Author: Godius Rweyongeza

  • Mambo Ya Kufanya Kabla na Baada ya Semina

    Kwa kawaida katika semina huwa tunapata nafasi ya kuungana na kukutana na watu wengi sana. Watu waliotoka maeneo mbalimbali na kila mtu akiwa na shughuli zake anazofanya. Utakutana na watu waliovaa vuzuri na kupendeza na wengine wakiwa wamevaa kawaida. Je, wewe utaongea na akina nani? Je, utawaambia nini hawa? Hapa ndipo walipo marafiki zako wapya…

  • Hili ni Jambo la Pekee Ambalo Huwezi Kuliepuka

    Habari za leo ndugu msomaji wa SONGAMBELE BLOG. Ni imani yangu unaendelea vyema katika safari ya kuelekea mafanikio. Leo hii tunaenda kujifunza jambo la muhimu na pekee sana ambalo huwezi kuliepuka. Jambo hili utapaswa kulifanya kila siku ili maisha yako yaweze kufikia mafanikio.Je jambo lenyewe ni lipi? Soma; Ukweli Kuhusu Safari ya Mafanikio Jambo lenyewe ni mabadiliko.…

  • Hiki Ndicho Kitu Ambacho Wewe Unacho, Peke Yako.

    Nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa najiuliza swali “ kwa nini  mambo mapya yanazidi kugundulika kila siku?Sikuwahi kupata jibu zuri la mambo haya mpaka pale nikipomaliza kidato cha sita, ndipo nilipokuja kugundua jambo hili. Swali jingine nililokuwa nikijiuliza ni  “ je, kuna uwezekano wa kugundua mambo mapya kila siku”.  Ni mara myingi sana mimi na rafiki zangu…

  • Maneno ya Kuepuka Kuongea Kila Siku.

    Unapohitaji kupata kitu ambacho hakimo kwenye bajeti usiseme “siwezi kupata hicho”Watoto wako wanpohitaji kwenda kucheza na kujumuika na wenzao usiwaambie “sina uwezo”Mke wako anapotaka vazi zuri usimwambie “ hatuna uwezo.” Usiwe na mtazamo huu wa uhaba Badala yake ukihitaji kitu kizuri jisemee  “ nitakipata “Hata kama hauna pesa karibu ya kununua kile unachohitaji. Angalia kwanza…

  • Ifahamu Tofauti Kati Yako na Huyu.

    Matokeo yako ya sasa hayana cha kufanya na maisha yako ya baadae.Hivi kama wewe kwa sasa ni maskini ni kweli kwamba wewe utaendelea kuwa maskini?Hivi kama wewe unaingiza elfu kumi kwa siku ni kweli kwamba utaendelea kuwa unaingiza elfu kumi. Soma;Ijue Siri YaBabiloni kuwa mji tajiri kuliko yote duniani Hapa jibu la haraka ni hapana.…

  • Je, Unafahamu Una Uwezo Sawa na Hawa Watu?

    Nashangazwa sana na uwezo wa binadamu. Huwezi kusema huyu atakuja kuwa hivi kwa sababu ya kumwangalia machoni. Kuna watu wengi sana wamefikia mafanikio kwa kutokea sehemu ambazo hazitegemewi. Wengine hukumbana na majanga au hatari kubwa sana lakini bado huweza kufikia mafanikio makubwa sana. Wapo waliozaliwa wakiwa na udhaifu fulani lakini bado wameweza kufikia mafanikio makubwa!…

  • Zifahamu Faida za Kuwa na Biashara Yako Mwenyewe

    Je, umeshawahi kufikria juu ya kuwa na biashara yako mwenyewe. Je, unajua ni faida gani utazipata pale utakapokuwa na biashara yako mwenyewe?Karibu ndugu msomaji wa songa mbele blog ili kwa pamoja tuweze kujifunza faida utakazozipata pale utakapokuwa na biashara yako mwenyewe. 1.  Wewe ndio mwongozajiUnapokuwa na biashara zako wewe ndio unakuwa kiongozi wa biashara yako…

  • Je, Unaijua Kauli Haribifu Kwenye Maisha Yako?

    Hii ni kauli moja ambayo watu wengi sana hupenda kuitumia.  Kauli hii watu wengi sana hupenda kuitumia sana hasa pale mtu anapoogopa atafanya jambo na atashindwa. Kauli hii ni mbaya sana maana husababisha watu kurudi nyuma badala ya kusonga mbele.Je kauli hii ni ipi?Kauli ye hewe ni hii hapa  “itakuwaje”?Watu wengi sana hupenda kusema  itakuwaje…

  • Ijue Siku Rafiki Kwako

    Leo ni siku nzuriLeo ndio rafiki yakoLeo ishakuwaLeo ndo muda pekee ulionao Kama leo ndo ingekuwa siku pekee ya kuishi duniani ungeitumiaje? Leo ni muhimuMara nyingi tunaisahau leo. Hatuishi leo. Hatuthamini muda tulionao leo, na kufikiri tunasubiri mpaka kesho.Hata hivyo kesho huwa haifiki.Kesho hutupa matumaini.Lakini leo yako inaonekana katika kile tunachokifanya. Leo ndo rafiki yakoKesho…

  • Unahitaji Kufanya Haya Kila siku.

    Katika safari ya kuekekea mafanikio kuna mambo ambayo unahitaji kufanya kila siku ili uweze kufikia kila siku kwenye njia ya mafanikio.Mambo hayo nitayaekekeza hapa chini kama ifuatavyo. 1. Kusoma vitabu.Siku bila kusoma lazima ujisikie mnyonge. Hii ni kwa sababu unakosa maarifa mengi sana kutokana na kutosoma vitabu. Ili tuweze kukuza maarifa ya akili zetu tunahitaji…

  • Tabia Tano(05) Zitakazokufanya uwe na Maisha ya Furaha

    Sote tunahitaji kuwa na maisha bora na  furaha kwenye maisha yetu. Lakini  huwa tunakutana na vikwazo na matukio ambayo hutufanya tusiwe na furaha.Mambo hayo yanaweza kuwa kushughulika na watu wabaya, kufanya kazi maeneo tusiyoyataka na mipango kutokamilika. Hayo na mengine mengi huweza kutuondolea furaha, kuridhika na kuharibu mtazamo wa akili  zetu Kuna uzoefu mbaya wa…

  • Maswali Matatu (03) ya Kukusaidia Kuwa Tajiri

    Utajiri hauwezi kuja kwa siku moja labda ikitokea ukashinda kwenye bahati na sibu au ukapata mali za kurithi. Watu waliofanikiwa huwa hawajengi uchumi binafsi kwa siku moja bali ni mpango wa mda mrefu wa kukuza na kudumisha mali zao. Haijalishi kipato chako ni kidogo au kikubwa ni muhimu kujua na kutambua njia unayotaka kuchukua ili…

  • Ukweli Kuhusu Safari ya Mafanikio

    Safari ya ya mafanikio sio ya mchezo mchezo, bali safari ambayo hukuitaji uwe makini na ujiandae sawasawa na kujitoa. Kama utaanza safari ya kimafanikio bila kujitoa sawasawa, na kujiandaa pale utakapokutana na vikwazo mbalimbali kama vile kukata tamaa, kukatishwa tamaa, kupingwa, na visingizio utakwama. unahitaji uwe umejipanga kisawasawa. Unahitaji kuwa umeweka malengo na mipango ya…

  • Nguzo Muhimu Unayohitaji Kufikia Mafanikio.

    Watu wengi sana wamekuwa wanafikiri safari ya mafanikio ni rahisi sana, na hivyo huingia katika biashara kwa kuwa na mtazamo wa kupata mafanikio tu. Pale inapotokea vikwazo vya aina mbalimbali njiani ndipo mtu huona ugumu wa kazi na kuamua kuacha. Safari ya mafanikio sio rahisi wala sio safari ya kubashiri, au kubahatisha. Unapoamua kuanza safari…

  • Zifahamu Sheria za Asili za Kuwa Tajiri

    Katika maisha ya kawaida kuna sheria nyingi zimetuzunguka na inabidi tuzifuate. Katika mazingira yetu kuna sheria za serikali za mitaa, sheria za serikali kuu na pengine sheria za kimataifa. Zote hizi huwa inabidi zifuatwe na ikitokea umezivunja basi kuadhibiwa huwa kunafuata. Adhabu hutolewa kulingana nabsheria ulizozivunja. Vilevile sheria za asili zimekuwepo zipo na zitaendelea kuwepo.…

  • Kwa Nini Kuzaliwa Maskini sio Dhambi Lakini Kufa Maskini ni Dhambi

    “Kuzaliwa maskini sio dhambi lakini kufa maskini ni dhambi” hii ni kauli maarufu iliyotolewa na blionea Bill Gates. Tunapozaliwa hakuna ambaye huwa anachagua azaliwe wapi na azaliwe na nan. Ni bahati tu kwamba kila mmoja huwa anajikuta kazaliwa katika mazingira ambayo yumo. Haijalishi ni katika mazingira ya kitajiri au kimasikini bado kote ni bahati tu.…

  • Je, Wajua kwamba Mlango Mmoja Ukifungwa , Milango Saba Inafunguliwa.

    Habari za leo ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG ni imani ya yangu unaendelea vyema katika safari ya kuelekea mafanikio.  Hongera sana na karibu katika mada ya leo. Yawezekana unaona hauna, bahati. Yawezekana ukafikiri labda umelogwa.Katika safari ya mafanikio kuna mambo mengi sana utakutana nayo. Hakuna njia nyoofu katika kuelekea mafanikio. Na kama hii njia…

  • Jinsi ya Kuweka Usawa Katika Mapato na Matumizi.

    Ni muhimu sana kujifunza mbinu za kuweka usawa mapato na matumizi, haijalishi uko kwenye hali gani kiuchumi. Watu wengi hawatilii maanani suala la kuwa na bajeti, huku wakisema suala la kuwa na bajeti mpaka pale watakapokuwa  wamekuza kipato. Lakini ili ukuze kipato bajeti ni muhimu sana. Kile kinachoitwa bajeti ni usawa kati ya mapato na…

  • Jinsi ya Kuepukana na Kauli Hizi Tatu (03) za Kukatisha Tamaa

    Kwa kawaida mtu ukitaka kufanya jambo fulani la maana basi kila mmoja huwa anakuja na kauli zake na mtazamo wake. Wako baadhi ambao hutoa kauli fulani ambazo hulenga kukukatisha tamaa ili usiendelee na kwa wengine kauli hizi, huwakatisha tamaa kweli na kuwafanya wasiweze kuendelea mbele kwelikweli. Baadhi ya kauli hizo ni kama ifuatavyo. 1. Unapoteza…

  • Zifahamu njia za Kufanya Pesa Ikufanyie kazi

    Moja ya tofauti kubwa sana kati ya matajiri na maskini ni kwamba matajiri hutengeneza faida na maskini hutumia faida. Ni muhimu sana kufahamu kwamba hela ni kifaa ambacho kinaweza kukusaidia kufikia malengo yako. Ili wewe uweze kufikia uhuru wa kiuchumi unahitaji  kuanza kuitumia pesa ikutengenezee pesa sio wewe ufanye kazi ili upate pesa. Hapa kuna…

X