Category: Uncategorized

  • Habari njema kwako Rafiki yangu.

    Rafiki bila shaka uaendelea vyema kabisa.Binafsi jioni ya leo nimekuja kwako na habari njema sana. Habari hii ni kwamba unaweza kuwa wakala wa kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI mkoani kwako. Kwa hiyo popote pale ulipo (bara na visiwani) naomba uwasiliane na mimi ili tufanye utaratibu wa wewe kupata nakala za vitabu. Hii ni habari…

  • Uwekezaji Huu Utakufanya Kuwa Mtu Mkuu Kwenye Hii dunia

                        Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Siku hii ya leo napenda nikwambie uwekezaji ambao kama utaufanya na utakuja kukufanya mtu mkuu kwenye hii dunia. Kwanza kabla sijakwambia ni uwekezaji gani. Nataka nikwambie kwamba kuna watu ambao unaweza kuwa unawaona wanafanya vitu vikubwa, wewe ukawa unawaona kwamba wao wamezaliwa na Baraka…

  • Ukiweka Juhudi Kubwa Sana Kuelekea Malengo Yako, Malengo Yako Pia Yataweka Juhudi Kubwa Kukuelekea Wewe

    Moja ya kanuni za fizikia ni hii kanuni inayosema kwamba, to every action there is equal and opposite reaction. Ikimaanisha kwa kila kitu ambacho unafanya kuna kuwa na nguvu ya aina hiyo hiyo ambao inakujwa kwako. Kwa hiyo ukifanya kazi kwa bidii kubwa ili uweze kupata matokeo makubwa, mwisho wa siku matokeo makubwa yataanza kuja…

  • Kama Sio Wewe Nani? Kama Sasa Lini? INAWEZEKANA

    Rafiki yangu hongera sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee sana. Siku ya leo napenda nikwambie kwamba inawezekana, ndio kama una lengo ambalo unataka kulifanyia kazi katika maisha yako unapaswa kufahamu  kwamba inawezekana kulifanikisha lengo hili hapa. Kama kuna ndoto ambayo unayo maishani mwako basi fahamu kwamba inawezekana. Watu unawaona sasa hivi wakiwa wamefanya…

  • ACHANA NA TABIA HIYO

    Kuna tabia hiyo ambayo unifanya japo haikupeleki kwenye mafanikio, achana nayo. Anza kushugulika tabia ambazo zinakufanya wewe uweze kusongambele kwenye mafanikio makubwa. Kama unataka kufanikiwa na bado kuna tabia ambazo zinakuvuta ila hutaki kuziacha, utajiangusha. Yaani hapo ni sawa na wewe umekuwa baba/mama ila hutaki kuachaa na utoto. Hivyo ukitaka kufanikiwa achana na tabia zinazokukwamisha…

  • Kinachokukwamisha Ni Uoga

    Ujue kuna watu ambao wewe unawazidi kwa kipaji cha kuimba ila wanazunguka dunia nzima wanaimba. Kuna watu  ambao wewe unawazidi kwa viwango vya kucheza mpira, ila leo hii watu wanakaa kwenye runinga kuwatazama dakika 90. Wengine wewe unawazidi viwango vya kuchekesha, ila leo hii watu wanaingia YouTube kuwatazama ili wacheke na wewe upo hapo umejificha.…

  • Ebu fanya kitu hiki hapa siku ya leo kuongeza mtadao wako

    Siku ya leo ningependa iwe siku yako kuongeza mtandao wako wa watu ambao unawafahamu. Na hapa tunaenda kutumia tu mbinu za kawaida ambazo wewe mwenyewe unaweza kuzitumia kukongeza idadi ya mtandao wako. Siku ya leo nataka umpgie mtu ambaye hujawahi kumpgia maishani mwako. Anaweza akawa mtu ambaye umekuwa unamfuatilia kwa kazi anazofanya kila siku. Au…

  • Shukrani Zangu Na Taarifa Rasmi Ya Upatikanaji Wa Kitabu Cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni

    Jana tarehe 02.02.2020 ilikuwa ndio siku rasmi ya uzinduzi wa kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni. Kitabu hiki ambacho kwa sasa kinapatikana katika mfumo wa nakala ngumu (hard copy) kilizinduliwa jana kwenye ukumbi wa Morogoro Hotel hapa Morogoro. Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza sana watu waliohudhuria huu uzinduzi wa kipekee sana. Kiukweli nimefurahi sana…

  • JIFUNZE MATUMIZI SAHIHI YA NOTEBOOK: Ufanye Mwaka Huu Uwe Wa Mafanikio Kwa kutumia Maajabu Ya Notebook Tu

    Habari siku hii njema sana rafiki yangu. Bila shaka siku hii njema sana ya leo umeianza vyema kabisa bila shida yoyote ile. Kama utakuwa makini, utagundua kwamba kuna kitu ambacho tayari kimeshatokea kwenye mwaka huu wa kipekee 2020. Unajua kitu hicho ni kitu gani? Kitu hiki sio kingine, bali ni kuwa, mwezi mmoja wa mwaka…

  • YAH: MABADILIKO YA JALADA LA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI

    Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana.Ni siku sasa zimepita tangu uzinduzi wa kitabu cha  KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Nakumbuka ilikuwa ni tarehe 25 mwezi wa 9 2017, mtu wa kwanza aliposoma hicho kitabu. mmoja wa watu waliosoma hicho kitabu alikuwa ni Octavian, yeye alikuwa na haya ya kusema siku chache baada…

  • Maswali sahihi yatakupa matokeo sahihi

    Moja ya ujuzi ambao unauhitaji maishani mwako ni ujuzi wa kuuliza maswali sahihi. Watu wengi huwa wanaogopa kuuliza maswali maishani mwao kwa kuogopa kwamba wataonekana kwamba hawajui. Hata hivyo kama wahenga walivyosema, ni kwamba kuuliza sio ujinga. Lakini kikubwa zaidi ni kwamba kuuliza kunakufanya unakuwa mjanja zaidi. Yaani kunakufanya ujue kile kitu ambacho ulikuwa hujawahi…

  • Jiepushe Na Vitu Hivi Viwili Ili Uweze Kupata Matokeo Mazuri Maishani Mwako

    Kuna makosa mawili ambayo umekuwa unafanya kwenye maisha yako ya kila siku ambayo kiukweli unapaswa kuyaepuka mara moja. La sivyo kama utaendelea kuyafanya makosa haya yatakufanya upoteze rasilimali hizi mbili muhimu. Utapoteza rasilimali muda lakini pia utapoteza rasilimali nguvu. Ukiyaepuka utaweza kukutumia muda wako vizuri kufanya mambo ya maana, lakini pia uwekeza nguvu hiyo kwenye…

  • Hili hapa ndio wazo bora la Kibiashara Kwa Mwaka 2020. Fanyia Kazi Wazo Hili Hapa Tu, Utakuwa Na Mwaka Wenye Mafanikio Makubwa Sana

    Kama mpaka sasa hivi umekuwa unajiuliza ni wazo gani bora la mwaka 2020 ambalo unaweza kufanyia  kazi na kupata mafanikio makubwa basi leo nimekuja na suluhisho. Na suluhisho iko wazi kabisa. yaani hadi mwenyewe utashanga kwa nini hukujua suluhisho hili mapema. Ila uhakika ni kwamba ukilifanyia kazi wazo hili ndani ya mwaka huu mmohja tu,…

  • AKILI NENE vs MWILI MNENE

    Kuna kitu ambacho  watu wamekuwa wanakiona kama sifa. Na pengine kama ishara ya kuwa ya pesa. Kitu hiki ni mtu kunenepa. Kwa hiyo watu wanawekeza pesa kwenye kunenepa mwili ila wanasahau kitu muhimu zaidi ambacho kinapaswa kunenepa kwa mtu sio mwili. ila akili. Yaani hata iweje, fanya ufanyavyo ila hakikisha kwamba kila siku unanenepesha akili…

  • Kitu Hiki Kitakupa Mafanikio Mara 10 Zaidi Mwaka Huu

    Napenda nikwambie kitu kimoja ambacho kitakusaidia kuinuka mwaka huu ili uweze kutengeneza mafanikio makubwa zaidi. Najua Laiti ungekuwa umeamgiwa Kitu Hiki tangu mwaka huu unaanza basi sasa hivi ungekuwa mbali kabisa. Tayari ungekuwa umefanya vitu ambavyo watu wengine hawajafanya. Ila sasa hujachelewa kujua kitu hiki, maana wanasema muda mzuri wa kupanda mti ulikuwa ni miaka…

  • Hivi ndivyo unaweza kumnasa mtu anayesema uongo

    Ukiwa unaongea  na mtu rahisi sana kutambua kwamba mtu huyu anasema ukweli au hasemi ukweli. japo unaweza kumwangalia mtu kupitia lugha ya mwili. maana inakuwa ni rahisi sana kwa kutumia njia hii. Niliwahi kufundisha masomo ya lugha ya mwili kupitia kwenye kundi la THINK BIG FOR AFRCA. Hata hivyo siku ya leo sio kwamba nazungumzia…

  • Mambo 20 Ya Kufanya Kwa Siku 340 Zilizobaki Kabla Mwaka Huu Kuisha

    Siku ya leo sitaki niandike sana, ila hapa kuna mambo 20 ambayo unapaswa kufanya kwa siku 340 zilizobaki ili kuufanya mwaka huu kuwa mwaka wa mafanikio makubwa sana. 1. Hakikisha unakuwa na notebook ambapo kila siku utaangalia mwenendo wako. huku utaandika mambo yako unayofanya kila siku. Hii pia itakupa urahisi wa kujifanyia tathimini kila mwisho…

  • SHUKRANI ZANGU ZA KIPEKEE KWA MTU HUYU HAPA

    Rafiki yangu, nitakuwa sio mtu mzuri sana kama sitatoa shukrani kwa watu ambao wananijali maishani mwangu. na leo hii mtu wa pekee ambaye ningependa kutoa shukrani hizi za kipekee kwake mi WEWE. Kiukweli napenda sana kukushukuru kwa sapoti yako kubwa. Bila shaka kama wewe usingekuwa unasoma makala hizi kwenye hii blogu na mitandao mingine ambayo…

  • Pesa zako zimelala hapa tu! Fanya Haraka Uzichukue Kabla Hazijachuliwa

    Kwa kila sekunde inayopita, mtandao wa google unapokea maombi 40,000. Hawa ni watu mbalimbali wanaotafuta majibu ya maswali yao kwenye mtandao huu.   KWA NINI WATU WANATAFUTA MAJIBU GOOGLE? Moja ni kwa sababu majibu waliyonayo hayatoshelezi hivyo wanatafuta suluhisho jipya. Pili, kwa sababu hawajawahi kupata suluhisho la swali hilo kabisa maishani mwao. Hivyo njia pekee…

  • HIVI NDIVYO UNAWEZA KUTENGENEZA BAHATI YAKO MILELE NA MILELE

    (utashangaa kwa nini ulichelewa kujua hiki kitu) Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Leo hii naenda kukufundisha namna ya kutengeneza bahati maishani mwako. Na njia hii ya kutengeneza bahati ni kuwasaidia watu zaidi kupata bahati. Ukiwasaidia watu kupata wanachotaka utakuwa umewawezesha kupata bahati. Na kwa kuwa hili utakuwa umefanya jambo jema…

X