanza kucheza kwa hisia kama vile hajawahi kujifunza mpira maishani mwake. Kitu kama hiki…
-
Hii Ndiyo Sifa Ya Biashara Ambayo Watu Wengi Hawajui
Rafiki yangu bila shaka umekuwa na siku bora kabisa. karibu kwenye makala ya leo ili tuzungumzie sifa ya biashara ambayo ulikuwa hujui. Na sifa hii hapa inakuangusha kwenye biashara yako. Sifa hii ni kwamba biashara huwa inachukua tabia za mwanzislihi au mmiliki wa biashara hiyo. Unaweza kushangaa kuwa biashara na yenyewe inachukuaje tabia za…
-
Hatua Sita (06)Za Kuufikia Ukuu Kwenye Kazi Yako
Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii ya kipekee sana. Watu wengi huwa wanaanza kufanya kitu mwanzoni kwa juhudi kubwa sana. Kuna ambao huwa wanaweza kuendelea kufanya kile kitu kwa muda na baadae kuacha hasa baada ya kukutana na changamoto za hapa na pale. Na kuna wale ambao huwa wanaendelea kwa kusuasua na kufikia hatua…
-
Maana Ya Mafanikio Unaitoa Wewe Mwenyewe. Na Hivi Hapa Ndivyo Unavyoitoa
Kufanikiwa kwako kupo mikononi mwako. Na maana halisi ya mafanikio yako unaitoa wewe mwenyewe. Kwa hiyo ukitaka kupata matokeo bora unapaswa kutoa maana bora ya mafanikio na jinsi ambavyo utayapata. Ili unielewe vizuri hapa naomba nitolee mfano wa mtu ambaye kwake kufanikiwa ni mpaka pale unapokuwa na elimu ya chuo. Kwake bila ya elimu…
-
Kila Biasahara Inapaswa Kuhakikisha Ina kumbukumbu Hii Hapa
[Enter Post Title Here] Kila biashara inapasawa kuhakiisha kwamba inatunza kumbukummbu za mawasiliano na wateja wake, ili iweze kuwasiliana naye muda wowote ule hata pale ambapo hauonani na mteja wako. Kwa hiyo kwa kila mteja anayekuja kwako basi hakikisha kwamba unatunza namba zake za simu au mawasiliano mengine ambayo mteja anatumia Kama…
