-
Umefanya uamuzi uliobora sana
Habari ya leo Mimi ni Godius Rweyongeza kutoka SONGAMBELE Ninajua kwamba umeomba kupata KITABU CHA BURE . lakini pia nimeona siyo vibaya ukijua mimi ni nani na kitu gani utegemee kupata kwangu na SONGAMBELE kiujumla. Bila kuongeza la ziada napenda kukutaarifu kuwa kitabu chako kimeshatumwa kwenye baruapepe yako, ila kama hukioni unaweza kukipakua kwa KUBONYEZA HAPA Kwa miaka…
-
Jiwe la uzito wa tani moja kwa wale ambao hawataki kuweka akiba
Moja ya sababu ambazo watu huwa wanatoa linapokuja suala zima la kuweka akiba ni kuwa hawawezi kuweka akiba kwa sababu wana vitu vingi vya kufanya na fedha. Utakuta mtu anakwambia kwamba nina kodi, ya nyumba na bili nyinginezo ambazo ninapaswa kulipa na hata fedha hainitoshi. Kitu kimoja cha muhimu sana na cha kushangaza ni kuwa…
-
Kitu ambacho kitakufanya uweze kulipwa zaidi ya unavyolipwa sasa
Watu huwa wanatafuta siri za mafanikio na kuwafikisha mbali. Kama Kuna Siri ya mafanikio ambayo Unapaswa kuifahamu ambayo itakuwezesha kuongeza kipato Chako zaidi ni kufanya kazi zaidi ya vile unavyolipwa. Yaani, kujituma zaidi na kuchapa kazi zaidi ya ambavyo unalipwa. Hiki kitu kitakufanya uweze kulipwa zaidi. Kwa sababu kama MTU akikupa kazi yake na ukaifanya…
-
Jinsi Ya Kupata Wazo La Kuandika Kitabu
Kuna watu huwa wanafikiri labda ili kuandika kitabu basi unapaswa kuwa na wazo la kipekee sana ambalo halijawaji kutokea Hapa duniaani. Siyo kweli. Unaweza kuwa na wazo la kawaida tu, Ila wazo Hilo ukalikuza na kulifanya kuwa kitabu kizuri sana. Bado huamini! Mfano kwenye picha ya kawaida tu ambayo watu wanachukulia poa wewe unaweza kupata…
-
Usikubali ufe na ndoto yako ya kuwa Mwandishi mkubwa.
Wakati wa maonesho ya nanenane Kuna watu wengi walikuwa wanapita eneo la vitabu kwa nguvu zao zote. Wengine walikuwa wanasimama kidogo na kuangalia kinachoendelea Kisha kuendelea na safari Siku ya tarehe 3.Agosti alitokea mama mmoja ambaye alisimama kwenye banda letu kwa muda. Nilimkaribisha na kadiri nilivyokuwa nazidi kuongea naye alionekana kuwa anapenda nilivyokuwa naongea ila…
-
Mtu pekee anayeweza kufanya ufeli kwenye maisha
Rafiki yangu, Kama Kuna MTU ambaye anaweza kukufabyavufeli kwenye maisha yako Basi Ni wewe mwenyewe. Hakuna mtu mwingine wa nje ambaye anaweza kukufanya ufeli. Watu wa nje wanaweza kufunga njia ya wewe kupitia lakini hawawezi kukuzuia kutafuta njia nyingine. Wanaweza kukusema vibaya lakini hawawezi kuzuia motisha yako na NGUVU yako ya ndani ya kufanya makubwa.…
-
Ufanyeje unapopata fedha nyingi kwa wakati mmoja huku ukiwa hujui wapi unaweza kuiweka
Huwa inatokea mtu anapata fedha nyingi kwa wakati mmoja wakati akiwa hajui Cha kufanya. Sasa siku ya leo nataka tuone wapi unaweza kuweka fedha yako pale inapotokea umepata fedha nyingi kwa wakati mmoja. Haijalishi fedha hiyo umeipata kutokana na kubeti 😂Au labda wewe Ni mkulima umeuza mazao yako ila sasa unasubiri msimu.Au pengine hata inaweza…
-
Maoni Ya Watu KuhusuVitabu Vya Godius Rweyongeza
Leo nimekuandalia baadhi ya maoni na shuhuda za watu waliosoma vyangu. Huyu wa kwanza alichukua kitabu Cha MAISHA NI FURSA wakati wa nanenane. Na haya ndiyo anasema kuhusu hiki kitabu Huyu mwingine wakati naongea naye aliniambia anataka kuwa Mwandishi. Nikamtumia kitabu kwa njia ya mtandao. Na Sasa amekisoma na kuanza kuandika. Ndoto yake ya siku…
-
Kitu Muhimu Unachopaswa Kufahamu Kabla ya Kuvuna Mafanikio yoyote
Leo nimekumbuka moja ya usemi muhimu sana. Usemi huu ni kuwa huwezi kula kabla ya kulipa gharama. Eneo pekee unapoweza kula na kunywa bila kulipa gharama ni mgahawani. Hapa unaweza kuagiza chochote unachotaka, ukala na kushiba na kisha ukalipia. Ila kwenye maisha ya kawaida, ukitaka kula vinono sharti ukubali kuvigharamikia. Kuthibitisha hili wahenga wetu waliweka…
-
Kitabu Cha KIPAJI NI DHAHABU
Ukiongea na watu kuhusu Kipaji utasikia watu wanakwambiaKipaji hakilipi bongoTafuta ajira maana kipaji hakina kitu chochoteNgoja nisome kwanza, Mambo ya kipaji yatafuata baadaye. Inaonekana dhana ya kipaji umekuwa haifahamiki kwa watu wengi. Ndio maana kitabu hiki kimekuja ili kukuelewesha kuhusu Kipaji Chako na namna ambavyo unaweza kukutumia kipaji chako kwa manufaa. Kwenye kurasa za kitabu…
-
Kitu Cha Kufanya Unapokuwa Huoni Mafanikio Ya Haraka
Endelea kuweka juhudi, hakuna kitu chochote ambacho unafanya ambacho kinapotea bure.Baadhi ya vitu unaweza usione matokeo Sasa Hivi.Ila kadiri unavyoendelea KUWEKA juhudi matokeo utayaona. Watu wengi huwa wanakata tamaa mapema pale wanapoanza kufanyia kazi kitu.Ila Cha kufahamu I kubwa haupaswi kurudi nyuma. Endelea KUWEKA juhudi kila Mara.Kadiri unavyoweka juhudi, Ndivyo unakuwa unazidi kuikaribia ndoto yako.…
-
Kifanye Leo hata kwa udogo
Kama hukuweza kufanya kitu ulichopanga kufanya Jana, Basi amua kukifanya leo. Ukiendelea kuhairisha kwa siku nyingi hicho kitu hutakaa ukifanye.Ni Bora ukifanye Leo hata Kama utakaofanya kwa udogo. Kila la kheri
-
Kitu Kimoja kinachokwamisha mafanikio ya watu wengi
Kuna watu huwa wanapokeaa mafunzo kutoka kwangu kwa njia ya barua pepe. Kila siku huwa nawatumia ujumbe mmoja ulioshiba. Sasa juzi niliwatumia ujumbe mmoja kuhusu fursa. Kila aliyesoma huo ujumbe alionekana ameguswa na ule ujumbe kwa namna yake. Kitu ambacho kimenifanya nikae tena Leo kuandika ujumbe mwingine. Leo nitakushirikisha ule ujumbe niliowatumia, lakini kwanza nataka…
-
Uchambuzi Wa Kitabu Cha The 5Am Club: (Mambo 304 niliyojifunza kutoka kwenye hiki kitabu)
Kitabu: 5 AM CLUB; Own Your Morning Eleveti Your LifeMwandishi: Robin SharmaMchambuzi: Hillary MrossoSimu: 255 683 862 481 UTANGULIZI; The 5 AM CLUB, imiliki asubuhi yako, uyaboreshe maisha yako. Ni moja ya vitabu bora sana katika zama hizi. Ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi wa juu sana, kila sentensi kwenye kitabu hiki ina ujumbe mkubwa. Mwandishi…
-
KITABU CHA DIAMOND: AKILI YA DIAMOND
Habari ya upande wa huko rafiki yangu. Nimeandaa kitabu kizuri kinacjoitwa Akili Ya Diamond. Kitabu hiki Cha kipekee kimelenga kukuonesha wewe namna ambavyo unaweza kugundua kipaji chako, kukinoa na kukiendeleza huku tukipata masomo na mafunzo kutoka kwa Diamond Platnumz lwaa namna alivyofanyia kazi kipaji chake. Kitabu hiki kitaanza kupatikana kuanzia tarehe 1.8.2022 Je, ungependa kupata…
-
Changamoto Ni Fursa
Badala kuomba kuishi maisha ambayo hayana changamoto wala matatizo, omba uwezo wa kutatua changamoto unazokutana nazo. Changamoto ni fursaChangamoto ni biashara.Changamoto ni njia kufika mbali.Watu WALIOFANIKIWA siyo kwamba hawakuwa na matatizo wala changamoto. Bali walitumia changamoto na matatizo waliyonayo Kama fursa kwa ajili ya kusongambele zaidi. Mara zote jiulize Ni kwa namna gani naweza kunufaika…
-
Uchambuzi Wa Kitabu Cha The Richest Man In Babylon
Kitabu: The Richest Man in Babylon Mwandishi: Georges Clason Mchambuzi: Hillary Mrosso Simu: 255 683 862 481 Utangulizi Zaidi ya miaka 8000 imepita, mji mkuu uliojengwa kwa ustadi wa juu sana huenda kuliko miji yote duniani ulijulikana kama Babiloni. Sifa za mji huu zilitapakaa duniani kote sio tu kutokana na ustadi na ufahari wa majengo…
-
Vitu vitano vya kujiepusha navyo ili ufike mbali
1. Jiepushe na vileoHivi vitachukua muda wako mwingina fedha lakini havitakufanya upige hatua yoyote kubwa kimaisha. 2. Jiepushe Kuwa bize na kila kitu.Yaani, hiki unafanya. Kile unafanya. Unapambana na kila kitu. Hapana, sililiza rafiki yangu, wekeza nguvu yako kwenye vitu vichache ambavyo unaweza kufanya kwa ubora wa hali ya juu sana. Kisha vifanye kwa ubora…
-
Mwaka Huu Ni Wangu Kufanya Makubwa

Kila mwanzoni mwa mwaka watu wengi huwa wanaweka malengo makubwa ya kufanyia kazi. utasikia mtu anasema kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa kufanya makubwa. utasikia mwingine anasema kwamba mwaka huu lazima tu nifanye makubwa. ila sasa cha kushangaza Unakuta kwamba siku zinakuwa zinazidi kupita kiasi kwamba inafikia hatua huyo mtu anashindwa kufanyia kazi lengo…
-
Njia pekee ya itakayokuhakikishia wewe kupata matokeo ya tofauti
Siku za nyuma niliandika makala niliyoipa kichwa cha Kama Unataka Mali: Maeneo Matano Unapoweza Kupata Mali Halali… Kwenye makala hii nilieleza mbinu mpya za kupata Mali. Najua kwamba wengi tulisoma shairi la kama mnataka Mali mtazipata shambani, Ila sasa je, siku hizi na zama hizi tunazoishi, bado tunapaswa kutegemea Mali kutoka shambani? Hapo ndipo nilikueleza hizo…
