Author: Godius Rweyongeza

  • Je, Kupenda Pesa Ni Chanzo Cha Maovu?

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blog ya SONGAMBELE; karibu sana katika Makala yetu ya leo ambapo tunaenda kuona kama kupenda pesa ni chanzo cha maovu. Hapa tutaona vipengele muhimu vinavyotuonesha kuhusu kile tunachoenda kujadiliana. Wiki iliyopita tulijadili kuhusu suala zima la pesa ni nini?  Kama hukusoma Makala ya wiki iliyopita unaweza kubonyeza…

  • Jinsi Ya Kuondoka Kwenye Umasikini Wa Kipesa.

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo. Je, nawezaje kuondokana na umaskini wa kipesa? Je nawezaje kuingiza pesa kwenye mzunguko ikawa msaada mkubwa kwangu? Siku zote pesa haionekani kutosha. Kuongezeka kwa mshahara hakuonekani…

  • Pesa ni nini?

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo. Pesa ni kitu ambacho kimekuwa kikizungumuziwa sana. Tofauti na raslimali nyinginezo ambazo unaweza kuzingumuzia  (ardhi, muda, maji, madini, nguvu, hewa ) pesa peke yake ndiyo raslimali ambayo…

  • Hili Ni Jambo Linalokuzuia Kufika Unapotaka

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo. Sio jambo la kushangaza sana kusikia mtu anasema “amekwama”. Mtu aliyekwama anapoteza mwelekeo, yupo njia panda na hajui afanye nini? Je wewe umewahi kuwa katika hali…

  • Niambie Rafiki Zako Nikwambie Tabia Zako

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo. Hivi umewahi kufikiri ulimwengu bila marafiki utakuwaje? Bila shaka ungekuwa mbaya sana!! Moja sifa ya binadamu ni kujamiiana na watu na kutengeneza marafiki. Katika suala zima la kupata…

  • Hii Ni Sentensi Iliyonichekesha

    Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua za kuelekea na kufikia mafanikio. Karibu sana kwenye makala yetu ya leo. Jana nilikuwa nasoma kitabu cha FROM VICTIM TO VICTOR ambacho kimeandikwa na mwandishi Joseph Chabalika Mushalika. Kuna mambo mengi sana nimepata kujifunza ila kwa leo ningependa…

  • Mambo Matano (05) Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanza Jambo Lolote

    Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua kutekeleza na kufikia malengo yako ili uweze kufikia mafanikio. Karibu sana katika mada yetu ya leo. Katika mada yetu ya leo tutaanza kwa kuona stori nzuri kutoka kwenye Biblia (kitabu cha mwanzo 11:1-5)Nchi yote ilikuwa na lugha…

  • Mtoto Umleavyo Ndivyo Akuavyo – 2

    Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG, ni imani yangu unaendelea vyema katika harakati za kuelekea mafanikio. Karibu sana katika makala yetu ya leo.  Makala yetu ya leo ni mwendelezo wa makala ya wiki iliyopita, kama hukusoma makala ya wiki iliyopita unaweza kuisoma HAPA Basi siku zikaendelea na hatimaye mtotoakapata kazi na…

  • Huu Ni Ugonjwa Hatari Unaokusumba Sana

    Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa mtandao wa SONGA MBELE. Ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kufikia malengo yako na mafanikio. Karibu sana katika makala yangu ya leo Kuna ugonjwa mmoja ambao huwa unasumbua watu wengi sana. Ukiongea na watu kumi basi utagundua kati ya hao kumi, saba mpaka tisa wana…

  • Hili Ndilo Duka Lako Lenye Kila Kitu.

    Habari za leo rafiki na ndugu yangu, ni imani yangu unaendelea vyema ili kufikia mafanikio na kuwa na maisha bora. Karibu sana katika makala yetu ya leo.Leo tunaenda kuona duka lako lenye  kila kitu. Duka hili unaweza kulitumia kila siku popote pale ulipo na kukusaidia kufikia hatua kubwa ya mafanikio. Soma zaidi hapa: Hii Ndiyo Maabara…

  • Huu Ndio Ujumbe Aliouandika Raisi Wa Marekani

    Habari za leo rafiki na ndugu yangu ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua za kufikia mafanikio na karibu sana katika makala yetu ya leo. Katika makala yetu ya leo tunaenda kuona ujumbe mzuri ambao tunaweza kuupata kutoka kwa rais wa Marekani  Mheshimiwa Donald Trump. Ujumbe huu ameuandika katika vitabu vyake vingi sana vikiwemo vitabu…

  • Matendo Hutibu Uoga

    Moja kati ya vitu ambavyo husumbua sana akili za watu ni uoga. Uoga upo na unasumbua san akili za watu uoga unaweza kukufanya ushindwe kuchukua hatua fulani. Uoga ambao watu wengi wanao ni wa kisaikolojia.  Uoga, hofu, mvutano vyote hutoka kwenye mawazo hasi. Uoga si kitu kizuri cha kukumbatia hata kidogo. Uoga ni adui nambari…

  • Mtoto Umleavyo Ndivyo Akuavyo

    Habari ya leo rafiki yangu na ndugu yangu naamini unaendelea vyema katika hatua za kufikia mafanikio. Ni kawaida sana mtu akikua huwa anaanza kujivunia mambo makubwa sana aliyoyafanya akiwa mdogo au katika enzi za ujana wake. Utasikia mtu anakwambia nilipokuwa mdogo nilikuwa nacheza mpira wa miguu vizuri sana, yaani kama ningekosa basi siku hiyo mechi…

  • Utavuna Ulichopanda; Hii ndiyo Sheria Kuu Ya Asili

    Habari za leo rafiki na ndugu yangu, ni imani yangu unaendelea vyema katika kupiga hatua ili uweze kufikia mafanikio. karibu sana katika makala yangu ya leo ambapo tunaenda kujifunza sheria moja kuu ya asili. Watu wengi wamekuwa na imani  kwamba baadhi ya mambo ambayo hutokea, basi hutokea kwa bahati tu.Hakuna kitu (kiwe kizuri au kibaya) ambacho…

  • Hii ndiyo Maabara Pekee Ambayo Kila Mtu Anayo

    Habari za leo ndugu yangu na rafiki yangu, ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua za kufikia mafanikio. Leo hii tunaenda kuangalia maabara pekee ambayo kila binadamu anayo, kila sehemu na anaweza kutembea nayo popote pale aendepo Maabara ni sehemu ambapo wanasayansi hufanya majaribio ya kusanyansi. Hivyo maabara ipo kwa ajili ya watu kufanya utafiti…

  • Vitabu Vitatu Vya Kusoma Kabla Mwaka Huu Haujaisha

    Habari za leo rafiki yangu na ndugu yangu. Ni imani yangu unaendelea vyema katika safari yako ya kuelekea mafanikio.Leo nataka nikushirikishe vitabu vitatu ambavyo vitakusaidia kupiga hatua kubwa sana ili uweze kufikia mafanikio. Vitabu hivi vimewasaidia watu wengi sana nikiwemo mimi. Naamini vitakusaidia na wewe kama utaamua kuvisoma. Jitahidi sana usome vitabu hivi kabla ya…

  • Mbinu Za Kukusaidia Kufikia Ndoto Yako Kabla Mwaka Haujaisha

    Habari za leo ndugu yangu na rafiki yangu.  Leo ni siku nyingine mpya ambapo kama kawaida yetu tunaenda kuitumia siku ya leo vizuri katika kuongeza maarifa na kufanya kazi zetu vizuri ili kuweza kufikia mafanikio. Leo pia ni siku ambayo tumeuanza mwezi mpya na mwaka wetu unakaribia ukingoni. Swali la kujiuliza Je, mipango yako uliyoiweka…

  • Je, wewe Una Matamanio Au Ndoto?

    Kwa kawaida kila mtu huwa ana kuna vitu vuzuri ambavyo angependa kuvifikia maishani mwake. Ni mafanikio ambayo hupenda kuyafikia. Mambo yote ambayo binadamu hufikria huweza kuwekwa katika makundi mawili. # Kundi la kwanza ni matamanioHili ni kundi ambalo mtu huwa anataka kuwa mtu fulani au kufikia mafanikio fulani bila kuweka juhudi. Ebu tuchukulie mtu anataka kuwa…

  • Je Shule na Maisha Vinaendana?

    Habari za leo rafiki na msomaji wa SONGA MBELE BLOGNi imani yangu unaendelea vyema katika safari ya kuelekea mafanikio ambayo umeipanga.Leo tunaenda kuona mambo fulani ambayo huwa tunajifunza shuleni lakini katika hali halisi ya maisha huwa ni tofauti. Kwa kawaida watu wengi sana wana mtazamo kwamba wasome au wasomeshe watoto, katika shule nzuri, wapate maksi nzuri…

  • Hili ni Kosa Amabalo Watumiaji Wengi wa Mtandao Hufanya

    Habari za leo msomaji wa SONGA MBELE BLOGNi imani yangu unaendelea vyema kupiga hatua na kuweza kufikia mafanikio. Hongera sana kwa siku njema ya leo na karibu sana katika somo la leo. Ni ukweli kwamba watu wengi hupenda kushinda katika mitandao ya kijamii wakichati na kubadilishana mawazo na marafiki zao. Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya…

X