Author: Godius Rweyongeza

  • Habari njema sana kwako rafiki yangu.

      Hongera sana kwa zawadi ya siku hii ya kipekee sana. habari niliyonayo jioni ya leo ni kwamba vitabu vyangu vyote ambavyo ni vinapatikana kwenye mfumo wa nakala tete unaweza kuvipata kwa punguzo la asilimia 10 kwa kila kitabu kwa siku hizi zilizobaki kabla ya mwezi huu kuisha. Chukua hatua leo hii ili uweze kujipatia…

  • KULIPA DENI NI LAZIMA SIO OMBI: Njia Zilizothibitishwa Zitakazokusaidia Kulipa Madeni Yako

    Habari ya siku ya leo rafki yangu. Hongera sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee. Leo nilipenda nikwambie kuwa kama umejikuta kwenye madeni na kuna watu ambao wanakudai, usiyakimbie hayo madeni. Badala yake jipange kuyalipa. Kulipa madeni ni lazima sio ombi. Ni wewe ulichukua hatua ya kukopa, unapaswa pia kuchukua hatua ya kulipa hayo…

  • Hii Ni Tabia Moja MUhimu Ya Fedha Ambayo Unapaswa Kuifahamu

    Kuna tabia moja ya fedha ambayo ningependa uifahamu siku hii ya leo. Na tabiai hiii ni kwamba fedha huwa inawaendea zaidi wale wenye nazo na kuwakimbia wale ambao hawana. Kwa hiyo kama wewe una tabia ya kuwa unapokea fedha na kuitumia yote kwa mkupuo bila kubakiza kitu, unapaswa kufahamu kwamba fedha zitakuwa zinakukimbia mara kwa…

  • Kama Unataka Kuongeza Kiwango Chako Cha Fedha Zinazoingia Fanya Hivi

    Rafiki yangu hongera kwa nafasi ya siku hii ya kipekee. Karibu sana kwenye makala ya leo ambapo tunaenda kuona jinsi ambavyo unaweza kuongeza kiwango chako ch fedha. Na njia hii ni KUWA MAKINI NA KIWANGO KIDOGO AMBACHO UNAPATA SASA HIVI. Yaani, hiki kiwango kidogo ambacho unakipokea sasa hivi unaweza kukitumia kwa manufaa makubwa ili kuongeza…

  • Hiki Ndicho Kitu Kinachofanya Watu Wakuombe Fedha

    Rafiki yangu bila shka umekuwa na siku bora sana. hivi umewahi kujiiuliza ni kwa nini ukiwa na fedh ndio watu wanajitokeza kukuomba fedha? Ila pale zikiisha tu watu wanaondoka mpaka pale utakapokuwa na fedha? Kuna kitu kimoja tu ambacho kinawafanya watu wakuombe fedha. Na kitu hiki ni kuwa wewe ukipokea fedha hautulii. Badala yake unakuwa…

  • Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani

    Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki yangu. Hongera sana kwa sikku hii ya kipekee. Leo hii nina habari njema sana kwako wewe mkazi wa Iringa na mikoa mingine ambayo imezunguka hapo karibu. habari hii ni kwamba vitabu vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI…

  • Haya Ndio Maajabu Ya Zama Tunazoishi

    Habari ya siku hii ya kipekee rafiki yangu. Karibu sana kwenye makala hii ya kipekee sana. Leo hii tunaenda kujifunza maajabu ya zama hizi ambazo tunaishi. Na maajabu haya ni kuwa mteja anaweza kukuacha wewe hapo kwa kubonyeza mara moja tu na kwenda sehemu nyingine.   Ni wazi kuwa tupo kwenye zama ambazo biashara niyingi…

  • Hiki Ni Kitu Kimoja Ambacho Ninakijua Kuhusu Wewe

    Rafiki kuna kitu kimoja nakijua kuhusu wewe hapo. unaweza kujiuiliza kuwa ni mtu gani huyu alikwambia siri zangu. naomba tu, utulie kwanza nikwambie kitu hiki.   Kitu hiki ni kuwa wewe walau una kitu ambacho unaweza kutoa kwa watu ili kuwafanya watu wengine wawe na maisha bora zaidi. Inawezekana kitu hiki sio kikubwa lakini unacho.…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kutumia Muda Wako Na Fedha Kwa Manufaa

    Moja ya kitu muhimu kwenye maisha ya kila siku ni muda na fedha. Ipo misemo kadha wa kadha ambayo imesemwa ikiwa ni pamoja na watu kusema kuwa muda ni mali. Muda haumsubiri mtu. Na misemo mingine kama vile poteza fedha utaipata ila ukipoteza muda hautaupata.  Kwenye makala ya leo sitaki nikuelekeze jinsi kupoteza fedha na…

  • JINSI YA KUPANGILIA MAISHA YAKO KWENYE ZAMA ZA TAARIFA

    Tupo kwenye zamaambapo ni rahisi kufuatili maisha ya watuwengine, huku wewe mwenyewe ukajisahau kabisaa. Sasa leo hii nimekuletea somola JINSI YA KUPANGILIA MAISHA YAKO KWENYE ZAMA HIZI ZA TAARIFA.  Bonyeza kiunzi hapo chini kuliangalia.Usisahau KUSUBSCRIBE

  • Hiki Kitu Ndicho Kinafanya Biashara Yako Ishindwe Kukua

    Habari ya siku ya leo rafiki yangu. Karibu sana kwenye makala ya siku ya leo ambapo ninaenda kukueleza, kitu kimoja ambacho kinafanya biashara yako ishindwe kukua. Kitu hiki sio kingine bali ni kwa sababu ya kukosa maono. Unaweza kuwa unashangaa kuwa biashara yangu inakosaje maonio.   Pengine ulianzisha biashara yako ukiwa na mtazamo fulani wa…

  • FAIDA ZA KUANDIKA AMBAZO UNAENDA KUZIPATA MARA MOJA

    #GodiusRweyongeza#kuandika #faidazakuandika #songambele Moja ya yabia muhimuambayo unapaswa kuwa nayo ni tabia ya kuandika na kutunza kumbukumbu. Kila unapoamka asubuhiandika malengo yako ya siku husika Kila jioni andika jinsisiku yako ilivyokwenda na mambo muhimu ambayo umejifunza ndani ya siku husika. Hikini kitu ambacho unaweza kufanya hata kama sio mwandishi wa vitabu. Pamoja nafaida nyingi za…

  • Mmepata Bure, Toeni Bure; Vitu Vitatu Ambavyo Kama Utavitumia Kwa Umakini Wa Hali Ya Juu Vitaweza Kukufanikisha Kwa Viwango Vya Juu Sana

      Rafiki yangu hongera sana kwa nafasi ya siku hii ya keipkee. Siku ya leo napenda nikushirikishe vitu vitatu ambavyo wewe hapo umepata bure na unapaswa kuvitumia sana. Ubora wa vitu hivi vitatu ambavyo nitakushirikisha hapa sio kwamba unaweza kuvitumia vikaisha. Ubora wake ni kuwa kadri unavyovitumia ndivyo vinazidi kuimarika zaidi. Hivyo usiogope kuvitumia Vitu…

  • Jinsi Ya Kuanza Upya Baada Ya Kuwa Umekosea

     rafiki yangu siku ya leo nimekuandalia video nzuri kkkuhusu jinsi ambavyo unaweza kuanza upya hata baada ya kuwa umekosea. karibu sana uweze kujifunza. usisahau KUSUBSCRIBE

  • Aina Mbili Za Hamasa Na Jinsi Ya Kuzitumia Kwa Manufaa

    Hivi unaposikia watu wanazugumzia juu ya hamasa unaelewa nini? je, ni kitu gani ambacho kinakuja kwenye akili yako? Leo ningependa nikwambie aina mbili za hamasa na jinsi ambavyo unaweza kuzitumia zote. Aina ya kwanza ni HAMASA YA KUEPUKA KITU. Hii ni ile nguvu ambayo inamuskuma mtu kufanya kitu ili aepukane na kitu fulani. Mfano mwajiriwa…

  • Tafadhal Usifanye Kosa Hili Kwenye Biashara Yako Pale Watu Wanapokuja Kununua (mbinu zilizothibishwa za kumvuta mteja kwako bila kuficha chenji yake)

    kitabu hiki ni nakala tete (soft copy) na gharama yake ni 5,000/- tu. tuwasiliane kwa 0755848391 ili uweze kupata nakala yako. Rafiki yangu karibu sana kwenye makala ya siku hii ya leo. Siku ya leo napenda nikwambie uepuke kosa hili hapa. kosa hili hapa ni pale kukataa kutoa chenji kwa mteja huku ukimwambia aondoke, wakati…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kumiliki Kampuni Kubwa Kama CRDB, VODACOM, TBL Na Nyinginezo Kwa Mtaji Wa Elfu Kumi Tu

      Pata nakala ya kitabu hiki kwa shilingi elfu 10 tu popote ulipo nchini. tuwasiliane kwa 0755848391 Hivi umewahi kujiuliza kuwa kwa mtaji wangu huu mdogo naweza kutoboa kweli na kufanya mambo makubwa. au umekuwa unakwama katika kukuza mtaji wako kwa siku sasa na unapenda kukuza mtaji wako. Au kwa mfano umewahi kuwa na wazo…

  • Imegundulika: Hili Ni Kundi La Watu Wachache Wanaoitawala Dunia Kisirisiri, Utaratibu Wa Kujiunga Nao Pia Umefichuka

      Tangu enzi na enzi, asilimia kidogo ya watu wamekuwa wanaiongoza dunia. Watu hawa wamekuwa wanaiongoza dunia kwenye masuala ya uchumi, siasa, biashara, vipaji n.k. na watu ninaowaongelea hapa ni wale ambao wanaonekana kula mema ya nchi. Ukipita mtaani utasikia mtu anasema, aiseeh fulani ana nyota, wewe acha tu.   Watu hawa wamekuwa wakionekana kama…

  • Hili Ni Kosa Ambalo Linagharimu Maisha Ya Watu Walio Wengi

    Ukitaka kutuma ujumbe mfupi kwa rafiki yako, huwezi kuandika herufi zote za kishwahili kuanzia A mpaka Z na kumwacha rafiki yako ajitugie ujumbe mwenyewe. Au huwezi kuandika maneno tu kutoka kwenye kamusi bila mpangilio maalumu na kutuma kama ujumbe. Ni lazima utatengeneza sentensi inayoeleweka na kuituma ili aisome na kukupa jibu kulingana na sentensi uliyotuma.…

  • Hili Ni Eneo Muhimu Ambapo Unapaswa Kuelekeza Bajeti Yako Kwa Miezi Sita Ijayo

      Rafiki yangu, bila shaka umewahi kusikia kuwa serikali imebadilisha bajeti yake na kuielekeza sehemu nyingine.  Na mara nyingi huwa unakuta kuwa hili linafanyika mara baada ya kutokea kitu fulani cha dharula ambacho hapo awali hakikuwa kwenye bajeti husika ya serikali.   Sasa leo hii ningependa na wewe ufanye kitu kama hiki hapa. Hiyo fedha…

X