Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

  • Kheri ya MWEZI WA SEPTEMBA

    Siku zinaenda balaa, ni kama jana tu nakumbuka watu walivyokesha wakiusubiri mwaka mpya. Watu walivyokuwa na mbwembwe za mwaka mpya na mambo mapya, hivi kwenu haya mambo yapo, au ni ushamba wa huku nilipo tu! Tafiti nyingi zinaonesha kwamba watu wengi ambao huwa wanaweka malengo. Huwa wanayasahau malengo yao kufikia januari 19, je, wewe malengo…

  • Kazi inayolipa kuliko zote duniani. Jifunze kazi hii utaishi kama mfalme

    Rafiki yangu wa ukweli, bila shaka unaendele vizuri, siku ya leo ningependa kuleta kwako kazi ambayo inalipa kuliko zote hapa duniani. Na kazi hii siyo nyingine bali ni kazi ya kuuza. Ni kazi ambayo mtu yeyote ambaye yuko tayari kujifunza anaweza kujifunza. Haina ukomo wa kipato. Unaweza kupata zaidi kadiri unavyouza. Ukiuza zaidi unalipwa zaidi.…

  • AKILI YA MKULIMA: mambo 12 ya kujifunza kutoka kwa mkulima unayopaswa kuyatumia kwenye maisha yako ya kila siku

    Hata kama wewe siyo mkulima, hakikisha unasoma vizuri makala ya leo. MARA KWA MARA UTASIKIA watu mbalimbali wakisema kwamba ,mimi nimezaliwa kwenye familia ya wakulima. Mimi ni mtoto wa mkulima. Ila wanavyokuwa wanaishi maisha yao inakuwa ni kinyume na masomo ambayo tunajifunza kwa wakulima. Kama wewe ni mtoto wa mkulima, ni wazi kuwa kuna mengi…

  • Jinsi ya kununua ndinga yako mpya

    Ndoto ya kumiliki gari ni ndoto ya vijana wengi. Siyo tu vijana na hata wazee. Lakini inawezekana hujawahi kukaa chini na kuona ni kwa namna inavyowezekana. Sasa leo nataka nikuoneshe ni kwa namna gani unaweza kufanikisha ndoto kubwa kama hii. Kabla sijakwambia ufanyeje, Ningependa ujifunze kutoka kwa Rafiki yetu Sanga. Ambaye alikuwa na ndoto ya…

  • Habari Njema Kwa Wewe Utakayehudhuria Semina

    Habari njema kwako rafiki yangu ni kuwa ukifanya malipo ya semina mapema kabla ya tarehe 1.9.2023, unaenda kupewa audiobook ya kitabu cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA bure. Sample ya Audiobook hii hapahttps://youtu.be/On0sNI94FXA?si=0OZ_ddwBCuwMe1hz Sambamba na hilo, unaenda kupata mafunzo kamili ya semina.Utapata ufuatiliaji wa karibu kwa miezi tisa baada ya semina.Utaungana na wengine ambao wanafanyia kazi…

  • Jinsi Ya Kufikia Ndoto Kubwa Hatua Kwa Hatua

    Pata picha una ndoto ya kujenga hoteli kubwa ya kifahari…Yenye nyota saba. Mhh kama unaguna au kujiuliza kama hoteli ya aina hiyo ipo au haipo…Ukweli mi kwamba ipo moja huko Uarabuni panaitwa Burj Al Arab iko Dubai. Sasa kumbe moja tayari ipo, basi hiki ni kiashiria kingine kuwa na wewe unaweza kujenga hoteli yako ya…

  • Ujiajiri Au Uajiriwe? Ukweli Mchungu….

    Suala la kuajiriwa na kujiajiri limekuwa linapata mjadala mkubwa sehemu mbalimbali. Kwenye vyombo Vya habari, Kwa wahamasishaji, wanasiasa, viongozi wa Serikali ma dini pia. Hata hivyo wengi ambao Huwa wanahamasisha kujiajiri, wenyewe hawajawahi kujiajiri😊😊. Hiki kitu a uta wa siutata Kwa wale wanaofanya KAZI huu ushauri. Yaani, wanaufanyia KAZI, lakini wanaokwama wanakuwa hawana mtu sahihi…

  • Uwekezaji Kwenye Hisa vs Uwekezaji Kwenye Maeneo Mengine

    Ukilinganisha uwekezaji kwenye hisa na vipande na uwekezaji maeneo mengine kama ardhi, Vito vya thamani….n.k ukweli ni kwamba, uwekezaji kwenye hisa ni rahisi Kwa MTU yeyote kuanza. Unaweza hata kuanza kumiliki kampuni Kwa mtaji mdogo.Unaweza kuwekeza kidogo kidogo. Ili ufanye uwekezaji kwenye nyumba, unahitaji mamilioni ya pesa ila kuwekeza kwenye hisa, unaweza KUANZA na hisa…

  • Mara moja siyo mbaya

    Mara kwa mara utasikia watu wanasema mara moja siyo mbaya. Yaani, kwamba kufanya jambo mara moja halafu ukaacha siyo kitu kibaya. Kwenye ulimwengu wa mafanikio, mara moja ni mbaya sana. Unahitaji ufanye vitu kwa mwendelezo na mara kwa mara, bila kuacha kwa kuda mrefu ili upate matokeo. Kama ni akiba unapaswa kuweka akiba kila siku…

  • USISUBIRI mpaka uwe na Kila kitu Ili uanze.

    Anza na kile ulichonacho. Fanya unachoweza Sasa. Ili ufanikishe MAKUBWA. Miaka kumi ijayo, utajishukuru Kwa kuchukua HATUA na kufanya kitu kuliko kukaa bila kufanya kitu. Ukianza kuweka akiba Leo. Miaka kumi ijayo, utajishukuru Sana Kwa HATUA uliyochukua Leo hii. Kumbuka. Muda mzuri WA kupanda mti ulikuwa ni miaka kumi iliyopita, ila muda mwingine mzuri zaidi…

  • TAARIFA mbili Muhimu kuhusu semina ya KUONGEZA KIPATO MARA MBILI

    Rafiki yangu mpendwa, salaam. Hongera kwa kazi. Leo nina taarifa mbili muhimu sana kuhusu semina ya KUONGEZA KIPATO CHAKO MARA 2. Taarifa ya kwanza ni kuhusu watu ambao hawatalipia semina hii. Ndio, kuna ambao hawatalipia semina hii, watahudhuria bure. Na taaarifa ya pili ni vigezo vya kushiriki. Maana wengi walikuwa wanafikiri kila mmoja anaweza kushiriki,…

  • Tumemaliza maonesho ya nanenane. Kitu kimoja ambacho nimeongea na kila mshiriki wa maonesho haya

    Kuanzia Tarehe 1 Agosti mpaka tarehe 8 tumepata nafasi ya kushiriki kwenye maonesho ya nanenane. Hii ni mara yetu ya pili kushiriki kwenye haya maonesho makubwa tukiendelea kutoa elimu na kuwahahamasisha watu kujifunza na kusoma vitabu. Mwaka huu kama kawaida, tumepata washiriki wengi, ambao wametembelea banda letu. Umekuwa ni mwaka mwingine bora sana. Kutokana na…

  • Hii nidyo sababu kuu kwa nini unapaswa kuhudhuria semina ya kuongeza kipato chako mara mbili mwaka huu

    Juzi nilitangaza semina yetu ya mwisho kwa mwaka huu a 2023. Semina hii ambayo inaenda kufanyika tarehe 24-30, inaenda kuwa ni moja ya semina ya kipekee sna ndani ya mwaka huu. Inaenda kujenga msingi imara wa kujenga utajiri wa kifedha kwa washiriki wake. Ni semina ambayo inaenda kuleta mapinduzi makubwa. Kiukweli ni semina ambayo haupaswi…

  • Sababu 101 Kwa Nini Unapaswa Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Zaidi:

    Kuongeza kipato chako mara mbili zaidi kunaweza kuwa na manufaa mengi katika maisha yako ya kifedha na maendeleo ya kibinafsi. Hapa kuna orodha ya sababu 101 kwa nini unapaswa kuongeza kipato chako mara mbili zaidi: Kumbuka, kuongeza kipato chako mara mbili zaidi inaweza kuwa lengo kubwa, na inahitaji kujituma na juhudi kubwa. Lakini, inaweza kuleta…

  • Wengi Huwa nikiongea nao KUHUSU bei za vitabu kitu cha kwanza kabisa ambacho huwa wananiuliza ni ukubwa wa kitabu. Utakuta mtu anauliza, kitabu chako kina kurasa ngapi? Hapo ni baada ya Wewe kumwambia bei ya kitabu labda ni 20,000/- Sasa Jana nilienda kununua hicho kitabu hapo juu👆🏿. Kitu Cha kwanza nilichogundua ni kwamba, kitabu SI…

  • Hii Ndiyo Sababu Kubwa Na Msingi Kwa Nini Unapaswa Kuongeza Kipato Chako Zaidi

    Kuna usemi wa albert Einstein ambao binafsi huwa naupenda sana, unasema kwamba ujinga ni kufanya mambo yaleyale huku ukitegemea kupata matokeo ya tofauti. Hii ni kauli fupi ila yenye maana kubwa sana hasa kwetu sisi ambao tunataka kuufikia uhuru wa kifedha. Kabla hujawa na malengo ya kufikia uhuru wa kifedha, ulikukuwa umeridhika na ka kipato…

  • Jinsi Ya Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Ndani Ya Mwaka Mmoja

    Kuongeza kipato chako mara mbili ndani ya mwaka mmoja ni lengo kubwa, lakini si rahisi kufanikisha. Hata hivyo, kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua ili kuimarisha mapato yako na kufikia lengo hilo. Hapa kuna miongozo kadhaa ambayo inaweza kukusaidia: Ni muhimu kutambua kuwa mchakato wa kuongeza kipato chako mara mbili unaweza kuwa mgumu na unahitaji jitihada,…

  • Kama kuna faida ulizonazo. Zitumie vizuri

    Shag alikuwa ni mmoja wachezaji wa kikapu ambao walifanya vizuri sana. Moja ya sifa ambayo anayo Shag ni urefu. Ana urefu wa mita 2.159. Kitu hiki kilimfanya kuwa mmoja wa wachezaji wachache wenye urefu kama wa kwake. Ambayo kwake ilikuwa ni faida. Kwa upande wake Shag hii faida aliitumia vizuri sana kwenye kucheza na kuhakikisha…

  • Kwa nini watoto wanapoteza pesa ya wazazi baada ya kurithi?

    Kurithi mali kutoka kwa wazazi ni hali ya kawaida katika jamii nyingi. Hata hivyo, ni jambo la kusikitisha kuona jinsi watoto wengine wanavyopoteza pesa hizo baada ya kurithi. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuelezea kwanini hali hii inatokea. Sababu za watoto kupoteza pesa ya wazazi baada ya kurithi 1. Kutokuwa na Elimu ya Fedha 2. Matumizi…

  • Sababu 100 kwa nini unapaswa kuweka akiba ya pesa

    Pata kitabu hiki cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA leo hii utanishukuru. Ni kitabu kizuri sana. Kukipata BONYEZA HAPA. Au wasiliana nami kwa kubonyeza HAPA ili uweze kupata nakala yako. Pata kitabu hiki cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA leo hii utanishukuru. Ni kitabu kizuri sana. Kukipata BONYEZA HAPA. Au wasiliana nami kwa kubonyeza HAPA ili uweze…

X