Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

  • Usikose mara mbili

    Rafiki yangu, kwenye makala ya jana nilikusisitiza kitu kimoja muhimu sana. Kitu hiki ni kufanya kila unachofanya kwa msimamo, na kwa mwendelezo. Kama hukusoma hii makala, rudi hapa uisome kwa umakini mkubwa. Msimamo na mwendelezo. Kitu hiki ni kutokuacha kufanya kitu husika zaidi ya mara mbili. Ikitokea kuna siku umeshindwa kufanikisha kitu fulani ambacho umepanga…

  • Msimamo na mwendelezo

    Rafiki yangu moja ya kitu cha muhimu sana kwa wewe unayetaka kufanya makubwa ni kuwa na mwendelezo kwenye kitu ambacho unafanya. Wengi huwa wanaweza kufanya kitu mara moja, ila siyo kwa mwendelezo. Wewe unahitaji kuwa na mwendelezo kwenye kazi na shughuli zako zote unazofanya. Ukianzisha kitu, usikifanye mara moja tu. Bali kifanye kwa mwendelezo kwa…

  • Mwezi januari unaisha, umeulaani au umeubariki? Umekuwa wenye Baraka kwako au wenye karaha?

    Rafiki yangu mpendwa, nichukue nafasi hii kukupongeza sana kwa kuumalizia mwezi wa Januari. Najua wazi kuwa haujawa mwezi rahisi, hivyo nikupongeze sana kwa hilo. Mwezi januari unapofikia tamati, ningependa kwa pamoja tufanye tafakari kuhusiaa na mwezi huu wa kipekee. Mwisho wa siku tujiulize kuwa mwezi huu umeubariki au umeualaani? Umekuwa wenye Baraka kwako au wa…

  • Hii Kozi Nayo Inalipa Vizuri Sana; Sema Watu Hawaijui Tu

    Moja ya kitu ambacho wazazi  bado wanawaambia watoto ni kwenda kusomea kozi au kitu fulani kwa sababu wanahisi kinalipa. Mzazi anamwambia mwanae akasomee uhasibu kwa sababu yeye anahisi unalipa kuliko vitu vingine vyote, au anadhani mtoto wake atapata ajira. Nafikiri ushauri wa namna hii ulikuwa ni ushauri halisi miaka kadhaa iliyopita, ila leo hii hauwezi…

  • JICHANGAMOTISHE

    Uliwahi kufanyika utafiti kwa madereva waliokuwa wanaendesha taxi zao kwenye jiji la LONDON, moja ya kitu cha kipekee sana kilichogundulika kwa madereva hawa wa jiji la LONDON ilikuwa ni kwamba ubobgo wao ulionekana kuwa imara sana, ukilinganisha na madereva wengine ambao walikuwa hawaendeshi magari yao kwenye mazingira yenye barabara nyingi na idadi kubwa kama London.…

  • Huhitaji kusubiri mpaka uwe na kila kitu

    Ni mara nyingi sana watu huwa wanasubiri mpaka wawe na kila kitu ili waweze kuanza kuanza kufanyia kazi malengo yao, ndoto zao, au kitu ambacho wanafikiria. Mtu haanzi hiyo biashara kwa sababu anasubiri mpaka aweze kupata kila rasilimali ambayo anafikiri anahitaji. Mtu haanzi kufanyia kazi hicho kipaji chake kwa sababu anasubiri mpaka awe na kila…

  • Maswali Mawili Ambayo Unapaswa Kujiuliza Kila Siku

    Rafiki yangu, kuna maswali mawili mazuri sana ambayo unapaswa kuwa unajiuliza kila siku. Haya maswali yatakufanya utafakari juu ya mambo mengi ambayo unafanya kila siku na namna gani unaweza kuendelea kuifanya hii dunia kuwa sehemu bora kabisa kuwahi kutokea. Maswali haya tunayapata kutoka kwa Benjamin Franklin ambaye alikuwa ni mmoja wa wanasiasa, mvumbuzi na mwanadipolomasia…

  • Kitu Ambacho Kinaua Biashara Nyingi

    Kuna utafiti ambao ulifanyika, na ulikuja na majibu ya kitofauti kidogo ambayo huwezi kuyategemea.  Utafiti huu ulihusisha wateja, wafanyakazi pamoja na viongozi wa kampuni na biashara mbalimbali. Lengo la utafiti huu lilkuwa ni kuona ni kwa namna gani kampuni au taasisi zinatoa huduma bora kwa wateja. Asilimia kubwa ya viongozi wa kampuni zilizofanyiwa utafiti walisema…

  • Kuwa Mwanafunzi wa KUDUMU

    Dr. Myles Munroe ni mmoja watu ambao walikuwa wamefanikiwa sana kwenye sekta ya maendeleo binafsi. Kazi zake nyingi zimegusa maisha ya watu wengi enzi za uhai wake mpaka leo hii. Siku moja alikuwa anaeleza namna alivyoenda kwenye duka la vitabu na kununua kitabu cha zaidiya dola 125. Dola 125 ni zaidi ya laki mblii na…

  • HITIMISHO LA KILA MAKALA

    Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu. Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia kiasi kidogo tu. Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao. SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo…

  • ISBN kwenye Kitabu Ni Nini Na Inafanya Kazi Gani?

    ISBN kwenye kitabu ni Nini na inafanya kazi Gani? Umeandika kitabu lakini Bado unajiuliza unawezaje kupata ISBN kwa ajili ya kitabu chako? Umekuwa unaona ISBN kwenye vitabu mbalimbali lakini hujui maana yake ni nini, au unawezaje kuzipata? ISBN (International Standard Book Number) ni namba ya kipekee inayotolewa kwa kila kitabu kilichochapishwa ili kukitambulisha kimataifa. Ina…

  • Njia Bora Ya Kuanza Uwekezaji Kwenye Hisa

    ☝🏿Ndiyo, tunapoelekea kuanza mwaka mpya 2025, hakikisha unauanza mwaka mpya kwa KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE Kabla ya mwaka mpya kufika jifanyie favor kwa kupata nakala ya kitabu hiki Cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA HATIFUNGANI NA VIPANDE. Ndani ya kurasa za kitabu hiki utajifunza bidhaa tatu ambazo kinapatikana kwenye SOKO letu la HISA.…

  • Jinsi Kufanya Majukumu Mengi Kwa Wakati Mmoja Kunavyokupotezea muda badala ya kusevu muda

    Rafiki yangu unaendeleaje,  Kuna wakati unajikuta una majukum mengi na hivyo kuona ufanye majukumu hata mawili kwa wakati Mmoja ukidhani kuwa utarahisisha kufanikisha majukumu Yako kwa wakati. Hata hivyo nataka nikwambie kuwa kufanya Majukumu Mengi Kwa Wakati Mmoja kunakupotezea muda mwingi. Kazi ambayo ungeifanya kwa muda mfupi unajikuta unaifanya kwa muda mrefu. Ngoja nikupe mfano…

  •                     

  • Umuhimu wa Uakifishaji

    Uakifishaji ni uwekaji wa alama za uandishi kama vile nukta, mkato, mshangao, kiulizo, funga semi na fungua semi pamoja alama nyingine nyingi ambazo kimsingi, ndiyo nguzo ya uandishi wa aina yoyote ile. Leo ninazungumza na ndugu zangu waandishi wa vitabu. Ni ukweli usiyopingika kwamba, hakuna namna unaweza kujiita mwandishi kama hujui matumizi sahihi  ya alama…

  • Zingatia kitu hiki kimoja kama unataka kufanya makubwa

    Habari ya asubuhi kila mmoja, Leo ni siku nyingine muhimu ya Mimi na wewe kwenda kupambania MALENGO ND ndoto kubwa tulizonazo. Leo nataka nikwambie kitu kimoja muhimu sana ambacho unapaswa kujifahamu Unapaswa kujua ni muda Gani kwenye simu huwa unakuwa na uzalishaji mkubwa, na unapaswa kuulinda huo muda kwa NGUVU zako zote. Siyo kila muda…

  • KITABU: Watu 60 Walioshindwa Karibia Katika Kila Kitu Lakini Bado Wakashinda Kwa Kishindo

    Rafiki yangu, nimezindua kitabu kipya. Kitabu hiki kinaitwa watu 60 walioshindwa karibia katika kila kitu walichofanya. Lakini hawa watu watu hawakukata tamaa, wala hawakurudi nyuma. Kila walipokutana na kikwazo, kwao huo haukuwa mwanzo wa kukata tamaa wala kurudi nyuma, bali ulikuwa ni mwanzo wa wao kuongeza juhudi zaidi, kupambana zaidi ili waweze kufikia malengo na…

  • Unataka Kwenda Mbinguni Kuishi Milele Ili Ufanye Nini? Una Uhakika Utautumia umilele wako Vizuri?

    Unakuta mtu hajui ni kitu Gani anapaswa kufanya hapa duniani. Lakini Bado anang’ang’ania kuwa anataka kwenda mbinguni. Huko mbinguni unataka kwenda kufanya Nini kama ya duniani yamekushinda. Imeandikwa kuwa usipokuwa mwaminifu kwenye mambo madogo hutakuwa mwaminifu kwenye MAKUBWA. Kama usipokuwa mwaminifu kwa muda mchache wa hapa duniani. Unamwaminishaje Mungu kuwa mbinguni utautumia vyema ? Kama…

  • Je, kuna mtu amewahi  kukwambia kuwa hapa umekosea?

    Je, kuna mtu amewahi  kukwambia kuwa hapa umekosea? Hili ni swali ambalo amewahi kuulizwa aliyekuwa rais wa marekani Donald Trump. Alijibu swali hili kwa kusema, kiuhalisia mke wangu huwa ananiambia kuwa nimekosea kila siku. UKWELI NI KUWA kama kuna kitu cha tofauti ambacho unafanya kwenye maisha yako, ni lazima tu utaambiwa, tena utaambiwa  mara nyingi…

  • Kitu Kimoja Ambacho Hakuna Mtu anaweza Kukifanya Kwa Niaba Yako

    Rafiki yangu mpendwa salaam. Naamini UNAENDELE VYEMA kabia ana majukumu yako ya kila siku,  siku ya leo nimekuja kwako kukwambia kitu kimoja tu rafiki yangu. Naam, kitu ambacho hakuna mtu anaweza kukifanya kwa niaba yako, Isipokuwa wewe tu ndiye unaweza kufanya hivi vitu. Naomba kwanza ufahamu umuhimu wa kuwapa wengine majukumu. Siyo kila jukumu unaweza…

X